Тёмный
No video :(

Best Naso - Usitoe (Official Music Video) 

Best Naso
Подписаться 204 тыс.
Просмотров 747 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@ibrahimhamis5690
@ibrahimhamis5690 2 года назад
Besti naso natamani sana kuonana nawewe kwani nakukubali sana kwauimbaji wako hongela sana pambana kaka
@nancybungei9113
@nancybungei9113 3 года назад
Wale tunapenda ngoma za best nasso kutoka 254 pita na like
@macvan8856
@macvan8856 5 месяцев назад
💌💌
@mirajihabibu6990
@mirajihabibu6990 3 года назад
Nilikutana nae msichana alinifunza mapenz..nikutana nae msichana akanifunz kuenzi..🔥🔥 km umeuelew hii kistari like twend sawa 🤗
@ntirenganyaamani1965
@ntirenganyaamani1965 Год назад
Àrikata kuku sikirizia akaamua ayitoe arafu ikamuwua kwr mup pol
@popotekambi4119
@popotekambi4119 3 года назад
DUH,Huku watu hamlali,Best Naso bonge la msanii,Huku kenya tunakukubali sana Best Naso. Naombeni likes zenu wadau
@albertokebeje6150
@albertokebeje6150 2 года назад
Safi sana Best Naso.
@albertokebeje6150
@albertokebeje6150 2 года назад
Safi sana Best Naso.
@user-yf9ww5dg7x
@user-yf9ww5dg7x Год назад
Pamojasana
@amanisalim7939
@amanisalim7939 3 года назад
Jaman nasso duh like kwahii ngoma.99 Na mm namalizia.1 zitimie 100% kalikinoma
@furahambwa4159
@furahambwa4159 3 года назад
Kaka pamojasa na
@kawambwakawambwa1850
@kawambwakawambwa1850 3 года назад
Best nasso ungepata mganga mzuri afrika nzima ungeishika
@kenedsimon8569
@kenedsimon8569 3 года назад
Daaaaah🤣😂😂😂
@decredo4293
@decredo4293 3 года назад
Live
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 4 месяца назад
Mganga ni Mungu pekeeake
@JastiniJastinlobati-dk2br
@JastiniJastinlobati-dk2br 2 месяца назад
Mungu mwema hofu kwenu
@JastiniJastinlobati-dk2br
@JastiniJastinlobati-dk2br 2 месяца назад
Kaza bubi usipkate tamaa
@musaguga
@musaguga 3 года назад
Alieirudia mara kumi Kama Mimi naomba tujuane kwa like, huyu jamaa ni msanii, tangu narudi kijijini mpaka usitoe hamna tusi hata moja, best naso me najiuliza mpaka Leo, hivi huna damu yakisambaa kweli coz nilikusikiaga kwenye ngoma yakisambaa ukiwa na smart boy na mosi, kuanzia mombo hadi lushoto wanakukubali Sana brother, fanya kitu kwa ajili yao.
@barakajohnh.b8580
@barakajohnh.b8580 2 года назад
Usitoa mimba yangu vumilia kidogo najua unapenda bata sitareeh usitoa mimba yangu 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@mathiasmassai8747
@mathiasmassai8747 2 года назад
Ngoma inenikumbusha mbl sn so kunadem wng yp Mwanza mwezi jana nilikuwa ny alikuwa anapenda sn kuipiga big up brother ngoma kali
@jefflangat6052
@jefflangat6052 Год назад
Niliupenda sana wimbo 'nipe nafasi' miaka ya 2012. Ulikuwa wimbo wako tu pekee mtandaoni. Baadae ukaweka narejea kijijini. Asante kwa kuongeza nyimbo . Nakuenzi sana Toka Meru, Kenya.
@adamernest4843
@adamernest4843 3 года назад
BEST NASSO Huu wimbo ni mzuri sana Yan inabid ufanye MEDIA TOUR ili kila mtu ausikie
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 3 года назад
Muziki mzuri na una elimisha 💯💯💯 Nasso 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 huu ndo muziki sio wa makiki na matusi Unastahiri Tunzo #BestNasso
@yktitho6493
@yktitho6493 3 года назад
Tangu niujue mziki nikiwa mdogo sijapata kuona kama naso ameimba kitu kilicho nitokea namkubali sanaaaa kuliko wasanii woteeeee
@yktitho6493
@yktitho6493 3 года назад
Yk
@mogesijomo7251
@mogesijomo7251 3 года назад
Duuh tamuuu sana
@MusaMusa-ik9ib
@MusaMusa-ik9ib Год назад
Big up 👍kwa wote mlioirudia ngoma hii mwaka 2023
@tinohmichaely5999
@tinohmichaely5999 3 года назад
daaaah nyimbo za kufundishaa unasikilizaa mama baba Dada kaka bibi babu na wajukuuu daah respect xanaa kwako bro angu b...
