Тёмный

Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 574 тыс.
50% 1

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amechafua hali ya hewa bungeni akipinga muswada wa mabadiliko ya sheria ya maliasili, wakati akichangia hoja huku akiwatuhumu wabunge wa CCM kufanya mambo kwa ushabiki.
Lema amesema sheria zilizoligharimu taifa mpaka sasa, zilipitishwa kishabiki bungeni, kama ambavyo wabunge wanataka kufanya hivyo sasa hivyo kama ushabiki utaendelea, lazima sheria zitakazopitishwa zitakuwa ni zilezile.
Ilibidi mheshimiwa George Simbachawene, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, asimame na kumkosoa Lema kwamba alikuwa akikiuka sheria katika uchangiaji wake lakini alipokaa, Lema alimpiga kijembe kwamba anataka kubadilishiwa wizara ndiyo maana anapinga hoja ya Lema.
Akataka utengwe muda wa kutosha kujadili muswada huo na si kupeleka bungeni kwa hati ya dharura. Mjadala mkali uliendelea ambapo Lema aliendelea kutoa hoja nzito akizielekeza upande wa wabunge wa CCM.

Опубликовано:

 

2 июл 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 287   
@shebbyrnem7003
@shebbyrnem7003 5 лет назад
nimemshangaa sana kusema Arusha mjini hatuna m bunge huyo ni nan sasa funguka lema
@reganjuma152
@reganjuma152 7 лет назад
mh:lema ameongea point kubwa sana na mueshimiwa rais angalia hilo coz kuna wabunge wa ccm wanatetea ujinga big up mh lema
@lubavaclassic7048
@lubavaclassic7048 7 лет назад
Duuuuuuh kweliii kiboko duuuuu.. umebonga adii nafsi yangu imeshtukaa jombaaa
@maikonmsafirilatonga114
@maikonmsafirilatonga114 4 года назад
Nimemkubali Sana lema kwa alichozungumza ila simabachawene anajaribu kufosi kupindisha alichozungumza
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 лет назад
ila CCM ni watu waajabu sana kwa kweli, hule muimbaji wa gospel Munishi hakukosea, Mh.Lema I salute you
@stelasasala5972
@stelasasala5972 7 лет назад
Hivi kichwa km hiki kijana unapataje ujasiri wa kukipinga? Viva Lema
@isuqalex8726
@isuqalex8726 7 лет назад
ccm hawajielew big up mh. lemaa
@aibansaidy2286
@aibansaidy2286 5 лет назад
Arusha tuna mbunge makin saanaa, mungu akubariki mheshimiwa lema.
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 2 года назад
Ipo siku arusha mtamkumbuka lema
@suleimanali609
@suleimanali609 6 лет назад
hakika wewe Lema Mungu awalete viongozi km wewe
@justinemgomi9561
@justinemgomi9561 7 лет назад
Lema umefungukaaaa hahahahaa dozi imepenyaaaa
@saddiqkinkoro389
@saddiqkinkoro389 5 лет назад
Chuga huyu ndo kiongozi msikoseee anafunguka ipasavyoooo yuko njemaa km rais Wa Arushaaa
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 3 года назад
Chuma hichoo mungu awape umakini wakurudishe tenaaa
@rahmayussuf4368
@rahmayussuf4368 6 лет назад
Thank you Lema congrat ....smart na unajua kujenga hoja ipasavyo....goood
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 2 года назад
here from Kenya 🇰🇪I like this guy personally
@masalumashala185
@masalumashala185 3 года назад
Wakati wa Mungu ukifika, ccm itashindwa na watu wengine, hongera lema kwa kulitambua hilo
@ombenianton3611
@ombenianton3611 2 года назад
😂😂😂🤣🤣🤣 ila walipoondoka ndio bunge lilipoteza mwelekeo wake. But 1 day tutachukua kombe tu na sisi
@geofbeka1669
@geofbeka1669 7 лет назад
Pole Lema, mna kazi ngumu sana
@josephjohn6219
@josephjohn6219 7 лет назад
Ni vizuri Wah.Wabunge kufanya kazi za Bunge na siyo kazi za matakwa ya vyama vyao vya siasa!
