Тёмный

ASKOFU KASSALA AMPINGA PAPA KUHUSU NDOA za JINSIA MOJA -"BORA NIBARIKI JIWE, LAKINI SIYO UCHAFU HUO" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 52 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 378   
@globaltv_online
@globaltv_online 10 месяцев назад
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@abuumrisho204
@abuumrisho204 10 месяцев назад
I am Muslim and I am proud and happy to hear to you African Christians to be agaist homosexuality. Nawaomba muendelee hivyo hivyo ndugu zetu kupinga huo uchafu. Hizo ni mila za watu wa magharibi na sio dini ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu awaongoze ndugu zetu wakristo wote mnaopinga dhambi hii kubwa ndoa za jinsia, mwenyezi Mungu awalipe kwa hilo. Tupo pamoja kwa hilo ndugu zetu
@DenisMatemu
@DenisMatemu 10 месяцев назад
Abuumrisho what i love from u ni kwamba unajielewa Stay blessed ndugu
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 10 месяцев назад
Mungu awe nawe
@davidbochela1441
@davidbochela1441 10 месяцев назад
Safi Abuu
@josephmoyo5617
@josephmoyo5617 10 месяцев назад
Asante
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 10 месяцев назад
Mwenyezi MUNGU akubariki kaka umeongea kitu cha ukomavu
@DeusdeditKapenegele-hj8qy
@DeusdeditKapenegele-hj8qy 10 месяцев назад
Hakika Papa amekosea kwa kuangukia jaribu la tatu alilolipata YESU KRISTO.Shetani alimwambia Yesu UKINIABUDU TUU NITAKUPA HIVI VYOTE. Tuwe makini wakristo kwa kila tunalofundwishwa ni nyakati za mwisho. Asante sana Baba Askofu.
@neisphormabula7286
@neisphormabula7286 10 месяцев назад
Askofu masala despite of being my family friend you are real man of God carry on we are behind you amen
@yoelmashimbamabuga3688
@yoelmashimbamabuga3688 10 месяцев назад
One of the best structured sermon from the Catholic priest ❤
@DeKasa-z6w
@DeKasa-z6w 10 месяцев назад
Asante sana baba mhashaumu baba askofu flavian kassala,kwa homilia nzuri takatifu,imeleta faraja kubwa sana kwenye mioyo ya wakatoliki na hata wasio na wakatoliki.
@FrancisBanda-gs1yz
@FrancisBanda-gs1yz 10 месяцев назад
Good teaching, nimekwelewa vizuri sana msimama Yako ni nzuri, hongera sana
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 10 месяцев назад
muhubiri mzuri sana,nimesali sana hapo geita ila sikuwahi muona,barikiwa sana Baba Askofu Kasala,mahubiri mazuri sana.
@JosephuSiwale
@JosephuSiwale 10 месяцев назад
Ubarkiwe xAna mtumishi najua unahatarisha kazi yako lakini simama imara katika neno la Mungu Amina.
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 10 месяцев назад
A man of Peace- Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza baba Askofu.Eneo hilo la kukuita a man of peace limenitoa machozi. Umeongea vzr,,viongozi wetu wanaogopa kusema ukweli,, wengine wanatuambia tuhamie Rwanda tunapotaka ukweli. A man of peace - Kristo Yesu akutunze.
@peterfrancinsshelukindo9215
@peterfrancinsshelukindo9215 10 месяцев назад
Baba Askofu Kassala,nianze kwa kukushukru kwa homlia nzuri ya kuzaliwa bwana wetu Yesu Kristo. Mahubiri haya ndio ukatoliki tunao utarajia kuuishi,tunapaswa kukupongeza kwa kusimamia ukweli hakika hekima zako ni tunu kwa kanisa letu ambalo tukikosa wazee wetu wenye hekima za mungu na kuusema ukweli, kanisa litatetereka.Tunatambua nyakati hizi wazee wetu ninyi mnao usimamia ukweli mtakutana na vikwazo lakini tutazidi kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kuwajalia ushujaa wa kusimamia imani yetu bila kuyumbishwa. tumefarijika sana kusikia sauti yako ya unyeykevu mkuu na sauti hii ni ya Mungu ikisema upotayari ikibidi kuyabariki mawe yanayoweza kutumika kujengea miundo mbinu mingi inayotufaa wanadamu na siyo kubariki uchafu huu unaokinzana na mpango wa Mungu na uumbaji. Wazee wetu Tanzania na Afrika kwa ujumla mkisimama imara katika hili Kanisa letu Katoliki litabakia na heshima kubwa na tegemeo la wengi katika kuleta amani siku zote.
