Тёмный

BREAKING: MCHEKESHAJI MKONGWE MZEE PEMBE AFARIKI DUNIA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Mwigizaji na Mchekeshaji Mkongwe Nchini Tanzania, Mzee Yusuph Kaimu maarufu Pembe amefariki dunia jioni ya leo October 20,2024 katika Hospitali ya Temeke Jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Baadhi ya Waigizaji akiwemo Vicent Kigosi (Ray) na Mau Fundi wametoa taarifa za msiba huo na kusema taratibu za mazishi zitatolewa baadaye, @AyoTV_ imeongea pia na Katibu wa Chama cha Waigizaji Kinondoni, Jafari Makatu ambaye amethibitisha na kusema “Alikuwa anaumwa alilazwa Temeke Hospital, amefariki kama saa moja iliyopita, alilazwa kama siku tatu nne, na tulikuwa tumepanga kwenda kumuona Kesho baada ya kuambiwa anaumwa”
#AyoTV na millardayo tunatoa pole kwa Waigizaji, Wachekeshaji, Ndugu, Jamaa na Marafiki na wengine wote walioguswa na msiba huu, Mungu amlaze pema Ndugu yetu Pembe. 🙏🏿💔

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 221   
@2116-n
@2116-n 19 часов назад
Mtangazaji bhana, eti, HABARI YA MASIKITIKO KIDOGO, sema HABARI YA MASIKITIKO, msiba hakuna cha MASIKITIKO KIDOGO, au umeona siyo A list artist, huyu ni LEGEND kabisa waliopata umaarufu bila social media wala kiki na wameikuza sanaa ya comed na kuipa heshima, R.I.P PEMBE, Amen🙏
@mariamlamay
@mariamlamay 19 часов назад
umenenaa
@Johnanthony_50
@Johnanthony_50 18 часов назад
hapa kweli huyu mtangazaji jau sana, tanzia siku zote ni ya masikitiko makubwa, sijui kwanini anasema kidogo,, huyu mwamba hatakiwi kutangaza taarifa kama hizi
@JoyceMkeka
@JoyceMkeka 8 часов назад
Labda yeye ndoimemsikitisha kidogo ila sisi maumivu Sana mungu amsamehe makosa yake kwa huruma na rehema zake😭🙏🙏
@2116-n
@2116-n 5 часов назад
@@JoyceMkeka kwenye media Sasa huwa hatutoi taarifa kwa mtazamo wa kibinafsi, hapo UNAONGEA na umma na unawakilisha hisia za umma,
@WahuBoth
@WahuBoth 3 часа назад
Jmaani Mambo Yamekua mengi Kila kukicha matukio😭 kuvurugwa kupo wote ss tume kimbilia Ayo tv coz Kuna habali za uhakika na yeye pia amekimbilia habari coz ana tuabalisha ila msimlaumu Mambo ni mengi muda mchache 😭
@helentelemla5623
@helentelemla5623 22 часа назад
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani.amina
@simontamba1285
@simontamba1285 18 часов назад
Amina
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 15 часов назад
Hiyo sio dua
@JackyTarimo
@JackyTarimo 4 часа назад
Amina
@Zulfa-j1y
@Zulfa-j1y 22 часа назад
Mwenyezi mungu aiweke roho ya mwenzetu mahari pema peponi
@LightnessMissram
@LightnessMissram 6 часов назад
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana nalihimidiwe ameeen 🙏🙏...RIP kamanda
@RAJABUShaibu-mx2iy
@RAJABUShaibu-mx2iy 23 часа назад
Mungu ailaze mahali pema peponi mwili wa ndugu yetu na muigizaji mashuhuli akifaamik kwa jina la muigizaji pembe upumzike kwa amani kwa iyo ni njia ya kila mmoja wetu tutakutana uko uko 😊😊😊😊😊😊😊😊😢
@YasintaRobert-q9v
@YasintaRobert-q9v 22 часа назад
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema pepon Amina
@OsuKanyamala
@OsuKanyamala 20 часов назад
Rip mzee pembe , Mzee senga atakuwa kwenye wakat ngumu Sana , wasanii sasa balaa limeanza tumetoka kumzika dida sasa nimzee pembe😢, MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAALA PEMA PEPONI AMINA.
@HamidJuma-h8w
@HamidJuma-h8w 23 часа назад
Inalillahi wanna ilyhi rajiuni. Allah amsamehe makosa yake na ampe kauli thabiti
@JoanAlisen
@JoanAlisen 2 часа назад
Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi apumzike kwa amani AMEN🙏
@HamisiMajuju-e9k
@HamisiMajuju-e9k 8 часов назад
Poleni sana
@VictoriaNkole
@VictoriaNkole 23 часа назад
Mwenyez mungu ampe kauli thabit bwan ametoa n bwana ametwaah jina lake lihimitiweee amen
@RayChausa
@RayChausa 23 часа назад
Ameen 😢
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 22 часа назад
Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele,mbele yetu nyuma yake kwake tutarejea
@JescaTungu
@JescaTungu 22 часа назад
Yesu na Maria laha ya milele umupe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman amina
@BabyrainMaua
@BabyrainMaua 20 часов назад
Ni raha sio laha
@barakaNyiganda
@barakaNyiganda 23 часа назад
Poleni familiar ya mzee pembe mungu amlehem naakapumzike kwaamani ameni
@HeriethFungo-j9q
@HeriethFungo-j9q 9 часов назад
Mungu amrehemu 🙏
@Dhahirihamisi-s6p
@Dhahirihamisi-s6p 19 часов назад
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu ndugu yetu. Amina.🙏🙏🙏
@EsterSijali
@EsterSijali 18 часов назад
mungu hailaze roho yake mahala pema peponi amina
@marrynyagawa6997
@marrynyagawa6997 19 часов назад
Ooh jamani ,pembe
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 6 часов назад
💔😢🌹🙏
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 20 часов назад
Mungu ailaze roho yake peponi
@izoohjack6687
@izoohjack6687 17 часов назад
Pumzika kwa amani mzee wetu
@CrepinaKatundu-uj7xk
@CrepinaKatundu-uj7xk 21 час назад
R.I.P.Mzee Pembe.Poleni Wafiwa.
@Mona-i9f
@Mona-i9f 21 час назад
😢😢M.mungu ampe kauli thabiti😢😢😢
@FatumaMichael-c9v
@FatumaMichael-c9v 19 часов назад
Mungu amlaze mahari pema peponi
@elickjosephy29
@elickjosephy29 18 часов назад
Pole kwa familia
@RaphaelMecky
@RaphaelMecky 19 часов назад
Bwana aliumba na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe Milele Amina
@AtuganileAsubisye
@AtuganileAsubisye 20 часов назад
Apumzike kwa Amanii
@RamaKushinda
@RamaKushinda 21 час назад
ALLAH AMUEKE MAHALI PEMA PALIPO NA WATU WEMA INSHALLAH
@SalumHalfani
@SalumHalfani 21 час назад
Mungu ilaze pema hoho yamahem R.I.P pembe😢😢😢
@MwatimeKombo-wp8vp
@MwatimeKombo-wp8vp 18 часов назад
Inna lillah waina illah. Allah amuweke pema penye waja wema inshallah
@davidpeter8099
@davidpeter8099 14 часов назад
Eeeeeh MUNGU umpe mwangawa milele na umsamehe zambi zake 🤲🤲
@One_5_l
@One_5_l 19 часов назад
Mungu airaze roho ya marehemu mahala pena peponi
@IsiahMosl
@IsiahMosl 21 час назад
Inalilah wainaililah rajihuna mbele yake nyuma yetu sis kulinafsi zalika limauti.
@emmyabely8791
@emmyabely8791 18 часов назад
Nilikiki za watu 😭😭😭😭😭 daaaha Mungu wafariji wote walio guswa na msiba huu
@mariachuri7123
@mariachuri7123 22 часа назад
Ooooh jamani😢 R.I.P Mzee Pembe
@georgekilomo12
@georgekilomo12 7 часов назад
R.I.P Mzee Yusuph Karimu (Mzee Pembe)
@HawamungiHawamungi
@HawamungiHawamungi 19 часов назад
Innalillah wainnah Lillahrajouhn kipnz Cha tasnia ya waigizaji poleni sna😢😢😢
@aishaissa2512
@aishaissa2512 21 час назад
Allah amlaze mahali pema😭
@AyoubNehemia
@AyoubNehemia 9 часов назад
Pumzika kwa amani mzee Pembe,
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 22 часа назад
Inalillahi wainailahi rajuun.
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla 21 час назад
Inna Lillah wainna ilayhi rajioun Allah ampe kauli thabit ameen yaaraby
@MagrethThobias-fm8bm
@MagrethThobias-fm8bm 18 часов назад
Dah!😢😢😢
@siriyangu4724
@siriyangu4724 7 часов назад
Innalilai wainna illah rajiun poleni
@ImmanueliPatrick
@ImmanueliPatrick 22 часа назад
Kifoi kipo tusijisahau
@LamekiMichael-pz7rv
@LamekiMichael-pz7rv 20 часов назад
pole kwa wafiwa ndugu jamaa na marafiki
@suzanmeela5542
@suzanmeela5542 21 час назад
Jamnii😢 alale mahali pema peponi😢
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli 20 часов назад
E mwenyezi mungu ilaze mahali pema peponi
@SOVENANCETV
@SOVENANCETV 22 часа назад
Duuh Senga pole sana familia RIP😮
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 19 часов назад
DAH VERY SAD , RIP MZEE PEMBE !!!
@JescaJescajuliusi
@JescaJescajuliusi 23 часа назад
Mungu ailaze roho yake mahara pema peponi pumzika kwa amani
@nizarrama225
@nizarrama225 18 часов назад
Inallillah wainailah rajiun 🙏
@mylespima6672
@mylespima6672 22 часа назад
Mungu amlaze mahali pema peponi amen😢😢
@drmussa1220
@drmussa1220 20 часов назад
Hasbun Allah wa nimal wakeel ) Allahumma inna naj aluka Fi nuhoorihim wa na oozhubika min shuroorihim )🤲🤲🤲🤲
@Lightnessnjau
@Lightnessnjau 20 часов назад
🙏🙏
@rahema1992
@rahema1992 22 часа назад
Inalillah wainailayihi rajiun allah amuhifadhi
@ZuharyBakari
@ZuharyBakari 23 часа назад
Pole Sana wanafamilia hote
@CathelinstiwaltAdimin
@CathelinstiwaltAdimin 20 часов назад
R.l.p pembe mungu akupunguzie azabu ya kabuli ipo siku tutakutana
@RajGidion
@RajGidion 16 часов назад
Ooooow. Maskini mweeeeh. Pumzika kwa amani pembe😢. Hakika kila jambo na wakati wake. Pembe ntakukumbuka muuza utumbo. Mungu tupe mwisho mwema
@SamsungA03core-tz7sz
@SamsungA03core-tz7sz 23 часа назад
Innalilahwainna ilayhi rajion😢😢
@angelreuben9
@angelreuben9 23 часа назад
Rip pembe jmn
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 20 часов назад
Raha ya milele umpe ee Bwana😢😢😢
@kulwalucas8848
@kulwalucas8848 20 часов назад
Duh aisee,, kifo hiki😭😭😭😭
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 19 часов назад
Inalillah wa inalillah Ra juun mbere yake nyuma yetu polen wafiwa
@Neemamhehe_official
@Neemamhehe_official 21 час назад
Hii channel inasambaza sana taarifa za uongo Leo imejitahidiii ya kweli haya😢😢😢
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 21 час назад
We nae millard tangu lini akaongopa, nimekustai kwa vile wajina nilitka nikuchambe kdg
@MwasuNahoda
@MwasuNahoda 20 часов назад
Millard ayo hajawahi kutoa taarifa za uongo
@Neemamhehe_official
@Neemamhehe_official 20 часов назад
@@MwasuNahoda waudaku sasa kuchangia maada utadhani unaelewa angalia TikTok hii account ya Millard ayoo ni taarifa za vifo za uongo adi good luck gozbert walishawai most kuwa amekufa et
@BrasiusMwashalula
@BrasiusMwashalula 19 часов назад
Jinga kweli hili hawajawai danganya hawa
@Neemamhehe_official
@Neemamhehe_official 19 часов назад
@@BrasiusMwashalula jinga mwwnzang pia hi too,🤗🤗
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 19 часов назад
INNA LILLAH WAINNA ILLLAH RAJIUN ALLAH AMPE KAUL THABIT
@twaibamtenya5522
@twaibamtenya5522 21 час назад
Innalilah wainnailah rajiuun
@adelametili2283
@adelametili2283 20 часов назад
Lala salama.mzee Pembe Sote ..tutapitia njia hiyo hiyo
@HadijaOMARY-q5m
@HadijaOMARY-q5m 19 часов назад
Innalilah wainna ilah rajiuun
@ErnestMapesa
@ErnestMapesa 20 часов назад
Duuh😢😢😢
@Fatoom-jm7hx
@Fatoom-jm7hx 22 часа назад
Inalilah wainalilajiun
@CharlesWanyeche-er6rw
@CharlesWanyeche-er6rw 21 час назад
R.I.P kamanda Mwenyezi Mungu awe faraja kuu kwa familia
@IbrahimMwakimomo-h8b
@IbrahimMwakimomo-h8b 20 часов назад
Inalilah wainalilah rajuuni allah ampe kauli thabiti
@Manswabu
@Manswabu 23 часа назад
Mungu akuepushe na mabaya pembe
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 21 час назад
Inalilah waina irah rajiun🙏
@jescaisrael7338
@jescaisrael7338 7 часов назад
R.I.P REGEND PEMBE❤AMEN
@JomoKilawe
@JomoKilawe 20 часов назад
Rip Mzee Pembe..
@tatumakwega6170
@tatumakwega6170 21 час назад
Innalillah wainnalillah rajuun Allah amrehem 😭😭
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 22 часа назад
Innalillah waina ilah rajuhn
@Tboyflavourl759
@Tboyflavourl759 23 часа назад
Inna lillah
@gabriel-dh3qn
@gabriel-dh3qn 23 часа назад
Apumzike Kwa Amani Mzee yusuph kaimu
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 21 час назад
Innalillah wainnaileihy rajiuun 😭
@RaphaelMecky
@RaphaelMecky 19 часов назад
Pumzika kwa Amani Mzee Pembe
@SanteMorick
@SanteMorick 18 часов назад
😢😢😢
@stellahmosha9517
@stellahmosha9517 6 часов назад
R.I.P MZEE PEMBE
@JastinEmmaus
@JastinEmmaus 22 часа назад
Jamani 😭😭😭
@gracecharles5689
@gracecharles5689 13 часов назад
RIP MZEE PEMBE😢
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 22 часа назад
Innalillah Wainnailayhi Rajiuun ,Allah akulaze mahala pema ,naakusameh ulipokosea ,mauti nihaki kwetu , 😢Amiin
@saimongilala8938
@saimongilala8938 22 часа назад
Mungu amraze pema 😢😢😢
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 20 часов назад
Innallilah wainna ilaih rajiun Allahumma thabitihu bil qaul thabit
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 21 час назад
LEGEND
@SaidMohamed-j2v
@SaidMohamed-j2v 5 часов назад
innalillah waina ilaihi raj un
@MariamuAmos-hk2eo
@MariamuAmos-hk2eo 9 часов назад
RIP pembe , mwnyz mng akupe pmnzko la milele
@SuzanFelix-mo8fq
@SuzanFelix-mo8fq 23 часа назад
Eee jamanii😢😢
@zackmen-ol3yj
@zackmen-ol3yj 22 часа назад
Ina lillah waimna lillah rajuun
@LovenessRk
@LovenessRk 4 часа назад
Ok
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii 22 часа назад
Pole sana kwa familia😢 pole yake Senga kaondoka pacha akee😢😢
@oberdmshungu7304
@oberdmshungu7304 20 часов назад
😭😭😭😭jamani Dunia tunapita
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 17 часов назад
Rip😢
@hanifaa1487
@hanifaa1487 21 час назад
😢😢😢😢😢😢
@renatusjeremiah
@renatusjeremiah 21 час назад
Aiseee nimeumia Sana napenda kuwaona senga na pembe
Далее
Мечты, которые сбылись♥️
00:17
Просмотров 557 тыс.
Кольцо Всевластия от Samsung
01:00
Просмотров 180 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 7 млн
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
Мечты, которые сбылись♥️
00:17
Просмотров 557 тыс.