Тёмный
No video :(

Bando MC Ft Rocky - Naomba Tuongee (Official Lyrics Video) 

Bando Mc
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 188 тыс.
50% 1

#NewMusic #bando #epicjourney #trending #newmusic
(C) Slide Digital
Bando MC Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/1kqop5
Written & Performed by Bando MC x Rocky
There are times when we go through challenges until we lose faith in God's presence, life is a mystery to us, we don't know when or what time God can help us, so we should trust him all the time
Follow Bando On:
Instagram: ...
Facebook : web.facebook.c...
Twitter: mu...
TikTok: www.tiktok.com...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,8 тыс.   
@BandoMC
@BandoMC Год назад
NAOMBA TUONGEE Chorus Nishakutafuta kila Kona ya dunia ,unaishi wap wewe unaish wap?? Nishakuulizia kila Kona kila njia Ningejua nyumbani kwako mbona ningeshakutimbia ,unaish wapi wewe unaishi wapi?? Kama una muda tuongee (heiyeee eiyeee Lini Unamuda tuongee (eiyeee eiyeee) Kama una muda tuongee (eiyeee eiyeee) Pleas tuongee Verce Nimuda sasa nimezunguka kutafuta namba yako/ Nimeulizia kwa watu wanioneshe hata ndugu zako / Ilanilicho bahati kuoneshwa tu nyumba zako Nawakuta watumishi Nkiwauliza a juu ya mambo yako wanahis nawakejeli / Kama hata unacount ya insta nipe jina bwna / Mana namaongezi nawewe yakina sana / Wengine wanasema pengine nkucheki pitia maombi/ nshakuomba huu mwaka wa kumi naupo kimya sana / Au pengine me dhambi kuliko wengine / Hutaki ulipo weka kambi nifike pengine / Afu watu wanaposema kwamba MUNGU SIO athumani/ Huyu athumani ninani nimjue pengine/ Pengine anawezq akanambia kwanini / Kwanini kama MUNGU mmoja kuna ubaguz wa dini / Kwanin usiweke dini moja na hoja ingekuwa nimoja nadhan hata kila mmoja ingemuingia akilini/ Kwanini kuishi haturidhiki hata sjui kwanini / Kwann watu wanafariki ndo walioshika dini/ Nakama wewe unaishi juu ,natukifa tunakuja uko mbinguni Sa kwann tunazikwa chini / Nakuishi nikamari kama mchezo tu wakarata/ Umefanya game rap bongo imepungua marapa / ungenipa mamlaka yakuchagua wakumchukua / Ningemwacha godzillah kisha nkamchukua harmorapa/ Kwenye kifo cha AKA kipo ulinitchi/ Nijidefend sa vip kifo cha costa teach/ Au hupendi tunapofanya huu mziki/ Ila Kipaji siulitupa wewe ili tujitaftie ridhiki/ Unachukua wanyonge na unawaacha magaidi/ Nakwenye kesi Zao wanasema MUNGU shahid/ Binadamu wengi tunapenda utupende ila hakuna binadam anaependa umpende zaid / Kwan vocha ya shingap Inatosha kuongea na wewe big/ Maan namb yako juzi nimepewa na zumarid/ Kila nkipiga haipatikani sijui ya mchongo/ Maana zumarid nae story zake za uongo/ Dini imekuwa biasha imachange from the colour/ Wapigaji niwengi mpaka kuokoka nimsala/ Muumini akitaka gari kanisa linamuombea/ Mchungaji akitaka kanisa linamchangia/ Yupi Bora Mlevi anaekukumbuka MUNGU akiwa bar/ Au mlokole anaemkumbuka dem akiwa church/ Ndege wa angani ambae halimi na ashindi njaa/ Au mi nae haso kila siku nabado sipati / We ni mungu wawote mbona umeweka