Тёмный
No video :(

Magufuli akijadiliana na Makamu wake kuhusu Machinga kupangiwa maeneo ya biashara 

Taifa Digital
Подписаться 599 тыс.
Просмотров 2 млн
50% 1

Magufuli akijadiliana na Makamu wake kuhusu Machinga kupangiwa maeneo ya biashara

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,4 тыс.   
@hellenvincent1809
@hellenvincent1809 2 года назад
Maneno yako yayarndelea kuishi baba,duuuu!!!tumepoteza Jembe hasaaa🌹
@wilsonemanuel9915
@wilsonemanuel9915 2 года назад
Maneno ya baba nimazuri sana jaman tufate nyendo zake? Puzika baba malipema popon Amen
@HenriquesBernabeNdona
@HenriquesBernabeNdona 4 месяца назад
Henriguebernabena
@danielworshiper6002
@danielworshiper6002 2 года назад
LEGENDARY umeenda lala salama Magufuli wetu..... Wanafki walikua wanakusikiliza na wanasema nenda mwana kwenda tuwakomesha hao wanyonge wako ...... Nasikia mguno kana kwamba wako pamoja na mzungumzaji...daaahhhhh inaniuma sana
@zaharaamdilah6602
@zaharaamdilah6602 2 года назад
Hatamimi inaniumasana jamani jamani hatuta sahau
@robosia2915
@robosia2915 2 года назад
Mungu atawachoma na radi hao wanaouza nchi yetu. Mungu akulaze mahali pema peponi. 😭😭😭😭😭😭
@nuruawadhi8841
@nuruawadhi8841 2 года назад
Mungu tunakuomba ututendee Jambo mbona wamemsaliti mnoo baba yetu hivi haya mama hayakumbuki kwelii😭😭😭 hajui km mwili llkn nafsi ipo yarabi wahukumu wasiotenda haki mambo yamerudi km zamani
@asiamussa3780
@asiamussa3780 2 года назад
Na anavyoitikia kinafki sasa!!
@jacksonpascal5259
@jacksonpascal5259 2 года назад
Huyu mama anavyo hitikia sasa kama mtu mwema vile watanzania tunapata shida we kazi kuzurula nchini kwa watu 😭😭R.I.P JPM
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Год назад
Kampangua .vitambulisho kavitoa
@dickikahese9681
@dickikahese9681 Год назад
Wapumbavu nyie waislamu wakiongoza nchi mnakuwa na maneno ya chokochoko sana kwanini
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 10 месяцев назад
​@@dickikahese9681Wewe wanakupumulia nn sasa swala la uislam limeingiaje au unadhan ni nchi za kiarabu hizi pumbavu mkubwa 🚮 mtu anapimwa kwa matokeo anayoyaleta sio udini Kama inakuuma sana kaishi nchi za kidini hutoona uislam unasemwa pumba 🚮
@kelvinenyareso5269
@kelvinenyareso5269 2 года назад
As a Kenyan and African, I greatly miss the dedication of this man. History will never fail to recognize your effort. RIP JPM
@kibeteliazersabbathmusiced5820
@kibeteliazersabbathmusiced5820 2 года назад
Pia NAMI ndugu. Kenyatta na Raila waache kuteit wakenya mbaya. Watu walifukuzwa mau
@faidhaithnine4955
@faidhaithnine4955 2 года назад
Has
@calebcaleb3193
@calebcaleb3193 Год назад
Hapo utajua nini ambacho ibilisi anawaza juu ya maana wa mungu jipm sisi mamilioni ya watanzania tutakuombea usiku Na mchana kila Delila kamwe atakaa akaye Na amani
@mesutnyaryanga8932
@mesutnyaryanga8932 Год назад
As Africans - we will never move on if we do not get this kind. Mtu anaetaka kufanya maendeleo kwa ajili ya watu na sio vikundi vya watu.
@emamkuyu4061
@emamkuyu4061 2 года назад
Jamani jamani aliyemuua ni nani? Basi huyu baba damu yake iwarukie wahusika wote ikiwa ni pamoja na waliofurahia kifo chakee Hakika alijitoa kwa ajili ya Watanzania Maskini.Tutakukumbuka daima JPM.
@mamausilamy1360
@mamausilamy1360 2 года назад
Aliemuua aliemleta dunian kisha akampa roho
@neemayusuphu4266
@neemayusuphu4266 2 года назад
Samia leo kamgeukia
@naalyhussen3253
@naalyhussen3253 2 года назад
Unafiki sio mzuri . Ila wajue kuna kuulizwa kesho kesho kwa mungu baada ya kifo ila punzi ndio zina waadaa
@vanessajohn6046
@vanessajohn6046 2 года назад
Kwelikabisa yaani huyu mama anaitikia kama sio alikua sasahivi amani huumsiba hautoisha molele kumbe aliaona mapema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mjeshimsofe9730
@mjeshimsofe9730 2 года назад
@@neemayusuphu4266 kamgeuka kvp? Kila rais na mbinu zake kulingana na sheria za nchi....
@sylvesterbukoro6182
@sylvesterbukoro6182 2 года назад
Baada ya,mwaka mmoja...Magufuli amelala naamin wabaya watasema waliyomfanyia lbda kama sio Jiroma...pumzika kwa aman my school mate chato shule ya msingii😭😭😭😭
@leahgabriel6507
@leahgabriel6507 2 года назад
Pumzika kwa Amani baba. 😭😭😭
@rwenenahomechannel1634
@rwenenahomechannel1634 2 года назад
Komenti yako inanitowa machozi.Magufuli atakumbukwa daima si kwa mabaya. Alikuwa ni mtu mwenye utu ndani yake. Wenye akili tutamuenzi.
@reginasawe3356
@reginasawe3356 2 года назад
😔😔😔😔
@naimaseif7615
@naimaseif7615 2 года назад
😭😭😭
@gongojr2369
@gongojr2369 2 года назад
Hii clip ni fundisho tosha Sana kwa viongozi wetu wa Sasa wanaotuongoza, wakuu wa mikoa, wabunge, na wenye viti, fanyeni maagizo ya hayati Baba Magufuli.
