Тёмный
No video :(

MWIGULU ASHUSHIWA NONDO SAKATA LA KARIAKOO, MFANYA BIASHARA AJILIPUA KWA MASWALI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 152 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 147   
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 Год назад
Asante kwaajil ya maisha ya magufuli hapa dunian hakika alitufungua
@Worldunite
@Worldunite Год назад
Sana,laiti angelikuwepo jembe nina uhakika wangetumbuliwa
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 Год назад
@@Worldunite nihapohapo hadharan wazir alikuw hana kazi
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Hahahahahaa..... Hiv umewahi kufanya biashara
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 Год назад
@@sultansallah8772 yaap
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 Год назад
Mwigulu hafai marehem magufuli alimuona samia kajiona yy ni zaidi ya yule mwamba matokeo yake ndio haya wafanyabiashara kazeni buti
@messiahmlyuka9422
@messiahmlyuka9422 Год назад
Hongera kiongozi wetu kutoka Njombe🎉
@kabulukimati
@kabulukimati Год назад
Dokta.wa.nchi.uchumi
@Nashondaniel
@Nashondaniel Год назад
😭😭😭Mimi Natoa machozi Jamani,,watanzania wanaumia Sana,,, baadhi ya viongozi wanatunyonya jamani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Год назад
TRA kijana mdogo anajenga nyumba ya kifahari ata mwaka haufiki kwa mshahara gani
@princekarani7836
@princekarani7836 Год назад
Ndo hapo sasa mjiulize,upigaji mwingi kinouma
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Год назад
Inauma sana mnatufanyia ubaya sana watanzania
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Год назад
Mwigulu sikuchukiii lkn huwezi narudia tena huwezi..Upo hapo mbele kwa dharau unacheka lro hii bila kujari lkn ungejiuzuru tu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
YAANI HAO TRA WA TANZANIA, KWA KWELI MASHETANI SANAA.
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 7 месяцев назад
Ninachikiona kwahili mwigulu alipandushwa vyeo tu😢😢😢😢
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Год назад
JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM 😭😭😭
@humphreyhassan8197
@humphreyhassan8197 Месяц назад
Magoma wa makambako hongera
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Год назад
Watanzania yetu viongozi mnawatesa sana wafanyabiashara
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Год назад
Sana! Jamani kwa nini mama asimtoe Mwigulu?Kwa kweli inasikitisha. 😢
@mohdmazruiy2028
@mohdmazruiy2028 Год назад
Mwiguku hatukuhitaji katika serekali
@bettymeshack7759
@bettymeshack7759 Год назад
Magufuli amka Baba amka tunaumia sanaa
@uswizinyanginywa2498
@uswizinyanginywa2498 Год назад
Tunakushukuru kiongoz wetu kwa kutuwakirisha Wana Njombe na Nchi nzima.
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Год назад
INAUMA SANA SANA UYU MWIGULU AJITAFAKARI SANA
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Год назад
MAMA HATAKI KUMTUMBUA! SIJUI ITAKUWAJE?
@SilvesterRaphael-xb6it
@SilvesterRaphael-xb6it Год назад
Mnampigia nguruwe kengere wabunge wanaongea kila siku kuhusu utitiri wa kodi lakini serikali imejifanya kiziwi sembuse nyinyi wafanyabiashara hakuna kitu hapo wanawazumu tu hao akina za kayo wakitoka hapo wanawacheka tu
@kwisa4899
@kwisa4899 Год назад
Mwiguli anaonewa tatizo lipo kwa uongozi wake walio mtuma kufanya hayo yeye ni mbuzi wa kafara
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Год назад
Ata mtoto akilelewa vbaya atakuzarau ata mzaz kwakua mwigulu ndio mwenye body ya mfumo wa ukusanyaj kod
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
😂😂😂😂 mbuzi wa kafara ndo yukoje jamani
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Год назад
Shameless mwigilu...akwende huko...
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Год назад
RIP MAGUFULII
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Год назад
Ni ujinga huo
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Год назад
Mwigulu mwigulu weweeeee una mkosi,jihuzuru tu,huoendwki kwa dharau zako
@queenraphaher7736
@queenraphaher7736 Год назад
Hapo TRA walikuwa sawa, kwani waliangalia bei za kawaida
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 месяца назад
TRA Wako sawa wako pamoja na Magufuli na Magufuli anataka kuuwa wafanyabiashara wote. Na ni yeye anahusika kwa kubiga hizo pesa na wala wadhibitiwi anawafahamu vizuri.
