Тёмный

MREMBO ALIYEJENGA NYUMBA 3, ALIACHA KAZI, "MOJA MIL 280, WANANIITA FREEMASON". 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 156 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 514   
@tamuafrikastudios6251
@tamuafrikastudios6251 Год назад
Nafikiri angeweza kueleza namna ambavyo amerweza kupambana kuliko kuelezea maisha aliyonayo. Watu wanapenda kusikia steps za kufuata ili na wao wajifunze.
@enelybukuku6902
@enelybukuku6902 Год назад
Hongera Sana mdogo wangu,hakika umepambanana.wanawake tunaweza Tena tukijiamini tunafanya Mambo makubwa
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Bahati nzuri nimeangalia hii interview kupitia WI-FI, Naweza sema ni mojawapo ya interviews mbaya kuwahi ziona. Mbali na majigambo sijaona content ambayo inaelezea footprints zake, hicho ndicho audiences walikitaka. Bora angesema ka trade forex au crypto currency tujue moja, au alipata mentor aliyempa connection za uhakika za import products za China...
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Год назад
Majigambo sana
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
Mpk nimeacha kuangalia
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Год назад
Naunga hoja
@kanyanga0852
@kanyanga0852 Год назад
Maisha ni Siri nzito, mwingine anasema aliuza mihogo, mwingine vitumbua na mwingine mambo mengine ukiyafuata utajikuta upo somaria, anyway ni ya kuangalia tu hayo mambo ya familia masikini aka fukara
@joelsamwel2580
@joelsamwel2580 Год назад
Uyo dada namjuaaa ni tapeli anakuzia dawa kwa laki 3 ukauze anakwambia utapata faida ya laki 6 muongoooo sana
@michaelngadi8178
@michaelngadi8178 Год назад
Congratulations dada masipetii uko vzr # ni maamuzi magumu xana kuacha kazi na kujiajiri ukiamn ndo Moja ya njia ya kutoboa kupitia biashara # keep going # uthubutu, kujituma, na nidhamu ya pesa ndo imekufanya uwe hapo pia baraka za mungu kupitia wazazi # kuhusu biashara ameshasema yey amejikita kwenye kuuza bidhaa za kuwasaidia wanawake Kwa wanaume katika mambo ya uzazi na amesomea pharmacy # hayo mengne ni additional au feeling zake
@winniecharles8883
@winniecharles8883 Год назад
Congratulation dear nami napenda kufanya biashara
@marymwamwezi4837
@marymwamwezi4837 Год назад
Hongera sana mdogo wangu nimekupenda na mungu akubariki Sana Sana Sana. Naitaji ushauri wako
@favourfranciss2111
@favourfranciss2111 Год назад
Tumekuwa inspired 🙏Thank you Millard 🙏You are the best
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
positive chanya ndio vizuri, negative ni hasi naona unayachanganya, kikubwa ninachokuunga mkono ni fungu la 10, nimefanya kazi mwaka mzima sikujua mshahara wangu ulipokua unaenda wote ila baada ya kutoa fungu la 10 miezi miwili tu nimeona mafanikio makubwa, hilo nakuunga mkono
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Hahaha, positive nyingine nzuri hasa kucheki afya mf HIV test, na magonjwa mengine
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Ukitaka kuelewa vizuri positive na negative nenda ukapime Vvu ndy utajua yupo sahihi 🤣🤣🤣
@rebekamutta3033
@rebekamutta3033 Год назад
Hongera sana dada. Mungu azidi kukupandisha
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Год назад
Cha msingi hapa ni kila mtu apambane tuu, mafanikio ya mtu yakupe wivu wa kupambana ili kuyafikia malengo yako. Na watu mjifunze pia sadaka huwa inanena !! Kama Mungu ndiye aliyemuwezesha na akuwezeshe wewe na mimi pia !! Tupambane tumheshimu Mungu na tutafute hela !!
