like xipewe baba Joan hapo juu kwa kaxi nzuri ili afike 1 milioni ndugu zangu acheni kuomba kuomba nyinyi watazamaji sasa mwataka mpeleke wapi hizo like
Ukishafahamu maana ya TAMTHILIA utaelewa vipande vyake vinatakiwa kuanzia dakika ngapi na Filamu dakika zake zinatakiwa kuanzia ngapi. Dakika 20 ni nyingi sana kwenye EP inatakiwa kuanzia 12 au 15 kuendelea
Ila mama karobo wew shetani na hilo limdomo kama mfuniko wa choo wew ungekua mke wangu haki ningekufanya k2 mbaya mpaka ungekoma kuingia qwenye maisha ya ndoa shenz kabisa .
Nakufuatilia sana Mr kila hatua sijaona kasoro kwenye uigizaji wako kuwa kipofu au mama Karobo kuwa mkali seuze Karobo,, ila huyu jamaa ambae ni mpinzani wa Mr Kipara hafanani na section muliomuweka yani hayupo kiubabe ubabe kama alivyo Mr kipara mwekeni mtu mbavu ki mwonekano zaidi ya Mr Kipara itapendeza sana🙏🙏 ila kama hapatikani sio kesi jamaa ajikakamue kidogo.. salamu kwa wote wapendao kazi hiii ungana nani pia kwa kugonga like kwa nguvu👍👍 Masasi Mtwara Nawakilisha.