matabaka/ Umewapa matajir maskini ukawakata/ Pindi unaninyima why unaruhusu niwe na wivu/ Nakama unahuruma why unanipatia maumivu/ Dada angu anaaamini kwamba we upo kanisani/ Ndo maana anakesha akikuomba sana kanisani/ Hana Ajira mwaka watatu toka ahitim chuo/ Ila shoga zake wadangaj wanamafanikio/ Kaka angu nae anaamin kwamba upo misikitini/ Ndomaana anajitoa kila siku kuirdhini/ Familia inalala njaa yani kutwa kuchele/ Anajirani Yake mganga daily anapeta mchele/ Wanasema we nimkombozo me not ready/ we ndo Yulemajari kwenye ajari ya ndege/ Uliniumba kwa mfano wako kwahiyo me niwewe/ Kumbe nasumbuka kujitafuta me mwenyewe/ We uko wapi kwani nakutafuta/ Au upo kwa Mwamposa au we ndo Yale mafuta/ Wale watu uturuki Tuseme ndo umewasusa/ Sa mbon uneruhusu tetemeko nawamekufa/ Si nivipi nitaamini/ Maana inasemekana hata biblia imeandikwa na watu Kama mimi/ Labda niulize hivi ile siku ya kiham ipo/ Pengine nifununu Ila siku ya mwisho nikifo/ Ila acha tuamin upo Nahofu ya maisha isifanye tumpe binadam nafasi ya MUNGU/
@kibrahtz2687
@kibrahtz2687 Год назад
Naomba tuongeee😢😢😢😢
@lightheaventemba3760
@lightheaventemba3760 Год назад
🙏👊👊👑🙌
@renatusmboya3526
@renatusmboya3526 Год назад
Umetisha sana broh
@ReekJay
@ReekJay Год назад
Chorus kaimba nani
@modimpoz7546
@modimpoz7546 Год назад
Kaka aya maswali mbona majibu yapo kwenye biblia yote ujapata neema tu yakufunuliwa kk. Mungu yupo angalia tu usikufuru kwakushawishi watu waasiamini yupo nenolake linasema nitafuteni maadam ninaonekana ila hata sasa amjamtafuta . Pia kuna sehemu umesema wadangaji wanabarikiwa ila kaka wa msikitini ananjaa sijui unapaswa kujua neno lake lina sema Mvua yake uwanyeshea wote waovu na wema kwaiyo baraka za Mungu huja kwa wote na tato nikuhusu kusema biblia iliandikwa na watu wale walikua binadamu lkn wenye nguvu ya Mungu yaan manabii waliandia vitabu vile kwa uwezo wa roho na kwa pumzi ya Mungu biblia inasema HAPO MWANZO PALikua na neno nae neno alikuwa kwa Mugu na neno ni Mungu kwa mstari uwo inakuwa wazi kbisa kwamba neno la Mungu (biblia )ndio Mungu mwenyewe ivo kk ukilijua neno lake umemjua Mungu na ndio maana anasema kitabu hiki cha torati kisitoke kinywani mwako bali ukitafakari mchana kutwa na usiku je kaka unafanya ivo . Fanya unamuona ,Mungu na chakuongezea biblia ina sema wanitafutao kwa bidii wataniona je unamtafuta kwa bidii. Kuna jambo umeliongelea hapo la kufa kwa. Costa niliweke ivi Mungu alipo kuumba aliweka kusudi ndani yakila mtu na mtu unapitimiza kusudi lako huna budi kuendelea kuishi je ww na mm makusudi ya kuumbwa kwetu unayajua . Ukijua utakua sio mwepesi wakuuliza ilo swali kwann kamchukua costa kwanza na sio hamo ,nisawa foil imetengenezwa ili kuifadhi chakula na ikishafanya kazi yake haitumiki tena ndio wanadamu mfano ww unakuta uliumbwa ili uje umzae mtt ambaye atakuja kua kiongozi mkubwa wa taifa ili utimizapo kusudi tu zile siku zinazobaki ni kama neema ya Mungu . Pia kaka umeuliza kua kama Mungu alikuumba kwa mfano wake maana yake ww ni yeye ila kwann unasumbuka