Тёмный

ASKOFU SHOO MBELE YA RAIS SAMIA, APIGILIA MSUMARI SAKATA LA DP WOLRD - "HILI LIMENIKERA" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 236 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 366   
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Год назад
Maaskofu mkatoliki wanaongea ukweli ulivyo hawataki kumpendeza mtu, nitasoma kweli daima fitina kwangu mwiko
@chingaboy1149
@chingaboy1149 Год назад
Weee mpumbavu kweli kweli hawa makanisa wanaongea kwasababu masilahi yao yanaenda kupotea
@lightnessmushi8137
@lightnessmushi8137 Год назад
Sio kweli
@ShamudZaid-un4zj
@ShamudZaid-un4zj Год назад
Ahsante sana baba asikofu
@tusiimeroy3157
@tusiimeroy3157 Год назад
Askofu wetu Mimi ni Kkkt Uja nyoosha maelezo kuhusu MKATABA
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904 Год назад
Aksante Baba kwa kutimiza utume wako kwa kusema kile kilicho MOYONI mwako, Tumsifu Yesu Kristo....!
@aboubakarirakoze7611
@aboubakarirakoze7611 Год назад
Mtume?
@makamevuai5668
@makamevuai5668 Год назад
Unamjua mtume wew jinga kubwa la akili soma usiwe mjinga
@richimuniko3578
@richimuniko3578 Год назад
Ashsante Baba siwezi kukupongeza maana umemumunya maneno.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Год назад
😂😂😂 hapo lazima amungunye mzee,pazito hapo mbele😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Год назад
Hapo hasingekuwepo hungesikia kanisa haliungi mkono 😂😂😂😂
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
😂😂😂😂
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 Год назад
Pongezi lazima
@dandara008
@dandara008 Год назад
HaHa wasafi bhn media flan ya kinafiki sana
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Год назад
Asante baba Askofu.
@JoshuaKaru-ub5nb
@JoshuaKaru-ub5nb Год назад
Ameen atutaki mkataba wakiuni tutasimamia sisi kamaselikalimmeshindwa tokeni madalakani tusimamiewenyewe
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Год назад
Kemea kwanza Magaidi unaokula sadaka zao, Ukiamini ni waumini safi. Acha unafiki.
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Год назад
Pumbav zakoo
@danielalmas6595
@danielalmas6595 Год назад
magaidi wapo msikitini wanasbr kujilipua
@BenjaPas
@BenjaPas Год назад
Unatoka Kongo nin?
@PiliSaid-fn1pg
@PiliSaid-fn1pg Год назад
Uelewa wako ni mdogo sana
@panadomadola3064
@panadomadola3064 Год назад
Shoo nikama unatetea maslahi yako binafsi sababu unaremba maneno sana umejaa mashaka sana na uoga ndo maana ujatoa tamko kuhusu bandari badala yake umemumunya maneno.
@mnamamnama2732
@mnamamnama2732 Год назад
Ata kama ni wewe umwalike mtu afu uje umsemw
@marrymenas
@marrymenas Год назад
Pia nimeona hivo, anajikanyaga kanyaga tuu, haendi directly sijapenda! Nimemsikiliza mwanzo mwisho nikashangaa unafika muda wa zawadi che! Kichwa cha habari kinazungumza mengine na yaliyomo ndani ni mengine. Waliitana kupeana zawadi na kuombeana kumbe
@EvansEMsuya
@EvansEMsuya Год назад
Duh Ivo kwel ,hatufiki mbali
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 Год назад
​@@mnamamnama2732msema kweli ni mpenzi wa mungu . Ni bora kuifia kweli. Ukiwa kweli unamtumikia Mungu hutaogopa kuseka ukweli wakati wowote
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 Год назад
siku moja nawewe mwite mama aje afu umfokee kam mkeo ufokefoke tyu bas afu uone km ndo utu uzima ,,,huelw leo wameongea kwa amani akipuuza hekima hiyo unafikir watambembelez
@MaliaAntonimotela
@MaliaAntonimotela Год назад
Samia jiamini mungu yupo usiendeshwe na waarabu wala kikwete tuko pamoja
@ebenezernnko8251
@ebenezernnko8251 Год назад
safi sana Shoo
@samuellevy2564
@samuellevy2564 Год назад
Mjadala wa Bandari ni mjadala wa Kiuchumi, sio wa kisiasa, wa kikabila au wa kidini, tuepuke vichaka visivyo na ulazima.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Год назад
Maskofu catholic hongereni sanaa
@MariaStepheno-it5jp
@MariaStepheno-it5jp Год назад
Neema ya Mungu inatosha
@ShabaniOnyango-gm3vz
@ShabaniOnyango-gm3vz Год назад
Amin
@rashidramadhan-vr3ct
@rashidramadhan-vr3ct Год назад
Bado baba askofu hujaeleweka vyema kwa wananchi,pole sana,
@flova7022
@flova7022 Год назад
Sema Mimi sijaelewa...