@msukumatmf325
@msukumatmf325 2 года назад
asee huju Jamaaa Asio Urahisi tu Alikua Ana akili Yakipekee na Utu. Kwa mimi kama nikifanikiwa kuwa mzee ninacho chakusimulia waijukuu wangu.
@eliudmwakasendile9408
@eliudmwakasendile9408 2 года назад
Well said ndugu, huyu mtu alikua hazina kubwa ya taifa letu
@halunisitafodi5792
@halunisitafodi5792 2 года назад
Yes
@libbemwamposhi4305
@libbemwamposhi4305 2 года назад
Yes huyu mtu ni kama alikusudiwa na MUNGU jamanii 😭😭😭😭
@stevenmeshack467
@stevenmeshack467 8 месяцев назад
Naomba mungu snaaa ajee Rais mwingine kama uyuu magufuliii
@hadijandope6991
@hadijandope6991 2 года назад
We miss 😢 you so much. Am a Kenyan but loved this guy. A true leader he was chosen by God.
@elvissialala2068
@elvissialala2068 2 года назад
rest in peace magufuli tunakupenda sana mi ni mkenya
@maureenmuma7515
@maureenmuma7515 2 года назад
I am a Kenya but I really miss this gentleman. A wise leader indeed 😭😭
@magellasaid3693
@magellasaid3693 2 года назад
Machozi ya watanzania masikini ikawe faraja kwako upate pumziko la milele baba! Hotuba zako siku zte hukuacha kututetea watanzania masikini, hakika tutakukumbuka daima umeweka alama ndani ya mioyo ytu JPM! Allah akulipe kwa wema wako baba, AMEEN.
@mwanamkuurashid7782
@mwanamkuurashid7782 2 года назад
Ccm vitendo mnavyo tufanyia nailihali tuliwajiri sisi wenyewe kwakura zetu atupigi tena kura.
@zenasimango6801
@zenasimango6801 2 года назад
MUNGU amuondolee Adhabu ya kaburi
@abdallahmagongo4403
@abdallahmagongo4403 2 года назад
@@zenasimango6801 Duh!
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 2 года назад
Amen..Amen kizuri hakikai R.L.P. Kamanda
@mayagilokasuka6045
@mayagilokasuka6045 2 года назад
Etisamia anaitikia tu mmmmm ovyoooo
@eutychusthiongo1335
@eutychusthiongo1335 2 года назад
Rais wa awamu ya Tano hakuwa mtu wa kawaida.He should be made a Saint
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 года назад
Sad mungu jamani
@issabilali3539
@issabilali3539 2 года назад
He is already a Saint Magufuli
@samwelcharles4296
@samwelcharles4296 2 года назад
Hapa tumepigw duu r.i p magu haitatokea
@user-iv2qg2hw2b
@user-iv2qg2hw2b 2 года назад
Kitamu hakidumu
@happnessjohn839
@happnessjohn839 2 года назад
"ni lini watanzania maskini watakuwa wawekezaji katika nchi Yao" Magufuli. ..😭😭😭moyo wakizalendo sana,
@youngdaddy3085
@youngdaddy3085 2 года назад
So hurting wallah
@gaspermganga8900
@gaspermganga8900 2 года назад
Dah it’s sad 😞
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 2 года назад
Kabisa hujakoseya inahitaji sana kuwa na moyo wakizalendo
@braysonsimbo4435
@braysonsimbo4435 2 года назад
,, ..
@fundileani1007
@fundileani1007 2 года назад
Laaana ziwashukiye wale wote walio support kifo chako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Mwenyezimungu akufanyie wepesi Mzee wetu
@davidwainaina3899
@davidwainaina3899 Год назад
I'M from Kenya since the death of president sir teacher professor pastor JPM loosed the Hope of AFRICAN,RIP loved him from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✝️✝️✝️✝️✝️🙆🙆🙆🙆🙆
@gracemima5234
@gracemima5234 2 года назад
Samia anayakubali yote ya Hayati Magufuli. Sasa hatunaye mama kavaa viatu vya Kikwete., kavivuwa viatu vya Magufuli.,Huyu ndiye kiongozi aliye wathamini Watanzania. Na alikuwa akisema kweli bila unafiki wala kuogopa mtu. Ameacha kumbu kumbu nyingi sana kwa Watanzania. Legacy hamuwezi kamwe kuizika naye. Watanzania watamuemzi daima
@evasadala7768
@evasadala7768 2 года назад
Huyu mkara co yeye uongozi wa juu unaagiza kufukuzwa wamachinga watafanyaje ndo yie wajinga mnasifia huyu Bibi anaendesha nchi vzri yni mkimchagua huyu Bibi tena mnataka mgawanyike mkitakakuona huyu rais hafai saiv kla ktu kinasuasua . Miradi ya magufuri yote ss inasuasua .watu wanafanya kazi wanavyo taka kla mtu hapa anavimba kivyake wanaume jipangeni kunusuru hii nchi amesha jua ulaya
@hymtv8504
@hymtv8504 2 года назад
Machozi yananitoka, huyu Baba Mungu amuweke pema peponi, lkn kama tulivyompatia Mwl. Nyerere hadhi ya Baba wa Taifa ipo haja ya kumtafutia jina zuri la kumuenzi
@ericmgalla2590
@ericmgalla2590 2 года назад
Samia haez kazi ya Magu,atapokea ruswa na awafukuze
@rozaliarwezaula6924
@rozaliarwezaula6924 2 года назад
Ukute tunaongonzwa na kikwete bila kujua
@msalikemedia
@msalikemedia 2 года назад
@@rozaliarwezaula6924 Hahaha nimecheka kama mazuri kwakweli nch imepatwa
@ngolwetv3523
@ngolwetv3523 2 года назад
Nikweli!! Ukitak watu wakuchukie sema kweli simamia haki za watu wa chini!! Mungu akusameh mapungufu yako, hakun binadam aliekamilika.