kujitafuta . Neno linasema NAKASEMA TUMFANYE MTU UYU KWA MFANO WA SURA YETU NA AKATAWALE VYOTE VILIVYOMO DUNIANI, sasa apo Mungu alimaaninsha mfano wa yy katika roho Mungu ni roho na sio mwili ,mwili umefinywangwa kutoka kwenye udogo na Mungu akutoka kwenye udongo ,ndio maana ukifa roho yako inaenda mbinguni kuhukumiwa kwa mema na mabaya na kwa kila neno ovu na jema litokalo kinywani kwako na kwa yale mema uliofanya wakati wa kuishi kwako na ndio maana Mugu anasema katika WAEFASO 6:10 NA MZIDI KUA HODARI KATIKA BWANA NA KATIKA UWEZA WA NGUVU ZAKE ZABURI 105:4 INASEMA MTAKENI BWANA NA NGUVU ZAKE ILI UMJUE LAZIMA UWE NA NEEMA NA UJAZO WA NGUVU NA MAARIFA YA KIROHO KINYUME NA HAPO KAKA UTAKUA KAMA WATU WAMATAIFA WALIOPOTOKA KWA KUKOSA MAHARIFA . Nena lake limesema hata sasa amjapata kwasababu amuombi na pia maadam anaonekana mtafuteni kwa bidii na mtamuona Nikwa ayo machache nitakua nimekusaidia kaka mm ni shabiki wa mziki wako MO __DIMPOZ @BANDO RUDI KWENYE BIBLIA
@danielfabmaina8000
@danielfabmaina8000 7 месяцев назад
Mm hujiuliza kama Kuna msaa mzuri Tanzania nitachukua bando bt nyimbo zake mzuri sana hazina views mbona na bando nimsani mkubwa sana we need to support this man anakipaji 🎉🎉
@lukamavoice5377
@lukamavoice5377 Год назад
Oya kama umerudia hili gomaa gonga like hapa na urudie mara kwa mara
@zackyflavour4135
@zackyflavour4135 Год назад
Atu likeee
@user-rk5mu4xq7z
@user-rk5mu4xq7z 22 дня назад
Wanao mkubali mc gonga like apa👌👌👌
@gerry_macopper3808
@gerry_macopper3808 Год назад
Daaah yaan we jamaa sijui unakwama wapi mshkaji wangu, goma la kwenda kabisa hilii,
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Sure
@harunnjagi9417
@harunnjagi9417 Год назад
Tunasubiri sana,waliofika hapa baada ya kuiona TikTok tujuane Kwa like
@chazzylukumay2059
@chazzylukumay2059 Год назад
Oyooo
@amonkogo8370
@amonkogo8370 Год назад
Mara hiyo hiyo
@dorcaskathure3169
@dorcaskathure3169 Год назад
😢😢mimi hapa nmekuja kutoka tik tok
@paduaprosper5262
@paduaprosper5262 Год назад
🔥🔥🔥
@touristmorgan4090
@touristmorgan4090 Год назад
Mara pap😂
@lkudata90
@lkudata90 Год назад
Mungu ni mwaminifu akupe majibu ya maswali yako kwaajili ya utukufu wake 🔥🔥🔥🔥
@samtokarubandika387
@samtokarubandika387 11 месяцев назад
Amina
@khawiadunda1105
@khawiadunda1105 Год назад
Speechless #nakuombea mziki wako ukue dunia ikujue
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 6 месяцев назад
T
@Japhary_HHA
@Japhary_HHA Год назад
Sijawahi amini kanisa wala msikiti dini zinaunafki mwingi naamini mungu yupo kwahiyo kila mtu ataishi kwa imani yake
@willinjowritter206
@willinjowritter206 Год назад
This ain't a song,its a prayer 🙏.. much love and blessings from KENYA 💯🇰🇪🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Karibu kusikiliza wimbo wangu mpya👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-enobG5EE16M.html
@elishayaredi3653
@elishayaredi3653 Год назад
Deah ngoma nikali sana ❤❤❤❤ bando wewe ni hatariiii
@dahustlerlawrence731
@dahustlerlawrence731 Год назад
Kabisa..