@yloracinaibaf6316
@yloracinaibaf6316 Год назад
Mikataba yote haikuuza utu wetu wala kuhatarisha hali ya amani ila huu yakipuuzwa mawazo ya wananchi hasa wenye mashaka utatupeleka kubaya iko hatari ya kutugawana Tanganyika Vs Zanzibar na Christian Vs Islam Rais tunakuomba kwa hekima kabisa uache huu mkataba au vipengele vyenye shida vishughulikiwe. Ahsante Rais wangu mzuri
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Год назад
Sana sana auachwe. Vinginevyo lazima utatugawa kidini. Mwarabu huwa ni mjeuri sana na hajali
@SaidKaros
@SaidKaros Год назад
We toa sababu za kuelweka so chuki dhini ya watu fran
@marrymenas
@marrymenas Год назад
Mmh umeandika unachokiwaza hapa mwisho ukaona acha umtongoze kidogo
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Год назад
Haki gani nyie mnaleta ukatoliki mnadhani bado tutabaki wajinga kama zamani hata sisi Waislaam ni Watanzania na pia tunahaki na Nchii hii hivyoendeleeni kupinga Uislaam kwa hoja ya Bandari mtuletee balaa kwenye Nchi yetu maana mnadhani bado watu wamelala kutoka kipindi cha nyuma mpk leo hilo sahauni tumeshaamka
@KenedyMwaipaja-n8w
@KenedyMwaipaja-n8w Год назад
​@@abuumuhammad7133kwa iyo unatakaje we mla ulojo😮😢
@GodfreyWella-ip7ed
@GodfreyWella-ip7ed Год назад
Ya kaisali afanye kaisali yamungu fanyeni ya mungu.Hatuutaki mkataba
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 Год назад
😂😂 mmekua wakati watanzania
@AbigailBateyunga
@AbigailBateyunga Год назад
Asante sana Maasikofu Kanisa Katoliki ktk hili halina ubishi. Siyo huyu Mtumishi wa ... Amina.❤💯👍✌️🇹🇿
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Год назад
Ni shida ni msimamizi wa chuo cha machame mtoto wangu aliteswa akaunga mkono wewe Askofu shoo bwana na akukemee amen
@severintemu5524
@severintemu5524 Год назад
Tozo kwenye hosptali zenu ni ghali mnoo mfano mtu kapata ajali hali yake. Ni mbaya mnataka kulipwaa vipimo ndio vifaanyike vinginevo mtu anafia hapo ukweli mpo kibiashara zaiidi utu hakuna kabisaa KCMC na kwingeneko kwenye hosptali zenu mlianza vizuri sana lakini masikini watafia mikononi mwenu kuomba .kumalizia mradi yenu ni kodi za .watanzania lipeni kodi hamna huruma nyiyee
@HenryAdolph-t9i
@HenryAdolph-t9i Год назад
Kweli umenena kisomi na Phd imelala kichwa hongera baba askofu wenye kuelewa waelewe ila wenye maslah na haya hawatoelewa
@estersamweli1429
@estersamweli1429 Год назад
Binafsi mimi nalia na bima za watoto masikini kila siku tunazidi kuumizwa mama Mh @Samia suluhu Hasan kwa heshima kubwa naomba urudishe bima za watoto za taifa za NHIF bila hivyo watoto wa masikin wengi watakufa tafadhali mama embu anza na hili ndio hayo mengine yafate
@PillahYussuf
@PillahYussuf Год назад
SAsa apa unamwambia kitenge/wasafi au unamwambia samaia..⁉️😂😂😂
@ezralameck4150
@ezralameck4150 Год назад
😂😂
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Mbona bima zipo, ila bei ndio imepanda.
