Тёмный
No video :(

Best Naso - Sarafina (Official Music Video) 

Best Naso
Подписаться 205 тыс.
Просмотров 253 тыс.
50% 1

#BestNaso #Sarafina #SlideDigital
(C) Slide Digital
Best Naso Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/qwm8md
Written & Performed by Best Naso
Follow Best Naso on:
www.facebook.c...
/ bestnasotz
/ bestnaso
open.spotify.c...
/ yamoyoni-single
www.boomplay.c...
audiomack.com/...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 284   
@nellytz3510
@nellytz3510 Год назад
Kama umependa wimbo huu gonga like hapa
@amanishiughaaa6345
@amanishiughaaa6345 Год назад
Walio ona kama mm kwamba best naso kapendeza like kwake
@sautpaul9335
@sautpaul9335 Год назад
Kama unamkubali nasso gonga like hapo
@abyudishiuga1368
@abyudishiuga1368 Год назад
Pamoja mzee
@AMANYALLY
@AMANYALLY 5 месяцев назад
hiyo uwakika mzee apo je sii unyama
@AMANYALLY
@AMANYALLY 5 месяцев назад
apo unyama
@favourboy2793
@favourboy2793 Год назад
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 tushakubali kazi yako Best Nasso❤️🙏
@Christopher79652
@Christopher79652 Год назад
Kaka tatizo majina ya wakina Sarafina yanashida Kidogo
@agnetahmusili9403
@agnetahmusili9403 Год назад
Sasa jina sarafina Lina tatizo gani?
@zawad6527
@zawad6527 11 месяцев назад
😂tok lin
@Kabazmboy2000
@Kabazmboy2000 Год назад
Nasubili hi chuma wangapi tunasubili
@flavourboyke
@flavourboyke Год назад
This song should be trending , kama unakubali huyu mwamba nifikeshi 3k subscribers
@ernestlaiza1176
@ernestlaiza1176 Год назад
Daaah kama umeangalia kichwa cha nasor zaidi ya Mara tano gonga like tujuane
@beatussalim6068
@beatussalim6068 Год назад
Mwamba unaimba na unalenga jamii vzur kwa kuelimisha hongera
@issaskighanga3199
@issaskighanga3199 Год назад
Mwamba huyu jamani nipeni like za mwanangu nasso🤞
@tanzanianjaguar3910
@tanzanianjaguar3910 Год назад
Respect Naso... Nasubiri ile na Saida Karoli kwa hamu
@lilchampion1960
@lilchampion1960 Год назад
Uko vizuri venye umetowa dread, au sio mashabiki?? wap like kwa nasso!!
@cennahstevozofficial3499
@cennahstevozofficial3499 Год назад
*nobody talks about how best nasso is so talented.....nifikisheni 500 subscribers 💥ntashukuru 🙏*
@homeofadvice254.
@homeofadvice254. Год назад
Best nasso is one of most underrated artists in east Africa whom are very talented
@cennahstevozkenya6722
@cennahstevozkenya6722 Год назад
Hii ngoma ni kali sana....
