Wow,proud of you woman of God I love jinsi unavyojibu maswali hakika aliyo ndani YAKO akiwa mkuu unakuwa na ujasiri.Mungu WA Mbinguni azidi kukupeleka Utukufu Hadi Utukufu Kwa huduma alizo weka ndani yako
Mtangazaji na muuliza maswali jitahidi kutulia na kupanga maswali yako vizuri ili upate kujua ni kitu gani unataka kwa mteja wako. Bado una safari ndefu ya uandishi lakini umejitahidi
Hapa mi sielewi, #WOKOVU UNAKO KWENDA AAH NAMIMI NTAKUWA NABII #Karibia narudi KKT au KATOLIKI au NYUMBA NITU HUNJOMBE !! Hapa hamnaga kitu ##DAR NIMEMKUMBUKA SEDEKIA , aliejikana kwelikweli mungu amlipe sawasawa, hawa waliobaki: bukuku's, rose's, shushu's, nk, tutawalipa sisi c wanataka hela " tutawapa"NGULUVI UNANGE UWIIIIII!!!
Mimi nauliza uyu yesu wa imbaji wana ô musema eti anawabaliki ni yesu ni aye mujuwa ? lasivyo mbona yesu hatakagi watu Wa ku penda vipodozi ? Huyu mama mufalme zumaridi ndie kafundisha wa mama wa Tanzania ku jifanya wa chungaji makanisani ?
Kafungue kanisa na ww wacha atumikie kusud la MUNGU kwenye maisha yake huna mamlaka ya kuhukum pia hujui maandiko ni bora ukaa kimya soma maandiko vizur heren zilikuwepo mikufu ilikuwepo kip cha ajabu
Hivi hizi hereni vipodozi n'a kazalika ni yesu kweli huyu wa mbinguni ndie mu naye ringia kweli ? Mbona nasikia ga hatakagi mekap kuna nini Tanzania ? Mbona wa imbaji hawakuwa hivi hapo hawali mufalme zumaridi ndie mungu alie waita muwe wa chungaji ? Sio mungu aliumba mbingu n'a nchi wa mama wajidayi kuwa wachungaji makanisani tena wapiga wimbo zumaridi amefanya mambo