😂😂😂ndio maana nawaambia amedal anawapotosha simba vibaya mno, ana amua tu leo niwavuruge na stori hii anawavuruga tu😂😂😂 simba wengine sasahv wanaugua homa zisizo eleweka
nikusaidie simba wengi wanamaamini kifedha wapo juu bt ukweli hawana fedha kihivyo,angalia aina ya wachezaji wanaosajili UTAJUAbt also tukumbuke issue zao wanavyoendesha mambo mengi wanayafanya kwa kuiga halafu wanatoa figures zilizo juu waonekane wanapesa bt at the same time utasikia timu inatia hasara(CHAMA ISSUE KUNA WANASIASA WALIJICHANGA WAZUIE USAJILI BT WAKACHELEWA MO KAMA HANA MKWANJA WANATAKA MSAADA TU .)
😂😂😂😂😂huyo oruma hajawahi kupatia chochote yy kila siku anabaki kukiri nilikosea sbb hana fikra ni mnazi tu kama jemedali,salehe jemb, na wengine km hao ni wanazi tu