Тёмный

ASANTE SERIKALI KWA 'UBAYA HUU' 

SK Media Online TV
Подписаться 56 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Makosa kadhaa ya serikali yanageuka neema kwa Watanzania. Fuatilia.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 207   
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Nape acha uongo, hao watu mnawasomba na ma fuso toka sehemu mbali mbali, nani ambaye hajui hilo
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 11 месяцев назад
Kweli hata mimi sikujua kama kunawimbo huu .polisi wamenisaidia sana.halafu wanasema achaneni na habari za mitandao. Mama unadanganywa.!wanakuzunguka tu. Shauriyako
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 11 месяцев назад
Hongera sana kaka. Uchambuzi huu umepanda viwango vikubwa sana
@nicolausminja689
@nicolausminja689 11 месяцев назад
Sijasikua huo wimbo ngoja nitafute😊
@suleymanmazaila1529
@suleymanmazaila1529 11 месяцев назад
Hatimae leo nimekuwa wakwanza baada ya kusubiri kwa muda mrefu kupata update mpya.. Nakuelewa sana bro ansbart ngurumo, mungu akuzidishie maarifa na afya njema tuzidi kunufaika na uwepo wako kwakupata maarifa sahihi na tafakuri za kina. Be blessed brother.
@derickcowly6681
@derickcowly6681 11 месяцев назад
Wewe kiongozi gani mjinga sana umejaa ujinga sana akupaswa kuwa kiongozi uyo mama ajitafakari sana na wateuzi wake wanamwabisha sana
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 11 месяцев назад
Anajitambua Sana. Anatengeneza ulaji. Hana lolote. Ndio maana magu alimtema.mapema sana. Mama akawarudisha saafu nzima. Waliotemwa.
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 11 месяцев назад
Asante mchambuzi wetu. Uko sahihi kabisa.
@rithaurassa
@rithaurassa 29 дней назад
Uko vizuri kiongoz Kwa ufuatiliaji MUNGU aendelelee kukupa afya njema mtumishi.
@PASTOR_SHITINDI
@PASTOR_SHITINDI 11 месяцев назад
HIZI NDOO MEDIA ZINAZO TAKIWA TANZANIA KWELI KABISA SERIJALI HII INATUONA NYANI TU.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 11 месяцев назад
Nimeupata ni mzuri sana
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 11 месяцев назад
Hee nyii watu hivi kweli huyu ni waziri anayetamka maneno hayo atupuzee watanzaniia here yupo mungu anyaona machozi tutafutwa kwa muda wake
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 11 месяцев назад
Mama anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Mama anawaamini tu! Wakati wanatafuta ulaji.unakubali kupambwa. Kusifiwa. Naona wamekusoma uapenda kusifiwa. Ndio maana wote wanapozungumza wanakupamba saaana. Na wewe unasema safi. Pole sana.
@user-yd8sp1qj3w
@user-yd8sp1qj3w 11 месяцев назад
Ulikuwa hujulikani Sasa umejulikana na wazarendo watanzania .
@suraiyahhussein3608
@suraiyahhussein3608 11 месяцев назад
Dahhh umenifanya ni comment Leo mimi mwenyewe ndo nmesikia akiongelewa huyo bint Leo ngoja nikatafute nijue kaimba nini zaidi na nimfahamu vizuri.
@emmanuelmayuma3466
@emmanuelmayuma3466 11 месяцев назад
Rafiki wa kichaa naye ni ......
