Тёмный
No video :(

ASKOFU BILA WOGA AMVAA RAIS SAMIA, "RAIS SAMIA AMEKATALIWA NA MUNGU, USALAMA WA TAIFA HAWANA AMANI" 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 164 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

#TANZANIA: Askofu Mwanamapinduzi amvaa Rais Samia, "wafanyakazi hawana amani, usalama wa Taifa pia hawana amani, ndani ya miaka mitatu wamebadilishwa Wakurugenzi wanne, kwa hiyo hata aliyepo hana amani, maana muda wowote hana kazi, mnatumika tu kama kalai"
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

13 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 182   
@HellenLemilya
@HellenLemilya Месяц назад
Amina kubwaaaaa acha kujipendekeza kwa watu , Mungu akubariki mchungaji, ulisema kweli
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Месяц назад
UMENENA VEMA ASKOFU MPENZI WA MUNGU NI MSEMA KWELI ❤
@theogeorge3773
@theogeorge3773 29 дней назад
hata hapa wapo Tulieni Aiseeee
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp 5 дней назад
sema mtumishi wa Mungu,tumechoka baba na maonevu
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 10 дней назад
Aminaaa.
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 22 дня назад
Serikali ingeliwasikiliza hawa jamaa Mbarikiwa Mwakipesile na Askofu Mwanamapinduzi nchi hii ingelikuwa nusu paradise , Mungu ibariki Tz.
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 13 дней назад
Fikra mgando hizo
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 7 дней назад
Toka hapa​@@mohamedimiraji5495
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 5 дней назад
Ni kweli mtu wa MUNGU
@josephmallya5525
@josephmallya5525 26 дней назад
Aminaababa❤❤❤msituletee mambo ya kibojo ya wachawi apa tule taka taka
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 7 дней назад
Hatupigani kwa mwili bali kwa roho pastor
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Месяц назад
Mmmmhh aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Daima Apendae fedha hatashiba fedha. Mungu utuhurumie.
@AmusedAstrolabe-fh8ox
@AmusedAstrolabe-fh8ox 7 дней назад
Sema baba apone aache unafiki
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 Месяц назад
Kumekucha siku zote Mungu ni mwema
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 4 дня назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 дня назад
Wameshiba pesa itapiga kura
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l Месяц назад
Fact indeed pastor
@ericlondonmuwazijimmy1221
@ericlondonmuwazijimmy1221 Месяц назад
Kama kweli amekataliwa tutaona ishara zote, mbele
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 7 дней назад
Asante sanaa Baba Mungu akubariki
@user-eh2fi9ds5h
@user-eh2fi9ds5h Месяц назад
Sema mtumishi wa mungu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 7 дней назад
Shetani ni shetani tuu Baba
@elizabethawuor5402
@elizabethawuor5402 25 дней назад
Amen
@khamis9187
@khamis9187 18 часов назад
Ukimaliza kuongea apo unaonekana utatoka na sadaka nyingi sana, maana wafuasi wako wanapiga makofi si mchezo.
@RashidiDaudy-ez6zt
@RashidiDaudy-ez6zt Месяц назад
amin mtumishi
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd Месяц назад
kazinzuri sana! Mungu atawaripa.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 15 дней назад
Hiyo bibilia ndiyo imekwambia hivyo au. Siasa kanisani yani mtihanikweri hamchahui pakuongelea chukiimekujaa. Kwa Raisi wetu kipenzi ❤mama Samia Allah akulinde na maadui wakilakona anaekuzamiliaubaya umludie mwenyewe
@hamismabula9934
@hamismabula9934 4 дня назад
Kwan wanapoapa huwa wanashika na kuinua juu kitabu cha siasa!?
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 5 часов назад
Bibilia ni kitabu cha haki hukemea maovu yote haina uchawa ndani yake yesu alikemea waovu bila kujali cheo chao
@vickytango5591
@vickytango5591 12 дней назад
Kama unakubaliana na andiko hili..... Watakatifu walioko duniani hao ndio waliobora like hapa
@khamis9187
@khamis9187 18 часов назад
Yani we mchungaji mwenyewe ni mfuasi wa shetani, maana naiona bendera ya shetani ikipepea kushoto kwako...ukiunga mkono mauaji ya wanawake na watoto ghaza..
