Тёмный
No video :(

BREAKING NEWS MGOMO WA WAFANYA BIASHARA WA DARAJANI SOUK MKUU WA WILIYA MJINI AINGILIA KATI 

VOP TV TZ
Подписаться 4 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Karibu VOP TV TZ kupata habari mbali mbali kwa uharaka na uhakika.
Kupata taarifa zetu SUBSCRIBE na kisha bonyeza alama ya kengele.
Je? Una maoni yoyote kuhusu taarifa hii tuandikie sasa kupitia comment.
#vop_news #zanzibar

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@khadijaabeid1328
@khadijaabeid1328 Год назад
Pole sana ndio zenji
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q Год назад
Ccm ni walaji
@yussufsaid654
@yussufsaid654 10 месяцев назад
Kazi nzuri
@voptvtz9226
@voptvtz9226 8 месяцев назад
Asante sana
@halimahadji7366
@halimahadji7366 Год назад
Tahfifu yaa Allah
@munaomar9532
@munaomar9532 Год назад
Nammi naomba like yangu😅
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 Год назад
chukuwa habibi❤
@alimau7939
@alimau7939 Год назад
Dhulma haidumu ndio kwanza ngoma inaanza
@user-gy5pb9ep1p
@user-gy5pb9ep1p 3 месяца назад
Mheshimiwa Allah atakulipa kheri kubwa hapa Dunia na akhera mkuu
@hilalikaumo3470
@hilalikaumo3470 Год назад
Hapo Kuna wafanyabiashara wadogowadogo kupitia huu mgomo wanataka kuweka meza zao njian, kkoo serikali ilichelewa kuwadhibit wamachinga pale barabaran tangu mwanzo saiv imekua ngumu kuwaondoa,
@msellemseif3102
@msellemseif3102 Год назад
LAKINI MH. ISMAIL JUSSA ALIYASEMA HAYO
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Год назад
Hongera wafanyabiashara gomeni mpaka serikali dhalimu iondoke. Ije serikali ya watu wa ZANZIBAR.
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Nje haiwezekani kuweka biashara haiwezekani wacheni kuharibu mji ,mbona mna mambo ya kizamani nyinyi Some wapemba?kama hamtaki si murudi Machomanne na chakechake huo ah
@hajiharoub8125
@hajiharoub8125 Год назад
Jusa kawaamsha watu💯💪💪💪
@salumjuma9072
@salumjuma9072 Год назад
ASANTE MH WETU MSARAKA ALLAH AKUWEKE NA RC WETU NA RAISI WETU CCM OYEEE
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 Год назад
Huyo msaraka anajifanya kama hayajuw😂😂😂😂kichwa km dufu
@albassambakili3757
@albassambakili3757 Год назад
Waswahili bna apoukipta hakuna watu wengi lkn kunamgomo naona watu tele 😂😂😂😂😂😂
@SalumOthman-qr3lc
@SalumOthman-qr3lc Год назад
Anaesema watu warejeshe cjui ccm inaweza kuendesha Mungu siku moja awape mitihani kama hii mtaelewa kwann watu wanalalamika
@user-fq9ww3vb4s
@user-fq9ww3vb4s Год назад
Hii nchi Zulma tupuuuuuu mtihani😢
@user-bm5gr5sy3f
@user-bm5gr5sy3f Год назад
Afadhali mkuu wa wilaya umeweka sawa tatizo lao hivyo ndivyo inavyotakiwa ,good job ,,
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Mnatengenezewa maisha ya kistaarabu ila bado mna maisha yenu ya kukariri
@ayoubpapiy6692
@ayoubpapiy6692 Год назад
Sasa unaweka biashara nnje uwo mlango umekodi wa kazigani?
@maji106
@maji106 Год назад
Awo fafanya biashara wanafurahia iyo fursa ya kuweka biahara chini kwa sababu wanawakodisha watu wengine
@amoursalum8266
@amoursalum8266 Год назад
Tuendelee kuwapa mitano tena.. watatugaia fulana za kijani bure
@AminialiAli-vv4yk
@AminialiAli-vv4yk Год назад
Mungefunga kama watu wadaar kariokoo kule
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 Год назад
Serikali hii mbwa anahuruma kuliko wao
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Год назад
Wacha Uwongo Zanzibar hakuna Democracy chaguzi zote mnapindua matokeo.
