Тёмный

Biashara za mtaji mdogo zenye uhakika wa faida .  

Kelvin Kibenje
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Hizi ni Biashara 5 ambazo zina uhakika wa wateja wakati wote. Kama ulikua unatafuata wazo la biashara ya kufanya basi unaweza kuanza na biashara hizi. Tatu ni biashara ambazo mimi nimezifanya mwenyewe na mbili kati ya hizo jamaa zangu wa karibu wanafanya mpaka leo na ni biashara tulifanya mara baada ya chuo.

Опубликовано:

 

30 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 144   
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje Месяц назад
Wengi mmeulizia chimbo la chupi za kike ambazo unaweza kuanza na mtaji wa laki moja. Kiufupi ukiwa na mtaji wa laki moja ukafanya biashara ya chupi inakutoa kabisa sababu ina mzunguko maeneo mengi. Number ya chimbo ni 0763356395 au 0743356395 hawa watakuuzia kwa bei nzuri ya jumla na hata kama uko mkoani utatumiwa kwa uaminifu. Nawajua na kuwaamini hivyo utakua salama na pesa zako
@tedijemsi4589
@tedijemsi4589 8 дней назад
Me nategemea kuanza mwez wa tisa mwishon pls msaada kaka chimbo la nguo
@SharifuSalimu
@SharifuSalimu 9 дней назад
Ahsante kwa somo zur endelelea kuchimbua lingine
@GreysonTz
@GreysonTz Месяц назад
Asante kwa ushauri wako mzuri mungu skubariki
@CarolineSayia-tq5zm
@CarolineSayia-tq5zm 3 месяца назад
Asante sana mwalimu niko kenya ninaweza pataje nguo za mitumba nzuri
@user-kw6bv9qp4e
@user-kw6bv9qp4e 3 месяца назад
jahh! bless you tunazidi kupata maarifa
@upendolairumbe889
@upendolairumbe889 11 месяцев назад
Powerfull message
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Thanks much
@DaudyNdossa-vh8vg
@DaudyNdossa-vh8vg 3 месяца назад
🙏🙏🙏mungu akupe maisha marefu
@upendomtui2385
@upendomtui2385 9 месяцев назад
Somo nzuri sana kaka Mungu akubariki
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Asante sana Rafiki yangu
@DausonnyJuma
@DausonnyJuma 2 месяца назад
Asante kwa ushauri wako
@awabuawami3625
@awabuawami3625 2 месяца назад
Kak God bless you niko na vifaa vya simu hapa
@SalumSaid-e1j
@SalumSaid-e1j 12 дней назад
Asante kwa ushaur
@carolinetoto8706
@carolinetoto8706 13 дней назад
Asantee asantee
@RoncyMroki
@RoncyMroki День назад
Asante sanaa
@jumaatubu
@jumaatubu 8 месяцев назад
Thanks
@RachealChiyaze-rh8se
@RachealChiyaze-rh8se 9 месяцев назад
Biashara ya nguo za ndani hainaga asala,
@rusaboy6593
@rusaboy6593 3 месяца назад
habali nahitaji mawasiliano yako unisaidie mawazo kuhusu biashala ya nguo za ndani
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje Месяц назад
