Тёмный
No video :(

BABA WA IMANI 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 185 тыс.
50% 1

Jamani msichanganye Ndoto za mchana na njaa zenu kama maisha magumu omba msaada kuliko kudanganya watu mtakuja kuuwa watoto

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 344   
@smashstarmamba
@smashstarmamba 6 месяцев назад
Baba Haduje (Baba wa Imani )noma sana 😂😂💥💥💯Alafu unipitie,,,much love from Kenya.
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 6 месяцев назад
Sio Haduje wa Handunje ni ANDUNJE
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 6 месяцев назад
Huyu MAMA Kwakweli anaweza sana😂😂
@Fridah1970-lj3du
@Fridah1970-lj3du 5 месяцев назад
❤❤❤
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 6 месяцев назад
Huyo mdada anaheka heka balaa napendaga anavokuwa serious ❤
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi 6 месяцев назад
Unadhani hata Ibrahim angemwambia Sara ingekuwa rahisi, baba Andunje angembeba kimyakimya😂😂😂😂😂😂
@LumolaSteven
@LumolaSteven 6 месяцев назад
Hii sio sawa kabisa, baba wa imani ni Nabii Ibrahim na kitendo alichoamrishwa kumchinja mwanae ni amri ya Mungu na sio mzimu. Kwahiyo kufanya comedy kwa kuharibu ukweli wa imani sio sahihi
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 6 месяцев назад
Ndomaana wamejieleza kwakila kitu au hujasikia walivisema
@erickabel6201
@erickabel6201 6 месяцев назад
Kumbe na ww hauna akili 😅😅😅
@seifmketo2421
@seifmketo2421 6 месяцев назад
Weyee nawe kondoo tu km kondoo wengine,waafrika bana
@MSHUA1985
@MSHUA1985 6 месяцев назад
Hapo kaelimidha kwa hawa mapadri na viongozi wa dini wa sasa hivi wanaojiita mitume na manabiii na wengine wanaosema wanatibu kwa mafuta wakati wao wakiumwa wanakwenda hospitali kutibiwa so hapo hakuna kosa kigiza ivo mkuu
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 6 месяцев назад
Yatakuja kukupinga hayo makuma ya kislam utaniambia
@pastorbonnyphillip8945
@pastorbonnyphillip8945 6 месяцев назад
Asante sana, ni ujumbe mzuri sana kwa wakati huu wa pasaka
@user-ds1cy3dc7z
@user-ds1cy3dc7z 6 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@nikodemumakibonya378
@nikodemumakibonya378 6 месяцев назад
Ujumbe mzuri gani wa malaika anaesema inua makalio
@suzanmarco363
@suzanmarco363 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂​@@nikodemumakibonya378
@leylamohamed9939
@leylamohamed9939 5 месяцев назад
Hakuna cha Pasaka wala nini, Hilo ni Funzo kwa Manabiii wa WAONGO wanaodanganya watu sio Kuoteshwa KULA SADAKA TU
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 6 месяцев назад
😂😂😂😂 Nishaiii mtomba ngwile kitwango mikazo miguno kila ijumaa 🏃‍♀️❤
@gloriousgal2001
@gloriousgal2001 6 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣
@wisperfect5320
@wisperfect5320 6 месяцев назад
​@@gloriousgal2001❤
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 месяцев назад
🤣🤣🤣 Hapo kwenye inua makalio yako 😂😅
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 6 месяцев назад
From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa 😃
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 6 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣 acha uongo upo bonyokwa
@mbuziwakutaga
@mbuziwakutaga 6 месяцев назад
Kuma moto😂😂
@khadijaamiri6629
@khadijaamiri6629 6 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅​@@mbuziwakutaga
@jaqeezmosurprise4499
@jaqeezmosurprise4499 6 месяцев назад
Haja chezea manabii ana fundisha sio kila ndoto ni nzuri nyengine sio za kuzifatisha
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 6 месяцев назад
never disappoint jotiiii 😂😂😂😅😅
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r 5 месяцев назад