@aliciahmbura5943
@aliciahmbura5943 3 года назад
Namkubali sanaa best naso ata waje kina mondy ata takataka zengine mbeleni my favourite musician best naso💪
@issasalum6293
@issasalum6293 3 года назад
TUNATAKA NYIMBO KAMA HIZI ZINA UJUMBE KWA JAMII Naombeni likes kwa huyu jamaa #bestnaso 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@PamelaJonas-dh6lg
@PamelaJonas-dh6lg 11 месяцев назад
Nikweli kabisa ❤❤❤❤
@ExaFacta
@ExaFacta 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤ nakupend
@JordanMugisho-y4k
@JordanMugisho-y4k 22 дня назад
Bestnaso tuna penda nyimbo zajo
@benjaminsibonike3544
@benjaminsibonike3544 3 года назад
Anajua mpaka anakeraa ...kwann mnafichwa
@sadicksamuel2005
@sadicksamuel2005 3 года назад
Huyu jamaa hana supporter tu ni level zingne kabisa
@wilekumila382
@wilekumila382 2 года назад
The great song , inaelmxh xn naso Han nymbo uchwar n bx tu chak mam wa dar narud kijjn dah bg up naso
@miritonbikura5487
@miritonbikura5487 3 года назад
Jamani mbona tunamsahau huyu jamaa
@godchoosen4830
@godchoosen4830 3 года назад
Msanii wangu pendwa nakukubali Sana kaka mkubwa, Ni vile tu hizi mbwa zinakuzidi mkwanja na nyota Ila kiuwezo uko VIZURI SANA, . Kama unaungana na Mimi nipe likes zangu apa
@tinohmichaely5999
@tinohmichaely5999 3 года назад
Hahahaa mbwa tenaaa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 года назад
Mbwa wanazid mbwa mwenzao Eeh!!
@renzel306
@renzel306 3 года назад
Ana mashabiki wake weng sana ambao hawako huko kwenye masifa na matusi
@saidhatibu9565
@saidhatibu9565 3 года назад
Kabisaaaaaaaaaaaa yaaani mondy hapa hashiki bas tuuuuu
@yktitho6493
@yktitho6493 3 года назад
Sanaaaa
@abubakallyissapumzikakwaam7651
@abubakallyissapumzikakwaam7651 2 года назад
Best naso mziki mzur sana hujawahi kukosea naso tangu nikufuhamu njimbo zako zimekuwa zakuelimisha nakutengeneza jamii ALLAH akujaliee kwenye kazi zako Kaka 🙏🙏
@saidjuma6401
@saidjuma6401 3 года назад
Kaka best nanoso hja wah kufel ngoma zako zina burudisha huku zina fundisha hongela kaka
@edapalewesit7764
@edapalewesit7764 3 года назад
I love u my brother best naso hakika ningekuwa na uwezo ningekupa tuxo kubwa utabarikiwa zaidi twakuombea maulana apanuwe mipaka yako
@BestNasoMusic
@BestNasoMusic 3 года назад
Mungu awabariki sn mana siku zote nguvu yangu ni nyinyi sasa chakufanya kuonyesha uzarendo naomba kila mmoja anisaidie kupost wimbo huu Instagram na anitag jina @bestnasotz🙏
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 3 года назад
Umemaliza
@thomaskaniki8225
@thomaskaniki8225 3 года назад
Kiukweli utafika mbali Sana
@shedrackatanasio9734
@shedrackatanasio9734 3 года назад
Usjal mzee baba bamoko sana
@crayboytz2736
@crayboytz2736 3 года назад
Unajua Sana kaka
@momosentertainments2443
@momosentertainments2443 3 года назад
Bro naomba nichek 0719821623
@user-pw8yh5vb3e
@user-pw8yh5vb3e 3 месяца назад
Daa hii ngoma tam nimeipenda
@malataogtz2080
@malataogtz2080 3 года назад
Kama umekoment kabla hata wimbo hujaisha like zmwage hapa.... Best naso more fire........!!!!!
