Тёмный
No video :(

AY - Kushinda Kesi Ya Mabilioni | Biashara Nje ya Muziki | Kufanya Movie USA - Part 2 

Bongo Project
Подписаться 4,2 тыс.
Просмотров 3,5 тыс.
50% 1

Tunaendelea mazungumzo na AY, humu ndani amefunguka Mengi ikiwemo biashara zake nje ya muziki, kushinda kwao kesi ya mabilioni na mishemishe zake nyingi za USA
#AY #bongofleva #bongoproject
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@samirmswahili
@samirmswahili 3 месяца назад
Nakubal bro shukran kwa kunifikishia swali langu wachatusubirie
@bongo_project
@bongo_project 3 месяца назад
Pamoja sana
@user-ff2es2tf1p
@user-ff2es2tf1p 3 месяца назад
The way he answered he looks very humble respect legend
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 месяца назад
Zile pesa ziliwabeba sana
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 3 месяца назад
PESA zipi
@user-nn3py9nj8l
@user-nn3py9nj8l 2 месяца назад
As Y msiri Sana..... Kuna swali kaulizwa nje ya muziki nn anafanya.... Amejibu vichache Sana..... Ila ana vyanzo vingi vya mapato... Mf: ana mshamba makubwa Sana nje ya nchi analima Chai....😅
@abuuawalina2625
@abuuawalina2625 3 месяца назад
Nathani wameelewa sasa. Maana ukiwaambia watu, mtu wakwanza kufungua milango nje ya nchi, sio Diamond. Bali ni A.Y Nathani wameelewa, Mondi kujinadi tu, wakati hata yy huko nje Connection yake aliipata kupitia AY
@munjy11tutorials
@munjy11tutorials 2 месяца назад
Hebu mtangazaji next time muulize AY nini kilimsukuma kuandika ule mstari Take money money, get money money, make money money, weka mkwanja mezani ndio kisha nichane......
@Nuru-zr2yv
@Nuru-zr2yv 3 месяца назад
Ambwene yessaya mtu na nusu
@dullymanso3069
@dullymanso3069 2 месяца назад
Jinsi ulivyomuhoji AY kwa heshima zote, vivyo hivyo pia iwe kwa Malegend wote hata wale ambao wanaonekana hawajajipata. Kuna aina ya maswali na uundaji wa maswali yenyewe haukuwa wa kimiyeyusho.
@bongo_project
@bongo_project 2 месяца назад
Kaka tuna heshima kwa wasanii wote…na kila msanii ana vibe lake. Haziwezi interview kufanana… Anyway, shukrani kwa support
@dullymanso3069
@dullymanso3069 2 месяца назад
@@bongo_project point noted Kaka. All in all kazi nzuri. Interview hizi kwa Wakongwe zinasaidia kuweka record vizuri ya wapi Muziki wa Bongo Fleva umetoka.
@bongo_project
@bongo_project 2 месяца назад
@@dullymanso3069 Swadakta. Na hilo ndio lengo kubwa la Bongo Project
@chenjimbaya4866
@chenjimbaya4866 18 дней назад
akuna kipaji Cha music apo Muna msifia tuu chuplichupli
@bongo_project
@bongo_project 18 дней назад
Hatujaelewa…umesemaje?
Далее
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
Easy TZ - Fall in LOVE ( Visualizer)
3:41
Просмотров 1,9 тыс.