Yani!nimerudia kuangalia mala Mia nzima!jamani mbavu zangu mwenzenu🤝👊🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 6 месяцев назад
Mjumbe na msuli hahahaaaaaa😂😂😂😂😂
@user-mr5tk8oc3t
@user-mr5tk8oc3t 6 месяцев назад
Nakupenda uyu dada sana
@AyshaMussa-xs2ut
@AyshaMussa-xs2ut 6 месяцев назад
Hii ya leo joti haichekeshi sio vizuri kucheza na imani za watu umekosea sana
@johnkimani6757
@johnkimani6757 6 месяцев назад
Acting but kuna wengine wako na shida
@user-kd6fl7lp4t
@user-kd6fl7lp4t 6 месяцев назад
Hilo ni igizo tu wakristo hatuna shida sie
@dr.mgungo1429
@dr.mgungo1429 6 месяцев назад
Kacheza na imani ya nani
@Mr.kigoma
@Mr.kigoma 6 месяцев назад
Joti umezid yaaan pengo lako halitazibika😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako mapema❤😊
@rehemafredrick7794
@rehemafredrick7794 6 месяцев назад
Aki hawa wazazi wa Andunje mm unibamba wallah ❤😂😂😂😂😂
@Khmy54
@Khmy54 6 месяцев назад
ASANTE KWA UKUMBUSHO😂😂LKN KAMA ULISIKIA MAZIWA🍼🍼 KWA MAMA MBAROUK😉MM NDO MBAROUK MWENYEW😎GONGA LIKE HAPO👍👍👍
@besteva499
@besteva499 6 месяцев назад
this game of comedy is for you joti one love
@nabbeely5295
@nabbeely5295 6 месяцев назад
Hii ya leo joti umebugi🤦🏾‍♂️haina mbonga aafu umeenda kwenye imani na maudhui haijawa ya kuchekesha kivile.mama kajua kutendea haki #am your big fan joti.
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 6 месяцев назад
Kwakweli
@ayk20
@ayk20 6 месяцев назад
Sio lazima ucheke muhimu ujumbe tuu hapo akili kubwa ndo unaeza kupata ujumbe
@wisperfect5320
@wisperfect5320 6 месяцев назад
​@@ayk20unajua lakin maana ya comedian?
@mwanaharusially
@mwanaharusially 6 месяцев назад
​@@fatumasophu5855😂😂
@macklineremmanuel1742
@macklineremmanuel1742 6 месяцев назад
Kwenye maswala ya imani hakuna mchezo na Kama mnataka kufundisha watu maswala ya Imani ijueni Historia vizuri na kauli ziwe nzuri!! mnaweza mkadhani mnafikisha ujumbe badala yake mkapotosha nakuvunja mioyo
@stevenmeck7827
@stevenmeck7827 5 месяцев назад
Joty umeshaishiwa vichekesho Bado kuokota makopo tu
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 6 месяцев назад
Much love from Kenya
@KedyTz
@KedyTz 6 месяцев назад
My ribs 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😂😂😂😊😊😂😊I 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 6 месяцев назад
Joti umeamua sasa😂😂😂😂😂😂 Ujumbe mwingine ni wachawi jamani😂😂😂tuwe makini
@benOfficial36
@benOfficial36 6 месяцев назад
😂😂 Andunje A.K.A isaka yeye kanyanyuka na Gogo 🤣🤣🤣🤣 Jmn mm mbavu sina, kwamba Maila hamjuh mpemba 😂😂😂😂❤❤❤❤ Next igizeni Ile Samson ananjolewa nywele na Delila 😂😂
@JoyceAngoma
@JoyceAngoma 6 месяцев назад
Uyu si ni baba haduje tena baba wa imani😂😂😂😂😂
@254MORRISMORRIS
@254MORRISMORRIS 3 дня назад
Malaika gani anajua jina mpembe😂😂😂😂
@christopherernest2316
@christopherernest2316 5 месяцев назад
Inua makalio tena😂😂😂😂
@user-mr6ss8ex3f
@user-mr6ss8ex3f 6 месяцев назад
Ibrahim hakufanyaga hivyo umefeli kabisaaaaa
@andrewmalekela3577
@andrewmalekela3577 6 месяцев назад
Kwenye mambo ya Mungu tena 🙌🏼🙌🏼 Aya mzee kama umeamua kufanya kejeli au vichekesho kwenye mfungo huu #kwaresma
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 6 месяцев назад
Huyu mama namkubali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@delapitoresavage3746
@delapitoresavage3746 6 месяцев назад
Baba andunje is my dady for real mr mmbembe 😅😅😅😅❤❤❤🔥🔥🔥🔥💪🏾
@AminaMjema-vf5nt
@AminaMjema-vf5nt 6 месяцев назад
Mh huyo mungu wa iman wa kusema inua makalio yako du ha ha ha
@JRN2612
@JRN2612 6 месяцев назад
Haifai kufanya comedy kwa jambo linalobeba misingi mikuu ya imani. Pili aliyetaka kuchinjwa ni Ismail, na wala sio Ishaka, musipotoshwe na nyinyi mukapoteza watu.
