Тёмный

BILA WOGA, MBUNGE SHABIBY AFICHUA SIRI YA MAFUTA KUPANDA BEI - "KUNA MAJAMBAZI" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 210 тыс.
50% 1

BILA WOGA, MBUNGE SHABIBY AFICHUA SIRI YA MAFUTA KUPANDA BEI - "KUNA MAJAMBAZI"
Naibu spika leo Aprili 06, ameongoza kikao ikiwa ni mkutano wa kwanza tangu Bunge lirejeshwe 'LIVE...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 399   
@nelsonmlama8002
@nelsonmlama8002 2 года назад
Umetisha kaka Asante kwakutetea nchi Mungu akubariki
@harunchilongola3599
@harunchilongola3599 2 года назад
Hongera sana mbunge wangu Shabiby. Kweli wewe ni sauti ya wanyonge. Huo ndio ukweli kuhusu kupanda kwa mafuta. Endelea kupaza sauti tupo pamoja nawe. Na kazi iendelee.
@norascomulenzi222
@norascomulenzi222 2 года назад
Huyu Mh ni big brain kututoa matongongo tongo watanzania tujue wapigaji wapo kazini. Good job mh sabiby
@michaelmfangavo7360
@michaelmfangavo7360 2 года назад
ndio safisana mheshimiwa
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 2 года назад
Kama Waziri mwenyewe ni Januari Makamba unatarajia mchango wa Mheshimiwa Shabiby ufanyiwe kazi kweli? Kifo cha JPM ni msiba mkubwa kwa Tanzania.
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Bora kawachana wamezidi kujipendekeza kwa huyu mama januari ni mpigaji dili nashangaa wabunge wanasubiri Nini kumngoa was kumngoa happy alikuwa polepole na msukuma tunaomba msjkuma shabibi mlianzishe vinginevyo miakaa mitano hii wabinge mjiandae
@neemakaluwa536
@neemakaluwa536 2 года назад
Januari na babake wanalamba asari 🤣
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 года назад
Sure
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 года назад
Kajamaa haka kana jeuri sana ya baba yake mzee makamba wana dharau sana
@moestate9982
@moestate9982 2 года назад
Uko vizuri sana mbunge wetu Shabiby una uchungu na wananchi mola akuongoze na akujalie afya njema
@noelkanji9378
@noelkanji9378 2 года назад
Hongera sana Mh.Shabbiby,kwa kuuweka wazi ukweli wa Mambo ulivyo, "BIG UP SANA"
@kwelinauzimamedia3215
@kwelinauzimamedia3215 2 года назад
Asante saana maombi yetu yanaanza kujibiwa, tunapiga huu utawala wa kishetani kwa jina la Yesu, mpaka tumpate nira ya chuma zaid ya Magufuli.
@mkhondoj.feruzi2052
@mkhondoj.feruzi2052 2 года назад
Safari sio rahisi kwa safu inayopangwa kila kukicha! Watanzania lazima ifike mahali tuchukie ukweli wa kuchukia tuwaambie wajue tunajua!
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 года назад
Halelujha Sanaaaa Mtumishiii Wa Jehova Aliye Hai.
@upendohalisi5763
@upendohalisi5763 2 года назад
Mungu baba akutunze na kukulinda mbunge umeongea point na kutetea wananchi zaidi ya milioni 50 watanzania. Unastahili kuwa waziri wa nishati na madini
@abdullahchabukila6686
@abdullahchabukila6686 2 года назад
yes namuona magufuli kwa mbali
@willibroadwilliam6798
@willibroadwilliam6798 2 года назад
Umetukumbusha mbali unasitaili kuwa kiongozi mkuu msema kweli anafaa Asante.
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 года назад
Shabiby mbunge wetu, unatetea watanzania wote, Mungu akulinde, Endelea kuwasemea wanyonge, Ahsante Sana Mbunge wetu Shabiby.
@ramzanurdini5474
@ramzanurdini5474 2 года назад
Uyu n mbunge wa wap bae
@salmashahbal2424
@salmashahbal2424 2 года назад
Tungepata wabunge Kama wew 10 tuu tungekua mbali..👏👏
@maher_jenas_chris_jr_
@maher_jenas_chris_jr_ 2 года назад
weBaba Mungu akulinde Sana, umeongea vizuri mnoooo..