@abdulraqeebfaiz9442
@abdulraqeebfaiz9442 2 месяца назад
Kengere babako
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy Год назад
Tulieni wafanyabiashara nyinyi dawa iwangie kelele za nn isomeni nomber ccm oyeeii❤
@shizoshop2469
@shizoshop2469 Год назад
Samia ayasikie haya sasa mwigulu ni mwizi
@bakarimtange570
@bakarimtange570 Год назад
Kwni unahic Samia hayajui Aya anayajua na izo Kodi ni zake
@barakadanieli1440
@barakadanieli1440 Год назад
Samia anatia mikataba mikubwa ya mikopo kutoka kwa wazungu Koo ili madeni ya wazungu yalipwe lazima tu raia tuumie maana Samia anapenda sifa Sana na Cha ajabu anakopa akiamini wananchi watambanwa walipe Kodi na wakilipa Kodi zinapingwa nawalaji sasa unafili Nini kifanyike ? Maana wakipunguza Kodi madeni ya wazungu watalipa na Nini Wapigaji nao wataishije na wamezoea kupinga? Rais mwenyewe mpigaji
@Doten-zg3yl
@Doten-zg3yl Год назад
Hata stand za nagari yaendayo mikoa ni na nje ya nchi wakusanyaji wanapga hela tu hawatoi list
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Год назад
Kuna mabasi yanaitwa ester tunaambiwa ni yake kama ni kweli ye anamshahara gani wa kununua mabasi yote yale we mwigulu wewe
@hassanosman3824
@hassanosman3824 Год назад
Mwigulu mimi nigekwambia afadhali acchhaaa kazi hauwezi hii sio kazi ya kukaa kwasababu umeshiba hujali umeaibika sana
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Год назад
Mwigulu hakujiweka kwenye hiyo position ndugu yangu. Hii ni aibu aliyemuweka ndio amuondoe madarakani.! Wanawafanyia makusudi. Nia yao watanzania waendelee kuwa maskini. 90% ya watanzania tumebaki maskini.
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Год назад
Dawa ni kutowapigia kura CCM. TUAMKE!
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Год назад
KATIBA MPYA ! NI SASA....
@user-go6ht5vv8r
@user-go6ht5vv8r Год назад
Semaa kabisa wanatukondesha sana
@jamesmhema719
@jamesmhema719 Год назад
Huyu apewe maua yake.✊
@mwasubilasaimoni4119
@mwasubilasaimoni4119 Год назад
Wanatusumbua sana T R A mikumi utafikiri wenyewe wanamizigo yao wanataka bei iwe kubwa wakati mizigo inabei ndogo
@HudayjumaTaalib
@HudayjumaTaalib Месяц назад
Mama samia kwann humuondosh huyu Mugulu Makuful aalkua anamjua huyu simtendaj atakufelsha
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 Год назад
Kwani TRA walishapanga bei ya kusafirisha mizigo? Mwenye gari hana haki ku-negotiate bei na mteja wake kutegemea situation?
@zakiahashim2274
@zakiahashim2274 Год назад
Uko sahihi mm mwenye nifanya kazi kusafilisha mzigo nisumbuka san nipata hasala kubwa sana nilal mikumi siku mbili mpaka mzigo ulihalibika
@ahmedsdk6736
@ahmedsdk6736 Год назад
Ata mm nakunywa chai na ANDAZI
@RehemaMwambelo-ix2pv
@RehemaMwambelo-ix2pv Год назад
Sio mikumi tu nikote tra wanatua ndio maana saizi kila mtu anapuresha
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Год назад
Wanakusanya kwa nguvu alaf znapgwa kwa akiri
@user-ic6js4sc8u
@user-ic6js4sc8u Год назад
Mmmmh Aibu sanaaaaaaah hayo maumivuu makalii
@paskalinyanga
@paskalinyanga Год назад
Kukandamizawafanya biashala ndio kukandamiza masikini wa chini tumuogope mungu na tuwe na hofu yamungu
@barakawilliam3993
@barakawilliam3993 Год назад
Nimekuelewa kiongoz wetu.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Год назад
Raia wa Tanzania hairuhusiwi kuwa na maisha mazuri ,unatakiwa uwe maskini mpaka kufa
@rashidsalim7078
@rashidsalim7078 Год назад
😂 Una zambiiiiiiii
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
😂
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Год назад
Ni kweli kabisa Tanzania ukiwa maskini kidogo unaafadhari ila matajili wana hari mbaya
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Год назад
Umeongea point kubwa. Na ndivyo inavyoonekana Wanapenda kutuona maskini. Maisha magumu.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Год назад
@@aliyageorge6794 kwasababu ukiwa na maisha mazuri utaandamana au utatetea haki yako kwa umakini zaid,ila ukiwa na njaaa utawaza kuhangaikia watoto wale bas na sio kingine
@kdloon2030
@kdloon2030 Год назад
Magufuli,hakua mjinga kumtumbua Mwigulu.
