Neno ndoa linaweza kuwa na herufi Chache sana .... lakini ukubwa na maana halisi ya Ndoa upo tofauti na uchache wa herufi zake. Jifunze kuheshimu kitu kinachoitwa ndoa hiwe ya kwako au ya Mwenzako.
@@busatitv we uko Dunia gan, aliandika barua aliweka status, Kwa maelezo baada yakchezeana kimwil na kihisia baadae wakabwagana akamtumia McG hakupata jibu la uhakika akaweka status mambo ni wazi mambo ni mswano,😊😊
Sasa kuna tofauti Gani na hiyo? Alafu unazungumzia Mtu wa aina Gani sasa? mana huko Kijijini hiyo status anaitoa wapi? Chunguza asilimia 90 ya Watu wanaojiua Wanaandika barua
@@busatitv kumbe kiswahil kigumu eeee, nimezungumza status coz we umesema katib aliandika barua nikakurekebisha , nilichosema nikuandika barua alafu akapiga cm , Sasa aliandika barua ya Nini wakat kwenye cm Kuna uwanjanwa mcg.... na cm wanazo , wangeigiza kama zama za kizaman hakuna cm ilikuwa sawa wangetumia barua TU pekee ila kwa kuwa wabongo wabishi KAZI munayo😂😂Sasa kulikuwa na umuhim gan wakuandika barua na cm anayo na cm hiyo hiyo ikapigwa baada yakusoma barua Ili wakutane😂😂