​@@rusaboy6593 Waliooomba kujifunza hii Biashara. .... UCHAMBUZI BIASHARA YA NGUO ZA NDANI. . Hii ni biashara nzuri kwako sababu kadhaa, kwanza inagusa watu wengi zaidi kuliko biashara za nguo aina nyingine kama vile Jeans,Tshirt,magauni au suit zenye watu wake na hobbies zao lakini sio kwa nguo za ndani ambazo hao wote hapo ndani wamevaa kati ya boxer,braa, chupi,vest n.k . . Zaidi ya 90% ya watu wote duniani wanavaa nguo za ndani kuanzia mtoto mchanga na maisha yake yote. . Pia nguo za ndani HAZINA Msimu kwamba usubiri sikukuu au wanafunzi wakifungua,muda wote zinanunulika, hivyo utauza muda wote. . Hii ni biashara ambayo inahitaji kiasi kidogo cha mtaji na kianzio hicho kinakupa faida zaidi na zaidi. . Hii ni biashara Ambayo ukiwa na mtaji wa kuanzia laki mbili tu unaweza kupata mzigo mkubwa. . Nguo za china ndio bidhaa nzuri zaidi kwa mfanyabiashara kupatia pesa kuliko zinazotoka sehemu nyingine yoyote duniani hasa kwa Tanzania. . Ila kama una wateja wako unaweza uza za popote ila kama unaanza nashauri anzia za China. . Sababu kubwa ni kwamba zinauzwa bei rahisi . Kwa mfano biashara ya chupi ili ukue kimtaji kwa haraka zaidi basi uza za china na sio za sehemu ingine . China ndio utapata chupi zile zinauzwa 1000,1500,2000/- kwa pic 1 . Na hizi bei ndio ambazo watu wengi zaidi ya 80% au 90% wanaweza kuzimudu. . Kwa hio kwa % hizo umeishaona namna soko ambavyo ni pana. Kama utaamua kuchanganya na bidhaa nje ya china basi weka kidogo na nguvu kubwa iwe china ,fanya hivo ili kuchukua wateja wengi zaidi . . Fanya hii biashara upige pesa. . Kama una Uwezo agiza Moja kwa moja China alafu uzia wafanyabiashara na Wajasiriamali kwa jumla. (kama hujui kuagiza china hakikisha hukosi darasa la mwezi wa tano nitafundisha na kukupa Agent& suppliers wa china) . Kama mtaji bado mdogo nenda kariakoo mtaa wa mchikichi na gogo, Mchikichi na sikukuu huko kuna machimbo bei rahisi. Mmoja wapo ni huyu 0743356395 au 0763356395 walikua kariakoo mtaa wa mchikichi na sikukuu kwa sasa stoo zao ziko makumbusho plaza. Huyu atakupa chupi za 1000 ambazo utauza 2000 na kuendelea au za 1500 ambazo utauza Tsh 2500 mpaka 500 sema Anauza jumla kuanzia pc 100 kwaio mtaji wa laki unatosha . Hii biashara si lazima uwe na frem, unaweza kuzungusha majumbani, kuuza online, kuwa na kibanda kidogo, Kuuza chuoni nk, Duka au kuuza gulioni.
@sarahkissu3821
@sarahkissu3821 11 месяцев назад
Be blessed 🙌
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 11 месяцев назад
Thanks much
@MakiBanda-tc9pw
@MakiBanda-tc9pw 8 месяцев назад
Be blessed
@NeemaJitambi-hj9iv
@NeemaJitambi-hj9iv 7 месяцев назад
asante kaka kwa ushaur mzur
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 7 месяцев назад
Asante pia
@jimmydikwe6620
@jimmydikwe6620 11 месяцев назад
Hyo ya vyombo nimeielewa mkuu, naanzia wapi?
