Тёмный

Binti Afungishwa Ndoa na Marehemu | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro 

Rev. Dr. Eliona Kimaro
Подписаться 157 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@Celinanakaza
@Celinanakaza 22 дня назад
Mungu akifungua mlango wako hakun binadam anawez kufunga🙏 nifungue sasa bwan kwa kupitia ushud huu
@heriethkitururu4401
@heriethkitururu4401 Месяц назад
Mungu nifungue popote nilipofungwa kwa siri ee Mungu
@sisterblessed-my9jd
@sisterblessed-my9jd 29 дней назад
Mungu kokote jina langu au majina ya wanafamilia yalipofungiwa au yalipotamkwa kwa ubaya...pakavunjike na kuteketea kwa jina kuu la Yesu Kristo. Madhabahu za giza hazina nafasi na hatma ya maisha yetu. Amen !
@NeemaKimario-ui3ir
@NeemaKimario-ui3ir 20 дней назад
Jamani ee Mungu wangu na baba yangu naomba na Mimi nifunguliwe popote kwa jina la yesu kristo wa Nazareth
@kimongemalyawere
@kimongemalyawere 12 дней назад
Kupitia ushuhuda huu Mungu nakuomba sana nifungue mm na familia yangu . Maana kila nifanyacho bado kuna vikwazo .Naomba uondolee haya ninayopitia
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 15 дней назад
Mungu wa mbinguni kupitia huu ushuhuda naomba unipe mume mzuri
@FridaMwita
@FridaMwita 26 дней назад
😢Mungu popote nilipofungwa Mimi na ndugu zangu,natamka kwa jina la yesu tumefunguliwa,kama Kuna vyakula vya masgano tulikula,tunajitoa humo kwa damu ya yesu.amina
@ellykanael7924
@ellykanael7924 26 дней назад
Mungu Baba kupitia shuhuda hiz naomba unifungue vifungo vyovyote nilvyowah kufungwa ktk ulimwengu wa roho na mwili kwa Nguvu ya Damu ya Yesu Kristo Mkomboz wang Ameen
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 Месяц назад
Dah, moyi wa mwanadamu ni kichaka unaficha mengi. Asante sana Mchg Dr Kimaro, hakika unatuimarisha na kutufundisha, Kijitonyama kuna dhahabu ya ajabu, msiache ianguke jalalani, ubarikiwe baba, tunakupenda na tunakuombea kila tupatapo wasaa wa kupiga magoti kwa Bwana.
@evapendoshilamungaya7759
@evapendoshilamungaya7759 Месяц назад
Mungu atusaidie.Hakika Mchungaji shuhuda ulizotoa,tunahitaji maombi kwenye familia yetu.
@upendomlelwa57
@upendomlelwa57 Месяц назад
Mungu anikumbuke na mimi nipate mme sahihi kupitia ushuhuda huu
@SaraAssey
@SaraAssey 22 дня назад
Aminaaa mtumishi mungu akubariki sana
@praygodSSwai
@praygodSSwai Месяц назад
amen nimepata kitu kila kitu wakati wa Mungu ukifika akuna wakuzuia amen❤
@janejohn1083
@janejohn1083 24 дня назад
Ameni NAMI mwanangu afunguliwe
@divinehaibei9801
@divinehaibei9801 25 дней назад
Hallelujah kwa Yesu
@esnathshop7780
@esnathshop7780 26 дней назад
Ubarikiwe sana mtumishi
@racheldickson1280
@racheldickson1280 28 дней назад
Eeeeh Mungu naomba popote nilipofungwa mm na familia tunaomba tukafungukiwe kwa jina yesu👏👏👏
@paulsibu5770
@paulsibu5770 21 день назад
Ushuhuda wa pili unatesa familia nyingi sana
@MerisaBaruani-yd4lf
@MerisaBaruani-yd4lf Месяц назад
Ubarikiwe baba Kwa ushuhuda kupitia ushuhuda huu umenifungua sana
@NatovuakiThomas
@NatovuakiThomas Месяц назад
Haaleluuuuuya God is Awesome Mungu wa yasiyowezekana🙏
@yustamkosyange-gb7jl
@yustamkosyange-gb7jl Месяц назад
Eeee Mungu niwakati wangu sasa . Naomba ukanifungue katika kila kifungo nilichofungwa nisichokijua . Bahraini nchi kavu ziwani kwenye miti na milima na kila sehemu yoyote. Nakataa kwa Jina la Yesu ..