@anastaziamoses4100
@anastaziamoses4100 2 года назад
Magufuli baba Magufuli baba Magufuli baba 😭😭😭😭😭😭😭tunakukumbuka sana yaani basi tu
@moestate9982
@moestate9982 2 года назад
Hongera sana uko vizuri na una uchungu na nchi mola akusimamie inshallah
@menabdiabdi9173
@menabdiabdi9173 2 года назад
We jembe sana Mungu ukupe neema tele katika maisha yako
@geraldtarimo7379
@geraldtarimo7379 2 года назад
Shabiby ni mzalendo wa kweli ana stahihili kupewa nchi ......Mama analishwa matango pori na wahuni akiwepo makamba mwenyewe
@smartlevelaluminiumglass7871
@smartlevelaluminiumglass7871 2 года назад
Tunahitaji watu kama hawa wenye kunena ukwel maana nchi hii kunawatu wachache wanataka kuifanya kama mji wao! Manufaa yao binafsi ndo yanatutesa watu milioni 60.Serikali iliangalie sana hili🇹🇿🙏
@coolruler6820
@coolruler6820 2 года назад
Inawezekanaje mtu mmoja kama huyu anakuwa na ufahamu na upeo mkubwa kuliko taasisi nzima inayoshughulikia masuala ya mafuta?,,,,kuna jipu apo la kutumbua
@barakamanga5502
@barakamanga5502 2 года назад
Imeniuma saana watu kama Hawa ndo wanapigwa vita saana
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 2 года назад
Halaf kiongoz mkubwa anatoka nakusema bila huluma kupigilia mosumal kichwani wakat akili kamahiz zipo tuu wao wamekalia zulima hakika Mola hatowaqcha salama waendelwe kuiba nakifanya njama zao zakuohujum nnchi
@jeremiahmakoye6340
@jeremiahmakoye6340 2 года назад
Umeona eee,Mzee Shabiby yupo good sana kwa speech hii.
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 года назад
Magufuli alimpiga chini huyu Januari makamba. Leo anarudishwa na kuwekwa wizara nyeti nini matoleo yake? MAGUFURI ALISEMA MTANIKUMBUKA KWA MEMA SASA NI LUPIGWA MISUMARI YA KICHWA TUUUU
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 2 года назад
Huyu ni mfanya biashara wa mafuta anajua
@vyamanahabdallah4771
@vyamanahabdallah4771 2 года назад
Samia suruhu Hassan my president nakukumbusha uongozi ni wito, uongozi ni dhamana kumbuka hawa watu wanao pata shida km ni kwa sababu za watendaji wako mungu atakuuliza.watu wanaumia wanalalamika usiwasikie hao watu wako wa karibu
@yusuphidy296
@yusuphidy296 2 года назад
Mama umesikimaneno hayo tafadhali chukua hatua wananchi tunateseka huku mitaani
@yahayahussein511
@yahayahussein511 2 года назад
Kaka shabibi hongera sana tena sana umeongea point Sana
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 года назад
Aiseee shabiby nimekuelewa sanaaa tunaitaji wabunge kama nyinyi msio ogopa kuongea ongera kwa hilii
@hbdina
@hbdina 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Unaona kuwa Tanzania tunapumbazwa tutamkumbuka sana Dr.John Pombe Magufuli angekuwepo angechukua hatua sekunde hiyo hiyo
@piusprospa8832
@piusprospa8832 2 года назад
Vimeumana
@jumakalembo5702
@jumakalembo5702 2 года назад
Shabiby inaonekana unasema kweri akunambunge hatamoja aliomba muogozo was kukupinga
@silaskojwando2450
@silaskojwando2450 2 года назад
You are excellent comrade,you are more practical
@saxannjo6173
@saxannjo6173 2 года назад
Watanzania wa leo hawawezi kudanganywa tena .. TUNAWACHORA TU NA UPUMBAVU WAO
@tusubilegemtafya5532
@tusubilegemtafya5532 2 года назад
Mwenyezi Mungu azidi kukupa upeo na kukulinda daima
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 2 года назад
Mungu akulinde
@nachoandrew4928
@nachoandrew4928 2 года назад
Daamungu akulinde sanaa
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 2 года назад
Hii Nchi ina wachawi na wezi wengi na Viongozi walio wengi sio Wazalendo wa Nchi na Wananchi wake kazi yao ni kuchumia tumbo🙌
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 года назад
Wachumia tumbo wote, including huyu hangaya. Hawa watu sijui mioyo yao ikoje. Hivi wana mungu kweli?.
@hosianapanga5368
@hosianapanga5368 2 года назад
Ase hali nimbaya sana kwa wananchi jamn tusaidie wanaichi hali mbaya watu watakufa njaa mafuta Bei juu
@pascalmstaarabu4372
@pascalmstaarabu4372 2 года назад
Mhe umeongea mawazo ya watu millioni50
@kondoyahya8083
@kondoyahya8083 2 года назад
Dr tulia fanyia kazi wazo hili la mafuta na wabunge wenzio.