@evangelist_gaitani
@evangelist_gaitani 6 месяцев назад
Wewe ni liongo sana wewe aise aitaka achinjwe ishmail kivip achinjwe na nani Sasa ishmail mtoto WA mjakazi atatolewaje sadakaa
@tingideolesironga8270
@tingideolesironga8270 6 месяцев назад
Ni Isaka alitakiwa kuchinjwa. Sio Ismail.
@JRN2612
@JRN2612 6 месяцев назад
@@evangelist_gaitani vipi mtoto wa mjakazi? Asili ya mtoto hutoka kwa baba na sio kwa mama. Hivyo Ismail ni mtoto wa halali wa Nabii Ibrahim, na ndie haswa aliyetaka kuchinjwa. Nyinyi munapotoshwa huko.
@JRN2612
@JRN2612 6 месяцев назад
@@tingideolesironga8270 sio kweli, ni Ismail. Lakini wakristo ndio kanisani wanaaminishwa hivyo.
@user-jh9nx6ik3q
@user-jh9nx6ik3q 6 месяцев назад
Huyu nae na mayanga yake kwan hp tunaangalia mpira😂😂
@JANE-jv4eq
@JANE-jv4eq 6 месяцев назад
😂😂😂😂 duuuuuuu hiiii noma saaaana 😂😂😂 😂😂😂😂😂
@user-nr7ne5tw3y
@user-nr7ne5tw3y 5 месяцев назад
Huyu sio Isack huyu ni Andunje😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JumaHussen-tw3wd
@JumaHussen-tw3wd 6 месяцев назад
Joti mm shabiki Yako sana na nakufuatilia sana ila Leo sijapenda usipende kuxhezea manabii nakuomba usirudie Broo utapoteza washabiki
@seifaliseifali1244
@seifaliseifali1244 5 месяцев назад
Unajua ndugu yangu hili joti ni kafiri kwaiyo kuchezea mambo ya dini za wengine halioni tabu ila hicho anacho kitafuta kuna siku atakipata
@woah.africa99
@woah.africa99 6 месяцев назад
Duh ismail ndio mpaka leo waislam wanachinja wakihiji sio isack
@Shuu.A
@Shuu.A 6 месяцев назад
Hapa mama umepata andunje hataki mchezo😂😂😂😂
@user-fo9dj9ee7g
@user-fo9dj9ee7g 6 месяцев назад
Uyoo isyaka 😂😂
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 месяца назад
Dada huyo ana mahekaheka safi sana❤❤❤❤
@barikiwa22
@barikiwa22 3 месяца назад
Isiaka wa Darleen 😏😏 ni ISAKA
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 6 месяцев назад
Hatariiii baba wa imani kaleta balaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥pole andunje na jina ukapewa isaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️‍🔥🤣❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 6 месяцев назад
Nimefurahi Suzy karud
@cassianoroom9170
@cassianoroom9170 6 месяцев назад
Ila mama anduje ana Fanii na anaweza sema amechelewa kuingia kwenye Game . Sema ndo maisha yetu Bongo unapitia msoto kwanza , siuna ona hadi wachezaj wa kbong umri umeenda ndo anajulikna
@user-zp8fo8sy1o
@user-zp8fo8sy1o 6 месяцев назад
Inua makalio yako😂😂 huyo malaika ni mwendo kasi
@ramajuma4063
@ramajuma4063 5 месяцев назад
Sio isack ni imaili apo atakama ni mafundisho mtoto wa pekee alikua Ismail
@RamadanPaul
@RamadanPaul 6 месяцев назад
😅😅😅😂 baba ibrahim, wewe si baba andunje😅😅😅
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 месяца назад
Muongo mzee'😂😂😂
@hassansammy1076
@hassansammy1076 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂 mbembe inua makalio😂😂😂😂😂😂😂😂
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 5 месяцев назад
😂😂😂inua makalio yako
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 6 месяцев назад
From Korea -Soul .naipenda Simba sc bingwa
@innocentilaurentisingano1708
@innocentilaurentisingano1708 5 месяцев назад
Eti malaika mfupi hana hata tatizo😂😂😂
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 6 месяцев назад
Mmmmmh jaman. Iko SAWA kweli hii Joti, sijui lakini.
