Тёмный

AZIZ KI ANA MGUU WA PESA /LOMALISA NI MTU NA NUSU/MORRISON ATAWAKERA SANA /MSIKIE MTOTO ADIL YANGA.. 

Mpenja TV
Подписаться 554 тыс.
Просмотров 159 тыс.
50% 1

Leo Juni 16 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Shabiki maarufu wa Yanga anayejulikana kwa Jina la Adil Yanga akiwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa huku akijibu maswali magumu ya Mtangazaji wa Mpenja Tv Alwatan Abdulazeez.
.
Adil ni mtoto mwenye umri wa miaka 8 ana uwezo mkubwa wa Kuchambua Soka.
Fungua video hii u-enjoy Mahojiano haya.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 73   
Далее
BILLNASS PERFORMANCE YANGA DAY
1:34
Просмотров 20 тыс.