Da kweli mapenzi inatisha ayo muyafundisha yamo bro kazi nzuri ila sio wote wabaya mke wangu mzuri kwakweli tuombe mungu maana mke mwema atafuti nisawadi unapewa na bwana ❤
Very good content. Nikiwa msanii na jinsi nimevyowafuatilia uwezo wenu wa kuigiza, ni mkubwa kwenye hii movie characters hawakua na mood ya kutosha, haikupaswa iwe simple like that. Tujitahidi tuwe tunatengeneza mahusiano mazuri kipindi Cha location na production nzima Ili wahusika wafikishe barabara lengo LA mwandishi wa story. Mungu awabariki Kwa ujumbe mzuri. Yapo haya.
Kaz nzuri jamen mwafundisha had bas tu nawapenda nyote ela Kelvin mapenz yakutesa kila siku walai pole Sana Kelvin salimia Victoria munaweza sana ❤❤❤❤❤❤