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 5 лет назад
Arusha mkimpoteza Lema mtapata hasara kubwa na mtakumbuka daima
@jonaselisha3217
@jonaselisha3217 5 лет назад
Huyo ndojembe letuuuu 2020 ten
@godfreymgaya435
@godfreymgaya435 6 лет назад
Mwenyezi MUNGU akupe nguvu ..akutie hekima na maneno yako,,,m4c.....
@princeriwa4000
@princeriwa4000 2 года назад
Maneno yako ni Sawa na jina lako mwamba. Mungu akulinde na kukulinda kwa kila jambo ulitendalo mwamba. Your my inspiration
@billionairemuksini2981
@billionairemuksini2981 7 лет назад
wapinzani wapo kwa ajili ya kuweka mambo wazi huku watawala wanafichaficha
@shebbyrnem7003
@shebbyrnem7003 5 лет назад
Billionaire Muksini haswaaaa
@pttemba4421
@pttemba4421 5 лет назад
lema mungu alie watoa wana wa israel misri na kwasauti yako uliotoe kwa kipindi hiki mungu atukuja kukuweka juu nawanao wapinga wata ficha sura zao
@deogratiusdaudi5482
@deogratiusdaudi5482 7 лет назад
jah bless u godbless lem 2 live 100yrs ahead with alots of happiness...asante lema
@yaledijakobo4072
@yaledijakobo4072 6 лет назад
Deogratius Daudi
@shemsaroja975
@shemsaroja975 4 года назад
I wish ningekua raisi ninge kuchagua WAZIR MKUU
@elizabethmlay5015
@elizabethmlay5015 6 лет назад
nice sana Mungu akujaze hekima
@hitmanhunter9557
@hitmanhunter9557 7 лет назад
roma akiwaambia ukweli wabunge wetu mnatuangushaa anatekwaaa.... sasa mambo gani hayo... watu wazima mnashindwa kukaa mkaelewana na kuskilizana.
@leonidaobed2952
@leonidaobed2952 7 лет назад
lema mungu akutie nguvu hao wangine Hawajui wafanyalo ni ndio tu kila kitu tunawasubiri kwa hamu-2020 wataungua tuuuuuuuu.
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 5 лет назад
Lema Lema Lemaaaa! God bless Lema Amina.
@kechbowcech3325
@kechbowcech3325 4 года назад
Wewe Tulia. ,,,,hatuna hati ya Dharula.... ni Dharura.
@Adryfierce
@Adryfierce 7 лет назад
Shikamoo Lema
@albertmichael8675
@albertmichael8675 5 лет назад
Wawooooo mkuuu dah unaongea ukweli na kwa uchungu sana ,mbna wabunge wa upinzani wanaakili sana ,adi wivuu
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 4 года назад
lema mh
@zompasevenludovick51
@zompasevenludovick51 7 лет назад
tunahita watyu kama nyie 100 tyu wenye ujasiri na weledi wa kutosha ili tulikomboe taifa....Viva Lemaaa
@augustinochuhila6004
@augustinochuhila6004 7 лет назад
lema mungu akubaliki sana katika Kazi yako
@pelgrindominicus4890
@pelgrindominicus4890 5 лет назад
Yes this is what we need in our nation the truly guy like Mr. Lema is good even if most of the parliament are oppose him
@bigsonmeckson8688
@bigsonmeckson8688 4 года назад
Pelgrin Dominicus
@shaddytzblog1907
@shaddytzblog1907 5 лет назад
Sema baba lema mwenyezi mungu aendelee kuwapigania
@woltabenad8311
@woltabenad8311 4 года назад
Lema unajuw sana kujenga oja
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 6 лет назад
Waheshimiwa msicheke hilo swala ni muhimu sana raia sisi hatufurahii hata.
