Kelvin broo mwana kulitafuta mwana kulipata 😅😅unalia nini sasa au unataka ivyo vichwa viwili Ira broo unajua san tena zaidi ya sana wallahi mungu akubariki
Aaaaakiiiiii mm nimecheka yangu yote 😂😂😂😂😂😂 kelvin kelvin big hug🫂😂😂😂 i love you so so so much kelvin ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ amazing movie 🎥 hongereni sana kwa kazi nzuri nakupenda sana from 🇰🇪 Asante sana ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Ndo mana maboda mwafa ovyo kumbe kazi ni hii na lengine hamuendelei kabisa ju utafanya kazi mwisho wa siku huna hata shilingi na umeshnda ukifanya kazi, mungu aingilie kati sana
Yani Wew Kelvin Unanimvunja Mbamvu Zangu Kbx🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Etiii Tena Victoria Unaweza Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Guys Nawapenda Sana Kbx Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦❤❤❤❤ Mucukuwe Mauwa Yenu Basi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