@ephrahimjoel6406
@ephrahimjoel6406 11 месяцев назад
Kweli Nape una akili kweli cc tuko nje mwongope mungu
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Wewe nape wananchi wa Jimbo lako mwenyewe hawakupendi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 месяцев назад
Ngurumo huyo hajashuka huku chini angeyasikia hawa wananchi maskini Nape hana lolote Samia hajachsguliwa yeye alikuwa Makamu tu mjinga huyo
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 11 месяцев назад
UWONGO WA TAKWIMU ZA NAPE HUU HAPA: Rais Samia Suluhu unawezaje kukubali kudanganywa na ‘muhuni’ kama Nape Nnauye mbele yako? Taarifa ya utendaji wa Sekta ya Mawasiliano kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022/2023 imefafanua (tazama kielelezo) Ripoti hii ya utendaji wa kisekta iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha mambo yafuatayo. Watumiaji wa intaneti wameongezeka kutoka 29,169,958 Juni 2022 hadi 31,122,163 Septemba 2022 sawa na ongezeko la 6.7% Mwelekeo wa ongezeko la watumiaji wa intaneti kuna ukuaji wa 17% kila mwaka, katika kipindi cha miaka mitano (5) Mwaka 2017 kulikuwa na watumiaji 16,106,636 na Desenba 2021 waliongezeka hadi kufika 29,103,482. Ongezeko la 12,996,846 Matumizi ya intaneti yameongezeka kutoka wastani wa MB 6,037 kwa mtumiaji Machi 2022 hadi MB 6,626 kwa mtumiajia Septemba 2022 Takwimu za Ripoti ya utendaji wa sekta ya mawasiliano zinabainisha Mitandao mitano (5) ya kijamii inayotumiwa zaidi nchini Tanzania Walipima kwa kiwango cha matumizi ya data kwa kipimo cha Gigabyte (GB) - unit of data storage capacity that is roughly equivalent to 1 billion bytes. Facebook bilioni 2.59gb, RU-vid bilioni 1.91gb, WhatsApp bilioni 1.58gb, TikTok gb999 milioni. Hizi ni takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Leo katika mkutano wako Lindi na Mtwara, Nape Nnauye anasema watumiajia wa mitandao Tanzania ni 16% tu na kwamba 40% wapo nje ya nchi (diaspora) Takwimu za June 2023 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaeleza watumiaji wa intaneti wamefika 33,967,699. Hii ni zaidi ya 50% ya idadi yote ya watanzania. Idadi ya Watanzania wote ni 61,741,120. Hivyo ukitoa idadi ya watanzania wanaotumia intaneti (33,967,699) unapata ni watanzania 27,773,421 hawatumii intaneti. Asilimia 40 ya watu 33,967,699 ni watu 13,587,079. Lakini sishangai kabisa, Nape hakusoma hesabu, na hata somo la uraia (civics) aliokota mswaki wake mzuri tu. Rais Samia Suluhu taarifa ya utendaji wa Sekta ya Mawasiliano kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022/2023 imeandaliwa na TCRA @Nnauye_Nape akiwa Waziri. Je, Waziri na Mamlaka ya Mawasiliano walitudanganya watanzania kwa takwimu zao au leo Waziri wa Mawasiliano ndiyo amekudanganya wewe na watanzania? Rais Samia Suluhu kama utashindwa kuonyesha hasira yako ya dhati kabisa kwa ‘muhuni’ huyu muongo wananchi tutakwazika sana. Akanywe kwa vitendo. Amekupotosha. Rais lazima ujiulize, Kwanini Waziri wako anakudanganya mbele ya umma? Lengo lake ni lipi? Kwanini amechagua hadhara ndiyo akupotoshe bosi wake? Waziri wako atakuwa anakudharau parefu. Muonyee! MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 месяцев назад
Uko vizuri ubarikiwe
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 11 месяцев назад
Juu, juu juu tena. Thumbs up
@amushimushi
@amushimushi 11 месяцев назад
Nakuelewa vizuri sanaj
@MesiakiKayan-qm7tv
@MesiakiKayan-qm7tv 11 месяцев назад
Pamoja watalam wetu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 11 месяцев назад
Pamoja xn
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 11 месяцев назад
Inauma sama chama changu hakiendi na wakati.Hali ni mbaya nape usidhani hawa watu ni wajinga .Do not take business ych