@yohanazacharia3352
@yohanazacharia3352 7 лет назад
ujumbe umefika hata kama wanaukataa kinafiki lkn tumeuelewa wenye akili
@kevinmrope1783
@kevinmrope1783 7 лет назад
Yohana Zacharia nawewe unaakili?
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 лет назад
Yohana Zacharia +wewe mie naona no number one. unahitaji kupelekwa mirembe.
@agabalufulani7247
@agabalufulani7247 5 лет назад
Safiii
@mamaedson7179
@mamaedson7179 4 года назад
Kura yangu ni kwa lema arusha mjini 2020
@salimmasatu7637
@salimmasatu7637 7 лет назад
lema ukisimama wabunge wote wa cc wanatetemeka
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 6 лет назад
pole sana Lema ila mkono mmoja hauvunji chawa..kaka yangu umoja ni nguvu
@alexanderkilembo7651
@alexanderkilembo7651 6 лет назад
ongea bana tumechoka kabisa
@sorryboy4404
@sorryboy4404 5 лет назад
Salim Masatu
@josephkanondo3999
@josephkanondo3999 7 лет назад
mungu ambariki gobbles lema
@dostovan5142
@dostovan5142 2 года назад
Huyu jamaa Mungu ambariki Sana kwa kuipigania nchi
@muhidinihassani520
@muhidinihassani520 4 года назад
LEMA Ni hazina ya TAIFA
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 5 лет назад
Lema na zito kabwe ni ndugu pacha I love you all
@khassimnkuruvi4
@khassimnkuruvi4 6 лет назад
Lema happy nakupa BG up. Umeongea.
@omarymachea2364
@omarymachea2364 4 года назад
Lisu aliwakomesha sasa zamu ya lema kuwaonyesha kazi
@geraldmilanzi424
@geraldmilanzi424 5 лет назад
Hakika wa faa kuwa mbunge wa kitaifa na si wa jimbo. Mungu na awe nawe
@thomasmario950
@thomasmario950 5 лет назад
Acha mambo ya ajabu spika ww kwann usiache aongee?
@ama7742
@ama7742 4 года назад
Kwa mara ya kwanza nimemuelewa lema
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 5 лет назад
Wana macho hawaoni na wana masikio lakini hawasikii kabisa
@abdulyesswigo5266
@abdulyesswigo5266 2 года назад
Lema wewe ni mwamba wapo wabunge wachache Sana kwenye taifa hili wenye moyo Kama wako
@marcohamisihubill.1649
@marcohamisihubill.1649 7 лет назад
Uko Sawa mungu akubariki
@ibrahimrikanga1607
@ibrahimrikanga1607 5 лет назад
Jamani ww lema uko good
@mohamedshabani2263
@mohamedshabani2263 5 лет назад
yani wabunge wa ccm nimuzingo mkubwa mno kasoro bashe tu anaye jitambua.