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 2 года назад
Ukweli na kutaka haki ni uhalisia wa Mungu. Uongo, unafiki na hila ni uhalisia wa shetani. Wewe unapenda uhalisia upi? Mungu yupo!
@ludanishayo1851
@ludanishayo1851 2 года назад
R.I.P Rais wa wanyonge! Mungu akusamee mapungufu yako akupokee kwake mbinguni!! Amin.
@elizafumbuka9377
@elizafumbuka9377 2 года назад
Amina
@isackmtepa4955
@isackmtepa4955 2 года назад
Mbona uyo mama Amekugeka mzee
@ndayambajefaby4864
@ndayambajefaby4864 2 года назад
@@elizafumbuka9377 ipoxku
@ndayambajefaby4864
@ndayambajefaby4864 2 года назад
Unxemje
@mouhameddiallo7483
@mouhameddiallo7483 2 года назад
I don’t understand the language but I am pretty sure he is one of the best presidents in Africa…. Because of hol I want to go live in Tanzania after my studies in Europe.!
@janeshigami8769
@janeshigami8769 2 года назад
Am a Kenyan 🇰🇪 ; there is no President I loved in Africa like Dr. Magufuli.....Infact I used to tune to TBC Channel just to hear something from Dr. Magufuli... I was heart broken when he died.... R.I.P. Dr....
@festofeisag392
@festofeisag392 2 года назад
Uko sawa broker angu
@pilimohamedi794
@pilimohamedi794 2 года назад
Mama kimbo
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 2 года назад
Asante
@janeshigami8769
@janeshigami8769 2 года назад
@@pilimohamedi794 😄😄
@twahathomas3514
@twahathomas3514 2 года назад
Now tunakiona cha moto the late president and the present presdnt are very different ppl. Huwa hata sisikilizi tena taarifa ya habari
@dancanaloo8434
@dancanaloo8434 2 года назад
Magufuli am a Kenyan yes but forever yu will remain in my heart
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 2 года назад
Pumzika kwa Amani baba yetu, Lala mzalendo lala
@abdioxboy8396
@abdioxboy8396 2 года назад
Tutakukumbuka daima mzalendo wa kweli shujaa wetu
@ahmadkilili4204
@ahmadkilili4204 2 года назад
Wako
@happymrema7723
@happymrema7723 2 года назад
So sad
@evamwakifulefule9073
@evamwakifulefule9073 2 года назад
Yaani kikulacho kinguoni mwako.
@eliasduuly9447
@eliasduuly9447 2 года назад
Umeonae🤭🤭😭
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 2 года назад
Yaani uyu baba daa sisituu tunaumia ivi jee ndungu zake 😭😭😭😭😭😭😭😭
@asherykityaba9648
@asherykityaba9648 2 года назад
Sinachakusema mungu tusaidie maana tunapokwenda mungu ajua
@onesmoelias8509
@onesmoelias8509 2 года назад
Dada yangu nihuzuni tu yan kumpoteza mtu wa namna hii mwenye maono yanamna hii nisawa na galika ya nuhu
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 2 года назад
We love you and people of Tanzania we really need and miss you Sir
@mcmi469
@mcmi469 2 года назад
Kindly, Would you please arrange for English subtitle so that we may all understand these Great speach of our beloved African Great president Dr. Magufuli!? 🙏
@LEDAMASUKE
@LEDAMASUKE 2 года назад
Enrollment for Kiswahili classes recommended
@chachamagoti2400
@chachamagoti2400 2 года назад
We c msukuma inakuaje hujui kiswahili. Wabongo bhn
@happypascal9557
@happypascal9557 2 года назад
Baba was Rehem mungu Wa I man I umemchukua MTU muhimu tutakukumbuk daima uliongea utazn nabii ndio kinatokea sasa
@mcgb5725
@mcgb5725 Год назад
Ulkuwa baba wa kwel Mkuu endelea kupumzika kwa Aman .tutakukumbuka daima President John Joseph Pombe Magufuli.
@kelvin7ithuiumwasamaki987
@kelvin7ithuiumwasamaki987 2 года назад
Jamani me naomba mmoja anieleze ubaya wa Magufuli ulikuwa wapi!!? Mbona me sioni Kuna wapumbavu huwa wanamponda Sana huyu mzee!! Magufuli daaaaaah alikuwa bonge la rahisi!!
@gamc773
@gamc773 2 года назад
Hata sijui
@jassonfurgence6180
@jassonfurgence6180 2 года назад
Huyu mtu alikuwa shujaa na wakipekee sana, mimi nilimuelewa sana tena mapema mno alipoingia madarakani kwani nyota njema uonekana asubuhi!!.
@kelvin7ithuiumwasamaki987
@kelvin7ithuiumwasamaki987 2 года назад
Kweliii vizury havidumuuu
@livingstonekabantega
@livingstonekabantega 2 года назад
Nimetafakali ubaya wake siuoni
@kelvin7ithuiumwasamaki987
@kelvin7ithuiumwasamaki987 2 года назад
@@livingstonekabantega me nashangaa Sana ndugu yangu unakuta watu wanasema Timu Magufuli et tunapata shida et Mama anaupiga mwingi.. wanashindwa kusema wazalendo tunapata shida jins Mambo yanavoenda kombo!!
@mrdeniskomba6199
@mrdeniskomba6199 2 года назад
MB zangu zimetumika kihalali. This is the president of Africa. Kwa Umri wang sijawahi kuona Raisi mwenye uchungu na upendo kwa wanainchi wake hasa wanyonge kama jpm
@rehemafungo5042
@rehemafungo5042 2 года назад
Hakika😭😭😭
@hassanhalletu1475
@hassanhalletu1475 2 года назад
Will never happen a such president
@J4UPro
@J4UPro 2 года назад
Hakika
@annachristopher3460
@annachristopher3460 2 года назад
Rlp dady tunakukumbuka Sanaa Mungu akupokee umefanya kazi Sanaa .