@AtugonzaRutaselwa
@AtugonzaRutaselwa 2 дня назад
Ameen sema baba wapasue
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 9 дней назад
Amina
@ramadhansuluhu772
@ramadhansuluhu772 3 дня назад
Hivi Askofu wewe ndio Mungu unajua Ardhi na Mbingu zimembwa vipi?
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 9 часов назад
Anaruhusu shoga unaendelea tanzania
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Месяц назад
Sio kweli mama samia hajakaliwa na mungu ndio kamuweka na Kama mungu angemkataa angemuondoa mama samia Hana Nguvu ya kushindana na mungu agome kuondoka madarakani wewe mtumishi wa shetani ndio unahamasisha upumbavu mtupu chuki binafs ya udini imekujaa mjinga wewe kwasababu ya kukatiwa maslahi yako bandalini na Mtu mzima ovyo
@annekiwori9504
@annekiwori9504 Месяц назад
Pole naona mtumishi kapiga kwenye mshono,siyo maneno yake ni ya Mungu.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 19 часов назад
Ulitaka2 sasa ifanyike wapi? Ameongea vizuri wewe unatakà akasemèe wapi?
@AnnaBituro
@AnnaBituro 25 дней назад
Mungu akuzidishie ujasiri katika Roho mtakatifu mtumishi wa Mungu . Sema sema sema!!!. Mungu yuko nawe .jamani tukisikia hivyo tuombe rehema zaidi yatulivyokuwa tunaomba. Taifa lipo kwenye mambo magumu.
@meshackwilliam8238
@meshackwilliam8238 9 дней назад
🙆🏽‍♀️Ni baraaa2
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 20 дней назад
Mimi sina mwanasheria. Mwanasheria wangu ndo kwanza Yuko form 1 C 😅😅😅😅🙌🙌🙌
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 9 дней назад
Majeshi majeshi, majeshi ya BWANA ameeeeeeeeeeen
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 17 дней назад
Ameen!
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 22 дня назад
Yaani kosa moja linavunja mwema Mia moja
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 21 день назад
Ongea kuhusu biblia na siyo siasa.😢
@leoteryezekiel9745
@leoteryezekiel9745 23 дня назад
Mamlaka yoote Duniani yamewekwa na Mungu. Unyenyekevu kwa kiongozi wa nchi ni hekima hata kama anakosea, wewe mtumishi wa Mungu unapaswa kuwa mnyenyekevu kwa kadri ulivyo ongozwa kuufikisha ujumbe wako na si kuropoka madhabahuni.
@babazungu3180
@babazungu3180 4 дня назад
Chuki yako ni mbaya sana mtumishi
@ayubungende5341
@ayubungende5341 2 дня назад
wewe uoni
@EdsonMbuza
@EdsonMbuza 12 дней назад
Kama huna Cha. Kukomenti nimuhimu kukaa kimya kuliko kumtukana askofu unamwambia pumbavu kuwa na kiasi
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 4 дня назад
Amuongelei fedha za waumini wenu..watu huwa wanaamishwa nchi NZIMA na huwa wanalipya acheni uchochezi
@monicamwita7865
@monicamwita7865 19 часов назад
Uchcezi gani? Anayosema ni kweli.