@esterfunyenga3185
@esterfunyenga3185 11 месяцев назад
Asante sana
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 11 месяцев назад
Asante pia
@GetrudaNgulo
@GetrudaNgulo 18 дней назад
Tafadhali naomba chimbo la nguo za watoto za mtumba grade A
@abbygeorge8394
@abbygeorge8394 11 месяцев назад
👂👂be blessed
@kelvinkenedykyaluoko5379
@kelvinkenedykyaluoko5379 11 месяцев назад
Thanks much
@salvatoryjulius-xl6lr
@salvatoryjulius-xl6lr 11 месяцев назад
natamani niifanye kazini kwangu
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 11 месяцев назад
Nifuate insta nikupatie
@elishazakalia-wj3my
@elishazakalia-wj3my 11 месяцев назад
🔥🔥🔥
@kelvinkenedykyaluoko5379
@kelvinkenedykyaluoko5379 11 месяцев назад
👏👏👏
@hawardmhema9784
@hawardmhema9784 3 месяца назад
❤❤❤
@user-lj5tn8qw2r
@user-lj5tn8qw2r 9 месяцев назад
Asante
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Asante pia
@AdolfJordan-rz8sm
@AdolfJordan-rz8sm 5 месяцев назад
Nimekuelewa kaka
@elishamwakihaba942
@elishamwakihaba942 7 месяцев назад
🙏
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 7 месяцев назад
Asante sana
@liz_underwearstore_mwanza
@liz_underwearstore_mwanza 11 месяцев назад
🙏🏾
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 11 месяцев назад
🙏🙏
@ZainabuMkula-zn5np
@ZainabuMkula-zn5np 3 месяца назад
Biashara ya urembo ni ndoto yangu kubwa ila sijui nianze kwa mtaji wa sh ngapi??
@user-sj4xc1uo7u
@user-sj4xc1uo7u 5 месяцев назад
Kaka naomba namba ili unielekeze
@jacobchanda4475
@jacobchanda4475 11 месяцев назад
..We up Fam 🫡
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 11 месяцев назад
Thanks much
@LennySilas-jo3oj
@LennySilas-jo3oj 9 месяцев назад
Ni kwel biashara hiyo watu wanaichukulia poa ila inalipa nguo za ndani
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
True best
@user-ob7nj9iu2m
@user-ob7nj9iu2m 5 месяцев назад
Biashar ya kuuza airphone nitaifany kak inshallah
@manyekiongoz
@manyekiongoz 11 месяцев назад
Blessed
@kelvinkenedykyaluoko5379
@kelvinkenedykyaluoko5379 11 месяцев назад
Thanks much
@neemamarko176
@neemamarko176 11 месяцев назад
mtumba ni biashara ambayo nimefanya ila mtumba unaweza anza na mtaji wa 20000 tu ukawa unapoint nguo nzuri unapeleka chuo na mtu mmoja mmoja unazunguka minadani unanunua nguo mpaka mia 500 lakini hiyo nguo unauza mpaka 5000/10000 Kuna mmoja huyo kila mnada anauza nguo 200/300 watu wanajaa hiyo utauziwa mpaka 10000 ronya zipo na nzuri zipo ni kuwahi tu kama kesho jumamosi Biafra yupo...
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 11 месяцев назад
Kabisaaa
@mwanakombomohamed7526
@mwanakombomohamed7526 9 месяцев назад
Sawa
@Willyb254
@Willyb254 9 месяцев назад
Nimependa
@Totorutha
@Totorutha 9 месяцев назад
Nitumie no Yako bro
@user-vv9iq8bp5q
@user-vv9iq8bp5q 9 месяцев назад
Nitumie namba yako ndugu tufanye viashara
@GetrudaNgulo
@GetrudaNgulo 18 дней назад
Msaada chimbo la nguo za watoto mtumba grade A
@robertoyoussouf7679
@robertoyoussouf7679 2 месяца назад
Asante kwa somo la siku, Vipi mwanaume ana fanya pia biashara ya urembo cosmetics ?
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 2 месяца назад
Inawezekana na wengi wanafanya
@user-zn6uf8om5i
@user-zn6uf8om5i 9 месяцев назад
Connection basi kaka
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Ya nini?