@zawadhassan5144
@zawadhassan5144 2 года назад
Yani weacha tu
@mountzionrestoration4228
@mountzionrestoration4228 2 года назад
We lost an able bodied leader, a down to earth president. Continue resting in peace
@alexiasimba3707
@alexiasimba3707 2 года назад
In vizuri viongoz waamin kuwa Makufuli alikuwa jembe na wafuate maagizo yake watu hatulingan Mwenye uwezo muige mambo mema take mabaya yaachen huyu tulipewa na Mungu maisha hayako vizuri KWA sasa Raid Samia asiamin kuwa maisha yako powa vitu viko juu saana bidhaa kuliko miez michache aliyokuwapo mtetez wa. Wanyonge asiwaulize watu WA juu maisha awaulize wanyonge maisha yamezid ugumu amuombe Mungu amsaidie
@AlyShomari-gj3hb
@AlyShomari-gj3hb Год назад
Daaah!!!!! Yaani kiukweli nilikuwa nakukubali sana Rais wangu ila naamini mungu alikupenda zaidi na ndo maana amekutanguliza ili ukaongoze malaika wake
@RapandoFranklin
@RapandoFranklin 2 года назад
Africa would be a heaven if it had leaders like Magufuli in every country
@iddyfadhili4430
@iddyfadhili4430 2 года назад
Magufugi was really an advocate of the less fortunate
@taufiqkimpa904
@taufiqkimpa904 2 года назад
Tunakukumbuka kwa mazuribaba uliotufanyiaaa ilasasa joto la jiwe tunalionaa
@twahathomas3514
@twahathomas3514 2 года назад
Kiongozi mzalendo huleta maendeleo kirahisi kwenye nchi kwa kutumia rasilimali chache tu.
@jamalhussein4052
@jamalhussein4052 2 года назад
YOU NAIL IT SIR
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 2 года назад
Magufuli atabaki mioyoni mwa wanyonge kwa muda mrefu sana.R.I.P JPM.
@happymrema7723
@happymrema7723 2 года назад
Hakuna tena rais kama Magufuli
@esterkanuda5002
@esterkanuda5002 2 года назад
Kabisa
@adamsaid6217
@adamsaid6217 2 года назад
Yani kira nikiona hizi naumia san
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 года назад
@@adamsaid6217 Usiumiye yeye yake yashamuishiya. Sasa jifikiriye wewe bado uko Duniani. Mungu amlipe kwa mazuri yake aliyo yafanya hapa DUNIANI.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 года назад
@@happymrema7723 Watakuja wazuri...wengi tu...na huyo alokuwepo pia ni mzuri kwa time yake...Mungu amsaidie..Hujuwi labda wewe utakuja kuwa Rais siku zitakazokuja...Tulijuwa kama Magufuli atakufa??? Siku yake ilifika. Ilisikitisha sana....
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 года назад
MKUU WA MKOA DAR, JIUZULU MWENYEWE HATUKUTAKI.
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 2 года назад
Ww wasema
@yuzotv458
@yuzotv458 2 года назад
@@hamisijuma3276 WEE HUONI WANAKIUKA KABISA MAAGIZO YA RAIS,AU KWASABU KASHAKUFA NDIO ASIHESHIMIKE???. HUYU MKUU WA MKOA HAFAI KABISA.
@abdallahngakola6125
@abdallahngakola6125 2 года назад
Nikweli ajiuzuru
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 2 года назад
Aya afe tu,ananyanyasa watu hawana Raha KBS
@J4UPro
@J4UPro 2 года назад
Kweli
@fetychina3273
@fetychina3273 2 года назад
😭😭😭hii laana itatembea na kila msaliti
@gamc773
@gamc773 2 года назад
Kabisa mama ni msaliti sana hata lisu kasema jana
@kikotikikoti7176
@kikotikikoti7176 2 года назад
Jamani huyu mama hajawahi kuwa kiongozi wa kuchaguliwa yeye alikuwa ni was kuteuliwa tuu
@ndomimielpidi5832
@ndomimielpidi5832 2 года назад
Hapo ndo kuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ili kuwekwe scope ya taifa ili kila kiongozi awe anaifuata,, sio kila kiongozi aje na mambo yake..
@fetychina3273
@fetychina3273 2 года назад
@@gamc773 🥰
@christinanonde9056
@christinanonde9056 2 года назад
Laana itamgusa kila msalati mungu hulipa kwa matendo uyayendayo malipo yapo tena yapo watalipwa
@shamreenkhaemba3674
@shamreenkhaemba3674 2 года назад
I'm a Kenyan but I really loved this president,it still hurts me that he is no more,just because of those who thinks they will never die ,may they the killers never never know peace,may they never go unpunished ,you kill with a sword you die with the sword,may sorrow never leave your homes you wicked people
@emmalunojo5791
@emmalunojo5791 2 года назад
Absolutely!
@seraphinjj2012
@seraphinjj2012 2 года назад
Whenever we get something good in Africa, it doesn’t last long. RIP in peace baba. 💔💔💔
@bertaberta8143
@bertaberta8143 2 года назад
I you vii
@KIZOB
@KIZOB 2 года назад
We sell our own in Africa
@zippileiyok4261
@zippileiyok4261 2 года назад
I think God hate us too
@saidowpuffdaddy7898
@saidowpuffdaddy7898 2 года назад
But why
@francismuhuga8158
@francismuhuga8158 2 года назад
No no noo God doesnt hate any human being but we africans we dont love each other, we are selfish, hated and Evil. Tunashirikiana na wazungu kuwaua wenzetu ili wazungu waje wachume watuwekee pesa ulaya migogoro haiwezi kuisha madini hayatusaidii wala viongozi waadilifu hawatakiwi afrika anauwawa na sisi wenyewe kuwatumikia weupe. Tazama Rais wa Burundi 🇧🇮, Tanzania 🇹🇿, Rais Sankara, Patrice Lumumba, Gaddafi, Nkuruma nk wako wa wapi maana umasikini wetu ji kero kwa western kama china 🇨🇳, Korea, Turkey, Iraq, Iran nk ona walivyokero kwa western.