@kwasmokweka9598
@kwasmokweka9598 11 месяцев назад
Darasa lenye wanafunzi 100,wakipiga kelele 16 hakutakalika
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
❕❕
@benjaminmtebe5009
@benjaminmtebe5009 11 месяцев назад
Mwenyezi Mungu ni mwema Yaliyosirini ni ya Mungu ya Wanadamu yamefichuliwa wao na Vizazi vyao hata milele Kumbukumbu la Torati 29:29
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 11 месяцев назад
Huyu Nape hajitambui ndio maana Magufuli alimtumbua angalia mama huyu jamaa Nape ni nguru mbili watanzania walipiga lkura lini zakumchagua Samia Nape aache propaganda zake watanzania wa leo sio wale subiri 2025 kitakacho wakuta CCM
@gracewilly5143
@gracewilly5143 11 месяцев назад
Nikwel tunautafuta tumeusikia ni mzuri sana
@estambuya3901
@estambuya3901 11 месяцев назад
Mie sijaupata
@petermwenda6470
@petermwenda6470 11 месяцев назад
​@@estambuya3901tafuta "wanatuona nyani" utaupata
@ymohammed963
@ymohammed963 11 месяцев назад
Big up sana mzee
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Mama nape anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
@derickcowly6681
@derickcowly6681 11 месяцев назад
Kweli kabisa wanatuona kama Nyani🙉🙉🙉🙊🙊🙊🙈🙈 kweli ndiyo hiyo kama Nyani
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 11 месяцев назад
POLICE WANAHANGAIKA NA BINTI KUMBE WANAMTENGENEZEA USHUJAA
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Nape ungejuwa maumivu yalivyo ndani ya mioyo ya hao watu waliokuwa hapo, usinge ongea hayo matope, ushukuru polisi waliopo hapo bila hivyo wangepita na wewe, maana unazidi kuwa pandisha hasira
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 11 месяцев назад
Asante brother kwa akili Mungu amekuzawadia ukaiwakilisha vyama
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 11 месяцев назад
Kwa kweli akiwa Waziri mwenye dhamana ya Wizara ya habari sikutegemea aongee hivi. Tukiachana hata na hizo nyimbo. Daah! Yaani! Wageni wanatuibia ina maana wameshasoma uwezo tulio nao!!
@user-jx5ze9wz8e
@user-jx5ze9wz8e 2 месяца назад
Vizur san baba daaa unatufundisha sas
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Mama kama hujui magufuli alimtema nape kwa sababu hizi hizi, Moja wapo ni hizo sifa za kijinga
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 месяцев назад
Kweli
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Nimeshajuwa ni kwa nini ulitolewa bastola
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 11 месяцев назад
Binti kasema ukweli tunaonekana nyani Serikali imejaa ukatili kuwaweka ndani wakweli 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 11 месяцев назад
Nimekupenda bule
@user-yq2ov9rx7k
@user-yq2ov9rx7k 11 месяцев назад
nawshukuru sana polisi bila nyie nisinge ujua huu wimbo wakuupata. souz afrca aliitwa salafina. adi leo kumukumbu zake zipo. nasisi apa tanzania tumempata mtoto sifa mtetezi wataifa letu . ahsanteni polisi apo mbeya
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 11 месяцев назад
Police wAmekuwa basata
@oam14l
@oam14l 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-nKrdDxIZ_hw.htmlsi=fR4mWG9WoJWb46cR
@albertkamala6843
@albertkamala6843 11 месяцев назад
>Kauli ya Waziri wa Habari hapa zinaashiria joto kali la Uchaguzi 2024/2025. >Bahati nzr kauli tata za kusifia zimetolewa hadharani...umma umesikia na utaamua wkt utakapowadia!
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 11 месяцев назад
Weee nape wewe nihatari sana mnafiki sana
@alexanderjey257
@alexanderjey257 11 месяцев назад
nape ni chawa kama chawa wengine tyuu hana jipya ni mnafiki sana
@emmanuelmayuma3466
@emmanuelmayuma3466 11 месяцев назад
Na anaowachawa nao ni...
