Тёмный

WAZIRI BASHE ATOA AGIZO KALI KWA MENEJA WA AMCOS/MKAMATENI MUWEKE NDANI HAWEZI KULA HELA YA WAKULM 

Kilimo TV
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
majaliwa rais , bashe.waziri mkuu. inshallah
@khadijasarkaly5588
@khadijasarkaly5588 Год назад
Bashe mtoto aliolelewa mikono salama ya shekh amekamilika alafu kubwa anamtegemea mungu Zaid jembe la mama Samia kazi iendelee
@thomaskabungo2211
@thomaskabungo2211 Год назад
Hongera saana bashe mungu akulinde Sana sana
@daud405
@daud405 Год назад
Magufuli products bearing fruits!!! kweli Magu wetu alifanya kazi kubwa san. angeyaona haya angefurahia san
@sikikalivenaraissamia8279
@sikikalivenaraissamia8279 Год назад
Congratulations Mr.Minister Bashe.
@adolphmichaelnyakwela8638
@adolphmichaelnyakwela8638 Год назад
Bashe Mungu akubari kwa uchapaji wako wa kazi hakika naiona nyota ya mafanikio ya wakulima kupitia kwako
@solomonmwenda2666
@solomonmwenda2666 Год назад
Safi sana Mh. Bashe. Hapa ninaiona serekali. Ninahisi wewe ni Damu kamili ya JPM. Mawaziri wengine endeleeni kula kiyoyozi Dodoma na DSM 2025 itaamua
@ibrahimkimonga8614
@ibrahimkimonga8614 Год назад
Safi sana jembe kutetea wanyonge endelea ivyo
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 Год назад
excellent, Mr. Minister
@simonkabuka9170
@simonkabuka9170 Год назад
Mheshimiwa Bashe nakukubali. Msaidieni Rais kuirekebisha nchi hii. Wakulima wa Tz tuna Imani na Wewe.
@habibamaguru2722
@habibamaguru2722 Год назад
Mungu akutangulie kaka yang
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Год назад
Bashe Bashe Bashe....Shikamoo sana, Na wengine wanaiba hizo Mbolea na tunawajua Mh
@shaban9730
@shaban9730 Год назад
Utafika mbali Sana mh.
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Год назад
Kwanini watu wanapenda uonevu? Bashe safi sana
@thomaskabungo2211
@thomaskabungo2211 Год назад
Bashe hongera mdogo wangu kipenzi
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Год назад
Wakulima tunaonewa sana nchi hiii asante Bashe
@rejobu9723
@rejobu9723 Год назад
Kati ya mawaziri bora kuwahi kutokea 🥰 Tumemiss mambo kama haya m2 ameboronga apewe malipo yake. namuona hayati dr. John Joseph pombe magufuli ndani yako! APUMZIKE KWA AMANI SIMBA WA AFRICA 😭😭
@frankmwakatundu2435
@frankmwakatundu2435 Год назад
WEWE RAJABU UNAMFANANISHAJE MH. BASHE NA MWENDA ZAKE!!!? BASHE NI MCHAPA KAZI KWA HAKI, SI FISADI, HAJINUFAISHI BINAFSI TANGU AKIWA MBUNGE WA KAWAIDA ALITOFAUTIANA WAZI WAZI NA WABUNGE WENZAKE WA CCM KAMA UNAKUMBU ILIKUWA KAMA KUNA HOJA
@frankmwakatundu2435
@frankmwakatundu2435 Год назад