@emmanuelshavunza4314
@emmanuelshavunza4314 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭,,, daaaah aiseeee machozi yamenitoka,,, Eeeee Mungu tukumbuke.
@jamesmasila6873
@jamesmasila6873 2 года назад
Pole Sana Emanuel
@samwelilaizer4420
@samwelilaizer4420 2 года назад
Ewe Mungu wangu tusaidie asa machinga
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 года назад
Mungu anisamehe kwa hili huyu baba walimuondoa ili wafanye mambo yao kabisa eti mtu alikuwa anaitikia kumbe ni snitch tu anayoyafanya sasa tofauti
@darlenepaschal4912
@darlenepaschal4912 2 года назад
apo sasa
@patrickmbaji2737
@patrickmbaji2737 2 года назад
Bhana wee mjinga huyu mama twawaonea huruma tukiwa Kenya
@nobertkavishe8835
@nobertkavishe8835 2 года назад
Anaitikia mh mh mh🤣
@tamastajeremiah9057
@tamastajeremiah9057 2 года назад
Tunajjitaji MUNGU
@ayobow2468
@ayobow2468 2 года назад
Njoo DM tafadhal shujaa mwenzang
@farajimussa4923
@farajimussa4923 2 года назад
Hii itakuwa history isio futika milele mungu ailaze mahal pema pepon roho ya marehem John pombe magufuli
@olenchoejunior8383
@olenchoejunior8383 2 года назад
He is the gallant, a legendary not only in east Africa but in also in all Africa..... R. I. P Dr
@hasamjebe4685
@hasamjebe4685 2 года назад
Siwezi kumlaum jafo agizo ni la boss wake yy atafanya nini, tatizo ni huyu mama ndio afai kabisaaa
@hassanmadele1011
@hassanmadele1011 2 года назад
Mama aliambiwa ukwer tunafukuzwa km wanyama wapolini bna unazani dunia yakwao wenyew mali yangu tuitumie wote
@mussatayarjames639
@mussatayarjames639 2 года назад
huyu mama ulikua unafanya nae kaz ila alikua msalit wako
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 2 года назад
Ni lini watanzania masikini watakuwa wawekezaji ktk nchi yao...?? Yaani mwekezaji anakuwa na nguvu kuliko wananchi tunaowaongoza!!!....🙏🙏🙏
@reginaphabian7032
@reginaphabian7032 2 года назад
So sad
@cosmasnyehetse6503
@cosmasnyehetse6503 2 года назад
Kweli magufuri alikua miongoni mwa mitume wa mungu
@mbegumpangile9937
@mbegumpangile9937 2 года назад
Uyu ndiyo alikuwa alikuwa kiongozi wa wanyonge katika nchi hii
@joethigz
@joethigz 2 года назад
He was a thorn to the mighty. Kenya, they have grouped and calling themselves Mt. Kenya Foundation
@etiberiusaberi2614
@etiberiusaberi2614 2 года назад
Good relationship between the President and the Dp
@andrewmrosso5976
@andrewmrosso5976 2 года назад
Magufuli Mungu akulaze Mahala pema
@reymathomas1562
@reymathomas1562 2 года назад
Mm had Leo naona nidoto kama kweli hayupo duniani Jamaica mungu jinalako lihimidiwe
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 года назад
Uwiiiiii hii kali ya mwaka. UPASUAJI WA JIPU HILI LINAHITAJI HEKIMA
@jacksonimwasoni2520
@jacksonimwasoni2520 2 года назад
Hakuna kama ww tena popote duniani, Mapungufu kila mtu anayo.
@zakayojoseph1499
@zakayojoseph1499 2 года назад
Ninge kuwa nauwezo nigekufufua ukamariza mwendo salama
@neychitinde2345
@neychitinde2345 2 года назад
Hakika wewe Mungu alikuleta kwa kusudi la watanzania. Mungu alikutumia kwa kila jambo.
@arafahashi5043
@arafahashi5043 2 года назад
U are forever missed and loved JPM. U are 1 in a million.
@rwenenahomechannel1634
@rwenenahomechannel1634 2 года назад
Huyu uliyemwamini baba,kasha kusaliti. Hata sisi ameenda kutuuza UN.Ameomba chanjo ya uviko. Je hizo chanjo ndo ilani muliotuahidi?
@rajabmasika9658
@rajabmasika9658 2 года назад
The best ever African president
@mageema9272
@mageema9272 2 года назад
Huyu Mama mnafiki kweli kweli, ndo maana hamjui Mungu wake, anatusalimia kwa jina la jamhuli ya Muungano
@mageema9272
@mageema9272 2 года назад
Wabadirishe katiba, wangekua wamebadilisha leo hii tusinge fikia hapa tulipo, mwenzenu kaokota Embe Hana shida, tusiumie Sana kwasababu hatukumchagu Mungu wetu yupo atatutetea
@mariethjohn3074
@mariethjohn3074 Год назад
Ila mama tukiacha yote chakula kishuke beii angalia watu wako daaa
@yohanakiyumbi4795
@yohanakiyumbi4795 2 года назад
Safii sn hayati Dk.John Pombe Magufuli tutaendelea Kukupenda Daima Rais wa Wanyonge 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏...R.I.P
@user-hz4tt2qk5i
@user-hz4tt2qk5i Год назад
Machozi yetu 😭😭😭😭 yakawe faraja kwako mzee wetu pumzika kwa amani
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 2 года назад
Mzee tutakukumbuka
@annamassawe1805
@annamassawe1805 2 года назад
R.i.p
@annamassawe1805
@annamassawe1805 2 года назад
R.i.p
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 2 года назад
Mama kakusaliti utawara wa huyu mama hauna huruma na wanyonge Mambo ya kikwete yamerudi
@azizawadh5973
@azizawadh5973 2 года назад
Kila kitu na utaratibu wake sio kupanga vitu barabarani
@shafiibashiru592
@shafiibashiru592 2 года назад
R.i.p
@janethtito4777
@janethtito4777 2 года назад
Kumbe ulikua waitikia unafk tu Samia ila Mungu anakuona
@khadijachembela5946
@khadijachembela5946 2 года назад
2025 hiyooooooo lnakuja
@jumongjr5837
@jumongjr5837 2 года назад
Tutamtoa ndukiiiiiiiii
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 2 года назад
@@jumongjr5837 nataman ningekua na kura ya Tanzanian nisinge mpigia kura samia
@alexkihongola798
@alexkihongola798 2 года назад
Eti anaongezea na hizo ndiyo ajira zenyewe, Jamani Dunia ngumu hii, Ngoja tuishi tuondoke tu.