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 Год назад
Kweli kabisa
@angelavayinga914
@angelavayinga914 Год назад
Kweli kbs tutafute hela
@floraflora5964
@floraflora5964 Год назад
Kweli
@evalinmsengi4327
@evalinmsengi4327 Год назад
Samahan Dada naomba mawasiliano yako ili unisaidie kitu tushee mawazo naomba sana
@philipphanuel9558
@philipphanuel9558 Год назад
Biashara mtandao ndio nini
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Safi sana mass peti mwewe ni mfano wa kuigwa nimeelewa zaka na sadaka
@jacklinemassawe-cz8it
@jacklinemassawe-cz8it Год назад
Usingetaja zaka ningeona fremason na mm😂😂😂😂😂 zaka ndo kila kitu. Zaka kamili baraka kamili. Ngoja niendelee kuangalia sasa naomba umeze mate kidogo shoga angu❤❤❤❤❤❤❤❤
@innocentcareen818
@innocentcareen818 Год назад
Toa zaka mama kikamilifu utaongezewa na kuongezeka
@venniealloyce2174
@venniealloyce2174 Год назад
Congratulations 👏 may God keep bless you 🙏
@edwinmtei9400
@edwinmtei9400 Год назад
Ndo miaka 29 mitaa ipewe jina lako na serikali ilikataa na wanaona ujinga huu, halafu ukiona una pesa unajisifu jua kuna walakini
@lyidiakaburure8129
@lyidiakaburure8129 Год назад
Hongera sana Dada ukweli umenifurahisha sana natamani nionane na were uniambukize upako wa kutafuta pesa Mungu aendelee kukutunza.
@castorymhoja6050
@castorymhoja6050 Год назад
Muongopeni mungu sema ukweli kujenga sawa umuli na mda wa kazi hauendani agekuwepo magufuli ulitakiwa ukanguliwe biashara yako acha uongo .unabiashara nyingine umeificha
@imankyamba4424
@imankyamba4424 Год назад
Ina maana Magufuli alikuwa anakomoa watu au sio ndio maana hayupo leo
@claramrosso2566
@claramrosso2566 Год назад
Dada muongooo
@dorcassoza6416
@dorcassoza6416 4 месяца назад
Ni roho Mbaya, ukichukua maamuzi magumu kila kitu kinawezekana, ni akili tu
@dorcassoza6416
@dorcassoza6416 4 месяца назад
Achane roho Mbaya, kwenye biashara inawezekana kabisa, mshahara ni pesa ya kutunza familia
@dottohami
@dottohami Год назад
Masha Allha hongera sana dada umeweza mpenzi 👌😘🔥wacha na mm nipambane huku🇴🇲
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 Год назад
Seema biashara gan unafanya bas🤣unajisifia mnoo
@uviko8848
@uviko8848 Год назад
Biashara yake Ni ya mtaji mkubwa Ana pharmacy anauza madawa, madawa yanalipa sana faida Ni nusu kwa nusu. Ukieka mia unapata Mia mbili.
@zaitunirajabu1317
@zaitunirajabu1317 Год назад
True kabis 🤸🤣🤣inapesa chafy
@uviko8848
@uviko8848 Год назад
@@zaitunirajabu1317 sanaaa
@kelvinnjawike1808
@kelvinnjawike1808 Год назад
Very inspiring hiz kaz za medical za kidwanz sana unasoma kwa garama na mda mrefu unakuja kulipwa lak 3😂😂😂😂😂 usipokua makin utaishia kununua kadeti na iPhone tu
@hamadgimat5669
@hamadgimat5669 Год назад
Hongera Sana na mungu azidi kukulinda hasa katika swala zima. Lamapenzi kwa wazazi na mtoto
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
Amiina
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Год назад
Majigambo Kwa sana
@joelsamwel2580
@joelsamwel2580 Год назад
Wohii huyu dada ni tapeli alituita makumbusho melinium tower atupe mchongo wa kujiajiri akatuambia tununue dawa kwa laki 3 tukauze tutapata faida ya laki sita na atatusapoti kupata wateja mweee mweeee sio poa mjoja wetu alitoa hela yake hakupaata wateja wala hakuuza chochote na pale alipo kuwa anasema ndo offisi yake hakumkuta jamani ninacho wambia ninakijua msije mkamtafuta huyu dada ni mwiziiiiii
@veronikamwampashe984
@veronikamwampashe984 Год назад
Axante sana dunia imeisha
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 Год назад
Waambie
@precioussilungwe7365
@precioussilungwe7365 Год назад
Umenitia hasira ya maisha...umri wako na mambo yako tofauti it's like u re my daughter...hongera sana sana.
