Тёмный

Bashe Aonyesha Msimamo Bungeni I Wabunge Wamuunga Mkono I Wakulima Msikilizeni Bashe 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 70 тыс.
50% 1

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amelazimika kujibu hoja mbalimbali za baadhi ya Wabunge waliounga mkono hoja iliyotolewa na Mbunge wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ambaye aliomba muongozo kuwa Bunge lisitishwe shughuli zake ili liweze kujadili suala la ukatazwaji wa kuuza Mahindi nje ya nchi, ambapo hoja hiyo iliungwa mkono na Wabunge.
Ambapo Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, alisimama na kulieleza Bunge namna utaratibu unavyotakiwa kufuatwa ili kila mtu anayetaka kununua Mahindi anatakiwa kuufuata.
Stori zaidi tumekuwekea kwenye akaunti yetu ya RU-vid “Clouds Media”.
#KutokaBungeni
#7bisha
#CloudsDigitalUpdates

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@HafidhAli-lt5xt
@HafidhAli-lt5xt 7 месяцев назад
Tanzania has future leaders. Watching from Kenya
@amalikakiva4937
@amalikakiva4937 Год назад
Huyu misimamo yke na mkumbuka marehemu magu alivyokuwa miundo mbinu ,Bashe chapa kazi
@FelisterLimbu-bs4iw
@FelisterLimbu-bs4iw Год назад
Kilimo ni ajira Hongera mh Bashe kwa kuinua sekta ya kilimo.
@henrychaula1174
@henrychaula1174 7 месяцев назад
Safi sana mheshimiwa Bashe, binafsi napenda sana uchapa kazi wako, Songa mbele
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 6 месяцев назад
Mh Bashe ukoVizuri Sana kwa msimamo wako . Ujumbe Vipi Kuusu Mashamba ya Mbuga ya Mwamala Shigangama iliyopo Wilaya ya Kwimba Mwanza , Mashamba Mengi yamevamiwa na wanakijiji ivyo ni Shida Kati ya Wanainchi wa Pale Kijijini na Wamiliki wa Mashamba hayo , Tunaomba Msaada wako Mh Bashe .
@dulladulla7744
@dulladulla7744 Год назад
Kaka unajua hongera
@abelmakalwe
@abelmakalwe 4 месяца назад
Huwa nakuelewa sana Bashe
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 7 месяцев назад
Nice explanation Hon.Bashe let's move into action.
@ChuchuMahumbi-px2sg
@ChuchuMahumbi-px2sg 4 месяца назад
Sana wazir wetu wakilimo tanzani
@JihadiMohamedi
@JihadiMohamedi 8 месяцев назад
Congratulations Mh waziri, pls toa na bei elekezi ya bei ya korosho.
@samuelmajule54
@samuelmajule54 7 месяцев назад
Big up mbunge wetu wa Nzega
@KedimoniLameck-et5xd
@KedimoniLameck-et5xd 4 месяца назад
Mh.bashe wakomeshe kabisa majizi yanayo tuibia wakulima .kumbe umesha yaona hayondio yanayo sababisha tusipate pesa wakulima.nahasa niviongozi wauma .ndio yanayotuibia.asante baba
@amalikakiva4937
@amalikakiva4937 Год назад
Bashe safi sna,huyu jamaa ni kichwa sna,hivi kwnn mawaziri wengine amuigi
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 4 месяца назад
wataiga wakati hawana akili!
@OmriPengo
@OmriPengo 7 месяцев назад
Good mh bashe
@husseinchambau3015
@husseinchambau3015 Год назад
Safi sana
@bahatibunzali15
@bahatibunzali15 Год назад
Bashe uko making sana
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 6 месяцев назад
Mheshimiwa uko vizuri sanaa
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 4 месяца назад
Hongera sana sana sana You are Dynamic Action leader. Ongeza Nguvu Zaidi. You are Great truly Blessed.
@Amiriallyameir
@Amiriallyameir 4 месяца назад
Good speech Mh. Bashe, you deserve to be a leader keep it up.