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 27 дней назад
Hubiri vitu vya kiroho pastor mbona uhubiri kukemea ushoga na usagaji .Wasiojituma ndio wanaotema mate
@matatizonkwera8607
@matatizonkwera8607 2 дня назад
Ubiri watu waendee mbinguni,siasa na dini huwezi: na kwa taarifa yako Mama samia ni chagua la mungu kwani uliumpa urais wewe? Samia Suruhu Hassan is our destiny" mitano mingine 2025,utake usitake mitano mingine kwa mam🎉
@ayubungende5341
@ayubungende5341 2 дня назад
unashida wewe
@monicamwita7865
@monicamwita7865 19 часов назад
Mmm
@kandoyamitoyababeliministr9745
@kandoyamitoyababeliministr9745 Месяц назад
Mbona unabii ,umekuwa mwingi kwa Tanzania hasa kwa muhula huu wa Rais Samia S. A.hivi ni kweli ni kwa sababu hakubaliwi na Mungu ao ni kwa sababu ni mwanamke
@jesaminzo
@jesaminzo Месяц назад
Kwani mwanamke si binadamu?
@josephmwise3177
@josephmwise3177 17 дней назад
Jamani Mama mbona powa! Nawachukia wote wasiompenda Mama.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 15 дней назад
Umeonaee
@ayubungende5341
@ayubungende5341 2 дня назад
uoni wewe
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Месяц назад
Kweli baba semaa
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 22 дня назад
Pastor umeongea ukwer tunakulinda ole wao tusikie huonekani tunaandamana Safar hii
@user-yg8bv6de9v
@user-yg8bv6de9v 8 дней назад
Mtumishi bwana akuzidishe kwa uweza wake zaidi
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 7 дней назад
Utashinda kwa jina la Yesu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 7 дней назад
Disaster Disasters men of God
@MsafirGervas
@MsafirGervas 23 дня назад
Mchungaji anakosea😢😢😢😢
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Месяц назад
Wewe unajipendekeza kwa chadema acha ujinga na upumbavu yani wewe uaacha kuhubilidini unahibili siasa umeshakataliwa na mungu wewe ndio maana unahubili siasa Kanisani udini umekujaa tuuu
@shabanadam4476
@shabanadam4476 Месяц назад
Vitu anavyoonge askofu kuhusu watu kufukuzwa katika ardhi zao na kupewa waarabu vina maana kuliko wewe usie jitambua msaka tonge tu
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Месяц назад
Kwa hio ukiwatetea watu wanaofukizwa kwenye aldhi yao umekuwa chawa wa chadema? Ahaa niambie wewe chawa wa ccm unamtetea nani ?
@ayubungende5341
@ayubungende5341 2 дня назад
kufukuzwa kwa masai umefurai ety
@MsafirGervas
@MsafirGervas 23 дня назад
Mwanasheria wangu kasafiri😢😢😢😢😢
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 20 дней назад
Mimi wangu ndo kwanza Yuko form 1 C 😅😅😅😅
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 21 день назад
Usiwe chagadema au CCM😮
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 13 дней назад
Toka lini askofu akawa mzalendo katika nchi hii? Hopeless
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 27 дней назад
Mhubiri wanaotema mate ni wale wasiojituma .watu wanatoka nje wanasema fursa zipo nyingi Tanzania ila uvivu wa kufikiri na kufanya kazi ndio umekithiri.Nakushauri mhubiri kemea mapepo ya ushoga na usagaji.
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 27 дней назад
Wewe una mtaji ndg.yangu,hata mimi naziona ,nisaidie mtaji ndg.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Месяц назад
Hivi aliyekataliwa na Mungu wewe UNAMJUA? Sasa wewe mtumishi wa Mungu au Mtumishi wa Siasa? Kutwa Majukwaani, pale Madhabahuni kanisani anakaa nani? Bora uvae Gwanda ufuatane na Mbowe, Tundulisu MKATUKANE vizuri, maana MATUSI ndio sera yao, wakichukua nchi basi kutakuwa na somo MAALUMU la MATUSI, kutakua na degree za MATUSI.
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip 23 дня назад
Acha utumishi,ufanye siasa!
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 5 дней назад
Acha ukweli usemwe,, mnataka kanisa linyamaze?