@MakindaItogoro
@MakindaItogoro Год назад
​@@ezralameck4150tf tg tf ex😂😢
@MakindaItogoro
@MakindaItogoro Год назад
​@@ezralameck4150❤
@oscarvyampi5498
@oscarvyampi5498 Год назад
How can i get
@JOHNNDAZAMO
@JOHNNDAZAMO Год назад
To congratulate the government of Tanzania for peaceful up this moment!
@RichardKaloli
@RichardKaloli Год назад
T
@tibamanyasSon-it5pq
@tibamanyasSon-it5pq Год назад
❤ nakpenda kpnz chngu shaka nipale ukingeuka utanikosea mnoo
@johnsonriwa551
@johnsonriwa551 Год назад
Mungu awe nasi
@fidel7im
@fidel7im Год назад
Serikali haipaswi sikiliza kiongozi yeyote wa dini coz hii itaganya watu. Apa cha msingi faida na hasara za kiuchumi zifanye kazi. Kama bungee limeupitisha basi viongozi wa dini wakae pembeni wasalishe waumini wao
@EzekielJoseph-m8m
@EzekielJoseph-m8m Год назад
Waumini wa kkkt mumesalitiwa na kiongozi wenu huu niwakayi wakanisa kugawanyika shoo mnafiki sana waumini hameni
@dandara008
@dandara008 Год назад
CCM oyeeh😅 oyeeeeh CCM safi 😂 safiii🤣 Goddamn!!!
@mdqweqwe251
@mdqweqwe251 Год назад
Msenge wewe mbwa koko choka mkundu
@OsiyaSichinga
@OsiyaSichinga Год назад
Osikofu amin
@samwelyesaya1202
@samwelyesaya1202 Год назад
Kuhusu bandari baba askofu hatukuelewi yaani unaunga mkono bandari zetu kuuzwa katika hili hatuko pamoja mwanzo mwisho
@TullySwai
@TullySwai Год назад
Hajaunga mkono hoja bbna mckilize vzr
@hoseakavubu2844
@hoseakavubu2844 Год назад
Mtu yeyote hawezi kuongea na kiongozi wa nchi kwa kumwambia ukweli kwa kupingana nae ana kwa ana. Dr Shoo ametumia maneno ya hekima saaana. Nampongeza.
@kudraahmad5670
@kudraahmad5670 Год назад
Ya kaizal mpe kaizali na ya mungu mpe mungu,,asante
@TullySwai
@TullySwai Год назад
Kaisari cyo kaizal
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb Год назад
Asante mama kwa kujal na kuskiliza hisia na mawazo ya watazan 🇹🇿 MUNGU akutangulie amen
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Mama Yuko kazini, mtamuelewa Tu!!!
@RamaChimera-re7ot
@RamaChimera-re7ot Год назад
Mama shikamoo
@HareneKipande
@HareneKipande Год назад
Tz tumeshazoea amani na mambo ya asili yetu mengine kwetu hatujazoea mzee amekata na wewe mama usikubari maana wanachii ndio kila kitu naomba tubaki Tanzania Dubai tuicheni kama Dubai asant Sana Mungu wambiguni akutie nguvu
@albertkassim3286
@albertkassim3286 Год назад
Askofu acha kuogopa kusema ukweli, mm nacho jua YESU mwenyewe hakuogopa mamlaka kwenye kusema ukweli, na alikemea sasa kwann unazunguka mbuyu duuh!!!!