@FelixAidan
@FelixAidan 4 месяца назад
Mungu akutie nguvu wazili wetu wewe ni jibu ktk nchi
@marcusfalinzungu4543
@marcusfalinzungu4543 7 месяцев назад
Waziri Bashe ana mawazo chanya sana. Huwa ninapata matumaini katika michango yake na utendaji wake. Nia yake kwa Watanzania ni njema, tumuunge mkono watendaji katika sekta za kilimo na mifugo
@callebmuzungu342
@callebmuzungu342 4 месяца назад
For sure I'm Rwandan by nationality but I'm proud of bashe Bashe oeeeeee
@modestmatle7708
@modestmatle7708 6 месяцев назад
Mhe Bashe Uko fit kwa uongozi
@sifamwafrica1261
@sifamwafrica1261 Год назад
Hapa kazi tu
@aminimushi6945
@aminimushi6945 7 месяцев назад
Huu ndio uzuri wa shule,hofu ya Mungu,hongera mh Bashe,fanya kazi,achana na utendaji wa akina bashite,Mungu atakuwa nawe,kwani una huruma na Watanzania maskini.
@modestmatle7708
@modestmatle7708 6 месяцев назад
Bashe ni kiongozi bora
@dulladulla7744
@dulladulla7744 Год назад
Hakika ww utakuwa raise kwa miaka ya badaye hongera sana
@EmmanuelNgonela
@EmmanuelNgonela 3 месяца назад
Mweshimiwa waziri, wakati Wengine wanasibiri kuwezeshwa,sisi wengine tumeanza kujiwezesha lakini bado tunahitaji kuwezeshwa ,kwani nguvu yetu ikifika sehemu inakwama na kuhitaji msaada na Kwa kukosa msaada tunajikuta tunakata tamaa .
@adanmahad7929
@adanmahad7929 3 месяца назад
That lady is perfect.mkukima hawezi process hizo liseni kwa wakati
@omarmohammed7600
@omarmohammed7600 7 месяцев назад
Binafs natamani huyu waziri apate nafasi ya kua raisi wa nchi namkubali sana
@ahmadseaman3487
@ahmadseaman3487 4 месяца назад
thanks so much
@antonyibrahim5949
@antonyibrahim5949 4 месяца назад
Ubarikiwe
@yusuphahmed-yt5gg
@yusuphahmed-yt5gg 7 месяцев назад
❤❤hongera
@user-xl7yv7hr3z
@user-xl7yv7hr3z 6 месяцев назад
very good kaka
@florenciamassawe4925
@florenciamassawe4925 4 месяца назад
Hakuna lisilowezekana.
@BarnabaSamwel
@BarnabaSamwel Год назад
Hongera kamanda ila imewasahau wakulima wa tumbaku hawajalipwa na Mkwawa mateso.
@EmmanuelGelard
@EmmanuelGelard Год назад
Heshima kwako. Bashe
@cairomwaitete7978
@cairomwaitete7978 7 месяцев назад
Good analysis 👍
@MasterG-dc1tx
@MasterG-dc1tx 3 месяца назад
Mama ucmtoe Bashe kwanza
@adamyusuphmsigala
@adamyusuphmsigala Год назад
Huyu agombee urais tunamkubali sana
@elimringimotta182
@elimringimotta182 7 месяцев назад
Wakipeleka nje bei ya dola inaingia kwa mfanyabiashara au serikalini?
