Mnatoa kazi nzuri lakn mm naushauri muwe mnatoa move mnamaliza pia angalieni upepo uko wap mfano siku moja kabla ya ndoa Iko good saaana kwa hio mnge focus kumaliza Ile then move nyingine
Sisi tunafanya love story ukitaka za kutisha nadhani unawajua wanao fanya za kichawi nenda kaangalie siku ukimiss love story unakuja donta unaangalia rafiki 😊
Iyo naiona mbali sana kuliko kesho yangu kuliko hata penzi la dada wakazi kiukweli iyi naiona mbali sana kazi zenu nazifatiliyaka sana iyi iko bomba sana ❤❤❤❤❤
Namupenda tina sana na laveness nawapenda kabisa❤❤❤kelvin naweye nakupenda gisi unacheza❤brown nimukari yiko kama ex wangu arikuwa ananifokeya sana 😂😂😂nikasema uwu akinitia ndani ataniuwa nikasepa zangu😅😅😅 nawapenda sana jamani kutoka BURUNDI🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