@markwambura2113
@markwambura2113 3 года назад
Kutoka Kakukulu Ukerewe Mwanza bestnaso tuko pamoja
@keivannymusic6194
@keivannymusic6194 3 года назад
hajawai aribu uyu mzee baba...Namkubali toka 254 🇰🇪 my role model💪💪💪
@lumwechanhaiwa849
@lumwechanhaiwa849 3 года назад
Ngoma iko vizuri sanaaaa
@omidopatrick9029
@omidopatrick9029 6 месяцев назад
nyimbo zako naso zitadumu kwa vizazi vijavyo unafunza wengi na hii ndio maana ya mziki,ujumbe uwafikie
@khamissaid3083
@khamissaid3083 3 года назад
tumetoka mbali.. tuma, nirudi kijijini, acha tu
@mosesjustin8836
@mosesjustin8836 3 года назад
Nyimbo nzuli yaushauli
@apia-gv2mv
@apia-gv2mv 2 месяца назад
Nakubali nyimbo zako kaka
@reganikalenga8917
@reganikalenga8917 3 года назад
Hatimae umenifanya niwe shabiki ako kwa hii ngoma umenikamata
@ngollokante6968
@ngollokante6968 3 года назад
Natamani uwe wimbo wa funga mwaka maana umenigusa sana na huu ndo utakuwa wimbo wa ushuhuda wangu ndani ya maisha yangu god bless you my brother best nassor
@febronearmafwele3525
@febronearmafwele3525 3 года назад
So amazing meupenda bt ule wa edga huwa ni story ya kweli ?coz huwa naupenda sana
@jonasbusara8104
@jonasbusara8104 3 года назад
Msani Best naso unani weza kwa hii song. Sijue Siku gani nitampata aliye kama Wewe huku DRC
@ramadhanihasani3625
@ramadhanihasani3625 3 года назад
Naona mziki mzuri umerudi
@technologictech2696
@technologictech2696 3 года назад
Unajua sana bro
@longututitajiri1426
@longututitajiri1426 3 года назад
Safi sana mkali wao 🇰🇪🇰🇪🇹🇿✌🏽✌🏽🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@videlialabeka4899
@videlialabeka4899 3 года назад
Kenyans in the house...mimba tusitoe...mimi pia naweka😘😘😘
@boniphacepiusmugeta5611
@boniphacepiusmugeta5611 3 года назад
Umeona e
@SamuelMuli-vg7wb
@SamuelMuli-vg7wb 10 месяцев назад
❤❤ umeielewa vilivyo pia
@elizabethsacri970
@elizabethsacri970 5 месяцев назад
Ngoma kali sana anatembea na biti ujumbe mzuri sana kaka😊😊😊
@cathernehuya7676
@cathernehuya7676 3 года назад
Huyu jamaa anaweza knoma mwamba wa Kanda ya ziwa
@shihume256
@shihume256 3 года назад
Fundi wa mziki mziki halali usiochakachuliwa
@fenichamwanzatztvi1271
@fenichamwanzatztvi1271 3 года назад
Nikwel
@peter_paulofficialy
@peter_paulofficialy 3 года назад
Hakika katika wasanii wang TZ ninaowapenda best nasso namba moja anafata alikiba then barnaba...na wengine wenye kujua kuimba nyimbo zenye ujumbe congratulation#Best Naso
@redmioman8105
@redmioman8105 2 года назад
Mungu akuongoze katika nyimbo zako
@habbymbegete9007
@habbymbegete9007 3 года назад
Nc my home boy
@abdulishaban7795
@abdulishaban7795 3 года назад
Daaaaah hatar saaana saana kwann usitafute wasanii wakubwa ukawashirikisha jmnjmn
@kirugaralucasmatutu9968
@kirugaralucasmatutu9968 3 года назад
Best naso na chief maker mnautangaza uzuri sana Mkoa Wetu. Tangu Mwl ni ninyi tu sasa
@doktmtanga7303
@doktmtanga7303 Год назад
Kaka m naelewa Sana nyimbo zako hazichuji kamwe
@georgejustinian8083
@georgejustinian8083 3 года назад
Pambana Juu ya Mziki Wako Wadau Hawakupendeh mema Bro bg Up Saan
@yeremiaaweda3843
@yeremiaaweda3843 3 года назад
Usije ukaacha kuelimisha jamii kaka japo haupati sana support na kukua lkn yote ni mwenyenzi MUNGU anatujalia
@bobchanda2460
@bobchanda2460 3 года назад
Hivi kwanini WATANZANIA 🇹🇿 huyu jamaa tusimsapoti kwa speed ya 4G
@longututitajiri1426
@longututitajiri1426 3 года назад
Absolutely true ✍️✍️
@laifordjohn8375
@laifordjohn8375 3 года назад
Bonge la pini daa jamaa anajua gonga like kama unamkubali best naso tumsaport
@josephnziku8762
@josephnziku8762 3 года назад
Weweeee
@ericktom7919
@ericktom7919 3 года назад
Nyimbo zake zote ziko na funzo...kwa namna moja au nyingine....He is the king of message..