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 8 месяцев назад
Huyu dada alitaka kunitapeli 1 million ila nilimshitukia huyu ni tapeli kila siku akaunti mpya kumbe ndo pesa zetu unajengea nyumba ukishatuma tu pesa unabrokiwa😂😂😂😂
@GladnessMarandu-qp3oz
@GladnessMarandu-qp3oz Год назад
Mwenyez Mungu na akujalie hitaji la moyo wako dada,pia nahitaji ushauri kutoka kwako ,
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Год назад
Hongera sana natamani kufika hapo ulipo ngoja nipambane nakosea San kutokuto fungu la kumi
@rehemamfugale4388
@rehemamfugale4388 Год назад
Hongera sana, naomba na mm unishike mkono mm ni dereva wa maloli, sema trela
@gasgartv6931
@gasgartv6931 Год назад
Dada angu masipety Mzungu sana Ana roho safi sana
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Год назад
Kweli NGUVU za kiume ni janga aisee namimi soon ntaanza kuuza by the way hongera sana
@maryamkhamis724
@maryamkhamis724 Год назад
Asalaam aleykum huyu dada muongo sana na ni mwizi wallah katuibia pesa huyu dada karibia milioni mbili tulitaka dawa za uzazi na matatizo mengine nasi tukamtumia pesa wallah naapa na Mie muislam huyu dada hatujamsamehe ataenda kutulipa kesho AKHERA in sha Allah Yaani Ata siamini Kama kachukua pesa ekesha haja tutumie dawa kila nikikumbuka roho inaniuma sana Allah atatulipia kwa huyu dada mwizi anaibia watu pesa kuhusu dawa munaongea na Sim uzuri unatuma pesa ekesha hatumi dawa wala nn izo Mali za utapeli nenda uko bonge unanenepa kwa Nguvu za watu looo 😢😢
@jasminmayumba9421
@jasminmayumba9421 Год назад
Pole sana dada, hakika Allah atakulipia
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 Год назад
Ni ukweli tapeli mzoefu huyu Kuna rafiki yangu pia alimtumia pesa ya dawa za uzazi kamkalia kimyaaa muongo sana
@maryamkhamis724
@maryamkhamis724 Год назад
@@jasminmayumba9421 Ahsante sana ndugu yangu hakika malipo yapo kwa Allah
@maryamkhamis724
@maryamkhamis724 Год назад
@@shamimushittindi1418 tena muongo sana huyu dada kwa Kweli Allah yupo atatulipia haki ya mtu haipotei
@gentlethegentle9607
@gentlethegentle9607 Год назад
Mbona sijaelewa lengo la hii clip. Ni biashara ya nyumba? au yeye mwenywe?😄 mara anasema yey ni single mother lkn hawez sema kma yupo single.😄
@hapinessobeth4131
@hapinessobeth4131 Год назад
Ujiunge na neolife ndo wanachotaka
@fikamanciya8190
@fikamanciya8190 Год назад
wow wow what a beautiful
@fikamanciya8190
@fikamanciya8190 Год назад
I'm coming to buy a property in your country
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Год назад
KAMA HUJAELEWA AYO TV ANATAKA NA SISI WAZEMBE TUAMKE NA KUTIA BIDII ILI TUJIKWAMUE KIMAISHA.
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 Год назад
Mbona simuelewi kwaza biashala gani anafanya
@ernestamnyanyi9603
@ernestamnyanyi9603 Год назад
Your inspiring me
@leilamsafiri8320
@leilamsafiri8320 Год назад
Jinsi anavyojisifia ukitaka kuliwa vipesa vyako kidogo ulivyo navyo.basi mtafute huyu dada akuonyeshe biashara ndio utajua kulanguliwa ni nini
@neemagellop2532
@neemagellop2532 Год назад
Nimecheka
@winniecharles8883
@winniecharles8883 Год назад
Napenda kufanya biashara lkn cjui pakianzia❤
@MaryNgoi-
@MaryNgoi- Год назад
😂😂😂😂
@veronicatemba7683
@veronicatemba7683 Год назад
Huyu ni muhun niliwahi kumtafuta nikaongea naye mwisho nikagundua ni tapel nikamkacha
@marthasomi
@marthasomi Год назад
Hongera mdogo wangu
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 Год назад
Nimekupenda sana dada pia napenda sana watu wapambanaji na wanaotia nguvu nasio wanaokatisha tamaa sijui kwanini mtu akishindwa anakatisha tamaa
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Год назад
Yani nimempenda mpaka raha, na mwenyewe yupo na furaha ya ushindi, hongera sana
@minjesha
@minjesha Год назад
Hongera sana masipeti..ila kitu kinachonikwaza ni kuweka account private ya instagram..ni bora ungefungua ndio ungepata watu wengi zaidi..Anyway kuhusu jiko la nyumba unasema ni quality sana yes ni zuri ila jiko dogo sana..jiko langu ukiona mamy..its very big..kubwa la kutosha..kibongo bongo umeweza sana..hongera..
