Nitamwokoa ndugu yangu wa damu coz wanaume wenyewe tiatia maji kesho leo kakutoboa macho kaenda kuishi na mke mwingine hawakawii kubadirika ila angekuwa mwanangu ningechagia mtoto wangu
Hiyo ni kuongea tu. Inalingana ni jinsi gani umeishi na mumeo na pia kama mna watoto mnalea and most importantly kama yeye ndio breadwinner, kaka ataungua tu. Hawa wenye wanasema watamwokoa kaka ni juu wanaishi kwa kuvurugana na waume zao na pia hata usishtuke wengi wao hawajaolewa. Wanadhani wanaulizwa kuchagua baina ya kaka na boyfriend. Boyfriend sio mume.
ni kweli, hapo inategemea mambo mengi sana coz pia unaangalia maelewano yako na kaka yalikuaje na mapenzi yako na mumeo mlikua mwaishi vp. unaweza mchagua kaka ila je ataweza kukulelea wanao na kusmamia majukumu ambayo mumeo anayasmamia? kupata mume mwengine sio jambo la uhakika na pia ukimpata anaweza asiwe kama yule
Hiyo ni kuongea tu. Inalingana ni jinsi gani umeishi na mumeo na pia kama mna watoto mnalea and most importantly kama yeye ndio breadwinner, kaka ataungua tu. Hawa wenye wanasema watamwokoa kaka ni juu wanaishi kwa kuvurugana na waume zao na pia hata usishtuke wengi wao hawajaolewa. Wanadhani wanaulizwa kuchagua baina ya kaka na boyfriend. Boyfriend sio mume.
muokoe kaka yako wadamu kwa sababu ukimuokoa mume wako wa ndoa kaka yako wadamu atakufa nakumbuka ya kwanza mme wako akiungua na moto uta tafuta mume mwingine lakini kaka yako wa damu akiungua na moto na kufa hutompata kaka yako wa damu mwingine kwa hiyo muokoe kaka yako adamu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