@kiliancloud2437
@kiliancloud2437 8 месяцев назад
Broo nataka kufungua duka la vifaa vya simu vo mtaji wake
@littlebrother4
@littlebrother4 7 месяцев назад
milion 200
@salvatoryjulius-xl6lr
@salvatoryjulius-xl6lr 11 месяцев назад
pia naomba connection ya vifaa vya simu
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Ingia Instagram page yangu
@DavidYusuph-hd9xw
@DavidYusuph-hd9xw 5 месяцев назад
Mtu umempa ushauli anataka na connection
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 9 месяцев назад
Paul makonda sauti na muonekano
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Aisee
@user-vn6so3on7z
@user-vn6so3on7z 4 месяца назад
Mudogoake Huyo
@TusekileMwaswapu
@TusekileMwaswapu 2 месяца назад
Biashala ya nguo za ndani lnataka mtaji wa shingapi
@AredFered
@AredFered 6 месяцев назад
Nataman sana kua mfanyabiashara lakn mambo yangu bado hayajakaa sawa
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Jipange tu uanze
@AredFered
@AredFered 6 месяцев назад
@@kelvinkibenje sawa kaka lakn nawaza sana make
@elisafi7
@elisafi7 4 месяца назад
Kaza ww, unawaza nini sasa😂​@@AredFered
@HappyBirdwingButterfly-wh5do
@HappyBirdwingButterfly-wh5do 4 месяца назад
Makadirio ya mtaj wa biashara ya nguo zandan au urembo!??
@desmondrabsonmwaipula1239
@desmondrabsonmwaipula1239 4 месяца назад
50,000
@tonnyblasty4606
@tonnyblasty4606 11 месяцев назад
Natamani kati ya nguo za ndani au vifaa vya simu ila bado sijaelewa pakuanzia
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 11 месяцев назад
Unataka kuuzia eneo gani?
@ismailmohamed-sc1hg
@ismailmohamed-sc1hg 9 месяцев назад
Nipo bunda mara nataka nianze biashara yakuuza nguo za mitumba lakini sijui nianzie wap na faida yake nitaipataje maan ndo nataka kuanza
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
@@ismailmohamed-sc1hg pitia account yangu ya Instagram nimeichambua vizuri Biashara ya mtumba, fauda, wapi pa kupata mzigo na masoko. Bonyeza hii link kuingia kwenye page Www.instagram.com/kelvinkibenje
@AshuraIsaack
@AshuraIsaack 6 месяцев назад
Biashara ya nguo za ndani
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Ni nzuri sana
@user-pi6kz2uw5x
@user-pi6kz2uw5x 7 месяцев назад
Xamahanii kaka mm natakaa nifanye biashara mtajii lakii mbilii na nusu je nifanye biasharaa gganii maana mpakaa sahv sielewii
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 7 месяцев назад
Kwenye hizo tano hakuna uliyoipenda
@user-yq2ye9zl3r
@user-yq2ye9zl3r 3 месяца назад
Nami pia
@RajabuJuma-fy8nr
@RajabuJuma-fy8nr 5 месяцев назад
Ya nguo za ndani na mtumba, nitakucheki unipe connection ya nguo nzuri nijiongezee kipato
@DoriceRemson-by5rr
@DoriceRemson-by5rr 4 месяца назад
Nitafte mm tuongee dia naziuzaa
@FurahaVenosa
@FurahaVenosa 2 месяца назад
​@@DoriceRemson-by5rrhey uko pande gani
@DoriceRemson-by5rr
@DoriceRemson-by5rr 2 месяца назад
@@FurahaVenosanko dar dear nashinda kariakoo msimbazi
@user-mi6yw9lm9i
@user-mi6yw9lm9i 2 дня назад
No please rafik
@salvatoryjulius-xl6lr
@salvatoryjulius-xl6lr 11 месяцев назад
kaka naomba connection ya chupi!
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Cheki insta yangu
@piuskalilile9850
@piuskalilile9850 3 месяца назад
Chimbo la nguo za ndani msaada
@DahuuAbdi
@DahuuAbdi Месяц назад
Kaka Nina m 1 na sijui biashara Gani nifanye msaada
@vickymdee
@vickymdee 29 дней назад
Nikopeshe mimi hyo ela boss
@user-vv9iq8bp5q
@user-vv9iq8bp5q 9 месяцев назад
Natamani kuuza mitumba nina laki mbili ila sijuwi pakuanzia
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Pa kuanzia ni kwenda kuchukua mzigo kama tayari umesoma soko na unajua nini utauza
@user-vv9iq8bp5q
@user-vv9iq8bp5q 9 месяцев назад
Kuzunguuka nao mtaani ni vizuri au hadi nipange frame?