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Год назад
Kupata ni siri ya mtu! Haijalishi una umri gani! Kama umepata ni siri yako! Ulivyo fanya unajua wewe na mungu wako!
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Год назад
TUSIMVUNJE MOYO HATA SISI TUNAWEZA MAADAM HATUJAFA BADO ILA TUCHAPE KAZI.
@Jackmushil
@Jackmushil Год назад
Lazima atangaze maana ndoa anavyotangazia biashara yake ukajiunge Neolife/GNLD ni network marketing.
@MoureenMushiMushi
@MoureenMushiMushi Год назад
Umesema
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Hongera sana 😍💪
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 Год назад
Milard ayo umekosea kumpa mic 🎤 aongee mwanzo mwisho ungemuhoji wenye mafanikio wanataja hiyo biashara anayoficha
@jenifagerald1822
@jenifagerald1822 Год назад
Ndio hapo,,,,mbn hataji hiyo kazi ili na sisi tujifunze
@Nairathotmail
@Nairathotmail Год назад
@@jenifagerald1822 mwizi ndo maana saivi kaja na huku apate kuibiya watu zaidi
@boashamah3642
@boashamah3642 10 месяцев назад
Money Talks my dear friends And well done my big sister ❤
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 Год назад
Jaman hongera sana mdg wangu
@user-md1os3ye2g
@user-md1os3ye2g 4 месяца назад
Hongera sana mwanangu umeugusa moyowangu napendasana ujenzi. Natamani hataningeongea nawewe binafsi
@lemalema3613
@lemalema3613 Год назад
Well done. So inspiring. Keep it up.
@petermuhoro2236
@petermuhoro2236 Год назад
napenda unicanue kama ifo, napenda kuwa kama wewe tafadhali
@petermuhoro2236
@petermuhoro2236 Год назад
nakusikilisa sawasawa
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 Год назад
Jamani watu wa mkoa wa Kilimanjaro wanajenga hatari jamani wanajenga majumba y hatari wanashindana tokeni mikoani mingine nendeni mkoa w Kilimanjaro mjifunze huko
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Год назад
Hongera Sana Dada kwa kupambana
@Burner_Acc
@Burner_Acc Год назад
Unafanya biashara gani ndo jambo la msingi, maneno mengi bado sijui unafanya nini zaidi ya kusema wewe ni single mother na nyumba zako. Hongera anyhow
@Jackmushil
@Jackmushil Год назад
Neolife/GNLD ni network marketing
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
​@@Jackmushil hakuna biashara ya namna hiyo hao ni matapeli fungukeni
@Jackmushil
@Jackmushil Год назад
@@husseingabo5497 kwani nimeandika nini hapo
@Burner_Acc
@Burner_Acc Год назад
​@@Jackmushil kumbe matapeli wa network marketing
@Nairathotmail
@Nairathotmail Год назад
@@Burner_Acc nitapeli kweli mie kanitapeli pesa nyingi sana naona saivi kaja hapa
@winnieexavery3304
@winnieexavery3304 Год назад
Sikujua kumbe ARUSHA ni kijijini 😂😂🙌🏽🙌🏽
@annaluciahillary5107
@annaluciahillary5107 Год назад
Nimekupenda San dada🥰🥰🥰
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Hongera sana ila ninachojua mm mafanikio ni siri ya mtu
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Год назад
Umesema kweli unaweza ukaanza biashara iyo wewe usitoboe ....watu Huwa hawasemi behind hizo biashara
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
@@gracekenan4665 ni kweli watu wengi hawasemagi ukweli
@roseombay2086
@roseombay2086 Год назад
Zaka na sadaka,asante dada
@neema_mollel
@neema_mollel Год назад
Huyu asiejua hata positive ni nini ?? Dada usitubebe ufala wewe ,una secret bness Tena illegal ila unajiuma uma .acha porojo pls .
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Год назад
KWANI HILO DUKA LA MADAWA HAMLIONI? NA SISI TUTIE BIDII KUSOMA KAZI ZIPO NYINGI ILA SIYO ZA KUAJIRIWA. AMERUHUSU KUMTAFUTA ILI ATUSHAURI , SASA TUNATAKAJE? MBONA VIJANA WENYE PESA WAKO WENGI TU, HAPO HAKUNA UBAYA WOWOTE.
