Kiukweli Mimi tokea kanumba afe huwa sipendagi bongo movie ila bro Kevin wewe ndio umenifanya niaze kuangalia bongo movie tena uko vizuri bro mungu akujalie ufike mbali zaidi ya hapa your the next kanumba bro much love from Kenya 🇰🇪
Im wondering this woman negleting a man with money and insisting to live with a jocker with nothing to bring on the table😂😂 Wome go for money.....Love is everywhere😂
Kaka kelvini mahaba yako ama kweli ka ndoulivo unafaa kuigwa kwa hiyo mashaallah maana yanafundisha wanajamii hata mtu kama hajui kuthamini mwanamke wake au mkeo yaweza akajifunza kupitia ww❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila nafikiri ni asili ya kina Kelvin kupenda jaman Hawa watu wanapenda seriously. Ila siyo Calvin Hawa hamna kitu. Thus Kelvin huyu anaplay the reality ya Hilo jina. I appreciate him.🥰🥰