Тёмный

PAUL CLEMENT KUHUSU MWEMA,KUFANYA KAZI NA BELLA KOMBO,MSIBA ULIVYOCHANGIA KUPATA WIMBO 

Chumvi Ya Dunia
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Baada ya #PaulClement kuachia wimbo wake wa Mwema aliyomshirikisha Bella Kombo,kwa mara ya kwanza amefanya mahojiano maalum na Mfinanga kwenye kipindi chetu cha #TheSoundOfGospel akielezea jinsi alivyoupata wimbo huo baadae kufunguka kinagaubaga kuhusu milima na mabonde ya huduma yake,Hii ni moja ya interview chache sana ambazo Paul ameongea kwa uwazi kuhusu yeye,ebu cheki nae..
The Sound of Gospel is a radio and Online Program brought by SirMbezi, Mfinanga In Association with Bethel Radio going live every Tuesday at 2PM On bethel Radio and later on In this You tube Channel.
Executive Producers - SirMbezi & Ignas Yonah (Bethel Radio)
Presenter - Gadielson Charles Mfinanga
Cameras - Edward Fanuel, SirMbezi
Studio Set Up - Ignas Yona/Bethel Radio
Photography - SirMbezi
Editing - Sirmbezi,

Опубликовано:

 

25 авг 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@evencemangamwachia1617
@evencemangamwachia1617 Год назад
We celebrate you Paul...mungu amekueka mfano wakuigwa..personally nyimbo zako Zina upako mwingi b blessed dear...from Kenya
@florapius3345
@florapius3345 3 года назад
Ur so humble brother Paul,Mungu azidi kukuinua🙌
@godwinndichaye
@godwinndichaye 3 года назад
The only celeb waweza pandanae matatu afu mkafurahi tu! 🤣🤣🤣🤣 Much respect!
@user-mt4cf6ss7e
@user-mt4cf6ss7e 11 месяцев назад
Mungu akusaidie kaka na kuzidi kuwa mnyenyekevu
@abigaelbukuru273
@abigaelbukuru273 3 года назад
Hongera sana MUNGU akubariki sana endelea kuishi maisha yako.
@amonphilip5902
@amonphilip5902 3 года назад
So nice...bro paul nakupendaga Sana ..!!!umeeleweka vyma ...Kaka Mfinanga..you always on top..nakufatilia saana
@oyiera.daisy33
@oyiera.daisy33 3 года назад
Huu wimbo ulinitoa mahali pabaya wakati WA 2020 a aaaah Mungu akubariki
@agnesswila6849
@agnesswila6849 3 года назад
Mungu aendelee kukupandisha viwango na viwangu unanibariki sana
@kabasofranklinofficial6855
@kabasofranklinofficial6855 3 года назад
Basi nipe na mimi mda waku fanya kitu na wewe mwalimu, i'm Franklin Faith from 🇨🇩🇨🇩 DRC
@janeodongo6358
@janeodongo6358 3 года назад
Wewe ni wa baraka Paul Clement!!!
@foodbae124
@foodbae124 3 года назад
Uyu Mkaka Paul Jmn 🥰🥰
@rizikiezekiel9812
@rizikiezekiel9812 Год назад
Asante sana kaka unanibariki sikuzote
@eunicewanjiku8744
@eunicewanjiku8744 3 года назад
Wow, powerful!
@amanimapamba
@amanimapamba 3 года назад
Mwemaaaa so powerful
@felixobare8135
@felixobare8135 2 года назад
Wow uko kama mchungaji
@hushai1996
@hushai1996 3 года назад
Kaka interview nzuri na Ina jenga
@sophiamwamtobe9444
@sophiamwamtobe9444 3 года назад
God bless you brother 🙏🙏
@LifeTVTanzania
@LifeTVTanzania 3 года назад
great interview
@derineliz2855
@derineliz2855 3 года назад
So inspiring keep up bro
@ebenezarndose9448
@ebenezarndose9448 3 года назад
God bless you
@samwelimwakatobe2855
@samwelimwakatobe2855 3 года назад
Nice
@shedrackmhehe
@shedrackmhehe 3 года назад
Kazi njema wakuu
@nickdr_tv
@nickdr_tv 3 года назад
SIR MBEZI 📌📌
@emmyemmyy4302
@emmyemmyy4302 3 года назад
Uko vinzuri kaka Poh!
@mosespaul2412
@mosespaul2412 3 года назад
Good job brother napenda sana huduma yako naamini mungu atakuinua zaidi.
@claverchengula4584
@claverchengula4584 3 года назад
Sijui kama kuna siri hapo hahaha
@kipipakipipa5050
@kipipakipipa5050 3 года назад
Even me nikiimba huu wimbo nabubujikwa machozi mno. Una upako huu wimbo
@johnmoses5981
@johnmoses5981 3 года назад
Bro interview Ni nzuri but fupi sana
@anithajaphet4587
@anithajaphet4587 3 года назад
Mwema ni wimbo mzuri sana the first day tu nimeusikia ulinibariki
Далее
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
TEMPORARY Stem Review
21:16
Просмотров 2,7 тыс.
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
Просмотров 32 тыс.
WEWE NI MWEMA -PAUL CLEMENT HISTORIA YAKE NA YA WIMBO HUU
1:00:30