@arafasalim679
@arafasalim679 Год назад
Hiyo ni siasa hamna kitu hapo mnadanganvwa na msakara
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf Год назад
Uyo mkuu wa wilaya a anaongea kama kweli akifika kwa mapapasi weziwe hasemi ayo
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Год назад
CCM ondokeni madarakani yamewazidi Bara mmeunza Bandari na Zanzibar masoko 😂😂😂
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 Год назад
Mwinyi anatuharibia.nchiyetu .nayy.. upuuzi kbs kwaza milango wenyewe Haina maana yyt.
@MnyamwezMnyamwez-vx1wb
@MnyamwezMnyamwez-vx1wb Год назад
Hebu jiheshimu we.
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Milango haina maana yeyeto ila bado mmeing'ang'ania Msiokuwa na fadhila nyinyi
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Год назад
​@@R10_Rajabhicho cha kufadhili ni kipi kwani tumepewa bure hiyo milango una chuki binafsi na choyo kimekushika ww utakufa mdomo juu ww
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@cath-ef7wd Hizo sifa ulizozi zijumuisha hapo zote ndio zenu hakuna asielijua hilo hata baadhi yenu wanalijua ,Na hata kama mmekodi ila kodi zina taratibu zake mmeambiwa msipange biashara zenu nje ya milango yenu sasa kwanini hamuwezi kufuata utaratibu mliowekewa?kama hamuwezi rudisheni milango ya watu mpewe pesa zenu maana kuna watu wengi tu wanaitaka na wapo tayari kufuata hizo taratibu....Wacheni siasa nyinyi
@naturelle1097
@naturelle1097 Год назад
Ya Dsm mwaachie wa Dsm 😂
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 Год назад
wana siasa hawa
@khamushamad8857
@khamushamad8857 Год назад
Napenda uyu Msaraka
@mwagilomasukuzi5464
@mwagilomasukuzi5464 Год назад
Wekeni mfumo mzuri wa kibiashara na bara kama zamani znz soko lake kubwa ni bara
@munaomar9532
@munaomar9532 Год назад
Nimeingiza zadia imepata like na views
@mudathirali-en7mp
@mudathirali-en7mp Год назад
Yote ni uzembe wa kutokua na katiba mpya katiba ilio kuepo MSO kitu so mtu nisawa mbwaa Kwa hiyo wewe mzanzibari kwanini unapiga kelele utakuabwaa Koko
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Год назад
Dawa yso ipo jikoni 2025 msiwape nafasi mabunju hao
@chrispinegervas5657
@chrispinegervas5657 Год назад
Saizi naona watu wamelimika sana akuna kubabaishwa
@user-zo6wx9zt3p
@user-zo6wx9zt3p Год назад
mwinyi serekali yako iyo unaiyona umevaa ngua isio kua yako angalia utendaji wako wananchi wanavyo teseka na kulalamika amakweli ule msemo wa watu unaosema kiatu nikilekile kimebadilika soli2 hawajakosea
@saidsobongo912
@saidsobongo912 Год назад
Duuuh
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
hiyo haikubaliki inakuwa aje mpange nje mzigo?kama hamuwezi rudisheni milango watakuja wanaoweza
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Год назад
Wanaoweza ni nani fala wewe
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@cath-ef7wd Nyinyi rudisheni milango hiyo uone kama itakuwa haifunguliwi mnataka kuleta siasa hapa ,wakati watu wanataka kuifanya nchi yenye sura yake ya kuwa kivutio still mnaleta mambo ya Madungu na Mtambwe hapa ,hapo Unguja penye watu wastaarabu mnapofika Unguja muwe na ustaarabu wa wenyewe na sio kujifanya mnajua zaidi ya wenyewe Unguja yao.