@kazimotomaswi9700
@kazimotomaswi9700 10 месяцев назад
Ni kweli ndugu yangu ktk imani mm pia nikutakie hekima na upendo kwa imani
@tinoisuzu
@tinoisuzu 10 месяцев назад
mtoto yesu amezaliwa hivyo basi wakristu tumuombe mtoto yesu,huyu papa kwa kumuogopa mungu ajiuzuru...Mtoto yesu amsimike kiongozi mwenye uchungu na roho zinazoteketea kwa majanga mengi yanayotokea,vita nyingi,mafuliko, na mambo kaza wa kaza, hivyo basi wakristu tupige magoti tumlilie mungu,sala na toba.. 9:39
@brownmasai774
@brownmasai774 10 месяцев назад
Papa huyu alaamiwe na tumwombe Mungu amuondoe miongoni mwa wanadamu asije akaimusha hasira yaBwana dhidi yetu. Apingwe kote na wote ndani na nnje ya Kanisa Katoliki. Asante Baba Kassala.
@JaffariBuyogera
@JaffariBuyogera 10 месяцев назад
Mungu akubariki Sana hii ni Tabia us wazungu na hasa Warumi. Mungu akuongoze
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 10 месяцев назад
Mungu akubariki Baba Askofu KASSALA. Hakika dunia inayumba sasa maana baadhi viongozi waliowekwa na Mungu mwenywe wanakengeuka? Ee, Mungu tusaidie kushika Imani yetu thabiti ya Ukatoliki. Kweli ni hero kubariki mawe kuliko Ushoga. Maabdiko ya Biblia yaheshimiwe milele. Kwa hili hapana,hapana. Sasa tukimbilie wapi? Tuzidi kuwaombea viongozi wetu Katoliki katika ngazi zoote kabisa. "Tuonamba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Amina".
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 10 месяцев назад
Pole saaana, Mungu ataendelea kuwafunulia kwa Macho mpaka muamini mlipo sio sahihi....TUNAWAAMBIA Kila siku , upapa utaenda kinyume mbele za Mungu nasiku zinakuja mtaaamini
@aloycenandi
@aloycenandi 10 месяцев назад
Ni suala la kuendelea kumuomba Mungu,,,,Imani yetu lazima isimame,,,kanisa ni Bora kuliko papa....Bora tufe ikiwa lazima Imani iwe salamaa.kama ni maslahi yake yeye sio wa kwanza katika kanisa,,,Hana siku nyingi ataondoka,,kanisa litabaki salamaa❤❤❤❤❤
@geraldnjovu9653
@geraldnjovu9653 10 месяцев назад
Asante baba askofu kwa yako mahubiri yamenitia Sana moyo Mungu akubariki sana
@SusanNassoro
@SusanNassoro 10 месяцев назад
Àsante Baba Askofu Kasala Mungu akubariki
@PatrickKaloli
@PatrickKaloli 10 месяцев назад
Baba askofu mungu akubaliki na akulindesana.ivi huyu papa anatupeleka wapi wakatoliki mbona hana hofu ya mungu.atwambie hilo andiko kalitoawapi lakubaiki. ndoa ya jinsia moja wewe papa muogope mungu😮
@chotipembekavina
@chotipembekavina 8 месяцев назад
Hakikaaaa I proud u mungu amekujazia neeemaa katikati ya wimbi la mahangaiko hivyo tumefarijika sana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 10 месяцев назад
ASANTE BABA ASKOFU KASSALA. MUNGU ALIANDIKE JINA LAKO MARA MBILI ZAIDI KWENYE KITABU CHA UZIMA. MUNGU AKUBARIKI SANAAA BABA KWA KUPAMBANA NA WAJUMBE WA WASHETANI WANAOJARIBU KUUPELEKA KATIKA NJIA ISIYO YA HAKI. ✝✝✝✝✝✝✝
@davidbochela1441
@davidbochela1441 10 месяцев назад
Mungu atakutunza baba askofu,usiogope anayeuua mwili.
