Nawakubi sana akika umoja ni nguvu endeleeni kushilikiana kwa uwezo wa mungu mutafika mbali mm nimwama saklojia nimewaelewa Wana musifazaike mdogo mdogo nipo pamoja nanyi
High dontatv mkovizuri movie zenu ziko sawa kwelikweli nawaunga.mkono kwa % 💯 hasa bwana Kelvin na loveness hongeren maybe Mimi niTZ but Niko Kenya ila msiwaze kbc 2ko pamoja (God bless my dontatv) thanks you 🙏🙏🇹🇿
Kelvin congratulations umeweza Sana mtu wangu yaani unaigiza kama ni kwel vile unakaa chokoraa Anyway umenifunza sana ni bora mtu akupende kwa utu wala sio ulicho nacho...God bless you all God bless DONTA TV
Waaaa akiiii pole kelvin sisi wanawake jamani tuache tamaaa mapenzi jamani ♥️❤️❤️ ❤️❤️❤️❤️❤️ congratulations kelvin nakupenda bure ❤❤❤❤❤❤ ❤❤i love you kelvin aaaaakiiiiii nimelia sana kelvin mpaka unanusurika kifo 😭😭😭😭 Asante kwa filam nzuri loveness nakupenda bure pia kwa roho yako yahuruma ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ from 🇰🇪🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹
Hellow dada love na wengine nawapenda sana muvie zenu nazipenda sana hii Leo muvie ya tatu kuangalia ila nazikubali natamani na mm munichukuwe nije kujifunza Uko na mm niwe muigizaji nawapenda sana
Hizi movie zenyu zinatufunza mengi sana keep up kelvine na team yako nawapenda 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞sana nawafatilia nikiwa saudi arebia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Jameni Mbona Mnapenda Kumtesa Kelvni Mnajuwa C Wengine Tunajuwa Kutafuta Tukipata Mtu Kma Yye Kazi Nikumueka 2 Ndani Na Kuchecza Mpira Kma Mayeleee😂😂😂😂😂❤❤❤❤
I say Before I die imenikumbusha nyimbo flani inaitwa Lisa Story line ni iyo kabisa had chozi linanidondoka kipaji mnacho...Big ups Guys:Nurphan Nairobi Kenya