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Год назад
Mama amemrudisha na kumpa wizara ya fedha
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
alimrudish ten
@emmanuelmayuma3466
@emmanuelmayuma3466 2 месяца назад
Tutatoboa, Tanganyika hoyee.
@floridachami9090
@floridachami9090 Год назад
Jamani tra migori wamezidi waziri mkuu
@barakanestory3521
@barakanestory3521 Год назад
Hii nchi ya watu wachache wengine tuumizwe,hata polisi Kila idara kunanuka,watu wanaogopana,Bora watanzania wateseke wao wajichane,nyie endeleeni kulatu ipo siku mtavitapika shimoni
@sultanramadhan5269
@sultanramadhan5269 Год назад
Nchi yetu imejaa vitengo kila kona ktk idara ya serikali kitengo TARURA Wana kitengo ukaharibikiwa tu wapo nyuma wanashombo la rushwa tupu.
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Год назад
Trillion 2 kapiga mwenyewe Mwigulu,nashangaa Rais anamwachia tu
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 Год назад
Bandari zetu zimepoteza ubora vitu vina ibiwa ,wateja wanahamia bandari mombasa kenya
@fredsanga9461
@fredsanga9461 Год назад
Mwigulu ni tatizo
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 Год назад
Yan mim kwanz nina mpango wakuuza gar langu la mizigo kwanza maan maona mateso barabaran makadirio makubwa yan
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Год назад
Huyu Mwigulu hamna kitu hapo
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Год назад
Hivi Tanzania haina wachumi mpaka imng’ang’anie Mwigulu?
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Год назад
Tatizo ni raisi aliyewekwa hapo ndo chanzo cha haya
@eliassospeter
@eliassospeter Год назад
Jamaa wote wapegina nondo kali
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Год назад
serekali angalizo ukiona watanzania wameweza kugoma hata sikuu tatu mjue pumda amechoka anataka kushusha mzigo kueni makini hapo ni daresilaam tuu wako mikoa mingine yote wakiweka mgomo unafikiri nchiii inakuaje mawaziri wakufa tai yenye nembo yataifa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Год назад
🤣🤣 ati mawaziri wakufa tai yenye nembo yataifa..nimecheka kweli hahaa
@beriasmasanga6859
@beriasmasanga6859 Год назад
Mama naomba uzisikie hizo kero,mama samia,na pia waziri mkuu tunao njooni mkutane na wafanyakazi wenyewe muulize juu ya kikokotoo kwa wastaafu mtajua wazee wamekwenda kuibiwa na kuuawa
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Год назад
Mweeee mimi naomba waziri mkuu watumishi wa serkali hatujalipwa madeni ya mishahara huu mwaka wa kumi.Tuna imani na wewe atusaidie wafanyakazi wa serkali.Vyuo vya afya tuna madeni tunadai fedha nyingi mno
@Worldunite
@Worldunite Год назад
Yaani huyu jamaa anafaa kuwa mbunge aiseeee
@lovenesaman
@lovenesaman Год назад
Sana mpandira
@mailisagaswe1544
@mailisagaswe1544 Год назад
Mwigulu jitafakari Kama unafaa kuendelea kuwa waziri wetu was mapesa
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Год назад
Ajitafakari kwa lipi ambalo hasa ni kosa lake?? Waziri anasimamia Sheria za TRA iliotokana na bunge. Acheni wivu wa kike
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
​@@abelkingu4653 hatumtaki
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Год назад
KAZI kwako usiyemtaka ndio yupo Sasa. Don't work to try to change system, anza wewe kubadilika
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
@@abelkingu4653 inawezekana ni ndugu yako maana kila coment unamtetea ila wengi hawamtaki
@4hestatecompany20
@4hestatecompany20 Год назад
Rais chukua hatua 2025 utapanda mlma na mizgo kchwan,mabegan,na miguun.Ucwaamn wanaokuamnsha watanzania wanakuchukia 7b ya hao kna trab na trat
@MariaMfanga-qu2pl
@MariaMfanga-qu2pl Год назад
Nikwel baba atembelee na viwandani vya wachina wananyanyasa sana wafanyakaz
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Год назад
Wezi wezi wezi hata kwetu wapo....
