Mnaweza ila mjitahidi kuifanya movie iwe yenye kuonyesha mwisho ila hapo haijajulikana je mume wa love na yeye alichukua maamuzi gani na je baada ya kuchukua maamuzi love nae alifanyaje
Imagine kwa movie zote za donta tv nimemcrushia nyuki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sijui kama ameoa naulizia na wengine 99 ,l come in peace ✌️ 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