@user-of8nd9dp5s
@user-of8nd9dp5s Месяц назад
Amina mchungaji huu ushuhuda ni wa familia yangu Mungu utufungue
@deborasimon422
@deborasimon422 25 дней назад
Amen kwa Jina la Yesu! Natamka kufunguliwa kwa ndoa zetu kwenye familia na roho ya umasikini ituachie
@hffh7717
@hffh7717 Месяц назад
Wacha.mungu atutie nguvu uendelee kutubilia na kuzaidia roho zetu
@KanadeMrangu
@KanadeMrangu Месяц назад
AMEN ❤❤❤❤❤HALELLUYA YESU NI BWANA WA MABWANA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dainamswimege3832
@dainamswimege3832 Месяц назад
Kwakweli ushuhuda huu umenifikisha mbali Kuna vitu nimejifunza
@AgnesJosephBikwato
@AgnesJosephBikwato 27 дней назад
Kwakweli mchungaji Nakupenda mimi siyo mshilika wako lakini mafundisho yako yananibaliki mno barikiwa sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AdelinaDidas-es3gn
@AdelinaDidas-es3gn 28 дней назад
Aaaaaaaaamen Mungu naomba ukatutendeee Kwa wakati sahihi mabintiiiii na wajukuuu wote👏👏👏👏
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад
Mwenyezi Mungu popote lilipofungiwa jina langu likafunguliwe kwa jina la Yesu
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 Месяц назад
Baba angu ahsante kwa neno na ushuhuda wa kweli
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 26 дней назад
Ameen❤❤❤
@sarahandrew8009
@sarahandrew8009 Месяц назад
Mungu atusaidie
@Sophie-u6e
@Sophie-u6e Месяц назад
Napenda sana mahubiri yako nakufuatilia kutoka Kenya
@TheodonsiaJoel
@TheodonsiaJoel 28 дней назад
mungu atusaidie huo ushuda umenigusa sana.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Месяц назад
Amen ❤❤ 🙏 Yesu Kristo ni njia kweli na uzima
@priscadryton9596
@priscadryton9596 29 дней назад
Asante kwa ushuhuda baba nimefunguliwa
@emes602
@emes602 29 дней назад
Ushuhuda wa mwisho ndio unasumbua familia yangu.
@FridaMwita
@FridaMwita 26 дней назад
Hata mm my,watu wanajua kitesa wengine,tuwafundishe watoto wetu wasipende kulakula dah
@naeema8155
@naeema8155 Месяц назад
Mungu ni muaminifu sana akisema ndio hakuna wakupinga
@EliasLukumai-te6wz
@EliasLukumai-te6wz Месяц назад
Mungu, atukuswe aameeen mm, nmefunguliwa, mtumishi
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 Месяц назад
Mchungaji Kimaro mahubiri yako yananibariki sana.