@bonifacemwalyoyo4482
@bonifacemwalyoyo4482 10 месяцев назад
Asante baba kwa neno lako dunia inaangamia
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 10 месяцев назад
Ahsante sana Baba Askofu. Huyo Papa afanye Vitendo vya Aibu kwa Wazungu Wenzake. Papa ni Msaliti wa Bibilia Mungu mtoe huyo papa au Apate ujauzito Yeye. Baba Askofu Ahsante sana ametuhuzinisha Sisi Wakristo
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 10 месяцев назад
Kama Papa ni mbaya huyo askofu ulimjuaje acha kuongea bila kusikiliza anachokiongea Papa ndiyo anachokiongea askofu hadi mapandre na masister Hadi waumini
@maidafrancis45
@maidafrancis45 10 месяцев назад
Mungu tuhurumie wakristo kwa waislam tusikubali kwenda kinyume na matakwa ya Mungu maana pale Eden hakuwepo mwanaume na mwanaume nawaza sana hivi Hawa wazungu wanataka nini kwenye hii Dunia kweli mpinga Kristo kajidhirihisha kabisa Tena kwa watumishi wakubwa tunaodhani ni mihimiri ya imani Mungu tuhurumie sana😢
@pilcusmloela8189
@pilcusmloela8189 10 месяцев назад
Ubarikiwe baba kwa mahubili yako Mungu atujalie ujasiri Waafrika tubakie namilana desturi zetu kukamilisha utamadunisho wetu
@SuzanaLucas-dm7fz
@SuzanaLucas-dm7fz 10 месяцев назад
Mungu azid kukubariki baba askofu kwa pamoja tupinga hii dhambi na tunazidi kumuomba mwenyz Mungu atuepushe na hili
@evamutua4504
@evamutua4504 10 месяцев назад
Congratulations Baba Askofu! We need many more like you. Courageous men of God in our church. God bless you!
@BITUROKAZERI
@BITUROKAZERI 10 месяцев назад
Doctrinal declaration opens possibility of blessing couples in irregular situations With the Declaration “Fiducia supplicans” issued by the Dicastery for the Doctrine of the Faith, approved by Pope Francis, it will be possible to bless same-sex couples but without any type of ritualization or offering the impression of a marriage. The doctrine regarding marriage does not change, and the blessing does not signify approval of the union.
@judithnzisa-ii7kg
@judithnzisa-ii7kg 10 месяцев назад
Naomba Mungu baada yake tupate Papa Mwafrika..haya maombi ya mfikie Mungu..Amina
@DeodathChinyamba
@DeodathChinyamba 10 месяцев назад
Baba askofu Mungu azidi kukusimamia na kukutetea katika msimamo huo
@reganerasto5161
@reganerasto5161 10 месяцев назад
Ujumbe kwa wanaadamu wote! mwenye masikio amesikia, mwenye ufahamu ametambua. "Ujumbe umegusa nyanja zote viongozi wa serikali na viongozi wa kidini hata kwetu tunaoongozwa viongozi wa vyama na wafuasi wa vyama ata sisi tusio na vyama " Dunia yote pokeeni ujumbe huu Amen.
@habibuluyangi2702
@habibuluyangi2702 10 месяцев назад
Huyu askofu sasa ndio kaongea point anaweza kuliokoa kanisa
@alexkihongola798
@alexkihongola798 10 месяцев назад
Wewe ndiye ulistahili kuwa Askofu mkuu, Umenyooka sana, huna soft language kwenye mambo crucial. Hongera sana.
@JoctanMwigune
@JoctanMwigune 10 месяцев назад
Asante baba Askofu. Hii ni tabia ya waaarabu na wazungu.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 10 месяцев назад
Waislam watakuua😂
@emanuelwilliam8834
@emanuelwilliam8834 10 месяцев назад
Hongera baba askofu kasala kwa mahubiri mazuri
@bekabakari7394
@bekabakari7394 10 месяцев назад
Amani na upendo Iubiriwe bila kujali dini zetu Amen
@fidelialucassamkhumbi2476
@fidelialucassamkhumbi2476 10 месяцев назад
Saint kassala the Bishop of tanzania.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 10 месяцев назад
Asante kuwaponda mabeberu ambao wanakandamiza wengine kisa laslimali zetu.
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv 10 месяцев назад
Kusudi la MUNGU nikuona binadamu wana ishi katika njia sahihi Na kusudi la shetani nikuona binadamu anaishi njia isiyo sahihi
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 10 месяцев назад
😂
@nelsonmutabilwa5105
@nelsonmutabilwa5105 10 месяцев назад
Si muhumini wa Romani Cathoric lakini uwa nafurahishwa sana na mahubiri na busara za mheshiwa Askofu KASALLA.