@sistermery4581
@sistermery4581 2 года назад
Mhhhhh sitaki kusema Mie wali muua wapo wanajulika sema t Domo koma baba Rudi always wanawake wanakuag wajanja hat chumbani hata kwenye kuongoza wananchiii😭😭😭😭
@rebeccajacobo6676
@rebeccajacobo6676 2 года назад
Mama samia mbona makufuri ulimsikia vizuri sana mama waonee huruma wamachinga wanateseka sana eemungu sikia kilio chetu
@serviousmwampaho8089
@serviousmwampaho8089 2 года назад
Rais amesahau Mara hii muongozo wa maneno ya Rais hayati magufuri Mara hii mbona Mambo yanaeleweka Hapo shida ninini? si angesimamia hata huo mwongozo
@benithongoga4451
@benithongoga4451 2 года назад
Waafrika wengi ni wanafiki tu
@imanimlimba9859
@imanimlimba9859 2 года назад
Tutakukumbuka
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
😭😭
@rashidkimbwerezamsangi6908
@rashidkimbwerezamsangi6908 2 года назад
Dar mtihani sana jamani
@bestbagaza8896
@bestbagaza8896 2 года назад
Pumzika baba JPM !!Nyota ya ulimwengu ,shujaa tuta kukumbuka milele 😭😭😭😭😭
@asantekwahuuwimbozubeda873
@asantekwahuuwimbozubeda873 2 года назад
Jamn kila nikiziangalia clip za magufu najikuta nalia siwezi kujizuia kabisa😭😭😭
@levisduiza1474
@levisduiza1474 2 года назад
Kwel mwamba pumzika kwa Aman
@hajratramadhani5346
@hajratramadhani5346 2 года назад
yaan huyu baba 😭😭sauti yako kama upo
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 2 года назад
Nimeshangaa toka huyu kiongozi atoke Kwa Dunia madini ya tanzanite tunayapata yakisafishwa inchi zingine
@azizawadh5973
@azizawadh5973 2 года назад
Ulitaka yasisafirishwe
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 2 года назад
Anamaanisha kusafirishwa..sio kusafishwa
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 года назад
Mungu atasikia kilio chetu,Mungu halali tutampata mwingine ninaamini
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
@@trillhappybeautypoint9874 inabidi tuombe sana maana huyu kikwete na mtandao wake si mchezo
@nemhinaallymwalimu8415
@nemhinaallymwalimu8415 2 года назад
Miss u Bb JPM nimejikuta nalia Tena sanaaaaa Mungu akurehemu Rais wangu magufuli
@wilfredmokoima5988
@wilfredmokoima5988 2 года назад
I'm Kenyan who truly Loves ❤ President Joseph John pombe Magufuli, he was such big help to us all in Africa.May the Almighty God Give him eternal life.
@mashamasha2854
@mashamasha2854 2 года назад
unαkutα wαkєnчα wєngí wαlímpєndα вαвα чєtu kulíkσ ѕѕ wєnчєwє😥😥r.í.p
@saidindaro5533
@saidindaro5533 Год назад
SIWEZI KUMALIZA hotuba BILA machozi kunitoka KWA haya yaliopo KWA Sasa Alla akulehem.
@emmanuelmohammed1294
@emmanuelmohammed1294 2 года назад
Samia alikuwa akisikiliza lakini kalewa madaraka, 😥😥😥😥 Jpm you'll always remain a hero
@mahmoudally4824
@mahmoudally4824 2 года назад
Ww boy unasemaj
@nguchilojr8278
@nguchilojr8278 2 года назад
Tunaishinao
@neemayusuphu4266
@neemayusuphu4266 2 года назад
.kamsaliti leo alivo kufa kageuka
@maishamazuri9897
@maishamazuri9897 2 года назад
yes..kalewa tilalila. nchi inaelekea wapi sijui..hatujulishwi
@officiallugano8991
@officiallugano8991 2 года назад
Ukimtaja huyu malaya naumia achana nae mpuuzi yule
@bahatimohamedi720
@bahatimohamedi720 2 года назад
Shunjaaa wetu pumuzika kwa Aman 😭😭😭😭
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 2 года назад
I really miss my beloved President JPM.
@zachariasanane1537
@zachariasanane1537 2 года назад
Hayo yote Samia anayakumbuka au alikuwa anamchola t
@ngwanasongowelero7153
@ngwanasongowelero7153 2 года назад
Ukumbukwe sana baba wawanyonge rohoyako Mungu ailaze mahali pema peboni
@nuruhmangoli1232
@nuruhmangoli1232 2 года назад
Huku Kenya kuna tayari makundi ya watu,,kuna wenye Wanaskizwa saaana,kuna wenye wakishkwa wanafungwa miaka ,lakini kunao wakishikwa wanatolewa hapo hapo baada ya kuiba mabilioni ya hela . Raila must be the Magufuli of Kenya
@titomhagama5545
@titomhagama5545 2 года назад
Mimi na magufuli ni kitu kimoja, kumbe ilikuwa sio kweli
@jumatingi2047
@jumatingi2047 2 года назад
Samia ni mnafiki waziwazi. Hivi sasa amejionesha dhahiri ni msaliti. Laana za Mwenyezi Mungu zimshukie
@damarisgongo5531
@damarisgongo5531 2 года назад
Huyu mama ni mnafiki sana, ila Mungu yupo hatasahau watuwake.