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI Месяц назад
Hyu pastor ni 🔥🔥🔥. YESU anaishi ndani ake
@merchadestibagwile4261
@merchadestibagwile4261 Месяц назад
Mungu akubariki sana baba Kimaro
@FraisonishombeIlima
@FraisonishombeIlima Месяц назад
Mchungaji mungu akupe maisha marefu mafundisho Yako yanijenga sana
@TakeAshot-sw2jn
@TakeAshot-sw2jn Месяц назад
Amen
@lissajeruto5373
@lissajeruto5373 Месяц назад
I love U 3 God bless you man of God
@SuzanLyatuu
@SuzanLyatuu Месяц назад
Mungu fungua uzao wangu popote walipofungiwa
@ONGEZATHAMANI
@ONGEZATHAMANI Месяц назад
Ameen, Asante
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni Месяц назад
Mungu hashindwi na chochote
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 Месяц назад
Wachaga Wana haya mambo sana Mungu atusaidie
@AgnesJosephBikwato
@AgnesJosephBikwato 27 дней назад
Eee Mungu tunakuomba usituache 🙏🙏🙏🙏😭😭
@joycemeela8595
@joycemeela8595 26 дней назад
Naomba Mungu afungue watoto wangu
@elianaarsen9942
@elianaarsen9942 Месяц назад
Mungu ni mwema
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Месяц назад
Acheni Mungu aitwe Mungu
@ernestbutagalala
@ernestbutagalala Месяц назад
Ubarikiwe baba
@AgathaSumbwe
@AgathaSumbwe Месяц назад
AMEN
@MerisaBaruani-yd4lf
@MerisaBaruani-yd4lf Месяц назад
Amina baba
@davidkilajaga8842
@davidkilajaga8842 Месяц назад
Amen hallelujah 👏👏👏
@esnathshop7780
@esnathshop7780 26 дней назад
😢😢😢
@praygodSSwai
@praygodSSwai Месяц назад
yaani ndugu au rafiki ndo watu wabaya mtu anakukaribisha unajua ni mwema kumbe anataka kukuangamiza Mungu atusaidie
@kessiae2378
@kessiae2378 Месяц назад
❤❤amen
@witnessjohnphilip665
@witnessjohnphilip665 Месяц назад
Ameen
@nellychissi1634
@nellychissi1634 Месяц назад
Hallelujah Glory....jamani jamani vyakula hivi ni vyakuombea maana ni mlango jamani
@Frosita
@Frosita Месяц назад
AISEEE
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht Месяц назад
MUNGU NI MKUU HALLELUJAH
@user-er8tf4gj1x
@user-er8tf4gj1x 18 дней назад
BABA MTUMISHI NAOMBA NIOMBEE NA FAMILIA YANGU MKE ALIWAKIMBIA WATOTO KISA SINA UCHUMI MKUBWA KUPITIA MAHUBILI YAKO NAFARIJIKA PASTER KIMALO
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 Месяц назад
Hii wachaga wanayo sana ss tulizaliwa tukapewa mama aliyekufa
@upendomlelwa57
@upendomlelwa57 Месяц назад
Hilo neno linifungue na mimi mahali nilipo fungwa
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Месяц назад
MUNGU atutetee.
@philmonnem7294
@philmonnem7294 Месяц назад
Ehe MUNGU mwema kumbuka Rehema uturehemu 😢
@happinessmchome9101
@happinessmchome9101 Месяц назад
Jamani naombeni namba za huyu baba, anisaidie kwa maombi, niko canada. Please
@dainamswimege3832
@dainamswimege3832 Месяц назад
Bwana akubariki
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 Месяц назад
Mwanadamu!!!!! Bora ufuge Simba anaweza akawa mwema kwako kuliko Mwanadamu.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад
Ndio maana Mimi siku za sikukuu haka siendi popote haya kama Sina cha kupoka ugali wangu dagaa mchele tembele langu maji yangu ya baridi aka nina amani
@edinakatalaiya8773
@edinakatalaiya8773 Месяц назад
Yaani nasikiliza mpaka machozi yananitoka
@user-gb4yp3um8o
@user-gb4yp3um8o Месяц назад
Jamani kama mnajua namba ya mchungaji naombani
@GaspalMgassa
@GaspalMgassa Месяц назад
Namimi nitatoboa kumbe
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Месяц назад
Wachaga hao
@JanethFaustino-v8b
@JanethFaustino-v8b Месяц назад
Amina Amina
@miriamalute1540
@miriamalute1540 Месяц назад
Ameen
@AgonzaKahembe
@AgonzaKahembe Месяц назад
Amen
Далее
Батя всех бургеров на 7000 ккал!
00:55
Doors Harpy Hare (Doors 2 Animation)
00:16
Просмотров 869 тыс.
USHUHUDA | Siri ya Mafanikio ni Kutokata Tamaa
11:57
Просмотров 18 тыс.
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Батя всех бургеров на 7000 ккал!
00:55