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 Год назад
Yesu aliagiza kutii mamlaka za kiserikali na kuhamasisha raia kulipa kodi
@pendokimathi99
@pendokimathi99 Год назад
Mm ni mlutherani ila kwa ili askofu inaelea uhaini apo umeamua kutukopesha bila kujali kama ww unavizazi endelevu apo sijaona hekima ili unatuingiza kwenye tundu la sindano kweli baba askofu apo sijakuunga mkono wala mguuu tujifunze kuongea bila kuogopana Mungu atawachoma moto mnatenda dhambi uku mnajificha kwenye kivuli chake DP word atuwatdaki
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 Год назад
Hekima hekima, hekima. Watu wajaliiwa hekima ya kuongea. Kumweleza mtu kitu ambacho unachotaka akuelewe siyo lazima umwekeze kwa ukali. Askofu Shoo amefikisha ujunbe kwa usahihi kabisa. Kamkumbusha Rais ushauri waliompa akiwa na viongozi wa dini zote. Hakuwa na 7bu ya kuyarudia.
@samakisamaki3226
@samakisamaki3226 Год назад
Huyu naye ni sawa na yule sheikh mwendawazimu aliyeporoja kuhusu kuuza bandari. Tunajua mna vyanzo vya mapato ambavyo havina connection na rasilimali za taifa. Mnagawana sadaka kisha mnagawa nchi, sio kwa kujipendekeza huko juu ya uwekezaji wa hovyo.
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Год назад
Ww hujielewi kuwa ni taahira kabisa
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 Год назад
Acha hiyo wewe sikiliza msomi anatililika PHD
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Hongera sana Askofu Shoo Kwa kuunga mkono uwekezaji wa DP world! We support Madame President, we support Dar Port investment by DP world! Kazi iendelee!!
@geraldleger5793
@geraldleger5793 Год назад
Pelekeni watoto shule....
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@geraldleger5793 hahahaha,,,,Kwa shule gani kutuzidi? Hiyo elimu yako ya kukariri ndio unajivunia? Kwa taarifa yako wenzako Sisi vyeti vimejaa kabatini kibao na vingine tunafungia maandazi pimbi wewe
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@geraldleger5793 Dar Port investment for a better tomorrow of our country!! Kazi iendelee!!
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 Год назад
Maslahi mapana
@augustinosafari4935
@augustinosafari4935 Год назад
Hii imeenda. umetumia hekima sanaa kuwasilisha mada,, asante.
@godsonmosi8428
@godsonmosi8428 Год назад
Askofu Shoo 🙏✍️✍️
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Год назад
Atahivyo serekal inawapenda sana maaskofu hospital zakwao wafanyakaz wao walipwe na Serekal afu mapato yawagonjwa yakwao jmn serekal ya Nchi hii nisikivu mno nayeny huruma kaah.
@thomasmsemwa8524
@thomasmsemwa8524 Год назад
Umenena vema Askofu ,hapo kwenye " tukikemea msiseme tunachanganya dini na siasa" pamenigusa zaidi😂. Hotuba nzuri sana👍
@IbrahimdavidMaganga
@IbrahimdavidMaganga Год назад
😂sanaaaaaa kwel sauti ya watu sauti ya mungu
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Год назад
Yote sawa tupo pamoja ila hilo la kupinga kuongezwa kwa huduma si sawa huo ni ubinafsi babaetu.watu hawakuwa wengi wakati uliopita watu wanazidi kuzaliana nchi inajengeka zaid.nyie toeni huduma na wengine waacheni waendeleze hudumu msiwabane wananchi wengine au serikali inapotaka kuongeza huduma nchini.hilo si sawa kwa kweli.ubinafsi huo mzee wangu.