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 2 года назад
Baba ulikuwa na maono ya kuona mbali yameishatokea kuvunjiwa vibanda na mali zao kuibwa ee Mungu tusaidie sisi wa machinga na sisi tuna haki ya kufanya biashara jamani inauma sana Mungu akupumzishi kwa amani kipenzi chetu Ameen
@AhmedMohammed-de4ke
@AhmedMohammed-de4ke 2 года назад
Ni kweli lakini walionyanganywa mali zao waliokufa ndgu zao ktk utawala wake huyu ndio wanajua zaidi kua Magu alikua mtu wa aina gani. Sio mm na ww ambae tunamsifu kwa kujenga barabara na kununua ndege
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 2 года назад
@@AhmedMohammed-de4ke mweee hayo unayajua wewe kama aliua lakini nimekuelewa mafumbo yako mimi siwezi hukumu ila Mungu amweke pema siyo barabara na ndege tu wewe ndo uliviona mimi alinitoa mbali sana nikiwa kama machinga lakini wewe uliyezoea kupinga hata mazuri aliyoyafanya sawa niuelewa wako pole na ww ndugu zako wangapi aliwaua?jitambue
@shadrackkamugisha4481
@shadrackkamugisha4481 2 года назад
@@AhmedMohammed-de4ke wewe ulivyoaminishwa ni tofauti na sisi tuliyoyaona itoshe kusema ivyo
@fakihnyange8821
@fakihnyange8821 2 года назад
We actually remember you our hero, rest in peace baba
@alimasha8490
@alimasha8490 Год назад
Uncle Magufuli was indeed a true stateman, am a Kenyan but your like our food in my family, a day was never end without searching your steps on RU-vid, one day God willing will pay visit to your grave for prayers with family. Mola akurehemu.
@jamesmwangi8598
@jamesmwangi8598 2 года назад
Hongera baba mtetezi wa wanjonge MUNGU akuweke mahali pema peponi asante
@sr.helenarhobi8886
@sr.helenarhobi8886 2 года назад
Baba yetu MAGUFULI tunakukumbuka umetuacha MAYATIMA tunatendewa Kama kondoo anayeoelekwa machinjioni. Pumzika kwa amani mwana wa Afrika na mzalendo wa kweli. Forever ina our hearts dady!
@mkamamauma6994
@mkamamauma6994 2 года назад
Nyie sindio mlio kuwa mnampinga au...
@johnkashaija8191
@johnkashaija8191 2 года назад
Sikiliza vizuri hanavyo chomekea .Samia. Bongo hatari.
@omanabcd9249
@omanabcd9249 2 года назад
Hana hata haya huyu kikongwe nahana dini ndiomaana kakata hata salamu yamungu
@obadiamushi5952
@obadiamushi5952 2 года назад
Msikilize anavyo jibi kumbe ni unafki mtupu
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 года назад
@@omanabcd9249 Salaam ya MUNGU ni ipi hiyo wakati kila mtu ana MUNGU yake.
@ntibashimamathiasidicksony1409
@ntibashimamathiasidicksony1409 2 года назад
Linaguna tuu mmmh,mmh kama nguruwe
@patriciapatrick7747
@patriciapatrick7747 2 года назад
@@ntibashimamathiasidicksony1409 kama bundi vile hovyoooooo!
@lucasmkwizu1786
@lucasmkwizu1786 2 года назад
Huyu mama alijifanya yupo Kumbe hayupo, Moyo wa mtu kiza kinene
@hassanmadele1011
@hassanmadele1011 2 года назад
Sio powa tumeyaona tutakufa njaa hasa ss wamachinga
@festolaurent1312
@festolaurent1312 2 года назад
We acha2
@jumongjr5837
@jumongjr5837 2 года назад
Anaskizaaa km anaelewa hv
@sajidatejpar316
@sajidatejpar316 2 года назад
U where the best leader no one can take your steps
@C.Ltv1
@C.Ltv1 2 месяца назад
We Baba yetu udumu Roho yako iangukie kwa mmoja wa nchi hii aje kua Raisi tena kama wewe
@braysonmwakatage2950
@braysonmwakatage2950 2 года назад
Wamemsaliti JPM ila inauma kweli yamerudi ya zamani, Sasa hivi ni chukua chako mapema baba pumzika Kwa amani baba yetu
@patriciasamuel7643
@patriciasamuel7643 2 года назад
Pole
@rizickmombury7598
@rizickmombury7598 2 года назад
Utadhani alikuwa anamwelewa vile
@chipegwakuselya1742
@chipegwakuselya1742 2 года назад
Yan huyu mama Hadi afanani na huu uchafu anaoufanya
@tinajulya6876
@tinajulya6876 2 года назад
😭😭 tutakukumbuka daima baba yetu
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 2 года назад
@@chipegwakuselya1742 hata ukiwa na nguvu kiasi gani wakikuwahi kabali huwezi kufurukuta. Yajayo yatawafundisha. Mungu sio Mrisho. Yeye ni Mungu tu!
@abisaizablon3805
@abisaizablon3805 2 года назад
Magu The Great, best ever, live long where you are
@dekematanga7206
@dekematanga7206 2 года назад
Baba lalasalama Mungu tunakulilia watanzania
@saeedally268
@saeedally268 2 года назад
Samia alitudanganya kuwa kavaa viatu vya magufuli kumbe alikuwa mbwa mwitu
@goergemtei8707
@goergemtei8707 2 года назад
Duu mungu nifundishe kunyamaza, pumzika kwa amani mzalendo wetu.
@mohamedkondo6392
@mohamedkondo6392 2 года назад
Ongea tu kaka, mi mwenyewe sijafurahixhwa na awamu hii kiukweli, mic my president 😢.