@Shadia544
@Shadia544 6 месяцев назад
Leo nimewahi nimekuwa wa 39 😂😂😂😂 huyo BABA WA IMANI😂😂😂😂 ILA JOTI😂😂
@lareineminah1353
@lareineminah1353 6 месяцев назад
Dah😂😂😂😂😂
@mariammamushkachambo2123
@mariammamushkachambo2123 5 месяцев назад
Et inua mkalio yako😂😂😂
@mosesmlowe7006
@mosesmlowe7006 6 месяцев назад
Malaika kasema inua makalio yako😅😅😅😅
@ashurahamiss
@ashurahamiss 6 месяцев назад
Mungu Wang mungu wanguu 😂😂😂😂saa12 hii na bado nakutan na comment hiz yeuwiii cjui wat mmelala humu 😂😂😂haya tumpe malike na makopa kopa jamaa etu wa kwanza kufka umu🎉🎉❤❤😂😂😢
@zuanshimchina2278
@zuanshimchina2278 6 месяцев назад
Ashura mambo
@ashurahamiss
@ashurahamiss 6 месяцев назад
@@zuanshimchina2278 pouwah tu umeamkaj
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hata sijamaliza kuangalia😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zahramohammed2337
@zahramohammed2337 6 месяцев назад
Show inaaza malaika anamatusi bibi anga akasome😂😂😂😂😂
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r 5 месяцев назад
Mama andunje saf!!🫶👏👏👏👏👏👏
@eyespy15
@eyespy15 6 месяцев назад
Abraham baba wa imani😂😂😂
@bahatilaizer8706
@bahatilaizer8706 6 месяцев назад
Salute joti ❤❤
@doctorramadhan1250
@doctorramadhan1250 6 месяцев назад
Mimi ni WA kwanza
@user-tb4ol6yp6c
@user-tb4ol6yp6c 5 месяцев назад
😅inua makalio yako😅
@Megadreamzfx1
@Megadreamzfx1 6 месяцев назад
😅😅😅 huyu isiaka😂
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂baba wa imani
@ZackDaniella-wi5ur
@ZackDaniella-wi5ur 6 месяцев назад
Malaika anasema inua makalio yako twende😂😂😂😅😅
@makawan_Bway5478
@makawan_Bway5478 6 месяцев назад
Mbona Tuu mwishoni wameelezea vizuri saana watu mnashindwa kuelewa Nini Sasa ??
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 6 месяцев назад
We si baba andunje 😅😅😅😅😅😅 joti nouma
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 6 месяцев назад
Nilivomuona tu mlewa nikajua hii uhakika itakuwa Kari zaidi
@emanuelwakawenga4023
@emanuelwakawenga4023 6 месяцев назад
Iringa tujuane
@RobertSamweli
@RobertSamweli 6 месяцев назад
Mm niltaman hapo mwisho mbuz adondoke kutoka juu watu wachangukane hapo....ila hahahaha..huwez kua isaka kila nkikuangalia.
