Тёмный

BICHUKA: MKONGWE wa BENDI ya SIKINDE Anayeshambuliwa na MARADHI, FAMILIA Waomba MSAADA.. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 44 тыс.
50% 1

BICHUKA: MKONGWE wa BENDI ya SIKINDE Anayeshambuliwa na MARADHI, FAMILIA Waomba MSAADA..
MWIMBAJI Mkongwe aliyeitumikia Bendi ya Sikinde kwa miaka mingi, Hassan Bichuka, ameeleza Watanzania kupitia Global Tv Online kuwa maradhi aliyoyapata yamempelekea kushindwa kufanya kazi kwa miaka 3 na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu katika familia yake kwani hakuna kipato kinachoingia.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@amanafi1288
@amanafi1288 3 года назад
Hiyo ndio sababu pekee inayowatofautisheni global na Media nyingine... Mungu atawalipa Inshallah kwa habari nzito na muhimu kama hii ya Mzee Bichuka.
@yusuphubalali9212
@yusuphubalali9212 3 года назад
Hii ndy Tanzania wanasubiri afe ndy waje, watanzania wanafiki Sana.
@chumaramadhani.7581
@chumaramadhani.7581 3 года назад
Wanamuziki na Wadau wa Sikinde Ngoma ya Ukae, Tufanye BONANZA maalum kipato kitakachopatikana kumuhudumie MZEE BICHUKA ambaye kwa Sasa ni Mgonjwa, NI MUHIMU SANA KWA KIPINDI HIKI CHA MARADHI YAKE, MUNGU ATAWABARIKI SANA.
@fatumampa725
@fatumampa725 3 года назад
tumsaidie mzee bitchuka
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Sawa kabisa MZEE muimbaji mzuri sana
@hashimbahdi6186
@hashimbahdi6186 3 года назад
Baba yetu Mpendwa Jakaya Mrisho Kikwetu Shabiki Wa Sikinde Mungu Akupe nguvu za kumfikia Msanii Hassan Rehani Bichuka, Msaidie Matibabu
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 3 года назад
Bichuka siyo msanii wa sikinde ila amsaidie tu kwa kua anahtaji msaada kama raia wa kawaida tu
@donardmtambo-hs7mw
@donardmtambo-hs7mw Месяц назад
roho imeniuma sana kumbe anumwa mzee pole Sana mama nakupa hongela kuuguza ni kazi inatakiwa uwe na moyo
@GiftMaon
@GiftMaon 7 месяцев назад
Baraza la Sanaa na haswa Wizara husika,Wawajibike Kwa wasanii,wasiwaterekeze kiasi hicho.,NI DHAMBI
@omaryshafii1174
@omaryshafii1174 3 года назад
Sasa ni wakati wa kuchangia tuchukue namba tutoe msaada
@hemedijuma4099
@hemedijuma4099 3 года назад
Mungu akuafu Mzee wetu Hassani Rehani Butchuka
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 3 года назад
Pole sana Mzee Bitchuka. Huyu Mzee miongoni wa Wasanii Manguli ambao walifanya Muziki kwa dhati kabisa. Na waliimba Nyimbo zenye mafunzo mazuri.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
Huyu ni legend wa Muziki, tumchangie
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 3 года назад
Excellent interview
@ernestnjogholo1472
@ernestnjogholo1472 3 года назад
Ugua pole bingwa, mziki wa ngoma ya ukae umetujenga sana,utunzi wa ki u hakika, uliosakafiwa kwa sauti safi na mipangilio ya vyombo yenye mbinu za hali ya juu.
