Тёмный
No video :(

MOTO UNAMEWAKA AVIC TOWN! WACHEZAJI WAKIFANYA MAZOEZI SIKU YA TATU - PRE SEASON 

Yanga TV
Подписаться 657 тыс.
Просмотров 104 тыс.
50% 1

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Опубликовано:

 

12 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 182   
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Месяц назад
Nakuomba M/Mungu wajaalie Kheir Viongozi wetu na benchi la ufundi na wachezaji Allah wazidishie uwezo wa utendaji wao na wachezaji wetu wajaalie nusra na wazidishie ujasiri wawepo uwanjani Inshaallah
@moviccreativestudio
@moviccreativestudio Месяц назад
Kosi utazani wanataka uefa bana 💚🖤💛😊
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e Месяц назад
Apa kazitu hakuna kupowa Jamani, mora awe na nyinyi nyakati zote aminaaaaaaaaa
@claratango9262
@claratango9262 Месяц назад
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 Месяц назад
Mimi sio wa kwanza wala wa mwisho ila nawapenda tu naombeni likes zenu 💚💚😂
@imanikubwa2896
@imanikubwa2896 Месяц назад
Ee Mungu Mkuu,,ikumbuke timu ambayo imekuwa ikitoa misaada kwa watu wasiojuweza,,ifanye iwe timu itakayoleta kombe la klabu bingwa la Afrika. Hakuna lisilowezekana
@bminawandu
@bminawandu Месяц назад
Kila mtu wakwanza anaomba like wa mwisho Leo na Mimi naombeni like
@josephgwasa4577
@josephgwasa4577 Месяц назад
Always mwananchi✊🏽
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo Месяц назад
Nafurahi kuona mkude bado yupo
@user-hk4hk4gd5x
@user-hk4hk4gd5x Месяц назад
Allah atufanyie wpc Insha Allah
@DenisBegga
@DenisBegga Месяц назад
💚💚💛💛 naipenda sana
@AdamSadick-ik5jg
@AdamSadick-ik5jg Месяц назад
Wapi yanga dam dam🙌💚💚🔰🔰
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Safi sana wanajeshi wetu Daima mbele nyuma mwiko pambaneni tuko nanyi kwa maombi
@nelsonbenitho8050
@nelsonbenitho8050 Месяц назад
The green and yellow Army 💚💛
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Месяц назад
❤❤❤kila la kheri kwenye prisizoni yenu mashabiki tupo tunawaombea mzidi kufanya vinzuri mlete kombe na Africa nyumbani inshallah.❤❤
@youngshilabebe8138
@youngshilabebe8138 Месяц назад
Kambi Ya Avic town Aina utofauti na walioendA Nje kuweka kambi Salute 🫡 kwake Alie ichaguA kambi hii tangiA Day GSM alivo ingiA
@lwzmangulu7532
@lwzmangulu7532 Месяц назад
Litakufa jituu nawambien kwa hii Tim 💚💚💚💚🔥🔥🔥🙏🙏
@Cutenaah
@Cutenaah Месяц назад
Wakwanza jani NAOMBENI likes💚💚💛💛
@mwansasujonny3536
@mwansasujonny3536 Месяц назад
Kazi iendelee wanaume....
@hamisngoi2930
@hamisngoi2930 Месяц назад
Wananchi wenzangu tujisajili na tulipie kadi zetu ili kujenga uchumi wa timu. Naomba uongozi na timu nzima ya mauzo wazunguke mikoani hadi vijijini kisajili wanachama
@alishaplate6290
@alishaplate6290 Месяц назад
Yanga raha 🧡🧡💛💛💛💛💛💛
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Naona watazamaji wengi kweli kwenye mazoezi.
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 Месяц назад
Emwenyi mungu wabaliki wachezaji wetu wabaliki na benchi la ufundi wapatie nguvu
@YasriSaidiIddi
@YasriSaidiIddi Месяц назад
Yanga daima mbele 💚 💚 💚
@AyubuIssa-np3vc
@AyubuIssa-np3vc Месяц назад
Nyuma kunamwiko
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini Месяц назад
My team
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq Месяц назад
Jaman tufanye kwl mpk mwz w 9 2fikish 1m yanga tv
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Tunaweza 🎉🎉🎉
@user-pu3dn8hu2n
@user-pu3dn8hu2n Месяц назад
Wakwanza naombeni Like zangu 🎉🎉🎉
@user-ow1io3hd7t
@user-ow1io3hd7t Месяц назад
❤❤❤❤