@yohanatweve5721
@yohanatweve5721 Год назад
Shikamoo ???
@Alex_Anania
@Alex_Anania Год назад
@@BandoMC Hii Ni ngoma ya maombi,inapaswa ipigwe pia kanisani
@hosammwinchea4391
@hosammwinchea4391 Год назад
"Binadamu wengi tunapenda utupende ila hakuna Binadamu anayependa umpende zaidi" this is my best Lyrics in this song Mr Bando🙏
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Noma sana
@emmanuelshukiah1236
@emmanuelshukiah1236 8 месяцев назад
Ungekuwa na YESU MOYONI MWAKO usingeuliza hata hayo maswali, There is no answer outside JESUS CHRIST.
@MariaKapinga-el4gt
@MariaKapinga-el4gt 3 месяца назад
No jesus in the world
@JumassonJuma-qc5us
@JumassonJuma-qc5us Год назад
Shay town boy on air,🔥🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@Vairo_tz
@Vairo_tz Год назад
Huez andika hii ngoma wala kurecord buth kam hauko kweny feeling za hali ya juu..this song is real thing🔥🔥
@chazzylukumay2059
@chazzylukumay2059 Год назад
Noma sana
@moviedipdozen550
@moviedipdozen550 Год назад
Feelings
@joseealexislenguumeni18
@joseealexislenguumeni18 11 месяцев назад
hii ni message na sii kila mtu ataelewa...lots of love❤❤ from Kenya
@kirikuukirikuu5193
@kirikuukirikuu5193 10 месяцев назад
all at once give it to bando 👏👏 nipewe likes zangu apo
@Burner_Acc
@Burner_Acc Год назад
"Uliniumba kwa mfano wako kwahiyo me niwewe Kumbe nasumbuka kujitafuta mimi mwenyewe" Deep
@lengfordmoses2938
@lengfordmoses2938 Год назад
Deep mno
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 10 месяцев назад
Im God
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 Год назад
Watu Tunataka Ngoma Zenye TUNGO Kama Hizi, Sio Mataputapu Aiseee! Big Up Mzee Bando Mc✊🏿🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Kwel man
@moseykeys_tz
@moseykeys_tz Год назад
Oya ee Kaka bando iwe isiwe ngoma na wewe yajaaaaaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌😭😭
@BandoMC
@BandoMC Год назад
YUPI BORA Mlevi anaemkumbuka MUNGU akiwa bar/ Au mlokole anaemkumbuka dem akiwa church??? NAOMBA TUONGEE👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-enobG5EE16M.html
@MariaSimoni-kt3jo
@MariaSimoni-kt3jo Год назад
Naupenda huu wimbo mpaka sijielewi Bando umeweza
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asant sana
@henryckikihombo
@henryckikihombo Год назад
Aliyeludia kuangalia hii video zaidi ya mala mbili Kama mimi gonga like twende sawa.