@michaelgibril8594
@michaelgibril8594 2 года назад
MHE SHABIBI MIMI NAKUELEWA SANA, UNASTAHILI NYAZIFA KUBWA KWENYE NCHI HII, NATUMAI ALLAH ANAONA KIPAWA CHAKO
@tibocherichard1182
@tibocherichard1182 2 года назад
Shabiby umesema jambo kubwa mno, shida sijui kama wanakuelewa
@danielmbwilo1040
@danielmbwilo1040 2 года назад
Mungu akubariki Kwa hoja hizi
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 года назад
Jpm rest in perfect peace. Kila nikikumbuka moyo wako na uzalendo wako kwa taifa hili, na jinsi ulivyopambana mchana na usiku kuhakikisha mtanzania anafurahia nchi yake na kufanya maendeleo huku ukiwafuta machozi kila walio onewa na wahuni machozi yananitoka. Ee Mola, tupate wapi mtu mwenye roho kama ya jpm, mtu mwenye uchungu na nchi yake, mtu mwenye kupinga rushwa na mafisadi kwa dhati?.Hali hii mpaka lini?, tutakuwa kichwa cha mwenda wazimu mpaka lini?.
@marymgimwa9461
@marymgimwa9461 2 года назад
MUNGU atusamehe kwa kweli hakuna wakutusamea huko ni kutoa sifa
@swimamasumira7261
@swimamasumira7261 2 года назад
Nchi ili iweze kijisimamia pasipo kutumia nguvu ya mtu mmoja inatakiwa iwe na Taasisi Imara zenye Uhuru wa kutekeleza majukumu pasipo kuogopa chochote Sheria zikisikamia hakuna kinachoharibika
@herself7545
@herself7545 2 года назад
Yaani we acha tu .. Nuru ilitoweka ghafla. . But kuna siku tusiyoijua itaibuka nyingine soon
@emanuelmfanga9220
@emanuelmfanga9220 2 года назад
Nakubaliana na ww ndugu
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 года назад
Laurent, ACHA kulialia, hata manabii hawapo TENA. Binaadam ukifika mda fulani katika maisha LAZIMA UTOKE KWA WAZAZI na UANZE KUJITEGEMEA
@kasimnamesou4226
@kasimnamesou4226 2 года назад
Mambo ya hovyo sana nchi hii, huyu jamaa anachokiongea kuhusu mafuta anakijua, nakumbuka kila anapotoa hoja za mafuta zinakuwaga ni za kubamba sana
@mahamoudhassan8853
@mahamoudhassan8853 2 года назад
Na yeye anataka kuagiza mafuta,awe mfano
@georgemartin9724
@georgemartin9724 2 года назад
Wala yeye anaumia kwa sababu anabishara ya mabasi ake ya mkoa
@faharikhamis1042
@faharikhamis1042 2 года назад
Respect kaka god bless you and your family
@latwifsued3316
@latwifsued3316 2 года назад
Uku vizuri tatizo nchi hii watu wakiwa wakweli na wawazi hawathaminiwi na kupewa kipaumbele. Ila kwa staili hii unastahili kuendelea kuwa mbunge wananchi wako wanakutegemea Sana. 👍
@InfinixTechnology
@InfinixTechnology 2 года назад
Mama.anataka.ufanisi.hataki.misifa.yenu.mama.alisema.atawapima.kwa.Nazi.ski.kwa.sifa.
@williamsville3493
@williamsville3493 2 года назад
@@InfinixTechnology እውነት ሁሌም ይለያችኋል ስለዚህም በተሳሳተ ጎኑ እንድትቆሙ
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 года назад
Umeongea ila umepingana na mama maana mama alisema mafuta yamepanda bei Kila kitu kitapanda bei
@charlessambai8758
@charlessambai8758 2 года назад
Hongera muheshimiwa
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 2 года назад
Mungu akubariki sana yaani watu tunalia sana jamani mafuta ya kula hatuwezi tena tunapoendea tutachemsha vyakula Mungu atudaidie watu wa chini
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 года назад
FANTASTIC 👍
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Upumbavu sana nchi hii yani pana wizi na upigaji kila siku
@taliano3963
@taliano3963 2 года назад
Daaaa Asante Mheshimiwa SHABIBY ujumbe umefika issue nani ataupokea! Wapigaji wameshaingia madarakani mwananchi apokee maumivu tu
@michaelmizambwa1246
@michaelmizambwa1246 2 года назад
Ingependeza siku moja uwe Raisi ,.. aaaha tunaweza kufika mbali zaidi
@hassanmichael7068
@hassanmichael7068 2 года назад
Hongera sana bro naona umewaumbua watu
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 2 года назад
Watu wa aina hii kwenye hii nchi ndo wanapigwagaa vita balaaa yan 😀 Huyu Shabib kaongea ukweli mtupu yan
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 2 года назад
Huyu jamaa kaongea vizr saana.