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Год назад
Waengereza Zamani walikuwa wanamsemo kama "wape watu wanachokitaka" waachiwe wafanye wanavotaka na hixo.kodi zilizosalia zifutwe mpaka mwakanu mwez wa sita ndio.kodi ianze kama kodi kwa serikali kufidia kero..... na Ushauri uaijir wa vikosi tafuteni wasomi wenye taaluma mambo yataenda Sawa ila Hawa form 4 waliofeli form two watasababisha tabu Sna
@harizhamad8260
@harizhamad8260 Год назад
Hili la vikos sio kwel dunian kote hakuna sijawah kuskia" Unataka kusema yoyote ambae hakufika level ya form six na chuo wasipate kuajiriwa huu utakua no ubaguzi mkubwa wa kiajira na kimaendeleo. Labda nikwambie msomi ana umuhimu wake na mjinga pia ana umuhimu wake inategemea wapi na muda gan anahitajika👌
@msabahaali758
@msabahaali758 Год назад
raisi anahusika nchi imekua mbaya dhulma dhulma baasi
@user-ew4be3us9c
@user-ew4be3us9c Год назад
Ushauri wangu serikali chukuweni ushuruwenu uongozi wakabidhini wafanyabiashara wenyewe
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Huo uongozi wao wakiachiwa ndio watapanga nguo mpaka kwenye barabara unawajua hao unawasika
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Hapo ni mjini inakuwa aje muweke mavitu yenu nje wakati una mlango wa duka?wacheni ushamba huo tembeeni muuone miji ya nchi zinazoendelea ushamba tu
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Год назад
Mji gani wew Zanzibar Kuna mji nitajue mji mkuu bx
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@hamicpina1151 Mji wa Zanzibari ni darajani hapo ndipo hata watalii hutolewa mashamba na kuletwa hapo ili waone mji wa Zanzibari na biashara za mjini ila tatizo lenu Some wapemba mnaharibu mji kwa siasa zenu matherfanta...nina imani hapo wangekuwa watu wa Unguja watupu wallah mji ungekua bora zaidi maana Watu waunguja wanaelewa na wanajua thamani ya umaridadi sio nyinyi mmetoka vichakani huko machomanne sijui misaili na kangagani mnataka kuchafua mji.
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 Год назад
Uyo mkuu wa wilaya ndio anasababisha ayo
@issackmwakyami2740
@issackmwakyami2740 Год назад
Ccm na Andazi nani zaidi?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Год назад
RASHID MSARKA OYEEEEE
@nadiromar9794
@nadiromar9794 Год назад
CCM mbele kwa mbele
@mandujaro
@mandujaro Год назад
Toka kuzuiliwa gar za shamba kuingia darajani kweli biashara imeshuka pale
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Yaani bado una mawazo ya kizamani yaani bado unataka mji kuwa kama soko kusiwe na mpangalio amka wewe kijana
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Год назад
​@@R10_Rajabpana mji hapa ww.mji unaujua ww
@mbaroukkhalfani9244
@mbaroukkhalfani9244 Год назад
Kuwa w ugumu wa maisha sio leo tu
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm Год назад
ATI akifa haozi jamn watu wanamaneno
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm Год назад
CCM OYEEEE!!!!
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 Год назад
Nyinyi chekeni furahini ila uyo ndio anasababisha yote ayo
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 Год назад
Anawapuliza ikisha anazunguka kuwatafuna😅
@rqgabalr7937
@rqgabalr7937 Год назад
IPO wpi hiyo nchi ya demokrasia ww mbwa
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Huyu hafai hata kidogo kuwa mkuu wa wilaya ,unawaruhusu wafanya biashara waweke vitu vyao nj3 inshort unataka mji uwe mchafu sasa angalia mameza yatakayopangwa barabarani kisha mtu atakwambia nipo mbele ya duka langu ,msimamo mmoja tu anotaka aendelee kuwepo kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa na serikali ,na asiweza kufuata basi arudishe mlango Watu wengi wanahitaji hiyo milango haina kuwabembeleza watu wasiokuwa na nia nzuri
@yussuffadhil4522
@yussuffadhil4522 Год назад
manispaa wanataka usasa lkn wao wenyewe bdo
@yussuffadhil4522
@yussuffadhil4522 Год назад
asnt mkuu w mkoa
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@yussuffadhil4522 Bado washamba yaani wanatengenezewa mazingira bora ya kufanya biashara yaaani hata mteja anapotaka kununua kitu awe huru wakuchagua duka alitakalo na kuzama ndani na hata linapotokea janga iwe rahisi ila bado wana ushamba mwingi wa kutaka kupanga bidhaa zao nje ya maduka yaani some wapemba kustaarabika bado sana wanatia aibu
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Год назад
​@@R10_Rajabmsenge wewe wapemba wamekukosea nn fala wewe.unachuki binafsi fala ww
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@cath-ef7wd Watu wa Unguja hawana aina hiyo ya maisha yenu maisha ya chuki ubaguzi na roho mbaya,maana hayo maduka hapo asilimia 95 ni nyinyi ,masoko asilimia 95 ni nyinyi na bado mnamsema vibaya anaekufanyieni hayo kama sio chuki na roho mbaya ni nini?
