Apa Ndipo Utajua Kama Uyu Amemzidi Mwijaku Bila Esabu Kiakili Na Anajua Anasema Nini Lakini Mtu Wa Degree Yeye Maneno Yake Yote Yanakela Ayana Mana Kabisa Kwasababu Ajui Kucheza Na Akili Na Kuteka Watu Walio Mbere Yake Wakimuoji
HARMONIZE ALISEPA NA KIJIJI DUUU ILA KWELI ILA DAAA KWELI WE JAMAA WCB INABIDI WASIKUACHE UONDOKE MAANA YAKE HAYA MANENO YAKIJA KUANZA KUWA MVUA WCB HAWANA MWAMVULI
Tz siku tukiamua kuwa serious, hawa chawa hawatapata nafasi. Rayvana ana mengi sana moyoni basi tu anaogopa mfumo usimpoteze kabisa. Harmonize kashamkata sharubu Simba mzee mapema tu Soon nategemea utakuwa chawa wake
Erick Zephania: kweli Rayvanny ana mengi alipo tolewa kusainiwa wasafi ku mu promote mpaka anajulikana duniani,kwa kweli anayo mengi hangesainiwa wasafi kama kipaji kingeishia vichochoroni kama tu vijana wengi wana vipaji ila hawana wa kuwekeza kwao na kuitangaza vipaji zao