@georgemchele8719
@georgemchele8719 Год назад
Subilieni film yake inakuja
@amosieliasi8374
@amosieliasi8374 Год назад
Nakukubari.sana
@suzantimz1165
@suzantimz1165 Год назад
this guy us just amazing, i love everything about him walai
@dayzany4843
@dayzany4843 Год назад
Gonga like ishala ya kumkubali nasso
@madonmamber2102
@madonmamber2102 Год назад
DANGER
@martinfrancis9808
@martinfrancis9808 Год назад
HUU NDIO MZIKI SASA SIO YULE MSANII MWINGINE ANAESEMA KAPEWA KISAMVU
@mzambialusaka3393
@mzambialusaka3393 Год назад
Anaenda na wakati Sasa😀😀😀kanyoa rastar
@mzambialusaka3393
@mzambialusaka3393 Год назад
Namkubali huyu Mwamba mpka mwisho
@Directorjax55
@Directorjax55 Год назад
Ngoma kal afu naso kanyoa jaman jaman rasta wa tuma ringaaaaaaaa me nakuoa sfa kwa mapenz wajua tuma ringaaaaa
@frankbinadola5816
@frankbinadola5816 Год назад
Lake zone king never disappoints🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lovenesspatrick1577
@lovenesspatrick1577 Год назад
Sijapenda kwann umenyoa jaman nilikuwa nakupenda na Ras zako umenyoa umekuwa mbaya
@leonardsimon6312
@leonardsimon6312 Год назад
Bonge la wimbo,Nasso hajawahi kukosea
@peninafadhili
@peninafadhili Год назад
He is the best artist in Africa penda yeye sana
@Nabaro
@Nabaro Год назад
Saruti kaka nakubali pull upnow for let's gooooooo
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 Год назад
Bonge moja la wimbo aisee. Hongera sana #Nasso
@user-ll8mn7gj6x
@user-ll8mn7gj6x 28 дней назад
Tu nakupenda sana naso usivunjike mito tuko oamoja tambua mungu hamtupi mja wake utayapita majaribu inshaalah❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@starriseofficial7518
@starriseofficial7518 Год назад
Umependeza Sana Ulivyo Toa Rasta Bro🔥🔥
@AzizaMuhamadi
@AzizaMuhamadi Год назад
👍 namkubali san
@NestoryMapunda-kx1su
@NestoryMapunda-kx1su Год назад
Sio kwel bhn
@dayzany4843
@dayzany4843 Год назад
Nyimbo nzuri sana nimeielewa kaka nasso
@arabgandaempire
@arabgandaempire Год назад
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@nzigeboytz9705
@nzigeboytz9705 Год назад
Ngoma kali uwa nakukubali kwaujumbe
@maelezomaelezo9057
@maelezomaelezo9057 Год назад
Dah nyimbo za jumbe zipo kwa king wa msoma
@moisesindani1878
@moisesindani1878 5 месяцев назад
Best nakupenda sana Kaka angu, mimi Niko Congo pa beni abari za tanzania nita furahii nikisikiya una kaza.
@nsumbaboy3549
@nsumbaboy3549 Год назад
Aya poa
@michaeljoseph1646
@michaeljoseph1646 Год назад
Wapi Rasta mkuu😅😅 whatever the look the music still on top🔥🔥🔥🔥
@amisiamuri
@amisiamuri Год назад
Ccongo nakkufata sana
@eliasmayengela8132
@eliasmayengela8132 Год назад
mwanangu rudisha muonekano wako wa zamani aise
@nsumbaboy3549
@nsumbaboy3549 Год назад
Mwamba huyo hapa kutoka kanda malum
@user-re1or7ng9o
@user-re1or7ng9o 6 месяцев назад
Asante kwa mafunzo yako ya kuelimisha jamii🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@amazonkingtz2800
@amazonkingtz2800 Год назад
Ngoma ni kali sana mzee ila hapo kwenye kunyoa Umekuja kivingine sio poa
@rhemalidyo7037
@rhemalidyo7037 Год назад
Una ngara sana hii Mara ulipo towa ma rastaaa.