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Год назад
Ndomana yesu alisema yakaizar mwachie kaizar akafata neno la Mungu nakubaki njia kuu.
@ussihamza-xn7bx
@ussihamza-xn7bx Год назад
Mama Samia Mimi Kilio Changu Siyo Mkataba wa Bandari, Mimi Nalia na Mkataba wa Muungano, wa Tanganyika na Zanzibar Hivi Muungano Huu. Muovu Utaisha Lini ?
@sheikhaswalehsalim3392
@sheikhaswalehsalim3392 Год назад
Bravo 🙏🙏🙏🙏🙏
@piusbaruhuwundi8987
@piusbaruhuwundi8987 Год назад
Safi sanaaaa
@florenceLema-ou4my
@florenceLema-ou4my Год назад
Shoo huna jipya
@eryudnkubiye8207
@eryudnkubiye8207 Год назад
Good
@SeuriDaudi-i4r
@SeuriDaudi-i4r Год назад
Wacheni kuusa bandari yetu tuliyo pewa na mungu munatuchanganya nyinyi mutaasibiwa na mungu
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Год назад
Kiswahili chenyewe hujuwi… hivi kweli we unajuwa Bandari ilipo?? Pengine hata maana ya bandari hujui!!
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Tusiiuze ili muendelee kujinufaisha nayo?
@FrankElias-u9i
@FrankElias-u9i Год назад
Nimegudua kitu apo anaposifiwa rais makof meng anapo anapo ambiwa ukwel wapo kimya
@AlikiMwambughi-ht9sk
@AlikiMwambughi-ht9sk Год назад
Kkkt achen uchawa sema ukweli mbele ya mungu sio sehemu ya kutaka chochote kwa mama kuwa namsimamo acha unafiki kkkt
@geraldleger5793
@geraldleger5793 Год назад
Baba Wewe Ni msomi mwenye hekima ya Juu..
@MariaStepheno-it5jp
@MariaStepheno-it5jp Год назад
Hapa aliyebaki ni Mungu tu tunaamini hataacha turudi utumwani atatuhurumia japo tumemkosea ila Rehema yake ikajidhihirishe maan kweli huwezi changanya dini na siasa isipokuwa kwa Mbini za Kimungu
@SeuriDaudi-i4r
@SeuriDaudi-i4r Год назад
YAANI MAMA ALIONA RAISI WETU MPENDWA JON JOSEP MAGUFULI ALIKUWA ANAONGEA UJINGA KWELI MAMA FIKIRIA VIZURI USIJE UKAPATWA NALAANA YA MILELE MAANA NAKUMBUKA RAIS MAGUFULI AKIKUWAMBIA UWALINDE MACHINGA ALIPO AGA TUU? UKATUNYASA SASA UNAUSA BANDARI TENA ILI UTUMALIZE MUNGU ANAKUONA WEWE ENDELEA TUU
@IvoFransis
@IvoFransis Год назад
Anabembeleza mshahara kwa hospitali ya kcmc.😂😂❤ Ongelea mkataba mbovu mzee
@MichaelMollely
@MichaelMollely Год назад
Muambieni ukwel
@borcherwilliamborchert3090
@borcherwilliamborchert3090 Год назад
Wasariti hawana Tena nafasi ktk nchi hii kuendelea kupokonya rasilimali zetu.
