Paul Richard mdogo wangu mimi shabiki yako kabisa unajuaaaaaaaaaaaaaaaaaa kinoma mungu akusimamie kwenye safari yako wewe utanifanya nitizame bongo msimu wote mkifika dar na wewe ndio star wangu na una fata bongo
😂😂😂ndugu zangu wa Mbaya mmeniacha hoi kabisaaaaa😂😂 jamaa kavua nguo,siwema kaingia na sale ya kwaya,zilipendwa wa sister fey kapata kadogodogo😂😂😂ngachoka mie
Yan Idris umenichekesha sana heti majaji wenye matatizo ya kifamilia wakaanza kupatwa na hisia kali duh Yan wewe wakuache aisee comedy matata sana😂😂😂😂😂😂😂
ma judge kuwa na khofu mara nyingi inakua ni sababu ya vijana kushidwa kuimba vizuri, kwaivo mapokezi yenu dio yanaweza kuwasaidia vijana kupuguza khofu.
Jamani adi naona noma Ivi mnaonaje shoo mkaiamishia tanga jamani. Naisi Kama mitiani ya leo mwalimu hajawahi kandika ubaoni anatupa tu vitabu Ivi awajamaa wambea ee. Iv du! Atari!
Daaaa mbeye nyumban nakubali kizaz yaniiii ila saiz nais mnatumia kitu ya arushaaaa mana et m nimekuja kuwaona mwingn vua vua nguo vaa vaaa nguooo mbeya kibokoooo ya mabishooo