@hansboy4053
@hansboy4053 Год назад
Yaaani huyu jamaa anajuwa sema best nasso umenikera kwann ubadilishe stayli ya nywele
@anthonydeogratias7890
@anthonydeogratias7890 Год назад
Kiukwel blaza hujawahi niangusha kabc umetisha nyimbo kaliii🔥🎤, blaza umetowa rasta zako kichwani tena 😊🤗
@omidopatrick9029
@omidopatrick9029 6 месяцев назад
realities of life thank you mimi fan wako toka enzi za narudi kijijini
@risermo7305
@risermo7305 Год назад
We jamaaa mkal sana
@Directorjax55
@Directorjax55 Год назад
Nasso nmekukubal ujumbe mtam asee
@nngenius3705
@nngenius3705 Год назад
Sawa mzee baba kazi ikopoa
@sirbaraka
@sirbaraka Год назад
Umeibeba Mara yetu particularly Mass town,Kwa tunaojua ulikotoka asee umefika juu sana kaka keep moving
@AliiKarisa-vv5cn
@AliiKarisa-vv5cn Год назад
Ako juu huyu naso
@Thewhiteclassic3717
@Thewhiteclassic3717 Год назад
Izo hereni azikupendezi ,wewe ndo msanii wangu ila style ya muonekano aifanani na wimbo,usiwe navaa hereni
@MaximilaChenangat-f1s
@MaximilaChenangat-f1s Месяц назад
Apo umeweza endelea my friend
@BrightSanaaTabora
@BrightSanaaTabora Год назад
Kaka umeona bora uzitoe Rasi uwe unazisukia ukimic eti maana umekuza kwa miaka mingi sana usizitupe weka tunza ukimic unasukia Sindio kaka
@mariamwala4728
@mariamwala4728 Год назад
Ras zako za miaka umenyoa so bady
@reubenismail385
@reubenismail385 Год назад
Yaani wewe dogo nakuelewa sana yaani nyimbo zako full ujumbe
@cidewashington670
@cidewashington670 Год назад
We mzee Baba nakukubali kila wimbo wako una ujumbe mzito ktk jamii
@hamisifuko4281
@hamisifuko4281 Год назад
Mrithi wa 20% . Hakuna tusi na ujumbe unaeleweka👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@ramadhaninongo442
@ramadhaninongo442 Год назад
Noma sana
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 21 день назад
Nahitaji kuwa mwanamziki kaka nishike mkono
@assanelourenco3183
@assanelourenco3183 Год назад
Tanzania could hands up for BEST NASO 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@sospmusic9965
@sospmusic9965 Год назад
Kali sana mkuu
@nellyjakano6247
@nellyjakano6247 Год назад
Xaxa itakuaje
@AlesivikambaleBNA-wk6fn
@AlesivikambaleBNA-wk6fn Год назад
Kazi djema Brown promotion tuta pandiza sana Congo
@jidaissa415
@jidaissa415 Год назад
Nyimbo nzur san best naso inaujumbe mzur san
@michaeljoseph1646
@michaeljoseph1646 Год назад
What really inspires this man? He is always have a message to pass. Mimi napenda huyu jamaa Bure💪💪💪 every song he writes makes me look at life differently. Big up @BEST NASO
@mashauzi4155
@mashauzi4155 Год назад
Much love from kenya upenda nyimbo zako sana bro
@directorshasibu
@directorshasibu Год назад
Keep going on bro.... Kazi nzuri 🔥
@user-nw2ic4ku4g
@user-nw2ic4ku4g 7 месяцев назад
Uyo mwamba namkubali adi kufa
@saleheheda4537
@saleheheda4537 Год назад
Ambao mnakubali kazi zake Best naso tujuane Kwa like
@user-cg2ci6fb2x
@user-cg2ci6fb2x 10 месяцев назад
Me kazi ya huyoo jamaaa na ikubali yani mbya mbomvu
@majaliwajohn481
@majaliwajohn481 Год назад
Best naso huna baya kwangu,,, Muonekano mpya much ♥ bro.🙏🏾
@KhadijahRamadhani-mw3wh
@KhadijahRamadhani-mw3wh 4 месяца назад
Kama2na msapoti naso like ata 20❤❤
@justinog3105
@justinog3105 Год назад
Good idea love from burundi 🇧🇮 ♥ ❤ 💕
@MohamedDeye-le1po
@MohamedDeye-le1po Месяц назад
Ngoma n Moto Sanaa big up naso🙌
@hamisijumanne4137
