MashaAllah dube yuko n furaha wallah❤me nilikua nikithamn dube acheze yanga Alhmdhulillah ndoto yangu imekamilika Allah atujalie maisha marefu n baraka tuzidi kuona mafanikio ya team yetu pendwa
hapa nimeami tunaenda kwenye mafanikio zaidi hongera uongoz Asante Mungu kwa unayo tujalia asante rais wetu injinia erres said asant wadhamini wetu asante wanachama wote nz wafadhili na bodi yoote ya Yanga
Aziz ki fridge ake bovu msirudie kumwambia kitu na huyu mwamba ni hatari Sema Azam sijui wanachezaga mpira Kwa lengo Gani msimlete baleke tafadhali 🙌🙌💚💛
Mmh huyu mwamba aliwaweza azam pale walipo halika tim zinazo mtaka zipeleke ofa mezani makolo wakapeleka na wale wasudani yanga tukakaa kimya ka vle hatujasikia alf mwamba akagomea ofa zao akasema hizo hela yuko tayar kulipa lakini awe huru daah prince alikuwa anaipenda sana yanga mwamba kabsa saiv wacheza wazur wanataman kichezea yanga wala hatutumii nguvu kubwa kuwashawishi
Ukisikia BEHIND SCENES,ndo hizi! Yaani mchezaji environment tu! Morali tayari! Raha ni pale kwamba hivi vitu vinafanyika JANGWANI!!!! NA YANGA INA PROFFESIONALS IN ALL AREAS!..Love FROM Cambridge UK
Lakn kwa zaidi ya 99.5 naamin aziz hatakuwepo nae msimu ujao kwan naamin hakuna team kwa hapa tz ambayo inaweza kuwa na mcheza wa aina ya k aziz, chama, pacome hiyo ni ngumu ngoja tuone😂😂😂😂😂💚💛
Yani kweli mnajitia ujinga sana hivi mnaangaika kwenda kukodi vitu ili tu DUBE afike sehemu nzuri mnaacha kutengeneza kwenu kuwe pqnzuri nyinyi bqdo mnaangaika na kukodi sehemu.
DUBE KARIBU SANA,KWA WANANCHI WENZIO,TUMEKUELEWA UNAMEPENZI MAKUBWA KABISA NA CLUB YAKO YA YANGA AFRICAN'S,TIMU AMBAYO INAWAKILISHA VIJANA WOTE WA KIAFRIKA,BILA KUJALI MIPAKA YETU,AFRIKA NI MOJA.KARIBU UIPAMBANIE CLUB YAKO PENDWA,HAPA NCHINI,AFRIKA NA NJE YA AFRIKA!!! WELCOME HOME YOUNG AFRICAN,PRINCE DUBE,NGYABONGA KAKULU MFUETU!!! YANGA IMARA!! DAIMA MBELE!! NYUMA MWIKO.MAPAMBANO YANAENDELEA.VITA MBELE!!!