@shayoalakara1084
@shayoalakara1084 Год назад
Mwamba umenisababisha kila nikiboreka nasikiliza huu wimbo wako masaa yote. Salute kwako Mwamba
@MariaKapinga-el4gt
@MariaKapinga-el4gt 3 месяца назад
You killed in short tunadanganywa na din mungu hayupo tuabudu mizimu yetu African
@AlexRichad
@AlexRichad Месяц назад
Mmmmhu
@sarafinasteven8301
@sarafinasteven8301 Год назад
Mungu wangu kaka anajua aana plz mungu mtoe kupitia huuu wimbo❤❤❤❤
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Amen
@wilsonkago6632
@wilsonkago6632 Год назад
This is a masterpiece. He’s a lyricist, knowledgeable about geopolitics and entertainment industry. The religious issues he raised are pertinent too. Much love from Kenya🇰🇪
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Thanks
@adolphsanga683
@adolphsanga683 Год назад
Nimesikiliza zaidi ya mara 10 @Bando mc hii ngoma ni kari sana❤
@emmanuelgeorge7852
@emmanuelgeorge7852 5 месяцев назад
Hii ngoma ni hatari sipendi hip hop lakni hii nasikiliza mara tatu kwa siku huwezi amini... Keep moving kijana shout out
@AziziSaidi-mg8br
@AziziSaidi-mg8br Год назад
Sema umekufulu sana mzee kama unamaumivu yaweke ndani ya moyo broo we nimsanii mzuri ila huku unafel
@jacklineflorence300
@jacklineflorence300 Год назад
Sijawahi kupenda HIP HOP lakini Bando umenikosha… hii song ni hatari i love it❤…
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ur welcome
@asmanndiema2874
@asmanndiema2874 Год назад
Watanzania mko na talent❤
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless
@mordenboyTz
@mordenboyTz Год назад
Aaaah nimerudia kama mara 30 dah Bando mc hatariii saana
@dangomc_niger
@dangomc_niger Год назад
Asa mbn akiimba ney mnamdis nyimbo km izi akiimba Mwingine fresh tu
@detlantamarooned1809
@detlantamarooned1809 Год назад
Maturity, Intelligent and creativity revealed in this song.
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bonge la wimbo
@fashekcmb9927
@fashekcmb9927 Год назад
Tangu nimskize kwenye kumi ZA maangamizi...jamaa amedhihirisha Ana kipaji... Bando MC namtambua...
@mickjizze
@mickjizze Год назад
Moja kati ya nyimbo Bora sana kutoka kwa Bando.
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asant sana man
@farajansekela5763
@farajansekela5763 Год назад
Bando umetisha umeumiza kichwa,,,,
@FrankMandela-ss7cf
@FrankMandela-ss7cf Год назад
Hii tunasema the Bid bland from SHY town woww!!
@conelkimazi6590
@conelkimazi6590 Год назад
da hongera sana umejua ntamani angarau nikuone jamani nikipe zawad dah umeweza umepangiria vizuri sana 🙏🙏🙏🙏🙏
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asnte sana dm me instagram @bandotz
@dianamasanja5661
@dianamasanja5661 Год назад
This was so touching 😢😢😢😢... Umeongea ukweliii Mungu atusaidie😢😢🙌🙌🙌
@clementkingu963
@clementkingu963 Год назад
maisha ni fumbo kwetu hatujui muda wala saa Mungu anaweza kuwa msaada kwetu, hivyo yatupasa kumuamini muda na wakati wote.
@clementkingu963
@clementkingu963 Год назад
kazi nzur sana bando mc,kazi nzur sana jay drama pia bill lenz...nmependa kwan bando kamalizia kwa kuamin Mungu yupo na anamtafuta waongee....big up fam
@thegxxmovies
@thegxxmovies Год назад
🔥🔥🔥🔥Aisee kaka eeh .....🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@amanisevere9661
@amanisevere9661 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥hiliii gomaa hatariiiii duh
@mohamedidd7385
@mohamedidd7385 Год назад
"Na hofu ya maisha isifanye tumpe shetani nafasi yako" 🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Fam
@ibrahimurichard377
@ibrahimurichard377 Год назад
Shy boy i have seen maturity in this piece,kwenye lyrics every single word is a word to bold,kwenye flow as usual maji unamimina,very creative beat mwanzoni,kati,mwisho ni viatatu tofauti ukizungumzia,chorous ni mbili mwanzo na mwisho umeleta kitu kipya but finally umeoenesha pia kuwa you can sing,mwanzoni nilidhani kiitikio kaimba mtu mwingine.Wewe ni mmoja ya marapa wakali kwenye hii new hip hop generation.
