Nimeona kama egizo hii ni kama mnayopitia.soo congreturation bro Big work. Ba John nakufuata Niko Burundi maeneo ya Bujumbura mwanzo mpaaka mwisho🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Alakini John wew historia yangu akayijuwa aje ili uandae kitu kama iki
Jameni mm nafuatilia hii movie nimeipenda ila mbna baba kalobo habadilishi nguo jameni ata abadileshe angalau shati tuu nawapenda sana na pia mm nko kenya naombemi likes jameni kama amtojali na kama nimekosea poleni ❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊
Kipengele cha zujati kuibiwa simu asisononeke,mmeferi jana nayekamrudishia simu njia na maneo aliyotumia kmrudishia simu ameferii .....hapo mmeferii keep it up kazi nzuri
Baba kalobo i wish to see you back to your happiness as you was with the late mother of kalobo. Am a Ugandan watching you from Saudi Arabia right now i love you ❤❤❤❤🥰