Тёмный
No video :(

THE CLASSIC AY PT2 ep2 :BINADAMU SIO WATU/BONGO WASANII HAWABEBANI NI SHIDA/ 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Hii ni sehemu nyengine ya mahojiano yetu sehemu ya pili na AY ambapo anaendelea kugusia mambo muhimu kuhusu muziki wake,nafasi ya wasanii wa Tanzania,Hiphop ya Africa Mashariki sambamba namna ambavyo wasaii wa Tanzania wanavokwamishana kufikia malengo makubwa kimataifa

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@gnmbi
@gnmbi 4 месяца назад
Masta embu awape ile story ya kwenda Kenya Scandinavia bus linu lika chemka ika bidi wapande Scandinavia la kwenda kamapla ikabidi nikupe seat mm na bi mkubwa wangu tubanane masta ukae 😂😂😂😂😂
@VascoSayota
@VascoSayota 3 месяца назад
Jamaa namkauri sana Hana majigambo kabisa masta
@gnmbi
@gnmbi 4 месяца назад
"Baagala alina (wana mpenda mwenye kitu) genda ukole (nenda ukafanye kazi)" THE MEANING OF THOSE LUGANDA WORDS
@georgejoshua3524
@georgejoshua3524 3 месяца назад
Bonge moja la interview..AY ni Legend
@manwoka4078
@manwoka4078 4 месяца назад
Kila kitu kipo sawa kwenye Interview zako Jabir ila unachozingua ni kutokuziweka nyimbo unazozicheza kama Classic Songs.Hapo fanya mabadiliko weka nyimbo hizo,tatizo nini?
@johnluyego9353
@johnluyego9353 3 месяца назад
Tatizo wanasikiliza wenyewe kweenye ear phone, vyema wote tusikilize ili twende sawa
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y 4 месяца назад
jabir hiv kwann ujamuuliza alivyo ondoka Kwa GK maana Hilo swali nilitegemea Sana au mpk episode nyingine
@user-fz1kh9in2c
@user-fz1kh9in2c 4 месяца назад
Shalout kwa AY
@KFCL_
@KFCL_ 4 месяца назад
Ambwene ni icon kwetu Tz 🎉
@munjy11tutorials
@munjy11tutorials 4 месяца назад
Nina asilimia 99% katika watu hawatakosa kuja kuperform na AY master katika bongo honers ni Prezoo naomba muipin hii comment.🎉
@barakambigi3522
@barakambigi3522 4 месяца назад
Jagwa,sauti soul na chamelion
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y 4 месяца назад
💪💪💪💪💪
@chandengao8795
@chandengao8795 4 месяца назад
Brother Ommy leo hauko poa Nashauri usifanye ex.interview ukiwa katika hali hiyo najua mnahuzuni na msiba wa mtangazaji mwenzenu ni vyema kuacha kuwahoji hasa wasanii wenye jina kama huyo ulonaye
@KuviFacts
@KuviFacts 4 месяца назад
Ommy ni nani?
@BETConlineTVTZ
@BETConlineTVTZ 4 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-1qSlTNDn4LU.html INSTUMENTAL BEAT PIGANA NA MUNGU BY OBY ALPHA
Далее
Simple Flower Syrup @SpicyMoustache
00:32
Просмотров 2,3 млн
УГАДАЙ ЕДУ ПО ЭМОДЗИ! #shorts
00:57
Просмотров 130 тыс.
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 379 тыс.
Mkasi - SO4E05 with Prezzo
28:18
Просмотров 156 тыс.