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Thanks sana
@moseykeys_tz
@moseykeys_tz Год назад
Wana goma kaliiiiiiiiiiii😭🙌🙌🙌
@lightheaventemba3760
@lightheaventemba3760 Год назад
Bondo kaka umetisha ng'oma kali sana 👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Nooma
@martinmsigwa9066
@martinmsigwa9066 Год назад
Lyrical Genius ✊🏾
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Juma Pili Njema fam🙏 Hivi watu wanaposema kwamba MUNGU sio athumani huyu athumani ninani?? Nadhani huu wimbo upo Sawa 👇 NAOMBA TUONGEE 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-enobG5EE16M.html
@asiakhamsini1490
@asiakhamsini1490 Год назад
Nimepata msisimko💔😭🙌let's take over the game brother 💯
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Hatareeee😊
@holyboy6056
@holyboy6056 Год назад
Nilikua Kila saa naskiliza tungo kwenye "dear God" ya Dax ambae ni rapper wa mbali uko, but am glady Leo naskiliza the same spirit energy and flow from homeboy✊
@salehefeswali5197
@salehefeswali5197 Год назад
Kaka huu mkolas kama kapta jux🙌🙌
@eddytzonlinetvTallMan
@eddytzonlinetvTallMan Год назад
MHHHH 😢 NASHINDWA KUSEMA KAMA NI KIPAJI AU UMEANDIKA UKIWAZA DUNIA INAVYOENDA🙌🇹🇿 BRO UNASTAHILI KITI NA UKIPATA MUNDA TUONGEE🎧🔥💫
@BandoMC
@BandoMC Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-enobG5EE16M.html
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Blood
@westlandstv
@westlandstv Год назад
This is my prayer from today❤❤❤
@FrankMandela-ss7cf
@FrankMandela-ss7cf Год назад
Duuh!! Kwamba Mungu Si athumani??? Afu unataka kumjua athumani !! Daaah hatareee sanaa
@josephsumbizi7631
@josephsumbizi7631 Год назад
Tukasepa huo ndo mwanzo wankujuana na bando AMEN
@STAVOO_WEEZZY
@STAVOO_WEEZZY Год назад
More love,,, more talent,,,,,,, more power,,,,,, more consistency,,,,,,more creativity
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asant snaa
@jaykipenzi
@jaykipenzi Год назад
​@@BandoMC wewe nikiboko kaka
@clementkingu963
@clementkingu963 Год назад
from +257 burundi nimerudia hii ngoma zaid ya mara 10 kusikiliza bando 🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
The winner
@bonnyjessy9657
@bonnyjessy9657 11 месяцев назад
Hii n zaidi ya creativity na reality kaka 👏🔥👏 @BandoMc #Bando
@nashiruhassani5158
@nashiruhassani5158 Год назад
Mamen bando mc nakukubal sana kaka kazi makini sana💯👊
@nicholasog4954
@nicholasog4954 Год назад
Wow this song is fire 🔥
@moseykeys_tz
@moseykeys_tz Год назад
Waiting is over now🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Noma
@wewa7329
@wewa7329 Год назад
Hii nyimbo inafikirisha sana kuhusu imani za kidini iv kweli ndo mungu anataka tufanye mbona dini zinaleta machafuko na utengamano katika jamii zetu
@FrankMandela-ss7cf
@FrankMandela-ss7cf Год назад
Nasemajeee BRO BANDO UMETIShaaaa
@rockyfunto1980
@rockyfunto1980 Год назад
NATIONAL ANTHEM 💥💥💥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Naam
@matwin5196
@matwin5196 Год назад
Naomba tuonge 🔥🔥💣🥶
@Frerdinan
@Frerdinan Год назад
bro you make me cry with the biggest message😢😭