@Debestsoul
@Debestsoul 15 дней назад
Hello
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Месяц назад
Wew lifisiemu tuache tusikilize nondo tulia bana sindano. Iwaingie. Tumewakataa. Mnatulazimisha tu ila mungu. Siyo mwanadamu atatuokoa tu
@DavidJosia
@DavidJosia Месяц назад
Mhuu Mimi napita tu
@Gaynor1234
@Gaynor1234 12 дней назад
ASKOFU, KUMBUKENI SANA BENDERA YA TANZANIA ILIVYOKATIKATI YA WAARABU WAKITOA LAANA ZAO. Hiyo msiisahau, tafadhali ifanyieni kazi jamani.
@johnboscomasumbuko1073
@johnboscomasumbuko1073 28 дней назад
Amenyooka
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 Месяц назад
Hapo umeweka bendera ya Israel taifa la Wauaji wa wapalestina huna lolote danganya haohao mbumbu.
@jebace
@jebace Месяц назад
umeitwa hapa au ulikuja mwenyewe,na wapalestina waliyataka wenyewe, mwanakulitafuta mwanakulipata😂
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Месяц назад
wahubilie watu Neno acha siasa kama unapenda siasa funga kanisa bx uchaguzi unakalibia uende ukaropoke jukwaaani sio kanisani hapo
@jesaminzo
@jesaminzo Месяц назад
Kama huna ugomvi na biblia soma, Ezekiel 33:1-20
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 15 дней назад
Kwasababu.mkiristo nikuachetu maana hata Munguwako humjui. Hukiiulizwa Munguwako nani utasema.Yesu. 😂 ngojanikuachetu uwexikubishana na mtu hajuikitu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 26 дней назад
Wewe umeongea na Mungu lini. Mungu hawezi kuongea na wewe kwamambo ya uzushi labda umeongea na Shetani simungu .Dini na siasa haviendi pamoja hata sekunde moja
@allymohamed2724
@allymohamed2724 26 дней назад
Na akimaloza hapo ni toa bwana toa ulichonacho. Skeleton Church London, Kibwetere, na Kuna wale walofunga bila kula wafe wakutane na Yesu.
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 Месяц назад
Unatimiza andiko katika chuo Cha isaya 1:17
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 11 дней назад
Huna AKILI. Hubiri. Dini Sio. Siyass Usi change. Dini. Na. Siyasa
@MkatorikiOg
@MkatorikiOg 4 дня назад
Wewe mpumbavu ujitambui, ina maana kama ni paster aiche nchi yake iangamie kisa dini lazima aseme ukwelii
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 21 день назад
Mwamposa ni mpotoshaji😮😮
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 17 дней назад
Koma kabisa huyo ndio Mwamposa??
@peterkibiriti5601
@peterkibiriti5601 Месяц назад
Alliyekataliwa na mungu ameshaondolewa duniani
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Месяц назад
hujui chochote 😂
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Месяц назад
Huyo Mungu amempenda zaidi
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Месяц назад
unaumwa mavi ww
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 Месяц назад
KUMA KWELI WEWE
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 28 дней назад
Pumbavu sana. Nyie ndo mlimuua. Mbwa wakubwa. Wakati wenu utafika na ninyi mtaondoka duniani.
@edyboychamiliion1360
@edyboychamiliion1360 Месяц назад
Ww kijana mwenye njaa na umepauka vibaya hiyo bendera ya israel inahusika na nn na kanisa lako la uchwara wakati wayahudi hawana dini mbona mnajipendekeza na watoto wa shatani😂😂
@petermatabwa2133
@petermatabwa2133 29 дней назад
hayo yamefichwa machoni pako
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 21 день назад
Tanzanian govt please this man is the most dangerous now.Take him seriously he is Hitler who killed millions during the second world war.Serikali imuchukulie hatua kali.Ni hatari sana kwa nchi yetu.Propaganda yake ni mbaya sana katika jina la Yesu.😢😢
@muridundhikri
@muridundhikri Месяц назад
Haya tena kipindi cha uchaguzi kila alotomwa
@husseinjuma4575
@husseinjuma4575 15 дней назад
Tusaidieni kupaza sauti
@kilimaentertainment1687
@kilimaentertainment1687 12 дней назад
Hamna kitu kibaya kama kujipendekeza kwa mungu mungu hapendi kabisa mimi ni islamic ila kumbuka hata pale isa/yesu alivyomwambia usimjaribu bwana mungu wako Mungu anapenda kweli.