@luvboywcbnyamz534
@luvboywcbnyamz534 3 года назад
Mwanangu umenena point,huyu mwamba amepambana miaka kadhaa,tumpelekeni mjini
@ConfusedFlipFlops-bm1xt
@ConfusedFlipFlops-bm1xt 4 месяца назад
❤usitoe mimba yangu
@asnabughe4220
@asnabughe4220 3 года назад
Nakukubali cn best naso
3 года назад
Nice Track and Video
@baaliyanuun416
@baaliyanuun416 3 года назад
Best naso bana unaandika ssna yaan utafika baba pga kaz wala usikate tamaa
@bartazaricherango5518
@bartazaricherango5518 3 года назад
Nakubal mwanangu mwenyewe naso yan #usitoe
@alexsmb3241
@alexsmb3241 3 года назад
Yes sirrrrrrrrr👍👍👍👍👍👍👍👍
3 года назад
Fun Wa Best Nasso Tangu nko Primary school
@youngfreezer8688
@youngfreezer8688 3 года назад
Mara lazima tuendelee kusonga mbele big up brother song la kuelimishaa
@wilsonfbipolice911
@wilsonfbipolice911 3 года назад
Naomba Like za wakongomani from America🇺🇸🗽🏰 wabembe wenzangu ao kabila zote popote tulipo tunaomhombea best nassor asonge mbele 👇👇hapa jameni
@emmanuellusambya7889
@emmanuellusambya7889 2 года назад
Oufffff!!!!🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩#Narudi angu kijijini#Naso#...
@michozisaidi1419
@michozisaidi1419 3 года назад
Ngoma kali sana like zenu yani 100 zinanitosha #Usitoe
@shadyarif653
@shadyarif653 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iuNB-fSsWNw.html
@deemusic8301
@deemusic8301 3 года назад
🔥🔥🔥Sana beg up broo
@silasluhamba6357
@silasluhamba6357 3 года назад
Kizazi xana
@alfayongoma4990
@alfayongoma4990 3 года назад
Upon vzul sana basso Wang ngoma Kali kinyama
@shadyarif653
@shadyarif653 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5ak3a_1q9Ng.html
@shedrackatanasio9734
@shedrackatanasio9734 3 года назад
Usitoe mida yangu naso we ni shda unauwa vibe
@amosilukosi9795
@amosilukosi9795 3 года назад
Blooo ngoma zote nazikubali zinafundisha sana
@erastongoma1492
@erastongoma1492 3 года назад
we jamaa unaweza kuliko ila ipo siku utajua kama tunakuerewa
@kulwaboniphace3689
@kulwaboniphace3689 3 года назад
Msanii Bora sana asiyesifika
@abdulishaban7795
@abdulishaban7795 3 года назад
Kwel aiseeeeeee yaaan nasikitika saana kumuona naso yuko apa daaaaah
@yussoblood4103
@yussoblood4103 3 года назад
Kiukwel alicho xema bext naxxo kipo xawa hata nami nilixha wahi kuwa nae nikamwambia axtoe mana mm nipo nitalea lakin kwa kuwa anapenda club na xtaree akaic ndo mwixho badae akaenda kwa dada ake akatoa..alivuja damu nyingi lakin cjaweza kumpa mxahada kwa kuwa hakuwa muelewa.. Kam umeelewa kitu hii like zangu kwa wing bext naxxo weare the bex🔥🔥
@silvanusnjovu9440
@silvanusnjovu9440 4 месяца назад
Hiyo ngo usitoe mimba umetutoch sana best naso
@salummzengaeka9341
@salummzengaeka9341 3 года назад
Duh yani uyuu jamaaaa dah ananikumbusha wazazi
@ronibiz6926
@ronibiz6926 3 года назад
Kaka unajua sasa ata sjui Nini inasababisha Usikue nasafas zajuu kabisa Ila tunafurahi Sana unatufikishia ujumbe mzur wa mashair yako kaka unajua Sana 🔥🔥🔥
@bonefacemartin6502
@bonefacemartin6502 3 года назад
Tunakubal sana
@abuumshunga5700
@abuumshunga5700 2 года назад
Uko juu kuliko yeyote tz
@johmeryvitalis5350
@johmeryvitalis5350 3 года назад
Nice Nasso fundi wa music💯👍
@alexkaloki2414
@alexkaloki2414 3 года назад
Good advice bro Tia bidiii
@badrufadhili5872
@badrufadhili5872 3 года назад
Brother Nakukubali kinyama imenigusa sna mungu akubalik kk naso
@veronicamungure1768
@veronicamungure1768 3 года назад
Final umerudi kaka mashabiki zako tunakupenda milele.
