Тёмный

BILION 3OO KIGOMA ZAANZA KUJENGA BARABARA YA LAMI, MBARAWA AFIKA KUKAGUA. 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Waziri wa ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesisitiza kuwa serikali itakamilisha ujenzi wa mradi wa barabra ya kutoka Kabingo mpaka manyovu na kuondoa changamoto iliyokuwapo kwa muda mrefu.

Опубликовано:

 

18 янв 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@hustlerjailan2287
@hustlerjailan2287 2 года назад
Safi hiyoooo...wenye chuki wajinyonge.....
@venancephilbert9397
@venancephilbert9397 2 года назад
Waha tujuzeni vp ile barabara ya nyakanazi kibondo kasulu imefikia wapi?
@husseinwilondja2312
@husseinwilondja2312 2 года назад
Bado ila kazi inaendelea.,,kigoma on top
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 2 года назад
Jpm 🥰🥰🥰jembe
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Год назад
Wananchi wanatakiwa kuwa walinzi wa mradi huu bila hivyo kutakiwa na wizi
@Gregoiresidehustle
@Gregoiresidehustle 2 года назад
dah asanteni sana
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 2 года назад
Yes
@amomedia545
@amomedia545 Год назад
Selikali mbona hamuangalii barabara mwamugongo tusaidieni tumechoka kubeba kichwani
@johndevi2153
@johndevi2153 Год назад
kwetu pazuri iwachuuu
@dr_godfrey
@dr_godfrey 2 года назад
Lakini mbona hii barabara tuliambiwa ni mkopo kutoka bank ya afrika leo tena mama samia ndo katoa hela yesu wa karatu tutafika tumechoka.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 года назад
Hivi angezipeleka sehem nyingine mngeshitaki wapi na kumtoa Uraisi hamuwezi, acheni chuki , kwani hela zilizojenga uwanja chato zilitokana na bajeti ipi? Si zilimegwa kwenye bajeti zingine?
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
@@ndukulusudikucho_ Jibu zuri!
@dr_godfrey
@dr_godfrey 2 года назад
Safi sana
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Kigoma ilitelekezwa kwa muda mrefu sana! Asante Mama kuikumbuka Kigoma... Endelea na sehemu nyingine za Magharibi na Kusini, hamna maendeleo, barabara za lami hamna, benki hamna, wakati ndio mikoa tajiri kwenye Nchi hii... Inawalisha Wananchi Tz nzima, ila Wakazi wa Mikoa hiyo hawana maendeleo... Sio haki...
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Kigoma inapaswa kufikia kiwango cha Jiji kama Mwanza... Ila sasa hivi, hata Chato ni bora kuliko Kigoma!
@Bugalu-zk2ue
@Bugalu-zk2ue 11 месяцев назад
Vipi kuhusu ujenzi wa Barabara yakwenda kagunga mkoani kigoma
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 2 года назад
Kahama, Bukoli Geita lini?.??
@sometimes5621
@sometimes5621 2 года назад
Pesa za hii barabara ni za mkopo toka wakati wa Hayati JPM. Barabara hii inaanzia Kibondo, Kasulu hadi Manyovu. Sasa haya maelezo mengine yanatoka wapi?
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 2 года назад
Kwahiyo na wewe unaniambia nani usiejielewe kamtoe kaburini aje aendeleze
@sometimes5621
@sometimes5621 2 года назад
@@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 penye ukweli uongo hujitenga! Nyota ya marehemu ipo pale pale ndiyo sababu shuleni tunafundishwa kwa mawazo ya watu wengi waliotangulia na hatuendi kuwauliza fomula zao au mawazo yao!
@MrIsale
@MrIsale 2 года назад
Kwani na yeye alikopa situlikubalia hakukopa? Ifike mahala tuappreciate kazi ya Mama jamani mnyongemnyongeni ila nchi inachemka ujenzi kila kona.
@sometimes5621
@sometimes5621 2 года назад
@@MrIsale mama anafanya kitu gani zaidi ya kuendeleza Ilani ya CCM ya 2020-25! Wanaposema yeye ametoa pesa ana utajiri gani wa kulipia hii miradi kama siyo kodi zetu ambazo zinalipa pia na madeni yetu!
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 года назад
Peter acha uongo, usipende kuropoka usichokijua.
@lifeexcessle4394
@lifeexcessle4394 2 года назад
Kuna mradi wa barabara inayo Unganisha Mkoa wa Kigoma na Tabora kati ya Nguruka (Uvinza) na Kaliua nyenye kilomita 36 ndio imesimama kwasababu Fedha zinatolewa na Serikali ya Sasa. Hapo alipo waziri, barabara inafadhiriwa na Bank ya Africa hivyo basi haiwezi kusimama hata kidogo. Na JPM kabla ya kuondoka alisema na aliahidi lazima aijenge kabla ya 2025 na sasa kazi inaendelea.
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 2 года назад
Yes
Далее
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
The Other Side of Tanzania: KIGOMA in 2023
14:34
Просмотров 1,7 тыс.
UNAAMBIWA HII NDIO SABABU YA KUITWA 'KIGOMA UJIJI'
11:21
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14