BASHE NI TOFAUTI KABISA NA JPM BASHE NI MZALENDO WA KWELI TANGU AKIWA MBUNGE WA KAWAIDA ALIUPINGA UFISADI NA HAJAWA FISADI!!! UTAKUMBUKA WAKATI ULE WA BUNGE LA UPINZANI IMARA ILIKUWA CCM IKIJUWA KUWA LEO BUNGENI KUNA HOJA INAYOHUSU UFISADI ILIKUWA NA TABIA YA KUWAKALISHA KIKAO WABUNGE WA CCM ILI KUWA WAMOJA KUWAKABILI WABUNGE WA UPINZANI KTK HOJA ILE ILIKUULINDA UFISADI WAO LAKINI MH. BASHE KAMWE HAKUKUBALIANA NAO AKAWA ANAKUWA UPANDE WA UPINZANI HUYO NDIYE BASHE WA TANGU ZAMANI HAJABADILIKA BADO NI MR. CLEAN. NDIYO MAANA MPAKA LEO WANANCHI WANAWAITA WA BUNGE WA CCM NI AKINA NDIYOOOOO( NI WALINZI WA MAFISADI WA CCM USIPOJIPENDEKEZA KWA MAFISADI BASI KWENYE KURA ZA MAONI WATAKUTUPILIA MBALI HATA UKIPATA KURA NYINGI!!! NDIYO MAANA CCM ILIFUTA MGOMBEA BINAFSI ILI KUWAZUIA WASIOWATAKA WAKATI WANA NCHI WANAWATAKA. NDIYO MAANA TUNATAKA KATIBA.HUWEZI KUMFANANISHA MH. BASHE NA JPM, KUMBUKA JPM ALIKUWA NA HARUFU YA UFISADI MFANO MMOJA TU NIKUPE: CAG WETU PRO. MUSA ASADI ALIBAINI UPOTEVU WA TILION 1.5 SIYO BILIONI 1.5 NI TILIONI 1.5 LAKINI HUYO MLIYEMWITA MZALENDO NA. 1 ( JPM) BADALA YA KUMPONGEZA PRO. AKAMTIMUA KAMA MHALIFU NA KINYUME CHA SHERIA!!! WENYE AKILI HAWAJIULIZI ETI KULIKUWA NA NINI WANAJUWA NI UFISADI TU.
@edwindaniel7306
@edwindaniel7306 Год назад
Hongera mr bashe kwa upigaji mzuri wa kazi
@amadeokinyekile8804
@amadeokinyekile8804 Год назад
Nakuelewa sana mkuu
@Usxznt
@Usxznt Год назад
Mungu aendelee kukulinda Mh.Waziri kazi yako ni njema Sana.
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Год назад
Subahnallah, wakulima ni watu ambao wanapotiya magumu sana na wanalima kwa taabu, kwa mtazamo huu mkulima kupiga hatuwa vigumu sana.
@JacksonMtese-gn4so
@JacksonMtese-gn4so 5 дней назад
Well done Bashe
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Год назад
Mbunge wa kudumu Nzega mjini. Mheshimiwa Bashe mi chanda chema cha Ndambile Nzega mjini. Sisi wana Nzega tunajivunia sana kijana wetu. Hii inatokana na malezi mema na kuwa na hofu na Mwenyezi Mungu.
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
Safi sana bashe
@thabit5532
@thabit5532 Год назад
Safi kiongozi
@ashaali7154
@ashaali7154 Год назад
Ahsante Bashe waonevu wanaona wako juu ya Sheria na kutesa watu.
@piusundisputed
@piusundisputed Год назад
I like honorable Bashe , he's smart, brave
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Год назад
Yani ela zipo benki mkulima halipwi kisa tu hajui pakwenda kulalamikia pumbav zao
@shukranitv2971
@shukranitv2971 Год назад
Bashe ni suruhisho kwa wanyongeee
@selestinomwasa2911
@selestinomwasa2911 Год назад
Wanazungushia hela Kwenye miradi yao mtu anadaiwa 180,000 na anadai milioni moja na nusu suala dogo beba hela zote unapolipa kata hela yako ya mbolea wakulima wenyewe wanalipia dirishani kwanini wasikate dirishani, wezi hao kazi yenyewe ya shamba ni ngumu
@misschagga8042
@misschagga8042 Год назад
Kaka kwanini usigombee tu uraisi jamani tunakuhitaji sana.
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 Год назад
acha kumchongea kijana.Atafukuzwa uwaziri sasa hivi.
@misschagga8042
@misschagga8042 Год назад
@@jonathanakhabuhaya1693 Mungu akiamua kukupa hata iweje atakupa tuu sina hofu na huyo baba from day one nimemjua nimeona anaweza kuwa raisi hata iweje tunamuhitaji.