@user-qm5un9yc8r
@user-qm5un9yc8r Месяц назад
Nice
@user-princs
@user-princs Месяц назад
Wapi Diara Aucho na musonda😮😮😮😮😢
@DannyMasuka-ut4oq
@DannyMasuka-ut4oq Месяц назад
Daima mbele nyuma mwiko
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Good,inapendeza sana
@officialyoungdizo
@officialyoungdizo Месяц назад
DAIMA MBELEEE 💥💥
@Alexismadimo
@Alexismadimo Месяц назад
Mungu pamoja nasi
@user-ql2hc7zt6b
@user-ql2hc7zt6b Месяц назад
Dozi inaandaliwa
@user-ox3zp4he9d
@user-ox3zp4he9d Месяц назад
Kutazam mazoezi ni fursa ya kuingiza kipto sisi ni timu kubwa viongozi tuitumii hii
@DjFae.b255
@DjFae.b255 Месяц назад
Wanachiiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉💚💛
@artlastking
@artlastking Месяц назад
Hilo tizi la golikipa🙌🏾
@princemhina5366
@princemhina5366 Месяц назад
🔥 🔥 🔥 🔥
@jenhudson269
@jenhudson269 Месяц назад
Mungu wabaliki wa chezaji wetu wa yanga
@proudpoint7370
@proudpoint7370 Месяц назад
Nafurahi sana kuona club yetu pendwa ikifanya mazoezi serious kama haya. Mwenyezi Mungu tubariki mwaka huu tushinde mataji yote yatakayoshindaniwa msimu mpya unaokuja, hasa hasa taji la Klabu bingwa wa Africa, CAF Champions League. Amen 🙏
@agustinombawala5527
@agustinombawala5527 Месяц назад
Dah huyu kipa tumelamba dume anajua sana🎉🎉🎉🎉🎉
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Месяц назад
Mashabiki wengi wamemic wachezaji wao uwanjani
@ApolonalizachariaChama
@ApolonalizachariaChama Месяц назад
Jitumeni Tim iposafi sana ubingwa was Africa razima uje
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Месяц назад
Mungu awe nanyi kwenye msimu mpya🙏👏🔰💚
@samsonngabahi6406
@samsonngabahi6406 Месяц назад
All the Best players
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u Месяц назад
Wananchiiiiii
@oswaldliberatus207
@oswaldliberatus207 Месяц назад
First🎉🎉🎉🎉🥳
@zamaradhassan
@zamaradhassan Месяц назад
Matege ya kwas na diara yananifurahishaga ila nawakubali sana aiseeee🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
@MaarufuAmani-bq6qc
@MaarufuAmani-bq6qc Месяц назад
Kuna picha Zina sambaa nimemuona baleke kama nawew umemuona gonga like
@fredymelly685
@fredymelly685 Месяц назад
8:01
@freefromhunger
@freefromhunger Месяц назад
Toyota tunarudi nalo🖤💛💚
@RooneyJames-me7lh
@RooneyJames-me7lh Месяц назад
💛💚💛💚💛💚💛
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 Месяц назад
Allaah Akbar
@MjMohammed-nt6fq
@MjMohammed-nt6fq Месяц назад
Mm sitak kazi ya goalkeeper kha unaweza kata utumbo
@EmmanuelDAGNA
@EmmanuelDAGNA Месяц назад
hii yanga Raha sana kuwa yanga upate raha
@user-kh3pi9xu5k
@user-kh3pi9xu5k Месяц назад
Diara Musonda Aucho awapo kambini
@AmashaMchelemi-bq9yv
@AmashaMchelemi-bq9yv Месяц назад
Wakwanza leo
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 Месяц назад
Hao watu Wanao chungulia sijapenda😅
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Месяц назад
Wachezaji wa club yangu bora nawaomba mkaishi kwa upendo wakati wote coz itawafanya mshikirikiane vzr ndani na nje ya uwanja hapo ndipo mnatengeza time bora
@DebabaJohn-fz4qg
@DebabaJohn-fz4qg Месяц назад
3:22 ❤😂
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 Месяц назад
Nani kamuona nungunungu Master!!!! Hahahaha..... Moto utawaka. Tunawapiga ndani na nje ya uwanja.
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc Месяц назад
Mimi pia nimemwona hiki kikosi mmmh naogopa mimi
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 Месяц назад
🔥🔥
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@chollejr_
@chollejr_ Месяц назад