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Месяц назад
Siasa na Mungu wapi na wapi
@petermatabwa2133
@petermatabwa2133 29 дней назад
kanisa lipo dunian na tupo ndani ya siasa
@mustaphamasobe8343
@mustaphamasobe8343 28 дней назад
Hujui kazi ya mtumishi wa Mungu
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 27 дней назад
Funga huo mkundu wako
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Месяц назад
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 Месяц назад
PUMBAVU WEWE HÙNA UNACHOJUA UTAWALA UNATOKA KWA MUNGU ACHA KELELE
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 13 дней назад
Vema ndugu ruhusu Neno la wakati kwa mjumbe wa agano duniani nchi itulie.
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Месяц назад
Ongelea na kuzitii mamlaka wewe hapo kanisani uneongezewa mshahara twambie
@workmantiktok
@workmantiktok Месяц назад
huyu mchungaji kuma lamama yake kaabisa linaangamia kwa ushoga haongei anaongelea ambayo hayamuhusu
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Месяц назад
sa mbona matusi?!!!
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e Месяц назад
Kwani mama ako Ana iyo kuma .
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Месяц назад
Kwa matusi hayo yanafunua uhalisia wa tabia yako chafu mtu kama wewe hufai kitu
@ayubungende5341
@ayubungende5341 2 дня назад
tena wewe mungu akuue namatus yako
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 25 минут назад
Duh matusi ya nini lakini? Heri kukaa kimya ndugu
@SaidiiMlokaa
@SaidiiMlokaa Месяц назад
Pumbavu wewe udini umekujaa paka wewe.
@levissanga8867
@levissanga8867 Месяц назад
Hata sasa ni mbwa
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Месяц назад
Eti mama samia kakataliwa wewe unaejiita askofu husomi neno ndo.umekataliwa Na Mungu biblia inasema kuna vitu wakuu wa nchi hawavijui umekazana eti watu wanalalamika hawana amani unaniuzi wewe askofu tukiwa na maaskofu 10 kama wewe Tanzania haipo huoni.wenzio.wakina.gwajima.wana akili.wamepewa maarifa wanajitambua.iga kwA kina gwajima amani haipatikani kwA raisi acha kuwapotosha watanzania amani inapatikana kwA kumcha Mungu na kushika.sheria ya Mungu tu.mbali na hapo haipo jisumbue sana mwanamapinduzi.laumu.sana wakuu wa nchi na mashoga wa.siku za mwisho na malawiti yenu hayo na wauza madawa ya kurevya na wanajua madhambi wanaofanya muunde nao magenge mulamugi marais kuwa haongozi vizuri kukosoa laisi kufanya ni kazi sana hata kuongea tu hujui
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 27 дней назад
Kauze mkundu wako huko
@LomnyakiSapunyu
@LomnyakiSapunyu 18 дней назад
11:47 Seema tupone
@user-iz4te4gs5s
@user-iz4te4gs5s Месяц назад
Public coments
@hamidmussa838
@hamidmussa838 Месяц назад
Mungu yupi yesu?