@angeljustine1978
@angeljustine1978 2 года назад
Our pride Arusha tumekumisss sanaaaa mhe
@augustinochuhila6004
@augustinochuhila6004 7 лет назад
lema baba uchaguzi ujao waviongozi gombeya uwenyekiti taifa utawanyosha
@fundibaskeli2600
@fundibaskeli2600 6 лет назад
Ww ni mwisho
@jamilaismail5227
@jamilaismail5227 7 лет назад
👏👏👏Lema👏👏👏👏👏❤❤❤💙Lema💙💙💙Lema 💪💪💪 Lema👌👌👌👌
@Onicavee
@Onicavee 6 лет назад
Jamila Ismail 👏🙏mbuge wanguuu
@salimmasatu7637
@salimmasatu7637 7 лет назад
we simba cha wene kaa chini hauna maana
@paulalipakwa9077
@paulalipakwa9077 2 года назад
Godblessings you lema mangu akulinde popote ulipo Godbless you lema
@alfredmmbaga9336
@alfredmmbaga9336 7 лет назад
MANENO YAKO MARA NYINGI , YAMEUACHA MOYO WANGU NA TABASAM....!! MUNGU AZIDI KUKUHEKIMISHA LEMA
@yohanamgungu9850
@yohanamgungu9850 4 года назад
Alfred Mmbaga sanaaaa kaka
@joycedaniel6127
@joycedaniel6127 4 года назад
Alfred Mmbaga nakuunga mkono kabisa Lema Hapa aliongea kiuongozi zaidi na alipiga picha ya mbali sana lazima sheria zilenge matakwa ya sasa na ya baadae sheria nyingi kwenye nchi zakiafrika zinalenga kulinda viongozi hao kwa muda wanapokuwa kwenye mamlaka kitu ambacho sio afya kwa ustawi wa Taifq
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 3 года назад
Big up sir kamanda
@mpelienock
@mpelienock 6 лет назад
Lema you are very true
@markkayuni9775
@markkayuni9775 7 лет назад
Ndio rema wachane ujumbe ushafika
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 3 года назад
Kabisaa lema
@woltabenad8311
@woltabenad8311 4 года назад
Lema wewe ndombunge naomba uruditena bungen wewe niraisi ajaye 2035
@mahirimahiri2643
@mahirimahiri2643 Год назад
Mungu anawaona. Mlidhani mko makini kumbe hakuna lolote. Haya sasa
@ramadhanikakoree3728
@ramadhanikakoree3728 6 лет назад
Uko vzr lema
@ismshakoor1340
@ismshakoor1340 6 лет назад
asante San lema mungu akulinde
@kyomamabifi7686
@kyomamabifi7686 6 лет назад
pilot kamnda lema nakukubali ad tunajivunia kuwa nambunge kama ww
@rashidlimanyile6237
@rashidlimanyile6237 5 лет назад
ccm mzigo,lema yupo sawa kinga ya Rais iondolewe.
@yusufuemauneli9413
@yusufuemauneli9413 Год назад
Pole makazi mema kazi yenu ngumu
@ricksonmrema1693
@ricksonmrema1693 4 года назад
Kweli Lema waambie
@mabulantinyehu5575
@mabulantinyehu5575 6 лет назад
makamanda tusikate tamaa endeleen kulipigania taifa
@mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
Pole Sana lema ccm aizidiwi kabisa ndugu yangu iyo niile ile
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 года назад
Ni mtoro ila Nabii wa ukweli..keep up Lema
@fabiolapanga8680
@fabiolapanga8680 3 года назад
Nakumic san rais wa Arusha
@babujinga5819
@babujinga5819 4 года назад
Wabunge wa upinzani nawakubali sana tena sana
@mursaliswalehe8324
@mursaliswalehe8324 Год назад
Karibu mkuu
@jolojist929
@jolojist929 3 года назад
Viva lema
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 6 лет назад
Kuwachokonoa kivipi tena ukweli unauma.
@rahmayussuf4368
@rahmayussuf4368 6 лет назад
mnapigwa vita wazi wazi daah..Anakula dakika zako kukupinga
@fredrickwaosure9286
@fredrickwaosure9286 5 лет назад
Lema uko vzr xn wachane hao ccm ukweli
@njaunestory761
@njaunestory761 6 лет назад
Simba chaweneee sijui akili yako vip
@ndimesady7467
@ndimesady7467 3 года назад
Alafu leo jitu linakaa mtan linauluza umetufanyiann arusha kuwen makin hilo ni jembe ss nyie wapeni wale mateso mpambanuen dar tunamuelewa sn pambanen lema jembe
@tollmrema6049
@tollmrema6049 2 года назад
Nakukubali sana
@kenyatatogota5340
@kenyatatogota5340 5 лет назад
Hatali Sana
@dicksonmsongole1059
@dicksonmsongole1059 5 лет назад
Big up ma brother
@josephlasway664
@josephlasway664 7 лет назад
mbungeee wang uyo god+bless u
@jonathanjj.pachajjpacha9127
@jonathanjj.pachajjpacha9127 4 года назад
Kwer kabisa
@jasminelissu9063
@jasminelissu9063 3 года назад
Lema kama lema mbge wangu uyo
@dicksontheobald7032
@dicksontheobald7032 3 года назад
Raisi Wa arusha
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 7 лет назад
namkubali sana lema
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 7 лет назад
wakati mwingine wapinzani wanaongeaga pointi Sijawahi kuikubali chochote cha lema ila kwa hii point "Sio kila Rais anayechaguliwa ni mzalendo kama MAGUFULI.............." Ni kweli kabisa hapo umeongea! Ushauri: tungeni hizo sera bila chuki na msichanganye vyama na maisha ya wananchi wa tz. hii mambo ya taaarifa mweshimiwa au utaratibu mweshimiwa mimi ninadhani hazina maana yoyote!