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 11 месяцев назад
Chawa
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 11 месяцев назад
Wautu wekee uo wimbo wengine stujausikia tukaucheze vizuri
@user-it8ns6lz3x
@user-it8ns6lz3x 11 месяцев назад
Sk Media Mungu akutunze una madini mengi sana
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Samia muangalie sana huyo nape, anakudanganya, watanzania walio wengine Hawa kuungi mkono
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 11 месяцев назад
Uliona wapi nyani akamhukumu Ngedere?!
@peterdunia8647
@peterdunia8647 11 месяцев назад
Tumwombe mungu tuseme ukweli mbele za watu nape.watu ni sauti ya mungu
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Nape huna lolote, unajipendekeza tu, unashinda kwenye ofisi ya kiyoyozi tu, hebu pita mitaani uone jinsi watu walivyomchoka mama na Hilo li sisiem lake
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 11 месяцев назад
Binti amekua hero💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 11 месяцев назад
16% tu ndio wapo kwenye mitandao, na katika hao 16 %, 40% wako nje ya nchi..... Hesabu sijaielewa kabisaa
@user-ym4bp9wl6t
@user-ym4bp9wl6t 11 месяцев назад
Kazi ipo du
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 11 месяцев назад
Ansbert Mungu akutie nguvu🙏🙏
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 11 месяцев назад
Asilimia 16 ndio nyani haswa. Lakini hao ndio waliokwenda shule. Aslimia 84 wasiosoma pengine hao watakuwa nyani mikia miwili.
@myself4128
@myself4128 11 месяцев назад
kweli hii nchi imeisha oza!!! Yaani Rais ana Chawa???wanamuongopea hatumpendi wala Hatumtaki wala Hatujamchagua!! ni dikteta na muuzaji halal wa Mali za Nchi hana uwezo wa Kuongoza hata Kijiji
@hajihassan5433
@hajihassan5433 10 месяцев назад
Hujamchagua? Aliyechaguliwa Rais automatically na Makamo wake amechaguliwa na ndio sababu kwenye karatasi ya kura alikuwepo. Hivyo ukichagua chama au mtu umemchagua mgombea.
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Ni kichaa peke yake ndiyo atakae ichagua sisiem
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 месяцев назад
Umeona eee
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 11 месяцев назад
Kabisa au wale waliojigaraza kwenye mavumbi
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 11 месяцев назад
Ngoja ni share kila mahali kabisa my brother
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 11 месяцев назад
akili ndogo nguvu nyingi hawa tusha wadharau na wamempaisha bila kujuwa
@LusajoMwajeka-tf1nj
@LusajoMwajeka-tf1nj 11 месяцев назад
Kweli mzee ongea ukweli mtandaoni tupo aslimia 95 leo wanasema hatupo mitandaoni tumesikia wazili huyu,,,,,
@mamakoku5123
@mamakoku5123 11 месяцев назад
nashindwa kuelewa nini maana ya Haki jinai na lengo lake nchin
@fadhilimwaitete3692
@fadhilimwaitete3692 11 месяцев назад
Ohoo nape mama samia akuchaguliwa mbona unatupotosha hizi sifa zote ujuwe unajizalilisha nakuliza uchagizi wa kumchagua raisi samia ulifanyika linini na wapi wewe nape acha poropo ganda kumbe kweli nape unatuona sisi ninyani kweli nimeamini
@dismasmtui729
@dismasmtui729 11 месяцев назад
Asilimia 16% ya Watanzania ni 9.6m!.Sasa ukiwapata hawa wote sio mtaji wa kutosha?!.JPM alishinda kwa kura ngapi?!