@sangenyanda-jw5vs
@sangenyanda-jw5vs Год назад
daah,,bando umetisha kinoma iyo nyimbo...#sange# hapa kaka one love pamoja sana
@isaacbarnabas9608
@isaacbarnabas9608 Год назад
Certified & Verified National Anthem ⚡✌️
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asant sana
@Ciphalee
@Ciphalee Год назад
THE FIRST TO COMMENT.. NAOMBA LIKES TAFADHALI
@mbasasi9590
@mbasasi9590 Год назад
Wewe ni noma sana brother
@FrankMandela-ss7cf
@FrankMandela-ss7cf Год назад
Kak kikubwa ni Imani ako tuu Broo!!!! Refer NAOMBA TUONGE ONE DAY YES BRO!!!!!!😊
@kentimminvestments7000
@kentimminvestments7000 Год назад
This ninja is just on another level #BandoMC much love from +254 #001
@barakafredy6860
@barakafredy6860 Год назад
Kipaji kinahusika💥✍️
@barakafredy6860
@barakafredy6860 Год назад
Uandishi bobevu ndicho kinachoonekana?????????
@Janu_Rocka
@Janu_Rocka Год назад
We finally have a hit my boy 🔥🔥🔥
@khaligraphtzz9581
@khaligraphtzz9581 Год назад
Brother bando umeuwa San Ngoma Kali San kila hatua DUA🙏🙏
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asant sana
@FrankMandela-ss7cf
@FrankMandela-ss7cf Год назад
Tumekubali sana hili Goma huku kitaa adi sio pwh!!!
@mjthefuture96
@mjthefuture96 Год назад
Baba baba 🙌🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Mj
@mjthefuture96
@mjthefuture96 Год назад
Maongezi Yako mwake
@adammajaliwa3125
@adammajaliwa3125 Год назад
You got it BRØ 👊 keep climbing, keep spitting on this🌟 u know knoma🌟
@emmanuelgeorge7852
@emmanuelgeorge7852 5 месяцев назад
Hivi hii mistari mnataka kusema hamuioni au rock mbaya tu.... Big up Bando
@ibraahamos2005
@ibraahamos2005 Год назад
Tumefungua mwez wa Nne na goma kali respect Bando
@nasmaharuna8316
@nasmaharuna8316 Год назад
Fire❤🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewaaa
@jobkofficial1591
@jobkofficial1591 Год назад
Big up bando , Mistari imeshiba zaidi ya bando la buku ten , yaani hii kubwa WiFi , naskiliza apa tunaenjoy wife and i , bro u gonna be an African eye , masnichy na haters gonna be all shy , mungu akunehemeshee kipaji chako bro hadi wajiulize y u goona be great bro zaidi hata AY .... Big up bro it me fellow artist job k wadinasi
@user-rj3ws4lq8c
@user-rj3ws4lq8c Год назад
Binadamu wengi tunapenda utupende ila hakuna Binadamu anayependa umpende zaidi" this is my best Lyrics in this song buda keep it up............. naamin tunaelewa wachache sana
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless up
@dizaboy5915
@dizaboy5915 Год назад
Na kukubali mwanangu Kenya tuna kutambua 002 🇰🇪🇰🇪📌
@ezysky
@ezysky Год назад
Killer💯🙌🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
My g
@ashirafuabdallamhed-ez1hj
@ashirafuabdallamhed-ez1hj Год назад
Kijana una akili sana🙏
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asant sana
@SteveMK
@SteveMK Год назад
Hongera, umenikumbusha enzi za roma. Ila umefunika sana
@pisonmycah9408
@pisonmycah9408 Год назад
BIG SONG BANDO, SO MUCH QUESTIONS ,INAHITAJI MTU MWENYE UBONGO ULIOFUNGUKA. CONGRATS.