@aptiiaptizo7589
@aptiiaptizo7589 5 дней назад
Sio ishaq ni ismail
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 месяцев назад
😂😂😂 MALAIKA anakujua jina kelele
@godlovephilemon5626
@godlovephilemon5626 6 месяцев назад
Kudadeki.........inua makalio yako 😂😂😂😂
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 6 месяцев назад
Hiyo miguu ya sadaka ina manyoyaa😂😂😂 uuuwii
@1czay
@1czay 6 месяцев назад
Huyu baba ni makenzi wa kenya😂😂
@hijauwesu7661
@hijauwesu7661 6 месяцев назад
Huu mchokocho kichwani mzee wangu😂😂😂😂
@goldmedy3907
@goldmedy3907 6 месяцев назад
Isiaka wapi bana ismail ndio mtoto wa ibrahim
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 6 месяцев назад
Hiiih...baba abraham!wewe c baba andunje na asali anauza mama mbaruku😂😂
@stellanyamuhogota1832
@stellanyamuhogota1832 6 месяцев назад
Huyo isaka sasa alivo na mdomooo😂😂😂
@lewimontaz1373
@lewimontaz1373 6 месяцев назад
Joti mkali sana baba wa imani 😂😂😂😂😂
@msangiwema2170
@msangiwema2170 6 месяцев назад
Joti hapo kwa Malaika kusema makalio, hapana aisee, otherwise inachekesha na kuelimisha
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 6 месяцев назад
Malaika bn kamwambia baba Andunje ainue kalio zake😂😂😂😂
@user-pk9fg2jm2o
@user-pk9fg2jm2o 6 месяцев назад
Baba wa imani kicwa maji😂😂😂😂😂
@user-ls8ih7uo3v
@user-ls8ih7uo3v 6 месяцев назад
Ni sawa na wachungaji wanaosema wameijiwa na yesu utapeli mtupu
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 6 месяцев назад
Wewe n mshenzi, aliekwambia YESU hawez kutokea watu n nani, umerogwa wewe soma maandiko vziri
@user-ls8ih7uo3v
@user-ls8ih7uo3v 6 месяцев назад
@@Churchofecclesiawewe ameshawahi kukutokea au babako au mama yako hebu hao wachungaji wenu waulizeni sura yake ni ipi mbn mmeenda kumchukua mzungu ameekti kama yesu kwnn msichukue sura halisi mkaweka picha yake kwavile anakujien
@rizikisam6481
@rizikisam6481 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂 inua makalio 😂
@burhanmanga9446
@burhanmanga9446 5 месяцев назад
Umerewa sifa kaka,,,,,unavuka mipaka
@LeoniakelvinKelvin
@LeoniakelvinKelvin 6 месяцев назад
😅😅😅😅❤
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 6 месяцев назад
Mhuu joti umechoka kuigiza sas utakosa mashabik bure badilisha wahusika bro maswala ya mizimu na radi hizo zilikuwaga zaman enzi za shumileta 😂😂😂😂
@FestoNiko
@FestoNiko 6 месяцев назад
Joti 😅😅😅😅😅kashindikana😅😅😅😅
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 6 месяцев назад
😂😂😂mama andunje kaupiga mwingi
@princerobbinson5919
@princerobbinson5919 5 месяцев назад
Tumemmiss sana Hammy J
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 6 месяцев назад
Si bora ungesema mAdako yako kama mwanya avoimbaga😂😂😂
@faisalkamara6122
@faisalkamara6122 5 месяцев назад
sio Isihaka. Ni Ismail
@VukaRails-jp6mf
@VukaRails-jp6mf 6 месяцев назад
haichekeshi
Далее
MDOSHO
11:31
Просмотров 291 тыс.
MAMA MDOGO
10:58
Просмотров 289 тыс.
Linkin Park: FROM ZERO (Livestream)
1:21:01
Просмотров 4,5 млн
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Просмотров 2,7 млн
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 13 млн
Friends
00:32
Просмотров 227 тыс.
NILIJUA MTOTO
7:57
Просмотров 557 тыс.
CONNECTION. STARING MASELE CHAPOMBE & STEVE MWEUSI
6:31
BODA BODA STEVE NA NDARO HUYU NIWANGU UTACHANA NGUO
8:38
MUUZA SHANGA
8:49
Просмотров 857 тыс.
KAOGA NA MAMA
9:28
Просмотров 323 тыс.
KESI YA KUKU
8:57
Просмотров 1 млн
Linkin Park: FROM ZERO (Livestream)
1:21:01
Просмотров 4,5 млн