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 11 месяцев назад
Unaongelea huyu kihiyo na mwana dynasty? Ama kweli chawa wako wengi tena wengine wana vyeo. Bila kusifia atakula mafi yake? Samia hoyee kwa kusifiwaaaaaa. Kwani hao watanzania anaoongelea wako nje si watanzania au ni kwa vile alisomea India ambako hakuna fursa? Nani alimchagua rais? Samia alichaguliwa na kifo ila si uchaguzi. Kama allichaguliwa akiwa na Magufuli, awamu yake ilishazikwa zamani. Nape is trying to fool both himself and Samia
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 11 месяцев назад
Sasa huu ndio upumbavu wa hali ya juu kweli.Nape Nawie?Ni yeye Kweli?
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Ni nyani tu huyo nape
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 11 месяцев назад
Nape ayeee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 месяцев назад
Wanatikisika sanaaaa viongozi wote wa juu wa ccm
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Kama nape, Mimi namuona kama nyani tu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 11 месяцев назад
LISINGEĶUSUMBUA HIZO ASIMILIA16 🤔🤔🤔
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 11 месяцев назад
Kwamba watZ wamemchagua yy chf H?, Lini walimchagua?
@user-ii3xo5jw9y
@user-ii3xo5jw9y 4 месяца назад
Mnawie hajawahi kuwa na hekima.😢😢😢 Kuendelea kumzungumzia jitu jinga kama hilo ni kupoteza mda. Jitu limejaa Uroho, fisadi, Malaya. Debe tupu haliachi kutika. Mlamba matapishi.
@mmewaswida
@mmewaswida 11 месяцев назад
Boasting ya kijana huyu imepitiliza. Alisema kabla hajapewa nafasi hii kwamba ccm ina wenyewe.
@dassustephen731
@dassustephen731 11 месяцев назад
Unajua jinsi Nape Mnauye anavyoongea anadhani anaongea na hadhira ya wapumbavu.Mungu amrehemu
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 11 месяцев назад
Kweli kabisa kama Rais anaungwa mkono sana na watu ambao hawako mitandaoni Kwa nini mnawapelleka mahakama watu wa mitandao
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Acha kumdanganya Samia wewe
@justusndyamukama4808
@justusndyamukama4808 11 месяцев назад
Binti yuko vizuri
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
CCM tunawaona kama manyani tu
@stevenmrema237
@stevenmrema237 11 месяцев назад
Wape vidonge vyao baba
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Naona nape jinsi anavyo tengeneza mazingira ya wizi wa kura
@isacktesha6659
@isacktesha6659 11 месяцев назад
Tutawaonyedha keshokutwa ,watajua hawajui chochote
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 месяцев назад
Nape ana chawa wa Samia. Anafanya serikali yake ituone kama nyani tu. Endelea kutuona kama nyani, Mungu anatuona kama sawa na kusudi alilotumba. Wewe na mama na serikali yela CCM mtuone kama nyani tu
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 11 месяцев назад
Samia lini kachaguliwa kuwa rais wa TANZANIA Nape Acha za kuleta.Usimdanye eti 16% ok.
@user-yd8sp1qj3w
@user-yd8sp1qj3w 11 месяцев назад
Hongela wewe Binti,wa Mby,
@MbwamboMbwambo-qy4yh
@MbwamboMbwambo-qy4yh 11 месяцев назад
Mimi nimemdharau nape, hajielewi, mmi nipo hapa Tanzania lakini katu siwezi kuipa ccm kura,
@josephbanda2896
@josephbanda2896 11 месяцев назад
Kiukweli huyo nijambazi aliye changanyikiwa hajui alitendao sasa sisi wanaichi tunamuahidi nape kuwa 2025 ccm watake wasitake watang'oka sisi wanaichi ndiyo tunaosema hivyo ama kweli huyo nape nimwenda wazimu mkumbwa.
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 11 месяцев назад
Wee ni mbwa kabisa kula kulala Samia amechaguliwa kwa kura ipi hujui hata kama kateuliwa mmekula nchi tangia utoto hata hushibi? Kuna siku utakula udongo Uza robo tatu ya ulivyo navyo ununue Hekima.
