Kilio changu kipo palepale kwenye jahazi awepo mussa Hussein.george bantu,na jose mara ,nyie mnalazimisha kumueka dozen na mchomvu hawa ni watu wa internment jamani warudisheni xxl kwenye chama la wana
😂mchomvu ni comedian mwenye akili sana anaweza kubadilisha chochote kikawa cha kuchekesha anapokuaga hewan lazma kuna sehem ata kuvunja mbavu😂😂 dozen nimtangazaji mkali ana flow nzuri na anauwezo mzuri wa kuuliza maswali, kazikwenu wajomba kutoka xxl hadi jahazini
Dozen anaforce attention lakini hana potention, hana cha kuvutia, kila anapokuwa na watangazaji wenzie lazima avuruge amani Yao. Imagine alivyofungua kipindi kipumbavu, kafanya chuki ya wazi wazi kwa wenzie kavuruga kabisa material waliyokuwa nayo wenzie. Amefanya kipindi kiboe.