@Ibnimohd-tr6qc
@Ibnimohd-tr6qc Год назад
Uko sawa show show
@SamsonKena
@SamsonKena Год назад
🎉imekaa poa
@AndreaMathias-e1h
@AndreaMathias-e1h Год назад
Huyu askofu naye ni yule yule wa maslahi hongera Rc
@deusjoseph8554
@deusjoseph8554 Год назад
Askofu gan huyuu!katumwa nadhan
@Saratarimo
@Saratarimo Год назад
Kama unataka kukemea kemea sasahivi baba Askofu sio hali ije kua mbaya ndio ukemee hili jambo la mkataba sio siasa tu ila ni kuliokoa taifa letu na kuanguka kiuchumi 😢😢😢
@neisphormabula7286
@neisphormabula7286 Год назад
Baba askofu una nn unachotusmbia unamungunya maneno angelea bandari unaunga mkono ama laa Linda kondoo mbwa mwitu anawala sijui utamhubiria nani
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 Год назад
Eleweni bandari hii ina maslahi binafsi na baadhi ya viongozi wa dini hasa wakatoliki ambao wanatumia misaada ya vatikani kwa maslahi ya mapadre na viongozi wachache. Walutheri wametengwa sana kwenye uongozi kwenye nchi hii na wanatawala waislamu na wakatoliki tu.. Tizameni hayo mtayaona .. Urais Lowasa alinyimwa kisa mlutheri , Cleopa nae alinyimwa kisa mlutheri na matokeo yake akapewa mkapa aliyekua hajulikani km Cleopa wakat ndiye aliyekua kipaombele cha rais Mwinyi. Lowasa alijitoa akapewa jpm kisa mkatoliki..yote haya ndiyo yanayotusumbua na huku udini ukishamiri na watu kutuambia udini haupo lkn tunajibagua kupitia huko. Leo bandari imeonyesha wazi na hasa katoliki wakiona nchi hii ni ya kwao na kuwagawa watu kama Roma ilivyofany kwenye kutafuta dola yao.. Mikataba mingi sana ipo lakini huu ndio unapitishwa na kukosolewa lkn mingine mingi inayojulikana haisemwi. Bandari hii inapitisha magendo mengi sana bure jambo linalopelekea umasikini mkubwa lakini leo tunashawishiwa bado tuwatuoe wawekezaji ili tuendelee kuibiwa na kupata usumbufu kwenye bandari yetu
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Год назад
Haya ma rais ya nchi hii yakiongoza yanataka kuwa na nguvu kuliko mungu wa mbinguni. Hapa ndo upumbavu unaanzia. Yanasahau kama yatakufa.
@zuenamsonga5274
@zuenamsonga5274 Год назад
Hakuna kuvunja mkataba,hao wanajambo Lao wakina shoo ,mnapenda vya bure,Lipa Kodi mzee Asi
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Год назад
Mama Samia huruma yako ndiyo imekuponza. Magaidi umewatoa Gerezani, ilhali wameua watu wengi sana. Huyo SHOO sio mtu mwema kwenye nchi hii. Ni mnafiki na Tapeli na kibaraka wa Magharibi.
@deusjoseph8554
@deusjoseph8554 Год назад
Nimeamin watu wasio babaishwa nakuangalia chichote wanao angalia ukweli ni wakatolic siyo hao qachubgaji wetu wapo kwa maslahi yao na siyo yakisemea waamin na watanzania wao kwakuobgea maneno yasiyo ya adbu! Shauri serikali juu yahili
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 Год назад
Nauhakika mziki wa vurugu na vita huviwezi maana utakua mkimbizi katika Taifa lako nawewe ukitaka kujua nenda nchi za mizozo ujionee mwenyewe usiongee kama mjinga
@veronicaalfred235
@veronicaalfred235 Год назад
Waislam mnapenda vita sana eti kua makini sana na huo mdomo wako na mawazo yako mabaya Mwenyezi MUNGU asije akakuangamiza mara moja kabla hujawafanyia mabaya wenzako, Akiri zako na mipango yako hata robo haifikii MUNGU
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
Mama anaupiga mwingi tumuongezee mda afanye kazi vizuri
@samwelyesaya1202
@samwelyesaya1202 Год назад
Kama unaunga mkono kuuzwa bandari zetu hayo ni mawazo yako na siyo mawazo ya walutheri
@prophetjoelymairaministrie1778
Baba Askofu Mungu Akutunze Sana Kwa kweli una hekima ya ajabu sanaaaa! God bless you