@frankbella4170
@frankbella4170 7 лет назад
sio kila wakati ni kila siku
@masalumashala185
@masalumashala185 3 года назад
Hukumueleea vzr ww lema ndo maana unalipuka
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 5 лет назад
Bila upinzani hakuna nchi
@frankmkama5169
@frankmkama5169 4 года назад
Lemaaa big brain master
@aminielyohana3052
@aminielyohana3052 3 года назад
Huyu kanuni yann ccm ni wanafuki sana pumbavu
@bakarimakida1145
@bakarimakida1145 7 лет назад
It is painful... Serikali plz plz chukueni haya mawazo.. Namnukuu Lema alichokisema ... "70% ya wabunge ni wapya , They never know kama msimu ujao watarudi mjengoni".. Forget that... Mi naona ni jambo la kheri sana ukiwa kama mwenye dhamana ya kutunga sheria na ukatumia nafasi hiyo vizuri ambayo hata ikitokea hautakuwa tena mjengoni,, c wewe tu mbunge, lkn hata vizazi tuliopo na vijavyo vitakukumbuka kwa mchango wako... So plz guys fanyeni kilichowapeleka mjengoni.
@habramusimkoko3027
@habramusimkoko3027 2 года назад
Cyłkownje ýyy hm xnńýyyyyý syć by ýń syć sy syć š na ýyy sy ty sy by dš zhromadnje by ý Gbagbo xd kg š
@ombenianton3611
@ombenianton3611 2 года назад
True Mr
@peterlaiza1399
@peterlaiza1399 5 лет назад
Shikamoo lema
@eliezaseme714
@eliezaseme714 7 лет назад
Good imepenya hyo wameipata
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 года назад
Hahahahaaaaaaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀 Jamani Lema!
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 года назад
Sura mbayaaaaaa! Kaoneeee
@ChristerShao
@ChristerShao 8 месяцев назад
Lema ulikuwa sahihi.Ndugai alisema taifa litauzwa.Wabunge na mawaziri mnayakumbuka kauli ya Lema na matukio tunayoyaona.
@francissalamba8112
@francissalamba8112 7 лет назад
lemaa shikamoooooooooooooooooo
@osternmeru6240
@osternmeru6240 7 лет назад
Asante mh.Lema
@golanmathias3634
@golanmathias3634 7 лет назад
safi Lema cc tumewaelewa wanacho kifanya
@priscaoscar9263
@priscaoscar9263 4 года назад
Huyu simba chawene huwa ananifurahishaga
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 10 месяцев назад
Yahni anang'ata nakupuliza
@severinepetro7619
@severinepetro7619 3 года назад
Asui wa nchi hii ni ccm kataa ccm popote pale ulipo
@huseinhamidu7367
@huseinhamidu7367 Год назад
Aliyesababisha paka Hawa wabunge wasiwepo bungeni Kama yupo uhai mungu ampe azabu paka atakapokufa naakifa akutane naazabu kubwa
Далее
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni
12:42
Просмотров 362 тыс.
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
12:09
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08