@peterkissiry6432
@peterkissiry6432 Год назад
Huyu mwigulu kuna nn hapo kati jaman
@christophermsekena616
@christophermsekena616 Год назад
Magoma oyee
@user-hq4ff3gl9k
@user-hq4ff3gl9k Год назад
tunakuomba mama samia watoe hao majuzi maa a wanaona sana
@NzenzuleManyanda
@NzenzuleManyanda Год назад
Mimi mwenyewe nataka nifoji fomu nifanye kazi TRA
@rashidsalim7078
@rashidsalim7078 Год назад
Kumbe nawe unaupenda wiziiiii😂
@NzenzuleManyanda
@NzenzuleManyanda Год назад
@@rashidsalim7078 napenda magazine mazuri
@NzenzuleManyanda
@NzenzuleManyanda Год назад
@@rashidsalim7078 napenda magari mazuri kama ya watumishi wa TRA
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Год назад
Jamani huyu Mwigulu kila siku anazungumziwa ajirekebishe. Au apewe wizara ingine
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Год назад
Nahisi Ni Vita vya Urais 2030. Kuna Watu wanaanza Kujipanga Baada ya Samia na Wanahujumuana na Kukashifiana. Jiulize Kwanini Mwigulu Ndiye anatukanwa na Kukashifiwa na Hamna Anayemtetea, as if yeye ndiye Mwamuzi wa Maswala yote Ya Mchi. Kuna M2 Alimwambia Doctor gani wewe? Na husikii hata PM skimzuia Kuongea Vile. Tanzanians Hamjui Vitu zingine Vinapangwa Sirini.
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Год назад
Mwigulu na January tatizo sana taifa halina makali watu wakojuu ya nnchi ni JWTZ tu ndio waadilifu wengine wanatuwinda raia we ngoja iposiku
@rabwarab574
@rabwarab574 Год назад
HUYU MWIGULU!!
@peterkissiry6432
@peterkissiry6432 Год назад
Hakia'mungu wafanya biashara n wakwel
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
BA MAWAKALA WA KUTOA N KUINGIZA MIZIGO NAO PIA NI WATU WA KUWAANGALIA SANAA.
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Год назад
Samia ndio tatizo ameweka watu virusi kwenye serikal yake na watu walishamkataaa
@barakadanieli1440
@barakadanieli1440 Год назад
Kweli rais ndo tatzo mbona watu wengi wanamzunguka hawatak kumchana rais
@ABERIKADIKILO-kg6jq
@ABERIKADIKILO-kg6jq Год назад
Mh.waziri mkuu fatilia hata ushuru wa samaki Wilaya mleba tunaumia sana sisi wafanya biashara ya wasamaki wilaya zingine ushuru ni sh. 90 kwakl lakini wao ni sh. 300 kwakila kilo
@johndunda250
@johndunda250 Год назад
Mafisa wa tra mikumi wezi san wajanja wajanja wamekalia kila siku kula rushwa tu wat wa tan rod mzan mikumi wezi mzani wame ufanyia ujanja ujanja san wana kula san rushwa
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 Год назад
Mapembelo ngojo
@malembobulongo3856
@malembobulongo3856 11 месяцев назад
Hakika tunakukumbuka mjomba magu wewe uliyaweza haya!!!