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Год назад
HII NI HEKIMA YA KINADAMU. SIO HEKIMA YA KIMUNGU. HEKIMA YA KIMUNGU HAIPINDISHIPINDISHI MANENO BALI INANYOOSHA MANENO KAMA WATUMISHI MAASKOFU WA ROMA WALIVYONYOOSHA MANENO YAO BILA KUPINDISHAPINDISHA.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Год назад
Achana na hizo upuuzi nyingine ongelea bandari kwa maslahi. Ya tanganyika
@Michaelntambala-dw6cx
@Michaelntambala-dw6cx Год назад
Yudaaaaa
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j Год назад
Kama muna tupiga bei kubwa Tuwa achetu Mtupige?Askofu kuweni na huruma kwa kondoo wenu Ikiwekwa hapo hospitari unyonyaji utapungua kwa Masikini jamani uwepo ushindani walaji tupate unafuu Askofu wangu Mbona sadaka Tuna toa shida ikowapi? JPM Tuta Mkumbuka sana
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
Shida sadaka unampa askofu humpi maskini na yatima
@fidodido9578
@fidodido9578 Год назад
@@alzawahirabdallah2299 yeah wewe umeongea ukweli mtupu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Год назад
Ila mbele za Mungu mmechichora mbona la ulawiti na ushoga linalomtia Mungu hasira hamjakomaa mnakomaa na uchumi au linatimia watapenda pesa kuliko Mungu
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Год назад
Ccm wezi sana wananyanganya vitu vyetu
@anselmimarandu2293
@anselmimarandu2293 Год назад
Kodi ni lazima baba askofu. Kwa sababu hizo shule hawasomi bure. Tuombe tuu tupunguziwe kodi.
@EliakimDaniel-t4x
@EliakimDaniel-t4x Год назад
Mjinga wewe shule ni huduma na sio biashara kwa hiyo tumia akili
@idrisargevar4557
@idrisargevar4557 Год назад
​@@EliakimDaniel-t4xkama ni huduma mbona wanalipa ada! Very simple question
@aquilineaquiline7693
@aquilineaquiline7693 Год назад
@@idrisargevar4557 uko sawa
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Год назад
​@@EliakimDaniel-t4xkwahiyo wanafunzi hawalipi chochote ni bure?mmh dp world babalao tutasikia na kuyajuwa mengi yalojificha.
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 Год назад
Mbna izi media kubwa wanao pinga mkataba ampost ila wanao sifia mnapost tukisema mmekula ganji tutakua tumekosea tupeni chetu na sie tuusifie
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 Год назад
UKIMYA NDIO JIBU KAMILI.....Kazi iendeleee
@andyjk5974
@andyjk5974 Год назад
28:27 najua wengi wanataka hapa
@abdremaneali7818
@abdremaneali7818 Год назад
Hayo mavazi mbone ni ya damu tupu. Kkkkk, angevaa mavazi meupe.
@alfaniomary2506
@alfaniomary2506 Год назад
Hawa maaskof ndo wenye nchi nasio Zaid Leo waislan tumekua kama wahamiaj na wao ndo wenyench Na Marais kwasasa ni waislam na hawawez pia kuweka usawa juu ya hili
@estherphinehasi6817
@estherphinehasi6817 Год назад
Ubarikiwe Baba Askofu kwa risala Yako mzuri.
@jamessuleman2735
@jamessuleman2735 Год назад
DUH....!
@MichaelKomba-rp4jl
@MichaelKomba-rp4jl Год назад
Mkataba ni mbovuu,tunawpaje waarabu bandari je wakijakutujeuka inakuwaje?viongozi wlichotakiwakukifanya nikuwmbia waarabu hivi nyie si mnawezakuendeshabari,ok sawa njooni tuwajiri sisi tutawalipa kulingana nakipatomtakachokuwa mnakusanya kipitia bandari yetu nasikuwaapa mkataba wao ndo wamiliki bandari noooooh.tenahatahivyo wafanunye kazi chini yauangalizi waulinzi wajeshi latanzania,hapondipo tungeelewa lakini etikuwapamkataba hapanaahiiyooo.mgufuli alikuwa anakataa sana mambo kamahayo namaisha yalisongambe le kama kawaida.naametuachia miradi mingi tuu watuwanakimbizana kwaajili yakuiendeleza,je huyoalitoa bandari?
