Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
Mungu akubariki saaaaaana mtumishi wa Mungu dada Rose Mhqndo kwa ushuhuda na Neno la Mungu. Nimebarkiwa saaaaaana kukusikilisa wewe ni Jeshi kubwa la Bwana Yesu. Be blessed ❤❤🙏🙏🙏🇳🇴🇳🇴❤🤗
Aisee dada roz napnda vile un aongea yan nkikuskilz ak nahis uwepo wa mung naon roh mtakatf yup mahal nnapokusikilza yan cjui ukipat nafs yakuhubir aiseee shetan atakaa mbal san mung akubark san sanaaa