@fatmakassim5224
@fatmakassim5224 3 года назад
Allah akusimamie
@realmanpowerserviceslimite4222
Talaka ya hasira is a great hit
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 года назад
Majitu ya Dar es salaam yana roho za ajabu Sana yanashindwa kumchangia mzee wa watu na wewe mwandishi wa HKL weka namba tumchangie weka na namba ya cm
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 года назад
Pole sana mzee wetu Mwambieni atoe namba ya Mpesa Tumpatie pesa kiasi cha matumizi Pole mama kwa kuuguza
@mashejuma2885
@mashejuma2885 Месяц назад
Pole Mzee wangu
@mwidinijuma8214
@mwidinijuma8214 3 года назад
Pole sana mzee Bichuka mungu akufanyie wepesi upone,
@user-ni9zc3gx5t
@user-ni9zc3gx5t 6 месяцев назад
Tunaomba serikali iwajali ma legends wasiwaache wawashike mkono
@francism.1208
@francism.1208 2 года назад
Michuka you are wonderful
@BekaBaluti
@BekaBaluti 4 месяца назад
Namshauri Aende Basata Aombe msaada atapata
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 3 года назад
Mwambieni atubu na amludie mungu wake.aanze kusali umli umeendasna.
@mwanzomwisho1217
@mwanzomwisho1217 3 года назад
The best comment ever.
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 3 года назад
Ukweli mwanaadamu hamna kitu. Tutalaumu lakini kila kitu kina mwisho WAKE...tuombe mwisho mwema
@1gmakhala
@1gmakhala 3 года назад
Bitchuka. Ana historia ya nzuri tu kimuziki.
@mohamedlijaa1271
@mohamedlijaa1271 3 года назад
Thanx Emelda
@KhadijaKipua-dw7yz
@KhadijaKipua-dw7yz 11 месяцев назад
Watanzania tunahitajika tusaidie mzee bichuka
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 года назад
Ingekuwa issue ni mwanasiasa basi wangetokea vijana wakawa wanachangisha fedha ilhali wanasiasa wetu ni criminals tu kupitia vichwa vya wananchi
@bonifacechengula6117
@bonifacechengula6117 3 года назад
Nafikiri kungekuwepo na account maalum kwa ajili msaada huo. Wapenzi wake wengine tuko nje ya Tanzania
@zenamilanzi1471
@zenamilanzi1471 3 года назад
Pole sana
@hassnkijiba9566
@hassnkijiba9566 3 года назад
Polesaaana.super.sterio
@geofreyambakisye767
@geofreyambakisye767 3 года назад
Pole sana mzee MUNGU wa mbingun akuponye!
@saumukibaja1295
@saumukibaja1295 3 года назад
Nizam ya kaz safi sana
@ramadhanathuman940
@ramadhanathuman940 3 года назад
Pole mzee wetu mungu yupamoja nawe
@Ba63828
@Ba63828 3 года назад
UGUA POLE LEGENDARY
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 года назад
Pole baba mzazi MUNGU akuponye
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 года назад
Pole sana mzee wetu Mungu atakuafu
@ijumaawikienda5435
@ijumaawikienda5435 3 года назад
pole nyingi kwa lejendari
@josephatmakuka4860
@josephatmakuka4860 3 года назад
Dahhh mungu azid kumjalia
@ماجكموزجوني
@ماجكموزجوني 3 года назад
8:08 which band are you talking about? JUWATA Mlimani Park or OSS?
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 3 года назад
Ottu jaz band.ila zaman nadhani ilkua inaitwa juwata jazz band
@zonko0488
@zonko0488 3 года назад
Pole sana Mkuu wa Kazi
@fatmabakura2105
@fatmabakura2105 3 года назад
Pole sana mungu atakuafu ishallah
@babusadala5732
@babusadala5732 3 года назад
Daaa noma sana 🤔
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 года назад
🤔
@ufundi_tz
@ufundi_tz Год назад
mbona sijasikia kuhusu mirabaha hapo ya mzee jamani
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 года назад
Bichuka anasound kama mkongo
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 года назад
Ni mmanyema
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 года назад
@@spreadlove2119 ok ila wazamani mjiji bado ana lafudhi ya kimanyema
@veronicacharles2427
@veronicacharles2427 2 месяца назад
jmn huyu baba niliwah kupga nae pcha nikiwa mdogo DDC rafk wa mzee wngu
@mussaharun7257
@mussaharun7257 29 дней назад
Naomba kuchangia
@fredrickmtangoo5071
@fredrickmtangoo5071 3 года назад
Huyu mwamba ametumika sana kwenye muziki wa dansi.