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 года назад
Sema baba mh nimekupenda bule mafuta kupata kwa kweli tunaumia sana asante kwa kutetea wananchi wa tz mungu tubariki tz yetu na watu wake
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 года назад
Nyuki zimeingia Katika mzinga wa Bibi tunaramba asali tu 😂😂😂😂😂😂🤸 duh mbona kazi ipo🤸🤸🤸🤸
@saiguranlaurent441
@saiguranlaurent441 2 года назад
Mungu akubarikj kwa kusema ukweli hiyo ni dili kweli ya wakina kikwete na mtoto wake kila Kona ana sheli na wengine wengi
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 2 года назад
Mh upo vizuri sn!! Tunaumiza Watz
@stanleylekamoy4803
@stanleylekamoy4803 2 года назад
Very good Shabiby wape somo maana hii imeshakuwa michezo za kitoto
@novatusabond9253
@novatusabond9253 2 года назад
Semaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Baba
@athumanimateso3230
@athumanimateso3230 2 года назад
Safi waambue mana wanateseka nimasikini wenye aliyachini
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 2 года назад
Nimecheka sana Trekta linakatika katikati tena lina jina la Mama
@restitutorcharles4253
@restitutorcharles4253 2 года назад
Mungu wa mbinguni akutunze
@peterswai391
@peterswai391 2 года назад
Mchango mzuri Mhe shabby, into parlment
@mkulimanyanya3409
@mkulimanyanya3409 2 года назад
Nimekukubali wewe ni mwanaume wa Ukweli.
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 2 года назад
Mungu pigana na wote wanaopigana na Tanzania wakiingilia njia moja wasambaratishie njia Saba Baba
@mansoorsood7461
@mansoorsood7461 2 года назад
Huyu mbunge anafaa kupewa hio wizara anaona mbali ameongea vizuri sana
@davypaul4766
@davypaul4766 2 года назад
Sio wizara tu hata urais
@djsandi4419
@djsandi4419 2 года назад
Usiseme hivyo kina makamba watamdunga sumu
@ramzanurdini5474
@ramzanurdini5474 2 года назад
Daah kabisaa mheshima n points za msingi
@emmanuelmwangelengele6240
@emmanuelmwangelengele6240 2 года назад
Kazi iendelee
@medardywilliam5425
@medardywilliam5425 2 года назад
Kwelii Mzee mambo yanafanyicka wakubwa wanatizamaa TU wanafikili sisi mi zuzu sna
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 2 года назад
Wanajua watz ni wale wa kikwete
@ernestlyimo6013
@ernestlyimo6013 2 года назад
HUO NDIO UKWELI, WA TANZANIA WANA WATU WA KUWATEA ILA MAPAPA NA MANYANGUMI WANAWAMEZA, MUNGU UTUSAIDIE.
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 года назад
Aiseeee m,unyama mkubwa san
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 года назад
kWa kweli umeongea pointi sana,Mungu akutie nguvu uendelee kuwatumikia wanainchi,
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 года назад
Ccm wapo wengine wako vizuri Sana kweli kabisa wapo wapigaji
@eliakanyika5379
@eliakanyika5379 2 года назад
Shabby upo vizuri
@Pihansmo
@Pihansmo 2 года назад
Wow!!!!🥰🥰🥰🥰🥰
@modestmasuba7765
@modestmasuba7765 2 года назад
Hongera shabiby
@kelvinchisongela870
@kelvinchisongela870 2 года назад
Asante kwakutambua hilo
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 2 года назад
Kumbe bado tuna wabunge makini mjengoni, big up Shabiby!
@eliasilyeme834
@eliasilyeme834 2 года назад
namkubali sana shabiby atafika mbali
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 года назад
Huyu ni hazina ya. Inchi,
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 года назад
Sawa mbunge wetu, Gairo oyeeeee,!! Shabiby Juuuuuuu!!!
