Тёмный

CCTV VIDEO: POLISI WALIVYOMKAMATA MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA “WANATIA CHUMVI, NI UONGO” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 52 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 276   
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 5 часов назад
From 🇧🇮 police wa tanzanian ni majambazi😂namba1😂iyo ata sisi majirani tunajuwa tukija kutembea uko lazima tuwe na pesa zakuwapa 😂😂
@LeonardBadili
@LeonardBadili 16 часов назад
Me sijuagi hata kura inavyopigwa Asante Mungu kuniepusha na huu mchezo mchafu Siasa Siasa sinaga hata muda wa kupoteza kuangalia mambo ya Siasa kwasababu hakunaga haki mwenye haki ni Mungu tu kwanini nisitumie huo muda kumsifu M/Mungu 🙏
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 13 часов назад
Mm tangu nizaliwe sijawah kupiga kura na sitakuja kupiga
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 12 часов назад
Huo n ujinga hata Mungu anakushangaa alifanya dunian kuwe na mamlaka na utawala n Mungu mwenyew
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 12 часов назад
Mungu ametaka kuwe na utawala wa haki, au alitaka kuwepo utawala wa kuuwana? ​@@yustomwaisomania2587
@awaynaaaa3490
@awaynaaaa3490 11 часов назад
Nadhan hujamuelew Leonard amesem hawez fatiliy sabbu hakun haki
@HAWANassoro-o2j
@HAWANassoro-o2j 10 часов назад
Hata Mimi 😂
@hizamawa6046
@hizamawa6046 10 часов назад
Hongera sana kwa kurekodi hili tukio mana wahuni wameumbuka aiseee Hakika CCTV camera ni ulinzi tosha na ushaidi tosha
@MasterTulo
@MasterTulo 10 часов назад
Ivi mbona viongoz wa ccm hawakamatwi
@neemanziku5403
@neemanziku5403 18 часов назад
Nakupenda chadema kwa sababu nakuelewa
@khalidmdimu4177
@khalidmdimu4177 7 часов назад
Hongera sana kijana, we ni shujaa
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 13 часов назад
Hivi police wa tz mnashindwa kufanya kaz kistaarabu? Yani nyny mkiulizwa nimefanya nn nikosa? Mkiambiwa nipe kitambulisho ni kosa? Mmefanya ss had police na watekaji hawaeleweki kwa sababu ukamataj wenu ni mmoja hamna tofaut
@mocomoja4229
@mocomoja4229 18 часов назад
Tatizo police wengi Ni felia ya 4 taaluma ndogo wanatumia Sana hisia badala ya akiri,,tatizo linaanzia katika kuajir watu wengi waliofeli katika elimu ya kupima utimamu wa akiri
@erickkiimbila4016
@erickkiimbila4016 12 часов назад
Kwani ukipata A ndo unaakili ,ama ukipata division A ndo unaakili,hujui chochote kaa kimya
@matalo0551
@matalo0551 11 часов назад
​Ww unaejua hivi ulishawahi kusikia kuwa Kuna DIVISION A?!!!😂😂😂 HII INCH VILAZA NI WENGI, NDIO WAPO KWENYE SYSTEM....SUPER INTELLIGENT WAPO KITAA WANAPIGA BODABODA....​@@erickkiimbila4016
@irenemollel4363
@irenemollel4363 10 часов назад
​@@erickkiimbila4016hata wewe hujui chochote, eti division A 😂
@lakasid3860
@lakasid3860 10 часов назад
​@@irenemollel4363 Division A 😂
@kalikenyadominicus2394
@kalikenyadominicus2394 9 часов назад
​@@erickkiimbila4016 Halafu wewe ndo uwe polisi sasa! Tayari utimamu wako tu unaonesha ni wa hovyo🤔
@neemareuben311
@neemareuben311 18 часов назад
😢😢😢😢😢mmmmh hii ni nchi yangu ila nina iyogopa sanaaa mpaka basi
@ibrahim_427
@ibrahim_427 8 часов назад
Kwaiyo wee kuuliza tu wameanza kuku koromea daah Aisee kweli noma
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 11 часов назад
Hyo Samia aende t kwao wat wanaisha t
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku 8 часов назад
Xafi xana hongera sana ndugu kwa kurekodi
@aggreynsemwa
@aggreynsemwa 16 часов назад
Ashukuru Mungu aliyerekodi umekuwa hai
@nancyg8664
@nancyg8664 Час назад
😂
@Bahati47
@Bahati47 11 часов назад
Kuna watu wanasema chadema wanajiteka wenyewe 😢
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 11 часов назад
Huyo amekamatwa hajatekwa
@Mzawaoddszone
@Mzawaoddszone 10 часов назад
Umeambiwa na amepigwa🙌 hivi polisi wanatakiwa wapige watu kumbeee??​@@stevenjackson4985
@godlovegeorge2334
@godlovegeorge2334 8 часов назад
​@@stevenjackson4985 au sio
@JacklineMmari-y1y
@JacklineMmari-y1y 8 часов назад
Haya ndg tuulizane hapo walikuwa anajiteka wenyewe
@DohaQatar-w4t
@DohaQatar-w4t 5 часов назад
Katekwa​@@stevenjackson4985
@mweyoms5548
@mweyoms5548 11 часов назад
Bila shaka Mwenyezi Mungu ni MWINGI WA HEKIMA NA SUBIRA.Kila dhalimu afanye fujo na udhalimu kadiri asezavyo iwe kwa kutumwa au utashi binafsi,ila ajue umri 'unahesabiwa'. Siku akimtia mkononi hakuna wa kumnusuru maana dhulma zote atalazimika kuzilipa kwa gharama kubwa mno. "Acha wacheke kidogo tu hivi (huku wakidhulumu),ila watalia sana kilio kisicho na mwisho."
@fatmaally7252
@fatmaally7252 8 часов назад
Safi sana safiiii
@KilitekAfrica
@KilitekAfrica 8 часов назад
Hiyo inaonyesha kuwa askari polisi wengi hawana taaluma ya kipolisi hata kama wanayo hawatumii kwa sababu ya kujiona hakuna cha kuwafanya.
@StevenKapugi-y7b
@StevenKapugi-y7b 10 часов назад
Daaaah kwan watu wa chadema sio Watanzania
@jacobojames7086
@jacobojames7086 9 часов назад
Mmefanya vizuri sana hongereni kwakuleta ushahidi
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 17 часов назад
Sasa wakatae Tena 😂😂😂😂CHADEMA UNAPITIA HALI MBAYA SANA I SEEE😢
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 7 часов назад
Alafu kuna viongozi wakubwa kwenye hii nchi wanasema watu wanajiteka wenyeweee yaaani daaaah
@kasianimumba6889
@kasianimumba6889 17 часов назад
Iyo ndio tanzania
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 12 часов назад
Hawa maasikari kazuru watungiwe sheria ,wana jiona tz ni yao ,wana sahau kuwa sheria ni msemeno
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 11 часов назад
Daha hii nchi yetu jamani mungu tutetee hatuna pakulia zaidi yako mungu we ndyo mwenye kuiumba dunia na nafsi za watu wako tuokoe mungu tuokoe yesu watu wanaumia ndani kwa ndani 5:40
@EdiltrudesMbonde
@EdiltrudesMbonde 5 часов назад
Aibu kwa Nchi hii,tonakienda siko. "ILI TUENDELEE TUNAHITAJI MAMBO 4 MANNE; 1.WATU 2.ARDHI 3.SIASA SAFI NA 4.UONGOZI BORA" Huyo ni Nyerere alitufundisha hayo,ambayo ukiyatafakari ni kweli tupu
@norobo205
@norobo205 6 часов назад
Kwan hawa si ndio watu wasiojulikana au?
@machakajoel7425
@machakajoel7425 10 часов назад
Namshukuru Mungu Mwanasiasa Anaishi Maisha Mazuri kuliko hao polisi
@anwaralhabsi1424
@anwaralhabsi1424 9 часов назад
Umeona eee, 😂😂😂😂lakini wanaishi pia vizuri kutegemea rushwa kutoka kwa mwananchi😂😂😂
@AlfaSaa-j4h
@AlfaSaa-j4h 11 часов назад
Hakuna haki ni ubabe tu hata sheria haifuatwi sijui kwa nini
@storytownTv
@storytownTv Час назад
Ccm oyee..!! Mama kasema iyo n drama..😢 inasemekana aoo walikuwa location wanashoo loyal tour part 2.. yaan mpka tuombe maji..RIP Magufuli 😢
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 часа назад
😢😢😢
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 Час назад
Tanzania mmeamua Kuja kivyengine ah Sawa mambo yangoswe waachie wenyewe ,ila dah hii mitandao tumeizowe ila kwasasa tunatamani tuachane nayo
@Lovelypeople_611
@Lovelypeople_611 3 часа назад
Nchi ya kisenge sana hii
@davidkehogo3230
@davidkehogo3230 3 часа назад
Ajabu ni kwamba hata hatufikiriii hatima zetu tunatunishiana misuli kisa tuna vyeo na mamlaka lkn Maisha yetu Magumuuuuu... My brothes and sisters, watoto wako hawatakuja kurithi ubabe na Jeuri zako. Jaribu kupambania hatima ya Maisha yako, ondoa Madeni kwa Mangi pigana na Uchumi wako... Hutonielewa kwa sasa maana Afya, ulinzi, vyeo, na Mamlaka ulivyo navyo vinakudanganya😢😢
@hawahawa8441
@hawahawa8441 3 часа назад
Padipo camera apo wangekataa kuwa sio wao polisi waliyomteka 😢
@annemshunga9598
@annemshunga9598 6 часов назад
Hamkuchukua namba za gari?
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 часа назад
Hao siyo police ni washikaji tu.
@Peterchipemba
@Peterchipemba 10 часов назад
Aisee!!!watatumaliza,,ila wanatukomaza kisiasa
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 6 часов назад
2 Mambo ya Nyakati (2Ch) 18:16 Akasema, Naliwaona Waisraeli wote wametawanyika milimani, kama kondoo wasio na mchungaji; BWANA akasema, Hawa hawana bwana; na warudi kila mtu nyumbani kwake kwa amani.... Viongozi wa Nchi Hii waliopewa dhamana wajitafakari sana wasifurahie udhalimu huu huku ni kubaya sana mbegu ya ubaya haiwezi kuwaacha Salama hata kidogo
@AthanasNjawike-px3tz
@AthanasNjawike-px3tz 50 минут назад
Jaman basi msiweke uchaguzi
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs 9 часов назад
Muwe mnachukuwa no na msikubqli kumtowa mtu bika RB.
@omarry-x1z
@omarry-x1z 4 часа назад
Yani mpaka hapo mwenye akiri atajiongeza hao wanaojita wasiojulikana na kuua watu ni hao hao polis mh
@sadamissa5687
@sadamissa5687 19 часов назад
Naichukia sana Siasa, 😢😢
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 18 часов назад
Hahaha hiiii nchiii isingekuwa CCTV sijuiii
@AgreyKombe
@AgreyKombe 2 часа назад
Kwan aaskari hawana sare
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 15 часов назад
Nashukuru mungu sijawahi nyanyua mguu wangu kujihusisha na siasa wala haitatikea wallah sitokaa nikapiga kura Allah niepushe na kujitafutia kipato pasipo njia sahihi imagine ndugu yako afanyiwe hivi wallah hata uwe na roho ngumu kiasi gani uzalendo utakushinda tu maamuz magumu ndiyo yatafata la sivyo siwez kuvunilia upuuzi Kama huu naomba mwenyez mungu niepushe na janga hili mie na ndugu zangu kwa maana dah
@DesertTears
@DesertTears 12 часов назад
Akina Nyerere kama wangekua kama wewe mpaka Leo mgekua watumwa wa wazungu kama mlivyo watumwa wa ccm
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 12 часов назад
​Desert Tears na muunga mkono coz nyerere hakupigania uhuru ili watu waje wauwane
@ChoroTesla
@ChoroTesla 11 часов назад
Sheria zote hizo hizo zinazotuongoza zimetungwa na hao hao wanasiasa kilankitu ni kinaamuliwa na siasa shida polisi wetu wanaendeshwa zaid na hisia na sio sheria yani mtu akishajua yey polisi basi atafanya lolote
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 8 часов назад
Maisha yako yanaendeshwa kisiasa hata usipojihusisha, Siasa ni kama kivuli chako
@surusuru1994
@surusuru1994 6 часов назад
Jmn nimechoka kusikia chadema inavo fanyiwa wallah
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 11 часов назад
Mmmh kuwa makini watekaji hawa
@PROGRESS-PULSE
@PROGRESS-PULSE 10 минут назад
Hawa askari wapigwe na wananchi ikiwezekana wapigwe kama wizi. Huu ni upuuzi kabisa.
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 12 часов назад
Hivi unakuwaje mwananchi mtu.anakamatwa na mnaangalia tu hawa polisi ni wahuni tu ni wakuwakabili maana wanalipwa kodi zetu bure wko kwa ajili ya kuibeba ccm
@kevooo-k7j
@kevooo-k7j 9 часов назад
Ii inch Mungu anaiona
@humoudalexy2866
@humoudalexy2866 3 часа назад
apo unastahili kumfungulia mashtaka alie kupiga na ushadi upo
@charlesmtangi9046
@charlesmtangi9046 18 часов назад
Adi aibu daaah aiseeh naamini akuna atakaeisho milele apa duniani Allah azidi kutusimamia watanzania wanyonge amina😢😢😢😢
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 11 часов назад
Sema Frank pale Iringa alifanya vibaya alicheza picha ya kihindi mwandishi lazima amtafute mkuu wa kituo atatupa taarifa cctv wanajua pale kuna camera
@Zenny89
@Zenny89 18 часов назад
Polisi ni wauwaji wakuu wa nchi
@allythabiti8150
@allythabiti8150 11 часов назад
chunga Kauli leo tukisema tufunge huduma za polisi dakika 5 tu mtakimbizana sana, wananchi kama nyie msio na uelewa mnaturudisha nyuma
@ChoroTesla
@ChoroTesla 11 часов назад
Kwann mnakamata watu km mnakamata kuku ​@@allythabiti8150
@allythabiti8150
@allythabiti8150 11 часов назад
@@ChoroTesla unataka wakamatajwe
@ChoroTesla
@ChoroTesla 11 часов назад
@@allythabiti8150 POLICE GUIDENCE ORDER(PGO) ifuatwe huwez mkamata mtu unahitajika kituo cha polisi bila kumtaia makosa yake pia utumie gari binafsi yenye plate number za mitsubitsh na gari ni toyota polisi hawana uniform yani wanakjja kamata mtu km wahuji wahuni tu
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 10 часов назад
Alikuwa na makosa ndio maana kakamwatwa Wala ajatekwa.
@collin_obed
@collin_obed 12 часов назад
Ndo maana hatuendelei.
@user-cheedycheedy
@user-cheedycheedy 6 часов назад
Nihatari kweli kweli
@EmmanuellMunishi
@EmmanuellMunishi 6 часов назад
Utasikia kunamtu mzima na kiongoz anasema hizo ni drama hahahhaaaaa
@joelbussa6903
@joelbussa6903 6 часов назад
Jeshi la polisi na majambazi na vibaka hawana tofautu
@salama1113
@salama1113 8 часов назад
Yani watu wamesimama tuu wanaangalia😢😢😢
@daudiayubu4464
@daudiayubu4464 8 часов назад
Kwahyo unataka watu waigilie waanze kuzuia Police wasikamate mualifu ungeenda wewe kupambana na Police
@ProchesiRevokat8
@ProchesiRevokat8 7 часов назад
Mmh Tanzania bhn
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 6 часов назад
Kaka angalia naww wasikuludie
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 6 часов назад
Kama hawaeleweki mkiona watu wanawanyofoa wenzao: watu wawapige mapanga tu
@KulwaSamo
@KulwaSamo 17 часов назад
Hovyo sana
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 11 часов назад
Safi sana kwa video hawa ni vibaka wa ccm si unaona wananchi mnashidwa kuwakabili kweli?
@thabit5775
@thabit5775 6 часов назад
Ccm Bila polisi hamtoi
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 18 часов назад
Aisee siasa ni mchezo mchafu sanaa duh!!
@far_hard1301
@far_hard1301 4 часа назад
Wakatae sasa na hio waseme sio wao hawana hata haya na hatuwapi kura sasa koz mnalazimisha hamuna busara kabisa tumechukia sana leo uovu wenu watu wanalalamika munakataa leo umedhihirika
@DM_15
@DM_15 10 часов назад
Huyo afande aliemtia dole mwananch anaonekana mtemi 😂😂😂
@davidsamson8292
@davidsamson8292 52 минуты назад
Hivi hao ni askari wana msukuma raia hajui ilo ni kosa peleka mahakamani hao
@bakarininga4100
@bakarininga4100 6 часов назад
Lusime ni kabila gani uyu askar mana ni km mtu Tu wa kawaida
@aqcqpissa6887
@aqcqpissa6887 17 часов назад
Ningekuwa raisi hao wote hawana sifa tupa kule
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 6 часов назад
Kuna hilo jamaa limenenepa tumbo kwaajiliya kuonea watu
@beatricesamwel9133
@beatricesamwel9133 38 минут назад
Police bila uniform
@surusuru1994
@surusuru1994 6 часов назад
Uwe makini nana wakiona hii video watakufuta
@quilltouch6895
@quilltouch6895 5 часов назад
HIVI HIKI KIKUNDI CHA CHADEMA KWANINI KISIFUTWE?
@directorerikey3291
@directorerikey3291 Час назад
BADO KUNA MIJITU ITASEMA KIKI YA KISIASA
@razackpaulo6375
@razackpaulo6375 7 часов назад
Kama kweli mbinguni kuna hukumu sizani kama mapolic watapata hata dhamana ya dakika5 wote wataishia motoni, hata viongoz wote motoni
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 8 часов назад
Bila ushaidi wangekataa hawa jamaa ni wakatili sana
@richarddavidmk
@richarddavidmk 2 часа назад
Kitu wanacho kijua watawala ni kwamba cdm ina nguvu sana na ushawishi mkubwa kwa wana nchi.
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 2 часа назад
Polisi Yani Sujui Wanajikuta Akina Nani Xhobo Zimewajaa Wanae Mxhobokea Mwenyewe Hata Hawajali Ambae Ni Ccm
@margarethhovokela2412
@margarethhovokela2412 9 часов назад
Mna uhakika hao ni askari kweli?
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 6 часов назад
Wananchi walishindwa nini kuwabana kama wa Mwanza? Hakuna kuondoa gar
@GervasMighayo
@GervasMighayo 6 часов назад
hapo ni zaid. ya makabulu
@ThomasGabriel-x1i
@ThomasGabriel-x1i 3 часа назад
Unauhakika
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 4 часа назад
Kuna wakati inabidi wakija kama ivyo inapigwa kelele ya WATEKAJIIIII!!!!! watu wanajaa wanawekwa kati wanakula kibano heavy alaf tunawateka wao kisha waseme wanatumwa nanani
@malisameshacky7434
@malisameshacky7434 11 часов назад
Tanzania huko inako elekea !!
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 часов назад
Pabaya mungu azid kutupambania ss wanyonge
@bablematz1309
@bablematz1309 10 часов назад
Hao ndio wale form4 felia wanaonaga wamemaliza.. mtu anahoji una mpiga kibao utakuwa unafikiria na akili kwl au
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 4 часа назад
Hawa dawa yao ni hamza hahaha
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 7 часов назад
Kiukweli polisi wetu wana matatizo sana ila tambueni hata nyinyi mna watoto na jamaa zenu mtajiskiaje wakionewa au kuumizwa
@majalaica1601
@majalaica1601 4 часа назад
Polisi gan wanakuja km waiz, kwa nn wasivae uniform, kw nn wasije n gar la polis,
@AminAbubakar-ye8vw
@AminAbubakar-ye8vw 5 часов назад
Sheria zanchieyetu huruhusiwi kumhoji askari
@abuu-bakarshaaban6246
@abuu-bakarshaaban6246 9 часов назад
Wanakuja km polisi ney bhana na upelelezi upo polisi
@japhetlinus3891
@japhetlinus3891 18 часов назад
Kwan polis wana shida gan lakin
@Rawdha-y8t
@Rawdha-y8t 3 часа назад
ukitaka kuwa na aman achana na mambo ya siasa amaka nenda kazini pikia wanao ugali lala
@Sautijanja
@Sautijanja 9 часов назад
Shida kuna mtu ni kipofu napia ni kiziwi anaendesha huu msafara bila uyo mtu kutoka hapo mbele matukio kama haya yatakua mengi mno
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z 5 часов назад
Yaani wabongo ni kama manyumbu hakika nimekubali usemi wa Mwl Isaya mwandakise yaani mwenzen7 anachukuliwa mnazunguka tu hapo pembeni utadhani manyumbu kweli.
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 12 часов назад
Polici mnaacha kuliwalinda laiya sasaivi munwaua na kuwajerui mnatia aibu
@MengiMeng-fd7sq
@MengiMeng-fd7sq 11 часов назад
Wauwaji ao kwanini wakutovuge jichoni wezi ao walio hararishwa
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 10 часов назад
Nawengelikuzibua tu. Waishaonesha vitambulisho kwamba ni polisi unaendelea kuwahoji 😂
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 9 часов назад
Hao police wwlikuww na mjumbe wa mtaa au wewe vitqmbulisho ndiyo upolice tumia akili watu wanavitambulisho vya kugushi wewe Kazi kushabikia uvunjifu wa taaratibu za ukamataji wajumbe wa mtaa si wapi kwa Nini hawakushirikishwa katoka haya?
@ElinahStephano
@ElinahStephano 10 часов назад
Tumeona uchafu wao
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 2 часа назад
Sionishidahapo ila watz tumejaa ushabiki wakijinga police fanyenikaziyenu kuwakiongozi hakukupihaki yakufanya utakavyo
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z 6 часов назад
Polisi wanatia aibu.sana jmn na kwasabb polisi wenye tabia hii ni dhaifu mnoo narudia huu ni udhaifu na niaibu kwa taifa
Далее
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Просмотров 1,9 млн