@hamisijumanne4137 Год назад
Sawa msoma boy
@ericmulemera4675
@ericmulemera4675 Год назад
Nakubali nasso Sana unaimba byamana saana kk angu kweli nyimbo zako zinanipangaka bro
@agnetahmusili9403
@agnetahmusili9403 Год назад
My favourite bongo artist. Much love best naso
@iradukundamartin1432
@iradukundamartin1432 6 месяцев назад
Nzuri sana kabisa
@user-uh8em6xh8g
@user-uh8em6xh8g 8 месяцев назад
Nakubali kaka songi iko poa
@luvboywcbnyamz534
@luvboywcbnyamz534 Год назад
Jaguar power....much love from Kenya
@Willyb254
@Willyb254 Год назад
Ndugu yangu wa nyota
@deborahmidiburo3541
@deborahmidiburo3541 Год назад
Kwanini umebadilisha nyele wangu
@user-tx5mc3kc6w
@user-tx5mc3kc6w 11 месяцев назад
Niko bunda Mara, uko juu mwamba mung akutangulie 2
@ramadhanidonne2431
@ramadhanidonne2431 4 месяца назад
Good 👍 congo 🇨🇩 Tanzania 🇹🇿
@josephpeter5460
@josephpeter5460 Год назад
Nakukubali sana mwamba lakini nywele umezingua rasi mpango mzima
@nitahnish9731
@nitahnish9731 Год назад
Wah tamu sana
@DanielMaina-po7lm
@DanielMaina-po7lm 11 месяцев назад
Best nasso my favorite songs since I was 15 more ❤ to you
@michaeljoseph1646
@michaeljoseph1646 Год назад
Am glad to be part of this channel 💪💪💪
@mr.frank16frank70
@mr.frank16frank70 Год назад
Ujawai kosea
@edwardnelison7485
@edwardnelison7485 Год назад
Nasso never disappointed,,, always hot 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎵🎵🎵🎵🎵
@happyeliya2981
@happyeliya2981 Год назад
Dhu hataree sana boss hujawahi koseaga
@sautpaul9335
@sautpaul9335 Год назад
Kaka naomba nifanye Ngoma nawewe kaka nitashukuru Sana
@jeanmarie4665
@jeanmarie4665 Год назад
Good song
@kensonyjulius5691
@kensonyjulius5691 Год назад
Sikupendi tenaaa Kwann umetoa rasta
@Danny_boss_melody
@Danny_boss_melody Год назад
Nakubari kaka
@nellyjakano6247
@nellyjakano6247 Год назад
Tumbake bhna
@verymnyakiwele8670
@verymnyakiwele8670 Год назад
❤️❤️❤️❤️❤️kaka unajuwa mpaka bc mwaaaaaaaaaa kaza hiposiku utakuwa mkumbwa san hap duniyani
@GodfreyMtitu-jv3em
@GodfreyMtitu-jv3em 11 месяцев назад
Nakubali sana nyimbo za best naso zina ujumbe
@mogakaopanga753
@mogakaopanga753 Год назад
Woooow finally nasso amenitolea nyimbo☺️☺️☺️🌹
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 Год назад
Best Naso Na nay wamitego are always don't desappoint me 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@sevystaronedancer1785
@sevystaronedancer1785 Год назад
Ngoma nzuri siku zote tunapata kwako best nasso🫀🫀🫀👊👊💙
@hanifaha2565
@hanifaha2565 Год назад
,noma sana myimbo Kali besti
@KhassimHosseni
@KhassimHosseni 3 месяца назад
Unajua kaka sikupingi
@andrewvoiceofficial8721
@andrewvoiceofficial8721 Год назад
Dah nasso umetisha sana bonge la ngoma true story 🙏
@ramashuzajr1271
@ramashuzajr1271 Год назад
Jitu la mtumba
@miritonbikura5487
@miritonbikura5487 Год назад
Nyimbo kar
Далее
Best Naso - Wanawake (Official Music Video)
3:33
Просмотров 1,8 млн
Best Naso-Bahati (Official Music Video )
2:47
Просмотров 138 тыс.
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
KAYUMBA-CHUNGA  (OFFICIAL VIDEO)
3:44
Просмотров 4,7 млн
Comedians dancing to MARIAROZA by EDDY KENZO.
3:59
Просмотров 45 млн
Best Naso - Usitoe (Official Music Video)
3:14
Просмотров 747 тыс.
Chief Maker - DEVOTA (Official Music Video)
5:24
Просмотров 2 млн
Best Naso - Lemmy (Official Music Video)
3:48
Просмотров 224 тыс.