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 10 месяцев назад
Hakika Baba Askofu Kasala kama ni kipindi nilichopitia wakati mgumu kwangu katika kutafakari kuhusu mwelekeo wa kanisa letu ni huu kwa kauli za Papa huyu! BABA ASKOFU Kasala niko nyuma yako. Nilikuwa nafikiri niko mwenyewe. Katoliki on line niliongea lakini nikawa napingwa kwa mistari ya biblia . Nashukuru wewe na Askofu Thadeus mliongea na kuelekea msimamo wangu❤
@justinemajariwa6656
@justinemajariwa6656 10 месяцев назад
Simama kwenye haki mungu atakubariki Hilo nichukizo mbele za mungu
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 10 месяцев назад
Mungu awabariki wote wanaomuelewa huyu mtumishi
@anselmimarandu2293
@anselmimarandu2293 10 месяцев назад
Mungu akutangulie wewe pamoja na maaskofu wote. Kwani shetani anajitahidi kupambana na kanisa. Papa ni binadamu bila maombi na ushupavu wenu kanisa linaweza kuyumba.
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 10 месяцев назад
wakilisto kazi mnayo bada ya myaka mitatu utasikia kila mwanaume wakikilisto ambaye anwmuamini mungu lazima aolewe
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv 10 месяцев назад
Maana kanisa nisehemu ambayo inatoka sauti ya mungu na sauti ya MUNGU NI kukataza mabaya na sio kubariki mabaya. sasa padri atakae bariki wapenzi wa jinsia moja atakuwa anatimiza kusudi la nani
@ngabimoses8593
@ngabimoses8593 10 месяцев назад
Baba askofu kassala mungu akubariki sana umeongea falsafa kubwa sana ya kumtumkuza mungu.god bless u...hakika ukweli wako utasimama katika kristo.amen
@siliviamaneno2905
@siliviamaneno2905 10 месяцев назад
Tumuombee mungu asaidie watoto wetu
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 10 месяцев назад
Simameni imara kutunza yaliyoya ya kweli mbele zake Yesu Kristu, papa ni binadamu, ni kiongozi lakini yeye siyo Mungu na si lazima kutekeleza atakachosema .
@CosmasCosmas-e5u
@CosmasCosmas-e5u 9 месяцев назад
Huyu papa mpaka hapo alipo fikia hafai kuitwa papa hata kidogo nimhuni kama wahuni wengine tunaomba aondolewe mara moja kwenye nyumba ya mungu
@DavidMalimbegu-dq8tp
@DavidMalimbegu-dq8tp 10 месяцев назад
Ndugu zangu msipate taabu sana juu ya papa ukisoma kitabu cha ufunuo wa yohana huyo mtu alisha tabiliwa kuwa atatokea naye atajifanya kama mnyenyekevu yani mcha Mungu ili awadanganye na nimtu mwenye ushawishi usiposaidiwa na Mungu hekima ya utambuzi ningumu kumjua nabado hajaanza kazi yakutumia mijiledi hiyo nicheche tu. watu wa Mungu jitahidini kuyasoma maandiko matakatifu katika biblia ili tusipotee au tusidanganywe, kuwa mnyenyekevu naye
@paulinekimollo6216
@paulinekimollo6216 10 месяцев назад
Ukweli Ni lazima usemwe no matter what. This priest kasema vizuri kabisa
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 6 месяцев назад
Wakati nafundishwa katekismu haturuhusiwi kutii yasiyo ya Mungu
@ShidaMtindya
@ShidaMtindya 10 месяцев назад
kasalla asikofu uko sahihi japo Mimi siyo mungu.
@RukiaPembe
@RukiaPembe 10 месяцев назад
Tatizo siyo papa ,ni roho ya shetan itemdayo kazi ndani yake kazi hapo ni kuipinga hiyo roho vita vyetu si vya mwili na nyama na falme........,.......,........ Kumtukana papa ni kupigana kimwili na akili nzenu kama kanisa ni la Yesu alituachia nguvu mwombeni mwombeni Yesu Roho wake aingie kazini tuliahidwa yeye atayafunua yote ya sirinni kama kanisa ni la papa ndiye kiongozi basi itakuwa ngumu yeye nibinadamu ole wake amtegemeaye binadamu.Yupo Yesu aokoaye kwa nguvu za Roho wake Mtakatifu.
@Economicstip
@Economicstip 10 месяцев назад
Ni kweli
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 10 месяцев назад
Huyu askofu yuko safi sana
@EdinaSwai
@EdinaSwai 10 месяцев назад
Kweli
@EdinaSwai
@EdinaSwai 10 месяцев назад
Kweli
@dolomentfrance418
@dolomentfrance418 10 месяцев назад
Am a Lutheran member ila kwa hili baba askofu Aman ya bwana iwe juu yako
@LupimoclinicBlogspotsanitarium
@LupimoclinicBlogspotsanitarium 10 месяцев назад
Kwakweli,hata mimi nimeridhishwa na homilia yako mh Askofu Kassala,leo Roho mtakatifu amekufumulia ,umeongea point tupu ,uzidi kunarikiwa mkuu!!
@marthamasue4009
@marthamasue4009 10 месяцев назад
Papa fransis ajiuzulu kabisaaa... hatufai Wakatoliki, Tunataka ajiuzulu haraka sana
@LeoLucas-j3k
@LeoLucas-j3k 9 месяцев назад
Jamani mda mwingine kabla ya kuongea kitu katika media tuhakikishe kwamba ni cha kweri sis wakatoliki lazma Tujue taarifa sahihi tunazitoa wapi na je kupitia hizo media wana interest gani na kanisa na wanalitakia nini kanisa kanisa haliwezi kuluhusu ushoga sababu ni kinyume na mafundisho ya kanisa katoliki papa anasimamia mafundisho ya kanisa tutumie vizuri social media kwa njia ya kuelimisha na kutangaza neno la Mungu sio kubomoa
@makusaro2289
@makusaro2289 10 месяцев назад
Pascal Paul unapaswa kujitafakari na utubu. Vinginevyo lugha yako inaashiria tabia tunayopiga vita humu. Omba msamaha humu na utubu kwa Mungu. Kama wewe ni mkatoliki nakushauri ukaungame. Usidharau hili.Mimi sikufahamu lakini nakuonya utekeleze ushauri wangu huu kabla ya mwaka huu kuisha.
@AgnesLinus-vb9uj
@AgnesLinus-vb9uj 6 месяцев назад
Ubarikiwe baba Sema Dania nimapito tu
@manswetitsuut
@manswetitsuut 10 месяцев назад
Hata akijiuzulu we kubali tu utakuwakikaangoni, tatizo watu wanaqaqania ndg yng kanisa siyo njia ya kwenda mbinguni fuatilia misingi ya Roman Catholic hao ni hatari we angalia hata Amri za Mungu zimebadilishwa bila hofu na waumini hawana shida na haikuanzia leo, someni Bibilia Wakristo..... Kitabu cha ufunuo kimeshatabiri huu utabiri unatimizwa na Roman Catholic kw sasa na tunakoelekea niko pale nasubiria.
@vincentmabiba5531
@vincentmabiba5531 10 месяцев назад
This is rebellion against God. How can a high ranking church leader come publicly to sensitize homosexuality! God will turn against, they have grieved the Holy Spirit. God will fight against them and God will be an enemy to them for allowing this despicable and abominable act. As for you Bishop Kassala, let God continue to protect and preserve you forever.
@ibrahimsaad617
@ibrahimsaad617 10 месяцев назад
Yani wajomba zangu wakatoliki Mimi ni muisilamu ila Kwa kauli ya papa amekosea sana Kama kiongozi wa dini akitokea shekhe anabariki ushoga akachimbe kaburi lake mwenyewe
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 10 месяцев назад
Ila papa ndio mwenye roma yale ndio kasema ila kawachafuwa sana wa roma maana wa roma papa wanamuona kama cjui niseme nn wakat wazungu ni mashetani kama papa ni Freemason watu wanabisha nilishamuona muda hadi mapapa aliopita wrote illuminate
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂yan huyo papa huyo uskute keshafilana weeeee kanogewa
@samnyanza7642
@samnyanza7642 10 месяцев назад
Tusiwahi sana kutukana kwa kuwahi kusikiliza tafsiri mbalimbali , papa hajaruhusu ndoa hizo yeye alikuwa anakazia kuwabariki na kuwaombea kuliko kuwatenga moja kwa moja fuatilia speech za makadinari
@AnthonyDaud-rx4yf
@AnthonyDaud-rx4yf 9 месяцев назад
Huyo papa au pepo
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 10 месяцев назад
Huyu mzee kishetani abaki na hali zake huko kwao italy, mwanzo asikanyake kwa inchi yetu
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 10 месяцев назад
Allah ana kudhihirishieni kuwa ukristo si dini ya haki, njoeni ktk uislamu jamani huko siko, x mass ktk biblia haipo ktk biblia, zindukeni jmn
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv 10 месяцев назад
Ww unataka kukubali kuwa wanaume wanao ingiliana kinyume cha maumbile wanapaswa kuja kuchukua baraka kanisani? Au wanapaswa kuja kuchukua katazo
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 10 месяцев назад
Askofu anawasema mabeberu lkn anazunguka.ndipo uamini makanisa hayako huru kwa wazungu. Kwasababu ya misaada wazungu wanaowapa Katoliki
@DeodathChinyamba
@DeodathChinyamba 10 месяцев назад
Ukweli utasimama huyo papa ataangamia peke yake sisi wakatoliki hatutomfuata yeye bali tutamfuata Yesu
@andreamayengo966
@andreamayengo966 10 месяцев назад
Maisha marefu Baba Askofu,,,tuongane sote kakataa hili.
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 10 месяцев назад
Utawala wa warumi ndo uliandika Bibilia na kuanzisha dini ya kikristo duniani. Warabu wakapata baada ya kupigana na wao wakabadiri. Wasabato wao wakaja na mtume wa kwao. Waislam wakasema wao wameletewa na Muhammed ambae alikua hajui kusoma na kuandika. Dunia watu weusi tulipaswa kutokuingika kwenye dini hizo kama WAHINDI na wachina
@michaelmsambusi9287
@michaelmsambusi9287 10 месяцев назад
Huyu papa ni wetu lakin mda mwengine anakuwa mpumbavu mm bunafsi yangu sioni sura ya Kristu ndani yake,wakatoliki wenzangu tuungane na maaskofu wetu kumpinga papa Francis sababu naona hana mapenzi mema na kanisa letu katoliki,yaani inaingia akilini Kwa mtumishi wa MUNGU kubariki mashoga na wasagaji Kwa kweli ashindwe ktk jina la YESU.
@ALFREDSITAYO
@ALFREDSITAYO 10 месяцев назад
PIA HUYU PAPA AKIDHUBUTU KUTAKA KUMFUKUZA KAZI HUYU ASKOFU.WAKRISTU WOTE WA ROMANI TUMPINGE PAPA NA KUMPA WARAKA PAPA ASIKANYAGE AFRIKA
@geraldmanoti1716
@geraldmanoti1716 10 месяцев назад
Mimi kabilalangu nimsukuma, tamaduniyangu nikitakakuoa binti hubidi kutoa mahali yang'ombe kuanzia 20 hadi 50, kumuoa binti ambae atakujakuniongezea familia pili sifakubwa anakuwahata hajakutana na mwanaume, Leo unaniambia nikafungendoa namwanaume mwenzangu anakujakuongeza nini ktk familia yetu! Huyupapa amekuwa papa wabajarini anaekula hadi mwanadam, PAPA umechemka sisi wakatoliki wa AFRICA tunauelewa mkubwasana, nafkili skuzakozaupapa znahesabika.
@AmbrosyKapinga-x6z
@AmbrosyKapinga-x6z 9 месяцев назад
Mimi ni shahid wa yehova lakn uyu askofu yuko sahii kabisa
@AbubakarallyRajab
@AbubakarallyRajab 10 месяцев назад
Uislam ndio njia pekeee ya kukuelekea mungu nakweri
@TAGLudewaTv
@TAGLudewaTv 10 месяцев назад
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, na kila mti hutambulikana kwa matendo yake, na kwa matunda yao mtawatambua, kichwa kikiwa kibovu, mawili wote nao unahatia ya kuwa mgonjwa,, na misingi ikiharibika mwenye haki atafanya Nini?, Kila msingi wa nyumba ulio mbovu na uliopinda hupelekea nyumba yote hupinda,, mwenye nyumba huweka sheria watoto wakafuata,, la hawataki kufuata, waharakishe kuihama nyumba hiyo kabla haijawabomokea, vinginevyo ni ngumu kuivunja nyumba mbovu ambayo haukuijenga. Mwenye nyumba huama Mambo ya nyumba yake. Mimi nahama nyumba inayowaka Moto na mwenye kuuwasha Moto ni mwenye nyumba mwenyewe!
@anselmimarandu2293
@anselmimarandu2293 10 месяцев назад
Hizi ni juhudi za shetani kwani hata mama bikira maria alishaambia watoto wale watatu wa fatima kuwa shetani ajitahidi kupambana na kanisa hata kufika kwenye kilele cha kanisa. Na sasa kafika. Iliyobaki ni maombi ili Mungu afanye kazi yake kwani bila yeye sisi hatuwezi kabisaa. Ee Mungu lilinde kanisa lako.
