Imekuwa cku njema kwangu nyimbo imetoka Leo mwamba akiwa kwetu mwakitoryo no 5 ,ko Ngoja nijiandaee kwenda kuishudia live song la NZUNA WANE, HONGERA BRO BMS.
Bhudagala miongoni mwa wengi walio washabiki na wadau wako wanaokukubali mimi huwez kunitoa, mungu aendelee kujalia kazi ya mikono yako bro piga kazi nasi tuko nyuma yako kwa surpot.
Ndo mana wasukuma tukakwita king 👑 of traditional songs jina halikuja tu butebure hujawah poa miaka yote wa moto tu hii nayo kali nyingine pamoja sana 🎉🎉🎉🎉
Moto 🔥 ni ule ule punguza mwendo tuwaone na watoto wanasemaje maana kwa sipindi hii watakosa la kusema waachie japo miezi mi 3 uone wanasemaje kisha uje uwafungie mwaka mfalme budagala 👑 kingi wa kisukuma
Asante kaka bhudagala kwa kazi zako zenye mafundisho Ama kweli wewe ni kioo cha jamii na hakuna shoo yako mbaya yaani kiukweli Bhudagala ni legendary wa Kisukuma music
Waambie Kaka yangu make hawana shukurani binadam ila najua hawatasonga najua tabu tupu pia kuwa making na wanadam Kaka make hawana zul Salam sana my buradha