Тёмный

#EXCLUSIVE 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 81 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: A to Z HAYATI KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADI KUUAWA, MTOTO WAKE ASIMULIA KILA KITU
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

5 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@francisboydmwakyusa230
@francisboydmwakyusa230 5 месяцев назад
Mungu amtunze Rais Amani, he's so genuine all the time. Huwa sichoki kumsikiliza, ni zawadi kwetu.
@mohamedbat-heif3693
@mohamedbat-heif3693 2 месяца назад
Nimevutiwa sana na mheshimiwa kwa heshma yake,upole wake na fungamano lake na dini yake,mara kwa mara hua anamshukuru Allah na kutowa shukrani zake kwa Allah kwa kutamka alhamdulillah. Namuombea tawfik katika harakati zake za kimaisha na za kuwaunganisha wananchi wenzake. Wabillah tawfiq
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 4 месяца назад
Ahsante Mh umeeleza ukweli usiopingika nimependa sana ,hususan kufilisika kwaviwanda vyetu 🎉🎉🎉
@khamismakame5934
@khamismakame5934 6 месяцев назад
muandishi mie napenda kwanza ujue nini tofauti ya hayati na marehemu maiti ya kiislam baada kuzikwa huitwa marehemu maana hua tunamuombea rehma kutoka kwa mwenyezi Mungu na hao wengine hiyana hayati maana yao wao mie siijui
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 5 месяцев назад
Sasa hivi Simai amejiuzulu kwasababu anataka kujaza pombe zanzibar na sharia haimruhusu😊
@Itarusii
@Itarusii 6 месяцев назад
Kazi kweli. Tuna la kujifunza hapo. Historia mpaka mtu uje kufahamu ukweli ni changamoto. Yale yale ya Sokoine. Tuendelee kujuzana.
@dalali_professionalwa_dodo8330
Ukitaka kujua kwanini haswa marehemu alipigwa risasi...andika hapa youtube mahojiano ya amani thani akiwa dubai... Akielezea dhulma kubwa aloifanya marehem na nin kilipelekea auwawe... Nchi hii imemwagwa damu za watu ambao hawana hatia bila ya sababu ya msingi... Historia inafichwa fichwa mno ..ila kiukweli wazee hawa walizingua mno ..
@admirabisikiduduye1516
@admirabisikiduduye1516 5 месяцев назад
Nilisoma makala moja , pamoja na simulizi za mitaani, baba yake hamoud na wanaharakati kadhaa wa mapinduzi waliuawa akiwemo Hanga na kuzikwa kaburi moja, kabla ya kumuua karume hamoud alitamba na kusema ipo siku nitamuua karume, vyombo vya dola vilipuuzia kwa kuwa walikuwa marafiki pete na kidole
@dalali_professionalwa_dodo8330
@dalali_professionalwa_dodo8330 5 месяцев назад
@@admirabisikiduduye1516 mzee na hamoud walikuwa marafiki?
@allyhusseinally2461
@allyhusseinally2461 Год назад
Appreciate history ya mzee wetu🇹🇿🙏🤲♥️
@nathanamon6876
@nathanamon6876 Год назад
MUNGU azidi kumpa uhai Mzee wetu hata like basi wakuu nimekua wa kwanza hapa
@omarmussa5755
@omarmussa5755 Год назад
Muandishi kazi nzr sana brother
@salimukungulilo2928
@salimukungulilo2928 11 месяцев назад
Allahuma umghofirie na UMREHEMU NAUMPE MAKAZI JANNATI FIRDAWSNUZULA Amin
@pandungozi1072
@pandungozi1072 Год назад
Mtoa maada nahisi mmekwenda mchomo na mmepoteza maada ya lengo na madhumuni yote ya topic yenu! maada ilikua kuelezea kifo cha karume mwanzo hadi mwisho sio kuruka kwenye maada za mapindunzi,uchumi na uwongozi na maisha yao,vigugumizi na kupoteza mda wa wasikilizaji. Anyway mmejitahidi but mmepoteza muelekeo wa maada yenu bila kujijua wala kujitambua. Asanteni
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 7 месяцев назад
Hajajitaarisha wala hakusoma histri ya mzee karume ili ataarishe masuala
@Brandsonce-qs2yt
@Brandsonce-qs2yt 7 месяцев назад
Safi sana kwa kumusikia
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
😍😍😍❤️
@wizkidayo390
@wizkidayo390 Год назад
Mh ameanza vizuri anamaliza vibaya mpka anafanya kigugumizi sisi tunataka nchi yetu yenye mamlaka kamili asiseme uwongo c aseme tu 😢😢
@leblue4768
@leblue4768 Год назад
Dhulma zao watazilipa hapahapa
@hassannyagawa2308
@hassannyagawa2308 Год назад
Unalaumu nini. Huyo saa hizi mzee unatakasema alishiriki kumuuwa baba yake au wewe unajuwa vizuri twambie
@bekabeka-ww2mn
@bekabeka-ww2mn Год назад
world on fire
@HassanBoy-cp2zr
@HassanBoy-cp2zr Год назад
VIP Levi pesa za wizi zishamaliza
@moviesgreatdirectors3193
@moviesgreatdirectors3193 6 месяцев назад
Muungano wa leo siyo Muungano maana washirika hawako sawa. Zanzibar ina Serikali yake, Tanganyika haina serikali. Maono ya hayati Karume kuhusu Muungano ulikuwa wa kuwa wa nchi moja yenye serikali moja.
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Год назад
Stories nyingi zinasima Mzee Karume alizaliwa Malawi kijijini na aliletwa Zanzibar na Kambarage apindue hatujui Nani Mkweli
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Год назад
Tuambie pia hao masultan waliopinduliwa walitoka wapi
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
Hz stori za masikan
@emmanuelsanga3797
@emmanuelsanga3797 Год назад
Nakuona unachekiii cm why
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 4 месяца назад
Ukiuwa Kwa upanga utauliwa Kwa upanga hili halina mjadala
@benjaminmanento4120
@benjaminmanento4120 3 месяца назад
Asante, nimefaidi sana. Huyu mzee ana HEKIMA NYINGI. Mungu ambariki.
@belgieboys9867
@belgieboys9867 Год назад
Hapo kasemq kweli walionda kushambulia, na walioenda kushambulia walikuwa group Lakini mzee aman hujatwambia walioshambia ni gari ya aina gani? Na watu wa aina gani? Mie sisemi. 😂😂😂
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 11 месяцев назад
Acha speculations
@belgieboys9867
@belgieboys9867 Год назад
Tujiulize wale wengine walioenda nangari walitafutwa vipi? Au ndio hao waliokamatwa katika mawaziri na vipi walifinguliwa kesi za mauaji?
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 7 месяцев назад
Uyo muandishi hana maswala yake sijui hakusoma histri ya mzee karumee hajahitaarisha hasa na mauala ya mzee karume
@mlulamsiliwa7123
@mlulamsiliwa7123 4 месяца назад
😮😮😮😮😮😮
@user-mg6hn6os6y
@user-mg6hn6os6y 4 месяца назад
Baba yake huyu Abeid Amani Karume hivi sasa yupo Jahannam.Mapinduzi ya 1964 Zanzibar ni mauwaji na Karume alishiriki.Malipo ni duniani na Karume akauwawa.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🙏
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 7 месяцев назад
Kwanini mzee Karume aliuwawa?
@belgieboys9867
@belgieboys9867 Год назад
Thabit kombo kafa mwaka gani?
@Bam268
@Bam268 Год назад
Juzi
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 6 месяцев назад
Wauwaji na uvamizi na wengine wamekosa radhi kuwa wanafiki Mwenyezi Mungu mkubwa ndio anaejuwa na haki ataleta In Shaa Allah ameen
@razackmuba8195
@razackmuba8195 Год назад
Mh,
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
Mamlaka kamili hayawezi kupatikana kwa makaratasi
@user-bl9zf1zb2t
@user-bl9zf1zb2t Год назад
Yanapatikanaje?
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
@@user-bl9zf1zb2t hujaskia walivyo sema nchi hawajaipata kwa makaratasi na haitatoka kwa makaratasi sasa akili kichwani mwako
@belgieboys9867
@belgieboys9867 Год назад
Alishambulia alikuwa na wenzake wanavyosema mashahidi ndani ya afisi kuu. Kilikuwa ni kikundi cha huyo jamaa ambao walitumwa na wanavyosema mashahidi aliyeua kauliwa na watu wake ambao walimpeleka aue. Hadithi hiyo niliipata ndani ya ofisi kuu kwa mzee wa ccm ambaye wakati huo alikuwa kijana wa asp
@lastborn7810
@lastborn7810 Год назад
Nae ni nyerere na wanajua lakini hawasemi 😂
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d Год назад
Si kweli baba ako hakuzaliwa mwera kazaliwa malawi huo ni kweli nyi nyi hamna asili ya uzanzibari
@KhalidMohammed-mq3km
@KhalidMohammed-mq3km 6 месяцев назад
Kumamae wallah yaani utazani wewe ndio mzazi wao gastadialo stupid
@tatumuhando6107
@tatumuhando6107 Год назад
Aliemuuwa karume ni shemeji yake huyo anaezungumza hapo ni mjomba wake aliezaliwa na mama yake Baba na mama mmoja ninaushahidi na ninayoyazungumza mkitaka kujua zaidi wasafi mnitafute niwapeni story maana nilikuwepo eneo la tukio japo nilikuwa mdogo
@jumamachano3442
@jumamachano3442 Год назад
Acha shoboooo www
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 3 месяца назад
Viwanda viliendeshwa kwa ujamaa na mazoea rushwa matumizi mabaya ya vyeo na kutoajiri wataalamu wa kitosha.
@SliJuma-un9sl
@SliJuma-un9sl Год назад
Hunaishu wewe ulipokua madarakani alifanya nini mbwa
@salimamani6672
@salimamani6672 Год назад
Mpumbavu sana wewe unajuwa nani aliye leta Zanzibar mariziano mpaka leo ikiwa shwari hakuna Raisi duniani kote au kiongozi asiye kuwa na mapungufu walipita maraisi wangapi Zanzibar kabla yeke je kulikuwa na neno mariziano?
@muniraally4091
@muniraally4091 8 месяцев назад
Subhanallah una haja gani kutu k ana
@mombasa0076
@mombasa0076 6 месяцев назад
MATUSI SI MTAJI
Далее
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
Просмотров 79 тыс.