@martinsambaa2188
@martinsambaa2188 10 месяцев назад
Huyu BABA anastahili pongezi kwa kusema ukweli Maskofu wote kemeeni hili bila uoga ili Kanisa letu libaki salama.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 10 месяцев назад
Naamini tako la papa limeishapanuliwa lakini Mungu nisamehe kwa nilichosema coz ya hasira
@abuarafatmkweli748
@abuarafatmkweli748 10 месяцев назад
POLE
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 10 месяцев назад
Wewe la kwako nzima
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 10 месяцев назад
haya yalianza tokea kipindi cha papa bendickyo wa 16 alipo jihuzulu kwasababu ya kulazimiswa uchafu maana wakati anajihuzulu alisema uchufu uliopitiliza unalizimiswa kuwa ndoa ushoga kaamua ajihuzulu kulipo kupitisha ushoga lasimi
@MuunganoMrope
@MuunganoMrope 10 месяцев назад
Baba nakushuru Kwa msimamo wako nakuomba usikate tamaa katika vita hii kubwa sisi tupo nyuma yako hakika tutashinda
@DeodathChinyamba
@DeodathChinyamba 10 месяцев назад
Kwani kiongoz mkuu wa serikali akiruhusu ushoga wewe utashughulika hata kama hutaki kisa kiongoz wako kasema
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 10 месяцев назад
Kimewaka ( Damu ya Yesu iwatakase mjue mapenzi ya Mungu nini!!!?)
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 10 месяцев назад
Kanisa KATOLIKI ni Kanisa la YESU mwenyewe mpotoshe msipotoshe kwani mlianza kuongea leo hadi sasa kanisa ndiyo linazidi kuimarika
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd 9 месяцев назад
Dalili za siku za mwisho na bado mengi yanakuja
@jozamsolomon4002
@jozamsolomon4002 10 месяцев назад
Ulipashwa utangaze kujiuzuru kwa heshima kulikoni kufukuzwa kwa aibu, unajua fika kabisa hapo hakuna utakatifu bado ukingalipo unafanya nn?
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 6 месяцев назад
Tu naomba baba rais wa hofu na Mungu.
@stellamuyenjwamboyi7559
@stellamuyenjwamboyi7559 10 месяцев назад
Mtaifahamu kweli na kweli itawaweka church Roma ni Sawa na kitunguu Ganda la nje halijuli kilicho Ganda la puli vivyo hivyo Joka la zamani ndani ya kanisa
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 10 месяцев назад
Umeongea vizuri sn Askofu ila mlitaka kuficha mpaka tuwaseme
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 10 месяцев назад
Nawaona FREEMASON NA ILLUMINATTI wakimtazama kwa jicho baya sana huku Papa akiwa katika mikakati ya kumng'oa
@makusaro2289
@makusaro2289 10 месяцев назад
Mbona wako makanisani na wanabarikiwa pamoja kwa pamoja? Au Padri aseme wale mashoga na wasagaji watoke nje ndipo nitoe baraka? Na wauaji je, na wanaowafanyia wanawake kinyume cha maumbile ? Hawa wakija kuungama na kisha wapate baraka padri awafukuze? PAPA hajabariki na hatabariki ndoa ya jinsia moja.Mnapaswa kuelewa ni nani alitafsiri kilatini chake na kutangaza kwenye vyombo vya habari ili uchafu huu uungwe mkono na wengi jambo ambalo ndiyo kazi ya shetani kudanganya na kuharibu wafuasi wa Mungu.Mwambieni Mhashamu kwamba kuna waliomuelewa vipande vipande aonekane kwamba POPE alikosea na kwamba yeye Askofu anampinga.Msimamo wa Akofu Kasalla ndio msimamo wa POPE. Baada ya misa Askofu aliwabariki watu wote akiwaombea amani. Bila shaka miongoni wa aliowabariki ni mashoga na wasagaji na wachawi na wauaji na wafiraji. Baraka hiyo inawageukia wahusika kuwa laana.Kwa hiyo kila mmoja aangalie nafsiyake kwamba anaomba baraka kwa ajili gani? PADRI ANAWEZA KUWAPA SAKRAMENTI YA NDOA WANANDOA MUME SHOGA NA MKE MSAGAJI BILA KUJUA. HIYO MBELE YA MUNGU NI " "HAIJAFUNGWA" na Padri hana kosa lakini OLE wao wanandoa hawa. Lakini Padri hawezi kukosea akafungisha ndoa ya wanaume wawili au wanawake wawili.Hili linawezekana tu kwa wale waliokwisha kumuasi Mungu na kukubali kuwa chini ya himaya ya shetani.