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 2 года назад
Tunapenda sana kunyamaza lkn tunashindwa. Unapokuwa unaona nuru ghafla giza huelewi dira lazima sauti itoke ili uone uko salama au lah! Fikiria mko gerezani mnatangaziwa kuwa huru mnajiandaa kutoka ghafla anatokea mtu asiyejulikana anawaamuru hakuna kutoka mnarudi sero. Itafakari picha hiyo. Kwa vyovyote mtakesha kuitafakari sana amri hiyo!
@mohamedkondo6392
@mohamedkondo6392 2 года назад
@@epafrangweshemi4014 Well Said 🙌🏿
@abdallahmaulid6005
@abdallahmaulid6005 2 года назад
Kukaakimya kazisana kwenye awamuhii.yani unajitahid kukaa kimya lakini unashindwa.mama unatuangusha.itikiaitikia nyiingi kumbe hamnakitu
@kulthummsuakollo208
@kulthummsuakollo208 2 года назад
Kama mungu angekupa dk chache tu urud dunian Allah akupe kaul thabit nas atupe mwsho mwema inshallah pumzika kwa aman mtetez wa wanyonge
@annapeter1458
@annapeter1458 2 года назад
Ungefufuka baba ukaja kuona ubabe ulotumika kuwaondoa machinga ungelia ila tumekukumbuka Sana BABA
@mengimagimbi483
@mengimagimbi483 2 года назад
Mbona mmesahau kirais mama jitahid kukumbuka haya,,,🖐️🖐️👍
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 2 года назад
R.I.P MAGHU we loved you alot. But God loved you much. We miss u
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 года назад
The real president of low level p,ple
@bihusnaiddy6804
@bihusnaiddy6804 2 года назад
tutakukumbuka sana baba yetu rais wawanyonge lala salam
@sabriamber1706
@sabriamber1706 2 года назад
He was the best president in Africa , a true friend, honest, kind, carering and mtetezi wa wanyonge... R.i.p... Baba j.magufuli... I'm a Kenyan but admired him alot en wished he was my president.. May Allah SWT grunt you president Samiya to be as He hayati was en do more than He ever did... Ameen
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 года назад
Ee mama mungu anakuona maana sote ni wasafili duniani
@ramadhanmajid1789
@ramadhanmajid1789 2 года назад
Baba amekufa tumebak na mama wa kambo watoto tutanyooka
@williammpuya3035
@williammpuya3035 2 года назад
Hahahhah NA NDIZO AJILA ZENYEWE BT NOW KESHASAHAU Daaah aiseeee
@dickmagafu7397
@dickmagafu7397 2 года назад
Mama anachangia vizuri tu. Leo wamefukuzwa.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 года назад
R.I.P MZEE WETU JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA 😭
@stevembuhilo2956
@stevembuhilo2956 2 года назад
Hakika huyu,,,,ni mtu muhim,
@hamidujafari6337
@hamidujafari6337 2 года назад
Daaah 😭😭😭mungu yuu mwema acha haitwe mungu maana alikuwa mtetezi wa wanyonge eeeh mungu una siri kubwa.🙏
@shantelshanne12
@shantelshanne12 2 года назад
Mungu azidi kuilazaa roho yakoo mahali pema peponi🙏🙏🙏
@monica1244
@monica1244 2 года назад
Nikweli kabisa baba ila mungu atakulipa uko ulipo
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 2 года назад
Anavyoitikia kama kweli kumbe walimjoke mzee wetu R i p magu tulikupenda na tutakukumbuka hadi kufa kwetu na sisi
@tinaadel3629
@tinaadel3629 2 года назад
Huyu ni Delilah
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 года назад
@@tinaadel3629 kanaendeshwa na lizee kikwete fisadi
@eliasduuly9447
@eliasduuly9447 2 года назад
😭au bc tu🤦
@shihume256
@shihume256 2 года назад
Kikwete na Samiah umemuuwa babaetu Nasemaje nanyie mtakufa tuu
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 года назад
acha kuropokaropoka mamba usio yajua
@salamasaid9357
@salamasaid9357 2 года назад
Kama kweli unasoma comments za watanzania utajua ni jins gani umelichokesha taifa kwa muda mfupi...tutakukumbuka mtetezi wa wanyonge
@ananiainyasio9834
@ananiainyasio9834 2 года назад
Mwone anavoitikia kama kweli binadamu sisi vigeugeu wasaliti kwanini wanataka kuihalibu nchii hii
@enocknzao2184
@enocknzao2184 2 года назад
Ni hatari hao
@hamismtengwa9657
@hamismtengwa9657 2 года назад
.,magufùli baba tutaķulilia sana MZEE wet kwauliotufanyia mungu ataķulipa Pepo kwa ulichotutendea ww hutuoni lkn tunataabika na maisha yetu ķwani hatuelewi hatima ya maisha yetu itakuaje ķwani ni tete hail zetu tuombee kwa mungu baba
@rehemaburuna4641
@rehemaburuna4641 2 года назад
Naumia sanaa😭😭😭😭😭, such kind of president jmn !!! atatoka wap tena 😭😭😭😭😭😭 continue resting in peace baba
@Swahili14
@Swahili14 2 года назад
Hypocrisy and wickedness in Tanzanian government are overwhelming 😭 May God Rest you in his Eternity baba
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 2 года назад
da mzee mungu akubarik huko uliko umetuachia mzgo wa r s a
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 года назад
Ee mungu mwenye haki mlipe mwenye haki sawa na haki yake na waovu sawa na maovu yao
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 года назад
Amin
@edwardsumo9588
@edwardsumo9588 2 года назад
Amen
@makulanangale588
@makulanangale588 2 года назад
Na iwe ivyo
@bensonnyangacha8878
@bensonnyangacha8878 2 года назад
The best president ever on the face of the earth
@gitiganiibrahimdanhi7692
@gitiganiibrahimdanhi7692 2 года назад
Continue Resting in peace JPM,we really miss you Baba. Return if Possible Magufuli Wetu 😭😭😭😭
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 2 года назад
Mungu akupe pumziko la amani,Naumia mno lakini Mungu yupo,
Далее
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн