Тёмный

BELLA KOMBO KUZINDUA ALBUM YAKE MPYA YA KWANZA MWEZI MARCH 2024 /ZORAVO NA MABISA WAZUNGUMZA. 

Pazia TV
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 402
50% 1

Mtumishi wa Mungu muimbaji wa nyimbo za injili @officialbellakombo leo ametangaza rasmi tarehe 10/3 Mwaka huu kutakuwa na Uzinduzi wa Album yake mpya na ya kwanza tangu aanze kuimba nyimbo za injili. Album hivo ambayo inaitwa AMENIONA iliyobeba jumla ya nyimbo 20. Mtumishi wa Mungu
@officialbellakombo ameweka wazi kuwa katika nyimbo hizo 20 upo ushiriki wa Watumishi wa Mungu waimbaji wenzake kutoka nje ya Tanzania na ndani ya Tanzania.
@officialbellakombo ametoa mualiko kwa umma, wadau, wafatiliaji na wapenzi wa Muziki wa Injili pamoja na wapenzi wa huduma yake kuwa sehemu ya Ibada hiyo kubwa ya Uzinduzi wa Album yake hiyo inayoitwa
“AMENIONA”. Unaweza kuwa sehemu ya watu wengi watakao udhuria Ibada hiyo itakayo fanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City kwa kingilio cha 15000/= kwa siti za kawaida na 100,000/= ni Siti za Watu Maalumu.
Tembelea RU-vid channel Yetu Ya @paziatv ili kupata Habari hii Kwa Urefu na stori nyingine za Gospel Kutoka Kila Kona Ya Mitaa mbalimbali Duniani.

Опубликовано:

 

12 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46
Upendo Nkone: Mimi na mume wangu huwa kinawaka
5:25
Просмотров 135 тыс.
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH REHEMA SIMFUKWE| MBEZI TV
34:50