@barnabasngungo3521
@barnabasngungo3521 7 месяцев назад
Mh.Waziri upo vizuri sana endelea
@JAPHETJOSEPH-b6e
@JAPHETJOSEPH-b6e 6 месяцев назад
Mfipa mwenzangu umepiga maji kidogo ,Ila uko Nondo
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 7 месяцев назад
Bashe ni.ekuelewa mfumo mzuri sana chakula kitakuwa bei chini kila MTU atamudu kama lndia safi sana mabubu ndo hawafaham
@JAPHETJOSEPH-b6e
@JAPHETJOSEPH-b6e 6 месяцев назад
SERIKALI NUNUA MAZAO YOTE UZA KWA DOLA ,Big business
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 4 месяца назад
Kuuza kwa dola bado ni kuua uchumi uza kwa dhahabu
@marcusfalinzungu4543
@marcusfalinzungu4543 7 месяцев назад
Jesca upo sahihi katika uchangiaji. NIDA ni kidonda ndugu
@emmanuelisarria6321
@emmanuelisarria6321 7 месяцев назад
👍💯
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 3 месяца назад
Bashe biga Kazi wanaokufifiza kwa CHUKI zao usijali
@pendaeli5464
@pendaeli5464 7 месяцев назад
Nakubaliana na hoja za bashed.marufuku mgeni kufwata mazao shambani.anunue kwenye soko
@user-ui7lb5yc2l
@user-ui7lb5yc2l Год назад
👑💪👍✅
@nasramohamedsultan7994
@nasramohamedsultan7994 Год назад
Mhs jitahidi kuzipiti wageni kufika mashambani kununua mazao tunashindwa kufanya biashara watanzania tunakuunga mkono kwa hilo
@florenciamassawe4925
@florenciamassawe4925 4 месяца назад
Hakika wizara imempata waziri sahihi 💪💪👍👏
@hamzazuber6905
@hamzazuber6905 5 месяцев назад
Mh bashe jitahidi uongee kiswahili wengine hatujasoma unatuacha hewani
@LetisiaSambala
@LetisiaSambala Год назад
Makambako safi
@ananiakyando3904
@ananiakyando3904 7 месяцев назад
Mahindi nilime mm mashart ya kuyauza niwekewe hii inakaajee
@KidijeiNuru
@KidijeiNuru 7 месяцев назад
Msambaa eka vituko
@magiramagesa37
@magiramagesa37 7 месяцев назад
Msoma
@benjaminmganyizi1807
@benjaminmganyizi1807 Год назад
Nimekuelewa mkuu
@jramadhanmgonja6110
@jramadhanmgonja6110 Год назад
Hongera Sana Bashee your Super Hero
@furanaelijaphasoni5079
@furanaelijaphasoni5079 7 месяцев назад
Mkulima ndie anahumia kwasababu Mimi sijawahi kuona bei ya mahindi elekesi
@seif3401
@seif3401 7 месяцев назад
Huyu JAMA kasoma sana
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 6 месяцев назад
Tanzania 🇹🇿 tuna njaa mchel kilo 3200 maharage kilo 3400 bado mnauza njee ya mipaka
@PaulNyerembe-pj8fm
@PaulNyerembe-pj8fm 7 месяцев назад
Kwann prodoction ni ufipani tu? Irrigation maeneo mengine vip
@JosephLushinge-uy3tc
@JosephLushinge-uy3tc 5 месяцев назад
Wewe hufai uongo mwingi sana wakulima tuna teseka tunanunua mbegu kilo mbili elfu 20000 mda huu tunauza gunia elfu 48000 nyie wabunge wapuuzi sana hamfai hata kidogo
@JosephLushinge-uy3tc
@JosephLushinge-uy3tc 5 месяцев назад
Anayepongeza ugoro hakusoma bashe hatufai waulizeni waliopewa mtaji na samia wa kwenda kulima wamepata nini wanipe mimi wizara ya killimo mimi ndoo rais wa wakati wanapewa kwenda kulima nilisema watafel sana soko la tanzania sisii wakulima niwatumwa hatujijui jibu mpaka nitapotara mimi na chama cha ukombozi
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 4 месяца назад
Tatizo kwa nini mahindi bei ni ndogo na uku soko likiwa holela bei inakuwa kubwa
@williammbuthiamaitai5274
@williammbuthiamaitai5274 28 дней назад
Huyu musomalia ametoka wapi Tanzania
@KedimoniLameck-et5xd
@KedimoniLameck-et5xd 4 месяца назад