@evaristomwangaya3888
@evaristomwangaya3888 Год назад
Wanatusumbua sana
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
ivi huu ubabaishaji.utaisha lini? wanyonge hawa mnawatesa tu
@peterandrew2795
@peterandrew2795 Год назад
Bashe hapo unafeli.
@daudndunguru2856
@daudndunguru2856 Год назад
Unapambana sana kwakua huo mfumo unaanza nadhani usumbufu nikawaida sasa huko tunakoendelea mambo yatakuwa safi kama anavyosema
@evelina9621
@evelina9621 3 месяца назад
Wame va.nguo.kija ni.wasaliti.kuficha.ccm
@saidngwale4725
@saidngwale4725 Год назад
Bashe wewe ndio wazir mwenye dhamana kweny kilimo ebu tuambie kunanini kwenye korosho?
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Год назад
Mbolea vijijini hakuna hadi leo, Na mahindi yanakuwa.
@ibrahmahuve3134
@ibrahmahuve3134 Год назад
Sasa wataripa vipi wakiwa ndani sijaelewa mh. Kazi njema na ndo inatakiwa wakulima tunateseka ila hapo ndo cjaelewa
@seinabelimi2296
@seinabelimi2296 Год назад
huyu ndo rais 2025 hakuna mwingne
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 Год назад
Weka ndani tu. Hawaachi hao
@famysalum6584
@famysalum6584 11 месяцев назад
huyu ni magufuli
@togorojuma7493
@togorojuma7493 Год назад
Kama fedha Iko benk suluhu nimtu kuwekwa ndani au kufata pesa benk wenyenazo wagawiwe
@amanipalla7293
@amanipalla7293 Год назад
🙌🙌
@ayubumdolo259
@ayubumdolo259 Год назад
Nafuu manyii aaah bashee twavweeeh bwana
@evaristomwangaya3888
@evaristomwangaya3888 Год назад
Hata hivyo mbolea wanatupandishia bei
@J4UPro
@J4UPro Год назад
Kama Magufuli vile
@saidngwale4725
@saidngwale4725 Год назад
Bashe tuambie kwanini soko la korosho lishuke kiasi hiki?
@kondoatown8765
@kondoatown8765 Год назад
Waziri kwetu huku vimetokea vidudu flani vyeusi vinakata mahindi hivyo kma havina akili nzuri . Mahindi yanaisha huku
@dicksonmagesa7602
@dicksonmagesa7602 Год назад
Apewe urais jamaa huyu
@abdallahabdu8194
@abdallahabdu8194 Год назад
Nchi hii vurugu tu bwana?halafu mnaupiga mwingi, ukisikia ya mtwara utakaa chini?sasa wapo ndani watalipaje? Au walipe ndio waende ndani.
@vitalisnyagali2774
@vitalisnyagali2774 Год назад
Ccm ni ileile tu
@alhajimohamed1909
@alhajimohamed1909 Год назад
Wewe ndo raisi Bashe? 2025
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 Год назад
Rais wa nchi gani?? Bashiru alisema mkamzogoa
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 Год назад
Ovyo kabsa ninyi wenyewe ndo mnaozulumu wananchi wa hali ya chini kisha mnawafanya viongoz wa Amcos kama kanyagio. Tunataka kujua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa 10%,tunataka jujua kwann soko la korosho limeshuka sana,tunataka kujua kwanini uchumi umedorora baada ya kupanda.Eti mnaacha point za msingi mnaonesha ubabe kwa wanyonge tu.Ujampa ata mda wa jumsikiliza je kama malipo kapeleka benk na benki malipo ndiko yanakochelewa uonev mtupu.
@abdirahmanagane2903
@abdirahmanagane2903 9 месяцев назад
Hiyo utauliza rais uliyemchagua huyu ni waziri tu
@daudndunguru2856
@daudndunguru2856 Год назад
Tutembelee na ruvuma
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 Год назад
kama soko in karudi
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 Год назад
mkama waziri mkuu soko in kabisaa.Mungu akukinde maisha yako uisaidie serikari ya wajukuu zetu had rahaa
@w_media_house
@w_media_house Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-FDWcSrGIF_8.html 🔥🌍 Kilimo ni mama
Далее
Prank Orchestra
00:10
Просмотров 1,1 млн
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 3,1 млн