TUENDELEE TULIPOISHIA BABA KAROBO NA MWANAE BADO WANAPITIA MSOTO NA MANYANYASO MAZITO HUKU UTARATIBU KWA DADA UNAENDELEA ILI KUMSAIDIA KAKA YAKE, USISAHAU KU SUBSCRIBE
Kazi safi Baba Joan Hongera sana, kwa sasa niseme tu kwamba wewe ni mtunzi na muigizaji bora wa hizi tamthilia. Tunakupenda na tunakusapoti umejizolea wafuasi wengi sana ❤ mungu akuongoze. Likes zenu ni muhimu sana 😅😅😊
Mapenzi bala wanasema una acha kupenda anae kupenda angashindwa kupenda anae kupenda alafu watu waku ombaomba ma like muachane nayo siryapenda kirasiku like
Mama kalobo aki waudhi kishenzi 😏😏😏😏😏halafu ww fashion pia unaboo kwan si umwambie mama kalobo ukweli tu kua wampenda zujat aki natamani kukupiga ki movie movie ww