Reeo asubuhi nikua zangu safalini naerekea zangu Tukuyu nipocheki kwenye Simu nikajikita Busati Tv imevunja leckodi Aisee watu kwenye gali wakawa wanani ulizia njee wemdada nikipi kinaku fulahisha mbona wacheka mwenyee! bana iribidi niwasumulie hakiya Mungu kiramtu arikua akicheki kwenye simu yake na kufulahishwa nakile ambacho arikikuta kwenye House GiRL ya Busati TV . njee niwangapi waloweza kujifunza kitu kupita Movie hii wagonge Lik☝️
Yule Yule ndgu yenu toka Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 fundisho lko poa Sanaa tupigiane makofi Kwa House girl jaman... likes cjuw ndgu zangun munapataga nn hebu Leo born likes znifanyie Jambo Na mm toka Malawi 🇲🇼🇲🇼♥️🙏♥️