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 Месяц назад
MUNGU NI MMOJA Na YESU NI MWANA WA MUNGU
@geey7893
@geey7893 Месяц назад
Sure, mama wa watu ngoma imemkataa lakini hajiongezi anataka tena kiti😮
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
🐸
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Месяц назад
Na atakipata ....asipokuwa rais tena niite mbwa nimekaa pale😅😅😅
@user-jt3gl9fo5e
@user-jt3gl9fo5e 28 дней назад
Hujiongozi ww mwenye macho lkn huoni
@majondejohali5259
@majondejohali5259 Месяц назад
Wakiongoza waupande wenu hamuongei hayo mafara nynyi
@issaibonyissaibony9934
@issaibonyissaibony9934 7 дней назад
Mchungaji unapendera ya nchi inayoua watu Kwa halaiki tena ya kimbari halafu kigaidi ( wewe huna hazi ya mtu mwenye Imani ya mungu ) huo ni ugaidi kama wa bejemeni ntanyahu
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Месяц назад
😂😂😂😂 huyu mchubgajee sio poaa
@ayubungende5341
@ayubungende5341 2 дня назад
yuko pw tena sana
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 29 дней назад
Happy life kwa mchungaji
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Месяц назад
Wakulima wa.wapi wanalalamika wakati mama samia mambolea.yalipanda.bei akayapunguza na Ruzuku wakulima wamesema tukuambie usituchonganishe na raisi wetu baki na chuki zako binafsi hoja huna
@ayubungende5341
@ayubungende5341 2 дня назад
wewe acha kusema mborea beikali sana wewe
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 дня назад
@@ayubungende5341 wanadamu.wa siku za mwisho asilimia kubwa wanawategemea.wanadamu.mioyon.mwao hawamtaki.Mungu.hivo imetimia.Yeremia.anasema watafanana na fukara aliyeko nyikani hawatayaona mema.yakitokea.leo serikali.imejenga mashule mahospital mabarabara mafukara.wa.nyika hawaoni.da.Tanzania unapenda wapo.Mungu.kakuwekea mipaka y'ako na.watu.wako.hutaki kuisoma vitabu vya Mungu unatamani manenomaneno.inauma.sana kama unaona
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Месяц назад
Mwanamapinduzi mbona anafahamika ni shoga, hata matako yake yamelegea 😂
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Месяц назад
huo ushoga mnashiriki nae?!
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Месяц назад
Hivi vinywa! Uwe makini. Kumtukana mtumishi wa Mungu bila hofu yo yote, badaye utajilaumu.
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Месяц назад
@@atupegemwakahesya huyu sio mtumishi wa Mungu ni mwanasiasa uchwara
@joojombi2341
@joojombi2341 Месяц назад
Dini gani wahubiria wee kenge tu. Hubiria dini yako Maandazi wahed
@joojombi2341
@joojombi2341 Месяц назад
Heading yako mbovu kabisa dogo wacha kupotosha watu bhana. Watu badala ya kuhangaikia maisha na Dini zao wanaingilia Serekali mpuuzi huyo
@Gaynor1234
@Gaynor1234 Месяц назад
Mtumishi wa Mungu, hayo mapazia Messi madhabahuni kwako ya nini? Ukiondoa hayo mapazia tutaona NURU.
@ayubungende5341
@ayubungende5341 2 дня назад
toa guo zako wewe
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 22 минуты назад
Kha
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Месяц назад
Wewe mwenyewe umekataliwa ndio ukaukumu, wakukataliwa unamjua wewe?
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 28 дней назад
Acha uislamu. Pumbavu sana. Unamtetea kwa sababu nyote mmefunga vichwa.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 28 дней назад
@@gosbertrwezahura3645 acha udude unaitwa ukiristo mkunduo, unajitoa fahamu kwakua mnatembea uchi uko makanisani kwenu, shetani wewe
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 28 дней назад
@@gosbertrwezahura3645 ibilisi wewe,kwani kufunga kichwa kuna ubaya ! Anajistiri na nyinyi hamjalizimishwa kufunga kichwa acha ushenzi na udini mbwa wewe, muislam kila atakachofanya mnawashwa!!!!! Amefunga kichwa na ni raisi, zageni pilipili muweke kwenye maji muoshe nayo uso, myuuuuuuuuuu, kufunga kichwa ni amri kutoka kwa MUNGU, na huyo mpuuzi mwenzio apo aliekosa la kuongea mwambie akuonye maandiko kwenye bibilia zenu mwanamke 👉 MWANAMKE ASIPOFUNIKA KICHWA CHAKE ANAJIAIBISHA, 👈 upo wewe mshenzi uliyekurupuka kutusi watu?
Далее
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
Gelik yoki Velik?
00:20
Просмотров 1,1 млн
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Просмотров 496 тыс.