@jumakimawa3633
@jumakimawa3633 2 года назад
Jpm forever,, rip Baba
@shazyahya4121
@shazyahya4121 2 года назад
Makamba ni waziri wa michongo
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 года назад
Asante mbunge kwa kupigania majimbo yako.asante hemedy shabyby
@jumaakida5951
@jumaakida5951 2 года назад
Hongera sana! Rais kazi kwako kufanyia kazi maneno ya Mohamed Shabiby
@anastaziamisana9960
@anastaziamisana9960 2 года назад
Safi Sana baba
@ruwaichijoseph5946
@ruwaichijoseph5946 Год назад
Majisi, wote ccm,huna choko❤
@charleschuss7699
@charleschuss7699 2 года назад
Upo sahihi 👏👏👏👏 lakin utaingia kwenye vita ulaji wawatu unaingilia
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
Nimecheka matreka inakatika katikati😄😄🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️
@raphaelsukari3098
@raphaelsukari3098 2 года назад
Sas unamwambia nan?
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
@@raphaelsukari3098Soma kisha elewa taena
@medardmakonge1466
@medardmakonge1466 2 года назад
Hakika baba mungu akutangulie sana asante kwa ukweli mtupu
@chrissyesaya5385
@chrissyesaya5385 2 года назад
Upo sahihi saaaana
@selemanwaziri459
@selemanwaziri459 2 года назад
Nice
@annajohn2488
@annajohn2488 2 года назад
Asante shabiby
@masanyiwalubage9476
@masanyiwalubage9476 2 года назад
Shabiby Safi Sana!! Serikali majambazi hawa
@abubakarhassan3575
@abubakarhassan3575 2 года назад
safi sana mkuuu
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 года назад
Safi Shabby
@fetykondo3953
@fetykondo3953 2 года назад
Nakukubali maana mafuta yalipanda kabda ya Vita ya urusi sababu ilikua nin wizi mtupu
@ernestdaud2206
@ernestdaud2206 2 года назад
Uko sawa pongezi kwako.
@Kidotii
@Kidotii 2 года назад
Salute Mh. SHABIBY
@fkilawa
@fkilawa 2 года назад
Nimekupenda shabby
@dd-yc1mw
@dd-yc1mw 2 года назад
RIP JPM
@richkinji2583
@richkinji2583 2 года назад
Huyu mama chaijaba atatuuwa watanzania R.I.P JPM
@amaniabdi9755
@amaniabdi9755 2 года назад
Wewe unaemtukana mama ni mpumbavu huna akili na jina lako linaonyesha ni mhamiaji haramu.
@richkinji2583
@richkinji2583 2 года назад
@@amaniabdi9755 we ndo huna akiri nyumbu wa Tarangile hilo ni tusi ?
@sositenesssabuni2480
@sositenesssabuni2480 2 года назад
Umeongea vizuri sana kweli wewe nimzalendo tatizo walio kuzunguka niwezitu wapo kwamasilahi yao binafisi watakupuuza.
@Commentsplus
@Commentsplus 2 года назад
Kumbe shabby we ni MTU tena ni mtu
@basumaadam2686
@basumaadam2686 2 года назад
Wewe ni mzalendo sana na nakuombea sana uje uwe Rais kwa miaka ya mbele
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 2 года назад
Aise nmekukubali mbunge🙏🙏🙏
@sifamanyori-kf9vq
@sifamanyori-kf9vq Год назад
Hawa matajiri niwasenge sana wanasema mafuta yamepada wakiti wao diyo makahaba mabaharini kwenye makaburi yawatu kuwafufua kimizam yesu atawafudisha adabu yaki roho dunianike
@fikiriselemani100
@fikiriselemani100 2 года назад
Tunamkumbuka Jpm, Angekuepo isingekua hiv
@lilianmlowe9154
@lilianmlowe9154 2 года назад
Majambazi hao wanajulikana ila mnaogopa kuwasema! Wabunge km hamtafanyia kazi mkaaa hapo km mko harusini sasa msubirie wakati wakupigiwa kula km mnapata maana mnawaumiza wananchi na kazi yenu kuwatetea na kuwambambania
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 года назад
MH ameongea point Sana ,maana mwisho WA siku lawama zote za watanzania ,kuwa kwanini mafuta yamepanda ,zitapelekwa Kwa watu ambao hawahusiki na Hilo kwahiyo ni kweli kabisa acheni watu wanunue mafuta wenyewe duniani ili kuwe na ushindani kwenye bei.
Далее
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 3,5 млн
КОТЯТА НАУЧИЛИСЬ ГОВОРИТЬ#cat
00:13
This mother's baby is too unreliable.
00:13
Просмотров 7 млн
Why they want me impeached-DP Gachagua speaks
1:25:41
Просмотров 292 тыс.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA MEATU - 08/09/2018
1:10:38
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 3,5 млн