Тёмный

BILIONEA MTANZANIA ALIYEUZA MFUMO WA KUUZA GES KWA TSH BILIONI 57 'WATU WALISEMA NIMECHANGANYIKIWA' 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Bilionea Mtanzania Andron Mendes ambaye aliuza mfumo wake wa kununua gesi kadiri unavyotumia kupitia kampuni yake ya Kopa Ges kwa kampuni ya Cycle Ges ya Uingereza, amefunguka kuzungumzia jinsi alivyoutengeza mfumo huo na namna alivyouuza kwa mabilioni.
"Mwaka 2016 nilikuwa nafanya project ya ujenzi, kwahiyo mambo ya hela yalikuwa ni magumu sana, sasa siku moja niliishiwa fedha kabisa na bahati mbaya na mtungi wangu wa gesi ulikuwa umeisha, na kipindi hicho nilikuwa Mhasibu kwenye kampuni moja ya bima Dar Es salaam. Nikijiangalia mimi nilikuwa chini ya CEO halafu nimefulia sina pesa ya kujaza mtungi wa gesi, sasa lile jambo lilinifanya nianze kutafuta njia ya kukabiliana na tatizo kama hilo, so kesho yake nilivyowauliza wafanyakazi wakasema ni kweli mara nyingi gesi ikiisha kabla haujalipwa mshahara utasubiri mpaka mshahara utoke," alisema Mendes ambaye kwa sasa amefungua kampuni kubwa na kuajiri watu wengi.

Развлечения

Опубликовано:

 

16 мар 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@luluafrica
@luluafrica 4 года назад
I would really love to meet Mr. Andron and explore other business opportunities
@SDFLASHTV
@SDFLASHTV 4 года назад
Good interview YASIN NGITU. 💪💪💪
@gilbertjohn2982
@gilbertjohn2982 5 месяцев назад
Nakuelewa sana mzee niliwahi kuonana nawewe
@kevinmalash6680
@kevinmalash6680 Год назад
Good aidia broo nimeipenda Sana
@abineryantonykilulu954
@abineryantonykilulu954 4 года назад
Umetisha ndugu
@factdonotlie8301
@factdonotlie8301 4 года назад
Waoo so great broo.. umetisha
@e_tonix_electronics
@e_tonix_electronics 4 года назад
Great idea...bro!
@leonardmugini1062
@leonardmugini1062 4 года назад
Smart in brain,smart in mouth.i learn
@kevinmalash6680
@kevinmalash6680 Год назад
Hawajamaa watasaidia Sana tanzania
@salimsemvua9318
@salimsemvua9318 4 года назад
Let's use our knowledge and skills to become the persons we want...
@godlistentimotheo
@godlistentimotheo 4 года назад
Good Ideas
@evancenicholaus7739
@evancenicholaus7739 4 года назад
yan jamaa linaongea kama limefanya kitu cha kawaiiida🤣🤣🤣🤣
@nicklyanga5043
@nicklyanga5043 4 года назад
Wooou .. nimejifunz kitu
@maggywambui6277
@maggywambui6277 9 месяцев назад
Njema sana .na how can one join you in that business
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 4 года назад
Daah jamaa katoboa maisha asee namimi naomba niwe kibarua sina kazi mtalamu kama utanikubalia namba yangu hii 0744778609
@kanoa645
@kanoa645 Год назад
Nimejitunza kitu, nimeongeza kitu
@amanijolam4140
@amanijolam4140 Год назад
Yaani jamaa ni wiseman na ni mkweli sana.
@zenjigreen5491
@zenjigreen5491 2 года назад
Anaonekana si mtu wa kujikweza.Atafika mbali.
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 4 года назад
kwenye kilimo kuna opportunity nzur. je na huko unaweza wekeza?
@yunusabdulwallace3801
@yunusabdulwallace3801 2 года назад
Cox💪
@jeaneangelo2730
@jeaneangelo2730 3 года назад
Ongera umekua msaada kwetu
@nsiakim5498
@nsiakim5498 4 года назад
Ni mtu wa kukaa naye karibu kimaendeleo .. u r luck . Naja
@ashasaid3828
@ashasaid3828 3 года назад
Tunahtaj ajira sasa tufanyaje
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Anaongea kama vilehataki
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 года назад
U
Далее
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
Просмотров 57 тыс.
How to use biogas digester for the home
5:01
Просмотров 1,3 млн
Bilionea mpya aibuka Tanzania
3:51
Просмотров 80 тыс.
There’s A Starman #superman #shorts #memes
0:26
Просмотров 41 млн
🗿КОРОЛЬ МЬЮИНГА ИЗ ТТ
0:17
Просмотров 3 млн
Как без этого..😂
0:15
Просмотров 3,1 млн