@user-kp2sk2vi7d
@user-kp2sk2vi7d 11 месяцев назад
Acha upumbavu nape Samia nani kamchagua huna akili
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 11 месяцев назад
Wanatuvarisha nguo za bruu kwa kitukido Kisha wanamdanganya mama,ira naisi mama ameisha wajuwa
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 11 месяцев назад
Nape kweli hamna kitu
@mwakalikuhossana3942
@mwakalikuhossana3942 11 месяцев назад
Ni kweli kabisa
@user-vc2hk9kr1c
@user-vc2hk9kr1c 11 месяцев назад
Hii nchi jamani angalieni wachungaji wameanzakupewa au kununuliwa gari nawabunge eti anapongezwa kwakustafu kweli wakati wanatuzunguka kuhusu kauli yakupoteza msimamo wakusitisha mkataba wabandari hii nchi hiiiiii mungu wabariki watanganyika nauwatetee kwa wakati wako nakuwapoteza wanaoingia mikataba yahovyo nakutaka kuwasahaulisha watanganyika hawatosahau kamwe.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 11 месяцев назад
Huyu ni waziri au mpiga debe wa rais jaman huu utawala unajiaibisha bila kujua..Hawa wapambe wanammaliza mama kiushawishi kimya kimya
@leahsangawe9609
@leahsangawe9609 11 месяцев назад
Nami nasema ni kweli kabisaa "WANATUONA NYANI TUU"
@raphaellubukilo7017
@raphaellubukilo7017 11 месяцев назад
Ngurumo siku akitokea kiongozi mwenye mlengo tofauti aangalie namna akupe nafasi uwe waziri wa habari na mawasiliano tujifunze kupitia wewe
@user-rv8wd3li2b
@user-rv8wd3li2b 11 месяцев назад
Kwann uyo jamaa anatudharau kiasi hiki
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 11 месяцев назад
Mpaka wamevunja sheria na katiba kisa mnatuona nyani.mama fukuza mijitu mijinga hii
@henrymassawe699
@henrymassawe699 11 месяцев назад
the first one
@alijuma8009
@alijuma8009 11 месяцев назад
Rais nakupenda ila wazir anakudanganya
@user-cv6yq3he4p
@user-cv6yq3he4p 11 месяцев назад
Nape kumbuka MLI msisifu maguli Mara mka muuwa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 11 месяцев назад
Waziri usimdanganye rais hapendwi maisha yamepanda bei watanzania tuna lalamika
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 месяцев назад
Acha bangi nape
@josephmwita6012
@josephmwita6012 11 месяцев назад
mzee wewe hakika wewe ni msomi wa siasa
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 11 месяцев назад
Kweli kabisa
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 11 месяцев назад
Hivi Nape amewahi kwenda shule? Naomi hata aibu kumdanganya rais? Nape ni Sawa na MALAYA muuza uchi. Ni lini Samia alipigiwa Kura na akashinda uchaguzi? Uwezo wake wa kisiasa ni ndogo Sana tena nikati ya mawaziri WAPUMBAVU wasio weza kutofàutisha Kati ya dawa ya mswaki na uharo Kwa kuwa zote zina rangi nyeupe wanachukua mswaki na kuanza kutumia kuswakia..
@thomasbrotherscotractorslt1299
@thomasbrotherscotractorslt1299 11 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 10 месяцев назад
SAMIA HOOOOI NAPE ANABEMBEKA KAZI NANI KAMCHAGUA SAMIA.
@BennyChatanda
@BennyChatanda 11 месяцев назад
Tawireee....
Далее
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 96 тыс.
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
KWANINI BUNGE LIMEJIGEUZA KIKARAGOSI CHA WATAWALA?
17:07
SHEIKH 'AMFUNDA' KIKWETE KUHUSU DINI NA SIASA
9:07
Просмотров 14 тыс.
NYIE MNAOUA, KUNA SIKU NANYI MTAUAWA. ACHENI!
15:08
Просмотров 13 тыс.
VYAMA VYA "KAZI IENDELEE" VINAPAMBANA NA WATANZANIA
11:15
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 96 тыс.