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asnt sana
@jurcxonmwita5469
@jurcxonmwita5469 Год назад
So nice song my brother Bando big talent bro we still wait for more hits like this. We also wonder "kwann kila kitu kuhusu yeye ni mdaharo usio kua na majibu..? "😢😢😢
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Juma Pili Njema fam🙏 Hivi watu wanaposema kwamba MUNGU sio athumani huyu athumani ninani?? Nadhani huu wimbo upo Sawa 👇 NAOMBA TUONGEE 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-enobG5EE16M.html
@shevibenard
@shevibenard Год назад
​@@BandoMC hivi huwa unawaza nini maana mashairi ni ya moto huwezi amini
@zemost
@zemost Год назад
Umetisha Sana Bro....Japo kama Kuna kufuru Ndani Yake🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mohamedimusa2043
@mohamedimusa2043 Год назад
Hajatisha hapo kwenye kufuru ndio kaaribu
@zemost
@zemost Год назад
@@mohamedimusa2043 Tena Sana
@jumarwambo7420
@jumarwambo7420 Год назад
Hofu ya maisha isitufanye tumpe binadamu nafasi yakoo 😢 hii imeenda bando
@ruddey1469
@ruddey1469 Год назад
Naomba tuongeee......nsipomwona TMA awards 2024 nahama nchi kaka asubuh
@halsonsiame827
@halsonsiame827 Год назад
Umeua mwanangu bg up sanaa
@Deezingotz
@Deezingotz Год назад
NAOMBA TUONGEE aise ww kijana umeshindikana daaaahhiii BANDO we ninomaaaa jaman
@georgekisarika
@georgekisarika Год назад
Bando wewe ni mkali sana..wimbo unaelimisha na ,unafikirisha
@Cde_zubeir
@Cde_zubeir Год назад
Yani hii ghoruse namuona jux,, angekaa Ingelikua Noma sana🙏🏽
@moseykeys_tz
@moseykeys_tz Год назад
Ujumbe sahihi👉👈👉👈👉👈👉👈
@jiwahassan
@jiwahassan 8 месяцев назад
miaka itasonga huu ujumbe na akili kubwa itaendeleza mijadala. Hongera Master BANDO
@sadikisalumu7965
@sadikisalumu7965 Год назад
Acha nitembee na hii, NAOMBA TUONGEE
@yonandelemle2906
@yonandelemle2906 Год назад
Pamoja sana Mr Bando MC
@romanuskunzugala2096
@romanuskunzugala2096 Год назад
Daa hip hop ya bongo bna msuli tembo matokeo sungura
@user-dq4fu2jh1i
@user-dq4fu2jh1i 11 месяцев назад
Dah,bonge la wimbo God bless him
@SniveDacalen_J-jy1im
@SniveDacalen_J-jy1im Год назад
Uko Sahihi Kabisa Kutafuta ukweli na uwazi kuhusu MUUMBA WA MBINGU NA NCHI ila Turudi kwenye Maandiko Yanasema AKIRI ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI Ahsante
@hamsojuve432
@hamsojuve432 Год назад
Hhhhhhh wadaishA Hamorapa ni bonge La L0Ss😂😂😂mziki mkali br0ther_man🙌🔛🔝💯🇰🇪🇰🇪
Далее
Bando MC Feat Daway - Sir God (Official Music Video)
4:04
Dakika 10 Za Maangamizi - BANDO MC | Planet Bongo
12:12
Bando MC ft Vanillah - Sikulaumu
3:40
Просмотров 209 тыс.
TOXIC FT ONE SIX - KIFO (Official Video)
3:09
Просмотров 280 тыс.
TOXIC FT KONTAWA - MWAKANI
4:10
Просмотров 455 тыс.
Bando MC Akichana Kwenye Beat Ya Marioo Chibonge
16:46
Просмотров 220 тыс.