Mudathir anaishi msituni😊😊😊😊
@Paris_onlineTv
@Paris_onlineTv Месяц назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 Месяц назад
Hivi mna malengo gani na mzize kuna dube, baleke musonda si bora angeenda watford tu
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 Месяц назад
Hehe hapa ndio watford.. sote tunavaa njano😂😂😂
@FrumenceBoniphaceMasero
@FrumenceBoniphaceMasero Месяц назад
Mambo ni moto
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo Месяц назад
Nice yang africans
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 Месяц назад
Wa 153 naombeni like kulingana na namba yangu haya chap chap
@user-cx5nf1jv1l
@user-cx5nf1jv1l Месяц назад
Dauma mbele nyuma mwiko🎉
@lusekelomwakyembe57
@lusekelomwakyembe57 Месяц назад
❤❤❤❤
@RamadhaniNgota
@RamadhaniNgota Месяц назад
Wakwanza like nyingi wananchiiii
@mussasiraju7193
@mussasiraju7193 Месяц назад
Yanga Bingwa tena
@sajum-wm6yd
@sajum-wm6yd Месяц назад
Hiv jaman Dr yupo?
@MedyHamisi
@MedyHamisi Месяц назад
Kwa yanga hii mtakoma makolo poleni sana msimu kabla haujaanz chukueni pole yenu na usajili wenu wa vijana huo
@scratcharico6223
@scratcharico6223 Месяц назад
they started
@JaphetDaud-x7d
@JaphetDaud-x7d Месяц назад
Wanashiiiiiiiiiiiiiiii naomba mnipe maelekezo kadi ya wanachama
@mwarabumsophe349
@mwarabumsophe349 Месяц назад
Mda mshale simuom
@jamessanga6768
@jamessanga6768 Месяц назад
Max haimbwi lakini hii ni mashine aisee
@user-qk8mh1hb6o
@user-qk8mh1hb6o Месяц назад
💪🙏🇹🇿
@user-oi4fl7qd3t
@user-oi4fl7qd3t Месяц назад
First 😂
@nancynana2818
@nancynana2818 Месяц назад
💚💛💚💛🔥🔥
@Nashonpeter60
@Nashonpeter60 Месяц назад
Jaman Khalid Aucho mbna simuoni???
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Месяц назад
Kwa hiyo Diara na Aucho wao ni mafaza.
@user-bt2oq7ug2l
@user-bt2oq7ug2l Месяц назад
Khalid aucho mbona haonekani jamani
@abdundimbo5170
@abdundimbo5170 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m Месяц назад
Komaeni wazee nawaona bado sana
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack Месяц назад
Mmh! Haya mazoezi ya Magolikipa,km umezoea kula Ugali na Korosho,lzm uzimie uwanjani 😂
@AbuuAbdilRahmaan
@AbuuAbdilRahmaan Месяц назад
Huyu kocha wa magolikipa ni hatari...anaandaa dozi nene...
@witnessgeorge1976
@witnessgeorge1976 Месяц назад
Ila yao anamatege😂😂😂😂🎉
@samweledward7664
@samweledward7664 Месяц назад
Yanga Bingwa
@frankfulgence
@frankfulgence Месяц назад
Kwa hiki kikosi wataama weng 😄😄
@madibasenior412
@madibasenior412 Месяц назад
Kama umegundua GAMONDI kanenepa like hapa😂😂
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 Месяц назад
Good
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Месяц назад
I miss Dr aucho 😊
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu Месяц назад
Uyu gol kipa ni muzuri ana uwezo mm nimeona ivo
@ShabanAlly-my4rf
@ShabanAlly-my4rf Месяц назад
Watt wakiume naninyi mnaomba like????
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 Месяц назад
Nakuelewa sana shehn
@SussankhanKhan
@SussankhanKhan Месяц назад
💛💛💛💛
@user-zd1zc8dr1f
@user-zd1zc8dr1f Месяц назад
Yani sisi sio wazurulaji kabisaa 😅😅😅
@princemhina5366
@princemhina5366 Месяц назад
Kama tunaipenda YANGA yetu naombeni sana tukajisajiri kwa wingi na kulipa ada zetu za uanachama kablu yetu ipate mapato izidi kufanya usajili wa wachezaji wazuri mwakani.
@mosesjacksonkarashani2642
@mosesjacksonkarashani2642 Месяц назад
Kocha Musa yuko wapi?! Wapi Aucho, Diarra?
Далее
Х..евый доктор 😂
00:15
Просмотров 127 тыс.
Magoli yote 21 ya Aziz Ki NBC Premier League 2023/24
13:07