@radhiaoman2454
@radhiaoman2454 3 года назад
Sasa nadhani maradhi yamemfanya mpaka inakuwa anasahau maana huo wimbo alivyouruga ni shida
@mulendakigusile
@mulendakigusile 2 года назад
Mwambieni mzee bichika afate mfano wa mkongwe mwenzie chidumule atasaidika na atarudi kuwa mzima kabisa
@rashidomar2771
@rashidomar2771 3 года назад
Lazim apate haki miliki ya kazi zake ,,ili kila anaetumia kazi zake alipwe muhusika
@twilamtumbi5351
@twilamtumbi5351 3 года назад
Da😭😭😭
@davidjapheth9726
@davidjapheth9726 2 года назад
Msaidie baba
@AishaSalaga-rv7sb
@AishaSalaga-rv7sb 9 месяцев назад
Nyie global TV tutawachoka kuwaangalia kila siku mnatuletea majonzi,yasiyo ya lazima hivi huyu naye anataka msaada kweli?bora hiyo pesa tumpe professor Jay Watu wapo hospitali wanapumua gasi,,,,yani wewe Imelda tangu nione ile picha ya yule mtoto aliyelelewa vibaya nishaanza kubwa na wasiwasi na chuo cha habari ulichosomea leteni content za kujenga bwana
@alijuma2377
@alijuma2377 2 года назад
Wanamuziki wengi WA zamani hasa Tanzania hawana thamani ndio maana wanakufa maskini
@ramadhanimohamed576
@ramadhanimohamed576 3 года назад
Hivi vyombo sijui BASATA nk no hovyo. Viongizi wala helatu. Mbona hawajamfikia Mzee Bichuka na kumpa msaada? Akifa ndo waje na misemo ya kejeli (PENGO ALILOACHA HALIZIBIKI) UKWELI I HATE THESE STUPID INSTITUTIONS) SAMAHANI NIMETUMIA LUGHA KALI LAKINI INAUMIZA VYOMBO HIVI KUTOJALI WANASANAA.
@mathewungani9724
@mathewungani9724 10 дней назад
Bitchuka Ooh
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 3 года назад
Tunasafari ndefu , vipaji bado havilipi..!!
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 года назад
kamuulize nasibu
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Serikali yà wanyonge
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 года назад
hasa wewe mwandishi kwann aufafanui masta ni nani!!!??
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Serikali itamsadia akifa kama kawaida
@isacklyanga5835
@isacklyanga5835 3 года назад
Mungu akusaidie Bingwa, DDC ni shirika la Serikali au la? hapo
@ramadhanikayimanda8971
@ramadhanikayimanda8971 3 года назад
Kwani hana watoto?
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Tunakupenda ila hali ya sasa MZEE ni shida
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 года назад
Daimondiiiiiiii mzee anateseka ukuuuuuuuuu
@mzeemtopa2364
@mzeemtopa2364 3 года назад
Huyu mzee mrundi kiswahili hakijui
@zonko0488
@zonko0488 3 года назад
Kwa hiyo??!
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 3 года назад
Kwaiy kila asiyejua kiswahili ni mrundi?
@rashidkutua3100
@rashidkutua3100 3 года назад
Serikali imsaidie mzee bichuka kutokana na kazi kubwa aliyoifanyia nchi yetu
@pleonardkashatila4555
@pleonardkashatila4555 3 года назад
Kwa hiyo wewe ni mtalamu kujua lafudhi za makabila.
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Mzalendo
Далее
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 5 тыс.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 337 тыс.
DD Mlimani Park Orchestra Nawashukuru wazazi wangu
8:47
WELCOMING BABY ACEJALEN HOME | BABY AJ'S REACTION
17:27
RAIS MSTAAFU KIKWETE, AKIIMBA WIMBO WA BITCHUKA
1:36