@ZERO9Gang
@ZERO9Gang Год назад
Afadhali
@khalidbelhasa2137
@khalidbelhasa2137 Год назад
OMBENI DUA VITA VYA URUSI NA UKRAINE VIENDELEE MPAKA VITA VITAPAKAE ULIMWENGU MZIMA
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 Год назад
Halafu iweje
@user-kl4rq2jk9n
@user-kl4rq2jk9n Год назад
Bx hy
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 Год назад
haan rais hap
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j Год назад
Ccm maskani hamna hela kupanga maduka hayo. Kaeni tu mgoje kuiba kura baas. Wapemba ndio wanaume washoka mkitaka msitake.
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Год назад
MAPINDUZIIIIIIIIIIIIIIIIII
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 Год назад
Na nyie fateni sheria milanqo mumepanqa fuatenibutaratibu uliowekwa
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j Год назад
Koma wee kwani wako giningi hao hata wafate tu. Mbona maskani hamjakaa hapo
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 Год назад
@@user-ki4sg8yz9j Dah ! Umenijibu kw hasira sana ila sawa Nimekoma 🙏
@w4058
@w4058 Год назад
Akome akome khasa mpumbavu huyo maana mjinga huelimishwa lakini mpumbavu jambo analijuwa kanatenda ja ukaidi
@w4058
@w4058 Год назад
Wanakufanyieni makusudi muwacha hiyo milango wachukuwe wawape Watanganyika wao ndio wanaotaka wawajaze tu CCM manyangau hao
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Mijitu inaleta siasa kwenye mambo ya serious ,hao ni baadhi ya Wapemba tu wanaotaka kumtoa kwenye reli Mr President
@soudia9084
@soudia9084 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Год назад
Kama hamtaki tokeni WANA CCM wataendesha hayo maduka ,nahakuna ZANZIBA NCHI nimali ya BARA, NA WANA ccm waliomo serikalini KWISHA,Mtaisoma namba !!!
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j Год назад
Mkafirwe huko shenzi nyie. Kwenu tanganyika ukoo
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 Год назад
Ww sio mzalendo ww ni mtwana
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Год назад
Zanzibar ni ya Tanganyika tutakodi ccm wenyewe
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Год назад
Ww Acha usenge huo Zanzibar niyawazanxibari wenyewe cio ya Tanganyika mkundu wababaako ndio wawatanganyika mshenzi ww
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf Год назад
Msenge wewe mbwa kwenu tanganyika nchi so ya kwenu hii
@jordan.3109
@jordan.3109 Год назад
Wallah ni dhulma tupu maskini Lasima siku ya mwisho iwepo tu hakuna jinsi.
Далее
O'ZBEK VA TOJIKLAR ROSSIYADA TERAKT UYUSHTIRISHDI!
08:41
Я ДОСТРОИЛ ЗАВОД - Satisfactory
19:13
Просмотров 170 тыс.
Only I get to bully my sister 😤
00:27
Просмотров 19 млн
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34
WAFANYABIASHARA DARAJANI SOUK WALIA NA RAISI MWINYI
6:50
O'ZBEK VA TOJIKLAR ROSSIYADA TERAKT UYUSHTIRISHDI!
08:41