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Год назад
Kweli kabisa usipo nunua gari wakuite mbwa
@deocosmas8708
@deocosmas8708 Год назад
Watuu wanatoa nondoo mpk wazr anaogp
@mbawalamakomae5094
@mbawalamakomae5094 Год назад
Geti la mikumi litolewe tunasumbuliwa xnaaa
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
Waambieni wezi hao , Maana watu wanateseka juani alafu kunawatu wanafunikwa , kila mwezi wanakula , tulowaajiri kwa jasho letu wanatumia pesa zetu vibaya alafu wanatuletea VIBURI machozi ya waTZ YATAWALIPA , MUDA SI MREFU VIONGOZI WOTE WANAOTUIBIA WATALIPA MACHOZI YA DAMU
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Год назад
Hana aribu mwigilu nchemba...
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Lisu oyeeeeeeeee
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Год назад
Aondokeeèeeee...
@wiliiammkenda5174
@wiliiammkenda5174 Год назад
Limwigulu lipo hapo hapo
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 Год назад
Sasa wenye mitaji ya million moja itakueje
@marthaswai1185
@marthaswai1185 Год назад
Mikumi ni tatizo mno.
@zainabismail359
@zainabismail359 Год назад
Sawa
@barakanestory3521
@barakanestory3521 Год назад
Wasomi hovyo
@healingsschool4630
@healingsschool4630 Год назад
Tatizo ni mfumo sio mtu, hata wewe na mimi tungefanya hivyo hivyo
@AmriManengelo-yz5pp
@AmriManengelo-yz5pp Год назад
Na mfumo unabadilishwa na mwenye dhamana husika so Bado tunarudi kwa mtu
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 Год назад
Huyo ndio mpigaji mkubwa
@SwalehMasoud-gg2hl
@SwalehMasoud-gg2hl Год назад
Duuu hatari
@ngoshasuzi
@ngoshasuzi Год назад
Utaishia crown na ist za 1999 kwa rushwa hizi
@VeronicaElia-pj5hb
@VeronicaElia-pj5hb Год назад
Mwigulu hatumtaki
@christophergeorge5490
@christophergeorge5490 Год назад
😂😂 mwigulu aji tafakari
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Год назад
Akitekeleza Sheria za bunge lenu mavi mnasema mwigulu hafai, tulien. Sheria TRA watekeleze Sheria, mwacheni mwigulu asimamie kile nchi imekubaliana...chuki za kipuuzi muacelhe
@AnossyMbonekela-sb6ol
@AnossyMbonekela-sb6ol Год назад
Shida walio serikarini hawana ujuzi na biashara, wala hawpandi daladala wanatoa maamuzi ambayo hawajwahi kuvaa viatu hivyo wanaamua ili kuwakomoa watu
@marydimoso6303
@marydimoso6303 Год назад
Si vitoto vidogo vinapata kazi kwa vimemo tu na wazee wasiokubali kutoka kwenye hzo ofisi walichosomea hakijulikani wanafanya kazi kwa mihemko kujifanya Wanasimamia sheria
@barakanestory3521
@barakanestory3521 Год назад
Magu tunakukumbuka
@simonzelote5998
@simonzelote5998 Год назад
Magufuli alimtoa mwigulu kwa sababu hiyo ila mama halijui hilo
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 Год назад
😂😂
@nyachikomesi315
@nyachikomesi315 Год назад
Sema mmeyatoa ya moyon mpaka mnatupa moyo , wajitafakar yanamwisho haya yalioongelewa yote point tupu
@bakarimtange570
@bakarimtange570 Год назад
Hizi. Siasa2 sio km Samia hayajui.aya acheni tukufanya punda wenu
@mussalusinde7716
@mussalusinde7716 Год назад
Mwizi in huyohuyo hakuna mwingine
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Год назад
Mwigulu Piga kazi, watu wanaotafuta kukufelisha wataanguka wenyewe. Kuna kikundi kiko bize mtaani kujaribu kukuangusha, watashindwa.
@kinginno3412
@kinginno3412 Год назад
Acha ujinga wewe nanini anataka afeli anajifelisha nwenyewe
@azizakiswili9063
@azizakiswili9063 Год назад
Peleka huko ujinga wako
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Год назад
Njaa zinawatesa Hadi mnaanza kuwa na wivu. Sheria za nchi lazima zitekelezwe ipasavyo. Ukiona Kodi sio sawa sema na wabunge wako Sheria ifanyiwe marekebishi
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 Год назад
Kiwavi
Далее
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 14 млн
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 14 млн