@aloycegervas9383
@aloycegervas9383 10 месяцев назад
Asante sana @makusaro2289. Mungu akubariki sana kwa uelewa huu mpana
@sndole445
@sndole445 9 месяцев назад
Je Yesu angewabariki mashoga?
@123J61
@123J61 8 месяцев назад
Acha kupotosha Watu wew
@emanuelymichael9759
@emanuelymichael9759 10 месяцев назад
Kwahiyo papa hamto mheshimu papa? Na msalaba wake unae zunguka duniani hamto upokea? Na neno lake linae toka la kidunia hamlipokei??
@kingmzebez7786
@kingmzebez7786 10 месяцев назад
Uyu ndio kiongozi wa kondoo wa bwana bila kungata maneno mungu yupo nawe tuko p1 milele mpaka kifo
@PasiPasi-dp3um
@PasiPasi-dp3um 8 месяцев назад
Mnyama anaetajwa katika kitabu cha ufunuo ndo huyo papa na anatumia dini kutawala hvo ili tubaki salama nikusimama katika ukweli wa biblia na dini hyo ya papa biblia inaitamka kama babeli na MUNGU anatoa wito kwa wanadamu wote kutoka babeli maana ni masikani ya mashetani na pepo wabaya
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 10 месяцев назад
Kuna watu wanaojionyesha wanamjuwa MUNGU Kumbe nimtu washetani ROMA1:21-32
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 10 месяцев назад
Yamo ndani ya mtu mwenyewe
@simonlupogo3407
@simonlupogo3407 10 месяцев назад
Ni Ibada ya Misa Takatifu
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 10 месяцев назад
NYIE NI WATUMWA WA DINI YA MASHETAN HIVYO HAMTAKI KUIFUATA MILA ZAO JITOENI, KATOLIKI SIO YA BABA ZENU AMA MAMA ZENU,,MMEIKUTA NA HAMJUI MALENGO YA WAANZILISHI
@terrence9477
@terrence9477 10 месяцев назад
Mnasali ila hamuelewi kazi ya kanisa, Kanisa kazi yake ni kuwarudisha wadhambi ili waende kwa Mwenyezi Mungu. Kanisa zaidi si kwa watakatibu bali kuwarudisha wenye dhambi wamjue Mungu
@lynhwilbardruckachale4205
@lynhwilbardruckachale4205 10 месяцев назад
Kazi ya kanisa ni Kurudisha waliopotea Kundini na kuwaonya kuacha kutenda Dhambi, Na Si Kubaliki Dhambi Zao
@RobertsKibasa
@RobertsKibasa 10 месяцев назад
​@@lynhwilbardruckachale4205Umenena na ubarikiwe sana.
@anselmmwajombe2034
@anselmmwajombe2034 10 месяцев назад
Hawajaelewa hata alichokisema papa. Wamesombwa na upepo ambao hawajui chimbuko lake. Papa hawezi kubariki ndoa za jinsia moja..
@HappyHaule-zu3wu
@HappyHaule-zu3wu 10 месяцев назад
Askofu kasala ,baki imara sku zote,na kamwe usiogope mtu yoyote ,wewe endelea kumuogopa mungu na uishi na mungu.utume wako siku zote udumu ktk kuyatenda ya kimungu na kumpendeza mungu tu .Achana na hao wanaotafuta kuyafurahisha malimwengu.siku zote tupo pamoja nawe iwe ni ktk sala na ibada mungu akulinde Amina
@HappyHaule-zu3wu
@HappyHaule-zu3wu 10 месяцев назад
Kama papa hawezi kubariki huo upuuzi alikua unauleta kwetu na kwenye vyombo vya habari wa nini ,ameshinikizwa na mtu au?Yeye kama nabii alitakiwa hawakatalie huko huko na kuuchoma moto huo waraka,kabla hata ya sisi kutujuza ,ina maana yeye ni mtu wa kupokea pokea tu kila kitu .Kwani unataka kusema hana akili kichwani za kufikiri kabla ya kufanya kitu ,yawezekana kabisa wewe ndie uliyesombwa na huo upepo
Далее
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
Страшная Тайна Светы Кемер !
33:04