Wewe tunakuomba akulide navita hiyo.kututetea wakulima
@elimringimotta182
@elimringimotta182 7 месяцев назад
Je sisi tumeshindwa wapi mpaka wageni waingie biashara shiyo
@user-wc7zt4xj6u
@user-wc7zt4xj6u 6 месяцев назад
Bashe Mimi sina baya na wewe piga kazi mkuu
@HaulSidney
@HaulSidney 3 месяца назад
Huyu bashe huwa simwelewi kabisa, anatoa majibu ya kisasa
@abdallahkumbi7120
@abdallahkumbi7120 7 месяцев назад
Mh tutembelee Wakulima wa Mkonge Lushoto Umba, tunaumia hatuna corona ya kuchakata Mkonge wetu tunaibiwa nguvu zetu zinapotea ajira zetu ndio hizo tufanye nini mheshimiwa
@user-fo9jw2gb2h
@user-fo9jw2gb2h 7 месяцев назад
Jamani huu sio mda wa maongezi tupo milion61 kumbukeni
@GladmanKilango
@GladmanKilango 7 месяцев назад
Tuanze na makonda
@user-jz1ur2ny5u
@user-jz1ur2ny5u 4 месяца назад
Hiyo mipango yenu fungua mipaka watu wanahali mbaya
@justinmwamloso7559
@justinmwamloso7559 7 месяцев назад
Mbolea laki na ushehe ikushuka 85000 lkn gunia la mahindi halifiki hata 90, 000
@SamwelSichone
@SamwelSichone 5 месяцев назад
Ayoitekesha
@SamwelSichone
@SamwelSichone 5 месяцев назад
Ayoitekesha
@SamwelSichone
@SamwelSichone 5 месяцев назад
Ayoitekesha
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 6 месяцев назад
KAMA AZAM Bakhresa ni disciplined distributer kwa nini Serikali isimpendelee kumpa tons zote za kuagiza?
@RajabuMponda-lz5od
@RajabuMponda-lz5od 3 месяца назад
Mbona ufuta hamtangazi bei mapema. Mnasubiri tulete zao la ufuta gurioni harafu mnatupangia bei.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 4 месяца назад
HIVI KWANINI SPIKA UNASEMA ASANTE ASANTE WAKATI WAZIRI HAJAMALIZA? UNA HARAKA GANI MIMI SIPENDÌ UNAPOSEMA ASANTE ASANTE WAKATI MTU HAJAMALIZA.
@elimringimotta182
@elimringimotta182 7 месяцев назад
Serikali inunue mahindi yote itafute bei nje kwa dola
@WinfridFlowin
@WinfridFlowin 7 месяцев назад
Wewe mweu umesbabisha soko la mahindikushuka kwa mashart magumu
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 7 месяцев назад
Waziri hujamuelewa lengo bei ya chakula iwe chini kwa waraji. NDani ya nchi
@jramadhanmgonja6110
@jramadhanmgonja6110 Год назад
Kwani Huyu Anayeongea Ni Nani? Shwaini Kabisaa.
@goodluckmbilinyi747
@goodluckmbilinyi747 Год назад
sijui kala mavi
@allykamanga4366
@allykamanga4366 Год назад
Kumbe ata hamfaham hauwez muelewa tulia
@joshuabilia1440
@joshuabilia1440 7 месяцев назад
Mbashe wewe ni waziri Mzri Sana Lakini nilitamani Sana Kujua Sana Jimbo La Buchosa zao La Biashara ni lipi ambalo selikari inawapa wananchi Wa Buchosa bei elekezi ya zao hillo make Sisi Buchosa bei elekezi tunaiskia tu Bungeni na mbuge wetu Eric shigongo yupo kimya tu ama buchosa haina wakulima
@epimackjohn461
@epimackjohn461 8 месяцев назад
Ni mtaalamu Sana kuongea ila aangalie anakoelekea maneno yake yanaanza kujaa Siasa ikipishana na utekelezaji wa AHADI zake .
@fatumahossein754
@fatumahossein754 7 месяцев назад
Umechemka waziri umetuletea hasara wakubwa sana. Na mahindi sio elfu 1000 ni 700 waziri wewe ni muongo sanaaaaa.tunamahindi hatuna soko waziri .hilo soko la 1000 liko nchi gani?
@eliudfelix7180
@eliudfelix7180 7 месяцев назад
TALKING TOO MUCH BT DOING 0.
Далее
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 4,8 млн
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 32 тыс.
SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO
10:35