@DoriceRemson-by5rr
@DoriceRemson-by5rr 4 месяца назад
Nitafte tuongee vizur kipenz
@DoriceRemson-by5rr
@DoriceRemson-by5rr 4 месяца назад
Nitafte tuongee vzur ntakurahisishia
@luluanania-cb1bw
@luluanania-cb1bw 3 месяца назад
​@@DoriceRemson-by5rr❤
@merykyungai2551
@merykyungai2551 4 месяца назад
Biashara ya nguo za mtumba nafaida kwanzia 50000
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Ndiooo
@user-vr1vb4qd6e
@user-vr1vb4qd6e 4 месяца назад
Kaka mm nina 40000 nawaza nifanye kazi ya nguo za ndani ,niko msoma sasa sijui wanauza wapi jumla kwa aliye msoma omba msahada
@shamuni1983
@shamuni1983 3 месяца назад
Zipo Dar Kariakoo, Ukihitaji Tunakutumia kwa gari
@HappyBarn-kv6yj
@HappyBarn-kv6yj 2 месяца назад
Na mimi nahitaji niko kariakoo​@@shamuni1983
@sarahkissu3821
@sarahkissu3821 11 месяцев назад
Vyombo nmewah kuifanya shida ipo kweny machimbo sahv yamekua too hard kuyapata
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Nenda kwenye kiwanda cha cello au jambo. Pia kama una uzoefu saasa anza kuagiza China
@DoriceRemson-by5rr
@DoriceRemson-by5rr 4 месяца назад
Kwa mwenye uhitaji wa nguo za mtumba tuwasiliane bei rahisi tutazungumza tusogezane
@user-lu7kn6kn1x
@user-lu7kn6kn1x 4 месяца назад
Uko wap kwaniii
@FebroniaTamila
@FebroniaTamila 4 месяца назад
Unapatikana wapi
@user-gb7sw7en6d
@user-gb7sw7en6d 4 месяца назад
Unapatikan wap
@DoriceRemson-by5rr
@DoriceRemson-by5rr 4 месяца назад
Niko Dar dear
@DoriceRemson-by5rr
@DoriceRemson-by5rr 4 месяца назад
Karibuni saaana
@JanethAlex-sg3zu
@JanethAlex-sg3zu 8 месяцев назад
Samahan kaka vo biashala. Yamanukato. Imekaje. Nahii
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 8 месяцев назад
Ni moja ya Biashara mzuri. Hapo nimeitaja kwenye urembo
@user-lj5tn8qw2r
@user-lj5tn8qw2r 9 месяцев назад
Hiyo ya nguo za ndani sasa sielew naanzia wap
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Anza kwa kuchukua mzigo na kutafuta wateja. Mtandaoni, msofisini, kwenye magulio
@AredFered
@AredFered 6 месяцев назад
Asante
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
🙏🙏🤝
@cheluhussen-vo4rd
@cheluhussen-vo4rd 9 месяцев назад
Thanks
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Thanks too
@cheluhussen-vo4rd
@cheluhussen-vo4rd 9 месяцев назад
Yani natamani kufanya biashara ilasijui nianzie wap Leo nimeingua uku ndo nikakutana na wewe. Kaka angu
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 месяцев назад
Asante sana. Karibu sana
Далее
Episode 2 : Je,Ufanye biashara gani?
11:29
Просмотров 78 тыс.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 25 тыс.
BIASHARA 10 ,MTAJI CHINI YA LAKI MBILI
8:19
Просмотров 34 тыс.
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA BIASHARA
16:16
NJIA ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA
8:50
Просмотров 3,8 тыс.