@SalimaOmary-sf4qe
@SalimaOmary-sf4qe Год назад
Shida nini mbona mama yupko wazi sana au mnataka mama awe dikteta
@BeatriceHenry-t3i
@BeatriceHenry-t3i Год назад
Mungu wetu atasimama maana yeye niwa haki .si rahisi hili Swala kama watu wafikiriavo watu wamepefuka akili
@nassirjuma5780
@nassirjuma5780 Год назад
Tanzania haiwezi kukua kiuchumi hata ciku moja rabda tutoke kwenye mikono ya wazungu bado tumetawalia na umoja hatuna maaskofu munaendeshwa na wazungu badilikeni kwa kutafuta maslai ya nchi wazungu ci watu wazuri
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Год назад
Huyu Askofu ni bonge la mnafiki sijawahi kuona duniani, lijinga linalo support wezi
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 Год назад
Kama askofu (Shoo) haoni ubaya wowote ktk mkataba huo na DPW, basi hawezi kusaidia kuondoa maovu popote yalipo! Na kama lengo lilikuwa ni "kutokumnyima raha mh Rais akiwa mgeni wake rasmi" basi angeepuka kabisa kulizungumzia suala hilo.
@paulndosa2649
@paulndosa2649 Год назад
Askofu kasema Kanisa lilimpelekea Rais kwa maandishi maoni yake. Hajasema walishauri nini. Hilo ni Rais anajua. Sio kila kitu ni cha kuweka hadharani.
@FahimuKamugisha-ji5mx
@FahimuKamugisha-ji5mx Год назад
Mungu ni mwema kweli nyiny KKT n watu wa mungu tumeamin kuwa nyie KKT n watu wengne kutoa wale maaskofu katoriki wa Jana tuliwashaangaa San Kwa maneno Yao ambayo haya hekma ndani yake tumeamin kuwa nyiny ni watu wa mungu tukafanye Kaz ya mungu na serikali ifanye Kaz yake
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
Huoni anamumunya manene KATOLIKI hatuna unafki tunamwogopa MUNGU tu siyo binadamu
@chrisogonivulstan414
@chrisogonivulstan414 Год назад
Kama unahekima waombee. watu wa Mungu si dini, Mungu anawajua walio wake.
@SeuriDaudi-i4r
@SeuriDaudi-i4r Год назад
askofu sema ukweli wacha kumukwepa samia kwa kumuogopa kumwambia ukweli ambia rais hatutaki mukataba wa kupeana bandariyetu milele afute nimimi seuri daudi nikiwa kenya
@JosephatJoseph-eo8xj
@JosephatJoseph-eo8xj Год назад
Askofu uwe mkweli mkataba huu hatuhitaji
@AlfaSaa-j4h
@AlfaSaa-j4h Год назад
Kkt hapa mmekosea kusema msimamo soft
@jactonlowa2479
@jactonlowa2479 Год назад
Tunaomba ufafanuzi kuusu uwekezaji wa bandari unaungaje??
@ToronthoJinakubwa-bs7sk
@ToronthoJinakubwa-bs7sk Год назад
Kutoka lwati mbozi songwe tz Tunawapata live
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp Год назад
Jamaa anaomba msaada kwa rais iliapata msaada wakuendesha taasisi za kanisa ndiyo maana hatakikumwambia ukweli mtawala juu ya mkataba huo badala yake anamung'Unya maneno
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Год назад
Mkataba uvunjwe paaaa
Далее
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 468 тыс.
The Story Book: Mike Tyson Aliyebarikiwa na Kulaaniwa
49:27