@MyMercy84
@MyMercy84 Год назад
Big up Masipeti
@DanielJames-of7yr
@DanielJames-of7yr Год назад
Uko vizuri Sana dada, naomba tuwasiliane unisaidie kitu
@Official83640
@Official83640 Год назад
Nyumba 4 ndani ya miaka 3 aah dada ulikuwa unazichota bank au mbona wenye kz zao miaka 10 nyumba 1 inawagalagaza tuambie ukweli bwana hiyo biashara uliyoifanya hd utoe nyumba 4 kwa muda mfupi
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 Год назад
mbona biashala aisemi uyo janja janja
@Official83640
@Official83640 Год назад
@@stellahlinusi8215 Ndy nashangaa miaka 3 nyumba za M.280 tena 4 aah asitudanganye bwana ht hao wauza unga hawawezi jenga hivyo
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
​@@Official83640 ndio hpo
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 Год назад
@@Official83640 muongo kwa nn asemi biashala muongo uyo kuna mtu yupo nyuma yake anae muezesha pesa lakini sio biashala tu ndo nyumbani nne miaka 3 apana kila mtu ana mpinga kwamba muongo eti kisa mchaga hahaha asitudanganye
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Год назад
Wanataka kufanya watu wengine hawahustle watu wapo makazini miaka nenda Rudi kujenga nyumba Moja tu inawatoa jasho
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Год назад
Barikiwe sana
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 Год назад
Dada mdogo mwenyewe pesa nyingi + chief God love tafuta pesa💪
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Год назад
Izo comments noma 🤣🤣🤣mashallah lkn dda kila atakula kwa urefu wa kamba yke alaaah 💃
@lucymrosso6930
@lucymrosso6930 Год назад
Nmekupenda sn. Asante
@FeywisNoel
@FeywisNoel Месяц назад
Mm nimesikiliza mpk mwisho ila hata cjaelew n biashara gan anafanya
@johansenrauben6166
@johansenrauben6166 Год назад
Bina fusi na pambana kuzitafuta fulusa ila sielewi mambo ni mengi na sielewi cha kufanya Kama kuna mtu anaweza nisaidia network karibu
@RoseMshana-pm8op
@RoseMshana-pm8op 9 дней назад
chuo,kazi, biashara,bado miaka 29, tu, majigambo kibao,ila hongera dada
@NeemaMuna-eq2cg
@NeemaMuna-eq2cg Год назад
Safi sana unaweza kunielekeza na mm dada
@hubman6780
@hubman6780 3 месяца назад
Hongera dada iwe iwavyo hongera dada yangu🎉🎉🎉🎉
@mayarashidi2765
@mayarashidi2765 Год назад
Mashaailaah
@maryamkhamis724
@maryamkhamis724 Год назад
Ww wacha uwongo uwo sadaka gani za wizi au tuma dawa zetu kwanza ndio ufanye majisifu unazulumu hu muogopi Ata Allah wacha majisifu ww mwizi mkubwa
@HoseaLeonard
@HoseaLeonard 2 месяца назад
Umakini unahitajika sana unaoowasikiliza the so called motivation speakers 😂😂😂
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Год назад
Tuoane best na mm ni single father🤭😉
@ShamsiaShamsia-qr4lh
@ShamsiaShamsia-qr4lh Год назад
Mashallah ❣️♥️ asante Sana
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Год назад
Woow congratulations
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb Год назад
Ajifunze kwanza kingereza 🤣
@hope-eversam1278
@hope-eversam1278 9 месяцев назад
Nimekupenda, 1 kuwapenda wazazi na mimi nakupa baraka pokea mwanangu
@emmanueladrehem7694
@emmanueladrehem7694 Год назад
WHAT KIND OF BINESS ???????
@maryamsaleh8438
@maryamsaleh8438 Год назад
Ma sha Allah lkn tambo nyingi kama Haji Manara
@user-wg1rn5ee7i
@user-wg1rn5ee7i 10 месяцев назад
Mama yangu alipata strock kwa kuwasikiliza hawa washenzi kabisaaaa! Mnapata pesa kwa utapeli wa kijingaaa! Yaaan ni vile tu vita ni ya Bwana ngojq niache
@samorasanga2230
@samorasanga2230 Год назад
Hongera sana mfamasia wenzangu naomba Namba yako Kwa mawasiliano
@kamogesamuel2461
@kamogesamuel2461 Год назад
Mimi ninaheshimu watu proactive. Ninaomba kuongea nawe zaidi ili kujifunza jambo.