@jacobmachua160
@jacobmachua160 2 года назад
IAM PASTOR JACOB BUT THIS SONG IT TOUCHES MY HEART ❤💙💜 I REMEMBER FAR
@bahatevagre933
@bahatevagre933 3 года назад
Nakukubali mkuu wangu
@albastarbrandalbastar458
@albastarbrandalbastar458 3 года назад
Woyakaka jita fute Tena nataka ufanye mziki nikikusikiliza nisijuwe ww unajuwa Sana Ila Sasa fmelod yako yakiza Mani mziki ume badilika siku izi Kaka respect nyingi Sana kwako
@issathabiti2462
@issathabiti2462 3 года назад
Noma sanaaaaa yan🔥🔥🔥🔥🔥
@vailethudson2771
@vailethudson2771 3 года назад
best nasso nakupendaga sanaaaa unaimba nyimbo zinaelimisha big up sana
@iamhasani_1797
@iamhasani_1797 3 года назад
Funzo kubwa sana hili. Ahsante #bestnaso
@jacobkijida4290
@jacobkijida4290 3 года назад
Ase imenigusa kama kweli dah.. Inauma sana..
@kawambwakawambwa1850
@kawambwakawambwa1850 3 года назад
Daa bonge la ngoma
@rajabmagungu6278
@rajabmagungu6278 3 года назад
NYIMBO KALI, HONGERA SANA BROTHER. HAPO KWENYE KUZIKA MWENYEWE NDIO UMETUPIGA CHANGA LA MACHO MZEE. PIA JITAHIDI HIYO STUDIO WABORESHE SYSTEM ZAO ZA SAUTI, WANAKURUDISHA NYUMA SANA WKT UNAJITAHIDI, MFANO HII TRACK INATAKIWA IPAE SANA.
@maulidimpindo6155
@maulidimpindo6155 2 года назад
Voice safi yani ww ni fund Anae bixha uyo filauni
@RowanWS
@RowanWS Месяц назад
Kaz safi best naso my brother napenda kusikiza nikiwa gulf
@officialally1178
@officialally1178 3 года назад
Kama umeguswa like hapa
@edwardnelson335
@edwardnelson335 3 года назад
best nasso on top sahv💣💣💣🔥🔥🔥🔥🔥🔥like nying sana kwake
@jackisongirani245
@jackisongirani245 3 года назад
Jaman best bado fund uonqo zambi weka like hapo kwa mwana mara
@novidadegreener2004
@novidadegreener2004 3 года назад
Kiukweli huwa nashangaa Sana,, ngoma Kali na tamu zenye message za kuelimisha hazitrend wala Kuwa na views wengi,daah,,,sijui tunakwama wapi jamani. Ni lini tutawaonyesha hawa wasanii kwa vitendo kuwa ni wakali na wanaweza.?????
@boazambokile2587
@boazambokile2587 3 года назад
Legend hujawahi kuniungasha music bila kiki mroe blessing
@minaelsinganosingano1613
@minaelsinganosingano1613 3 года назад
Nakubali sana like za tanga 100 zinatosha
@mapalwa-online-tv
@mapalwa-online-tv 3 года назад
Naso makali Sana nimeipenda hii kk
@donboyelisha405
@donboyelisha405 3 года назад
Brother ipo sawa Ila imenichom
@issazakaria863
@issazakaria863 3 года назад
Team Kiba niwaone hapa tumsapoti Nasso
@Smithdaob1
@Smithdaob1 3 года назад
Kama unakumbuka Bora nirudi zangu kijijini gonga like twende sawa💓
@user-cu4oo9ep6e
@user-cu4oo9ep6e 8 месяцев назад
Nimeuelewa saaanaa big up kijana wa kanda ya ziwa
@tktv5863
@tktv5863 3 года назад
Ngoma kali sana sema hapa kwenye kuzika umetuzingua
Далее
Best Naso - Walikuepo (Official Music Video)
3:08
Просмотров 676 тыс.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,2 млн
Best Naso - Sarafina (Official Music Video)
3:39
Просмотров 253 тыс.
Nyamaza
3:27
Просмотров 78 тыс.
Best Naso FT Gigy Money  -  UTABAMBA
2:52
Просмотров 2,1 млн
Best Naso - Nimekuweka (Official Music Video)
3:07
Просмотров 77 тыс.
Best Naso - Wanawake (Official Music Video)
3:33
Просмотров 1,8 млн
Best Naso - Mrudishe Dada (Official Music video)
3:30
Просмотров 978 тыс.