@timoliiisaya3824
@timoliiisaya3824 Год назад
@@kamogesamuel2461 we baki na njaa zako ustegemee utakua Kama yeye😆
@user-fq7rq3sb9c
@user-fq7rq3sb9c 6 месяцев назад
Nimekupenda mnoo mdogoang hongera sana
@khafsayahya4066
@khafsayahya4066 Год назад
Masipety❤️❤️❤️
@charlesrongo3615
@charlesrongo3615 Год назад
follow the process of success✊
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Napenda mtoto anaejua thamani ya wazazi
@nambuacassandramlaki3516
@nambuacassandramlaki3516 Год назад
Hongera sana,umeweza.
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Год назад
Muongo huyu musikubali halaka halaka kwakazigani mpaka ujenge majumba yote hayo
@athumanijuma8899
@athumanijuma8899 Год назад
Kumbe Mrembo wa kiharusha Hawa wana Mbinu nyingi Sana Za kutafuta tuendeleeni Kujifukizaaa 🤣🤣🤣🤣 ukitakaa kuita Maji MMA uoe Pande hizo 🤣🤣🤣
@solomonnkiggi5019
@solomonnkiggi5019 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-uw9rz5zo7j
@user-uw9rz5zo7j 6 месяцев назад
Hongera dada na mm nitafuata nyayo zako
@user-ub6ej6er3d
@user-ub6ej6er3d 4 месяца назад
Hongera nime tamani kuwa kama wewe dada je nakupataje
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 Год назад
Jamani huyu binti namjua wakati anaishi boko ni mpambanaji mnooo...hongera my dear..
@NataliaKenny-vb6os
@NataliaKenny-vb6os 9 месяцев назад
Anafanya biashara gani?😢
@user-hh3hu4eg1z
@user-hh3hu4eg1z 7 месяцев назад
Apart from weakness zake nmependa suala la zaka na sadaka i believe for that na naungana nae kwenye hicho
@thadeynyenza4948
@thadeynyenza4948 Год назад
Mafanikio ni Mungu, huwezi kuyapata kwa kusikiliza waliofanikiwa. Baki na Mungu akupe na wewe
@evnctmb1824
@evnctmb1824 Год назад
Ongera Sana dadaa
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 11 месяцев назад
Classmate🎉🎉 hongera
@almostaphiqarlown158
@almostaphiqarlown158 Год назад
Big Deal Sana NAPENDA SANA mpambanaji katika MAISHA YANGU
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Год назад
Tena mimi simwamini huyu dada muongo jaman kwanini tusisemeukweli
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 11 месяцев назад
Chama cha wapambanaji aka wapiganaji huyu mama nimpambanaji asee namjua vyema
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Год назад
Na mimi nina fanya mtandao na hayo nimefanya lakini Nimekukubali sana wewe ni mwanamke shujaa ...na una hekima sana sio kuwa na pesa ndio uishi ovyo...hawo mentor wako utakuwa bora zaidi yao ...Nature yao wewe utafanya zaidi
@imagepower3641
@imagepower3641 Год назад
Uko vizuri
@Farhan-cp1vx
@Farhan-cp1vx Год назад
Jamani huyu ni muongo kwa biashara gani hiyo ajenge nyumba zote hizo huyo ni freemason sio pesa zake ni zamashetani acha uwongo
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Masha'allah
@getrudahiasint3198
@getrudahiasint3198 Год назад
Dadaaaa nimeipenda sana ulivyofanyikiwa lakini unajisifia sana
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Sema Maisha ya kusema umefanya hiki na hiki naonaga HainA maana na sio Kwa ubaya kozi hatupendani ataekupenda kwenye hii dunia NI mamako Tu lkn hawa WENGINE inabaki Kua NI Vita Kua MAKINI bidada Acha kuanika unavyovimiliki ..NI hayo Tu ✍️✌️
@Saidy-omaryxmshambo
@Saidy-omaryxmshambo Месяц назад
Dada naomba niwe nawe nikuoe kabisa twende nyumbani
@martinmadimilo8593
@martinmadimilo8593 Год назад
Most of the peoples waliofanikiwa hawapendi kusema root source ya mafanikio vijana wengi wanataka kusikia,wasahuri wafanyeje
@godfreycharlessrarariae3619
Sawaa hongera--ila bado uhalisia wamaelezo haujakaa sawa
@floralyimo1609
@floralyimo1609 Год назад
Hongera sana dada
Далее
Отец Проводит Тест с Сыном 😂
00:48
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 84 тыс.